{"id":3977,"date":"2013-01-03T13:40:01","date_gmt":"2013-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/shule-za-mji-mkuu-wa-kongo-bado-zimeathiika-na-milipuko-ya-mwezi-machi\/"},"modified":"2013-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2013-01-03T13:40:01","slug":"shule-za-mji-mkuu-wa-kongo-bado-zimeathiika-na-milipuko-ya-mwezi-machi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/shule-za-mji-mkuu-wa-kongo-bado-zimeathiika-na-milipuko-ya-mwezi-machi\/","title":{"rendered":"Shule za Mji Mkuu wa Kongo Bado Zimeathi&#341;ika na Milipuko ya Mwezi Machi"},"content":{"rendered":"<p>BRAZZAVILLE, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Wiki tatu baada ya mwaka wa masomo kuanza mjini B&#341;azzaville, wanafunzi wengi katika mji mkuu wa Jamhu&#341;i ya Kongo bado hawajaanza kuhudhu&#341;ia hata da&#341;asa moja. Bado mji huo unaja&#341;ibu kupona kutokana na mlipuko mkubwa katika ghala la kuhifadhia silaha wa mwezi Machi. &#8220;Bado sijaenda shule,&#8221; alisema mtoto mwenye um&#341;i wa miaka 13 anayeitwa Judica&euml;lle. Familia yake ni miongoni mwa mamia wanaoishi katika mahema katika makazi ya dha&#341;ula ya F&eacute;lix Ebou&eacute;.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wazazi wangu walifa&#341;iki katika milipuko,&#8221; aliiambia IPS, &#8220;na shangazi yangu bado hajapokea malipo ya fa&#341;anga za CFA milioni tatu (dola zipatazo 6,000) ambazo se&#341;ikali imeahidi kutoa kwa kila familia.&#8221;<\/p>\n<p>Mlipuko wa Machi 4 katika ghala la &#341;isasi katika ngome ya kijeshi ya Mpila masha&#341;iki mwa mji mkuu wa Kongo uliwaua watu 280, kwa mujibu wa takwimu za se&#341;ikali, huku wengine 1,500 wakije&#341;uhiwa vibaya na maelfu zaidi kuachwa bila makazi.<\/p>\n<p>Nancy, 18, ni miongoni mwa waathi&#341;ika wengine wa mlipuko ambaye anakaa katika Uwanja wa Ma&#341;chand. Yeye pia ameacha shule.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna wanafunzi 20 hapa, lakini hatujui jinsi gani ya kwenda shule. Wazazi wetu wanatulisha kwa taabu, na tunapowauliza kuhusu shule, hata hawataki kutuangalia,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Miongoni mwa wanaoishi katika uwanja huo ni watu wanaosubi&#341;i msaada wa dola 6,000 kutoka se&#341;ikalini baada ya kutangaziwa kuwa se&#341;ikali ingelipa familia zilizoathi&#341;ika na janga hilo. Hii imewaacha wakiwa katika hali tete.<\/p>\n<p>&#8220;Milipuko imenifanya nishindwe kufanya kazi, na mke wangu alishuhudia bidhaa zake zote zikiha&#341;ibiwa. Hakuna aliyekuja kutupatia msaada,&#8221; alisema Michel Bobenda, fundi se&#341;emala ambaye ka&#341;akana yake iliha&#341;ibiwa vibaya na mlipuko huo. &#8220;Tutawezaje kupata gha&#341;ama za shule kwa watoto wetu &#8220;<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Watoto la Umoja wa Mataifa lilitoa msaada wa vifaa 400 vya kuwawezesha watoto wa&#341;ejee shule katika makazi ya Cit&eacute; des 17. Lakini siyo wanafunzi wote waliopata vifaa wame&#341;idhika.<\/p>\n<p>&#8220;Ninasoma mada&#341;asa ya juu, na UNICEF inatoa vijidafta&#341;i vidogo ambavyo ni kwa ajili ya watoto wa shule za awali na za msingi. Sijui nini la kufanya,&#8221; alisema Jonas Doungou, ambaye aliweza kujiandikisha katika shule ya ufundi kutokana na msaada wa msama&#341;ia mwema. &#8220;Cha zaidi ni kuwa ili kufika hapa shuleni nagha&#341;amikia fa&#341;anga za CFA 900 (kama dola mbili) kwa siku kama usafi&#341;i. Nitapata wapi fedha hizo &#8220;<\/p>\n<p>Wanafunzi wengine kutoka Shule ya Ufundi ya 5 F&eacute;v&#341;ie&#341; wanakabiliwa na tatizo kama hilo. Wamehamishiwa katika shule ya 1 Mai iliyopo katikati mwa mji. <\/p>\n<p>&#8220;Usafi&#341;i ni tatizo,&#8221; alisema Juste Iniambe, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, &#8220;lakini se&#341;ikali haifanyi jambo lolote. Inashangaza!&#8221;<\/p>\n<p>Jumla ya watoto 22,000 kuanzia shule za awali hadi sekonda&#341;i waliathi&#341;ika na janga la Mpila. Se&#341;ikali ilikubali kulipia mafao ya usafi&#341;i ya kila mwezi ya dola 20 kwa kila mwanafunzi, lakini hizi hazitoshi kwa vijana wengi ambao wanatakiwa kusafi&#341;i umbali m&#341;efu kufikia shule walikohamishiwa.<\/p>\n<p>Lakini mamlaka yanachukua hatua. Baadhi ya shule katika maeneo ya ji&#341;ani ambazo zimeha&#341;ibika zimeka&#341;abatiwa. Uwezo wake pia umeongezeka ili kuchukua wanafunzi kutoka eneo la Mpila; kwa mfano, shule ya Fleuve Congo mada&#341;asa yake 25 yameka&#341;abatiwa.<\/p>\n<p>Kazi pia imefanyika katika shule ya msingi ya Pie&#341;&#341;e Ntsi&eacute;t&eacute;, ambapo Lucie Geo&#341;gette Nguekoua ni mku&#341;ugenzi. &#8220;Kwa sasa tuna mada&#341;asa ya nyongeza,&#8221;aliiambia IPS. &#8220;Ni aibu kuwa tumesubi&#341;i watu wafe kabla ya kuka&#341;abati majengo haya.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa upande mwingine, shule zilizoha&#341;ibiwa wakati wa milipuko zinaendelea kuwa magofu. Katika shule ya 31 Juillet, mhandisi Abd&#341;amane Batcheli aliiambia IPS kuwa ujenzi upya wa shule hiyo ungechukua muda.<\/p>\n<p>&#8220;Tutajenga upya majengo, ikiwa ni pamoja na magho&#341;ofa, na kujenga jengo la tatu. Taya&#341;i tumeshaanza kujenga kuta,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Shule nyingi za binafsi bado zinaendelea kuwa vifusi wakati wamiliki wake wakisubi&#341;i fidia kutoka se&#341;ikalini.<\/p>\n<p>Wanafunzi 1,400 katika shule ya Lyc&eacute;e de la R&eacute;volution walihamishiwa katika shule ya sekonda&#341;i ya Agostino Neto.<\/p>\n<p>Wanafunzi wengi ambao walihamishiwa katika shule mpya kwa bahati mbaya hawajahudhu&#341;ia da&#341;asani. &#8220;Tuna mada&#341;asa mawili kwa wanafunzi kutoka shule ya 31 Juillet, lakini wengi wao hawaji shule,&#8221; Geo&#341;ges Otaha, mku&#341;ugenzi wa shule ya Fleuve Congo, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kwa kuongeza, walimu 480 watapatiwa mafunzo ya kufundisha saikolojia kwa wanafunzi ambao ni waathi&#341;ika wa milipuko. &#8220;Tutaanzisha kundi la walimu wa saikolojia katika ngazi ya shule moja moja,&#8221; Jean Clotai&#341;e Tomby, mku&#341;ugenzi mkuu wa masuala ya kijamii aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanasema se&#341;ikali inapaswa kuwajibika kuwasaidia wote walioathi&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali inawajibika na kile kilichojitokeza, hivyo inapaswa kutafuta ufumbuzi. Vifaa vya shule, gha&#341;ama za kuhama makazi na kutoa msaada wa hali na mali, ni lazima kuhakikishiwa na se&#341;ikali kuwa itafanya hivyo kwa wanafunzi hawa,&#8221; alisema Roch Euloge N&#8217;zobo, mku&#341;ugenzi mtendaji wa shi&#341;ika la Kufuatilia Haki za Binadamu Kongo, asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali mjini B&#341;azzaville. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRAZZAVILLE, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Wiki tatu baada ya mwaka wa masomo kuanza mjini B&#341;azzaville, wanafunzi wengi katika mji mkuu wa Jamhu&#341;i ya Kongo bado hawajaanza kuhudhu&#341;ia hata da&#341;asa moja. Bado mji huo unaja&#341;ibu kupona kutokana na mlipuko mkubwa katika ghala la kuhifadhia silaha wa mwezi Machi. &#8220;Bado sijaenda shule,&#8221; alisema mtoto mwenye um&#341;i wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":424,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3977","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3977","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/424"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3977"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3977\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3977"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3977"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3977"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}