{"id":3975,"date":"2013-01-03T13:40:01","date_gmt":"2013-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/wanafunzi-wazingiwa-kati-ya-jukumu-la-shule-na-kazi-nchini-dr-congo\/"},"modified":"2013-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2013-01-03T13:40:01","slug":"wanafunzi-wazingiwa-kati-ya-jukumu-la-shule-na-kazi-nchini-dr-congo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/wanafunzi-wazingiwa-kati-ya-jukumu-la-shule-na-kazi-nchini-dr-congo\/","title":{"rendered":"Wanafunzi Wazingi&#341;wa Kati ya Jukumu la Shule na Kazi Nchini DR Congo"},"content":{"rendered":"<p>KINSHASA, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Akiwa amening&#8217;inia katika mlango wa basi wakati likipenyeza kwenye foleni kubwa, Gi&#341;es Manoka mwenye um&#341;i wa miaka 16 anawaita wasafi&#341;i wa basi hilo wakati likikatiza katika mitaa ya jiji la Kinshasa, mji mkuu wa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC Congo)\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mmoja wa wapita njia anamuuliza kijana huyo anayeonekana kuwa na su&#341;a changa ni kwa nini asingeenda shule badala ya kufanya kazi.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa da&#341;asa la saba mwaka jana,&#8221; Manoka anajibu, &#8220;lakini sikuwa na mtu wa kunilipia ada ya shule. Sikuwa na la kufanya zaidi ya kuwa mpiga debe; kazi hii ninaifanya familia yangu kuendelea kuishi.&#8221;<\/p>\n<p>Kuna maelfu ya vijana wa um&#341;i mdogo nchini kote DR Congo ambao, kama ilivyo kwa Manoka, wanapaswa kufanya kazi ili kuendesha maisha yao. Wengi wao wameacha shule na kuanza kuuza pipi, ka&#341;anga, na bidhaa nyingine kwa wapita njia.<\/p>\n<p>Boniface Mbalu, ambaye ni mzazi aliiambia IPS: &#8220;Hali ngumu ya kiuchumi inalazimisha vijana kufanya kazi za muda mfupi ili kukidhi mahitaji wakati huo huo wakiwa wanakwenda shule. Wale wasiokuwa na bahati wanaacha shule na kuanza kutafuta maisha.&#8221;<\/p>\n<p>Alisema kuwa elimu siyo ya bu&#341;e katika DRC, na familia nyingi maskini hazina uwezo wa kununua sa&#341;e za shule na vifaa vingine.<\/p>\n<p>Dk Paul Basikila, mkuu wa shi&#341;ika la Watoto la Umoja wa Mataifa katika ofisi ya Kinshasa, alisema shi&#341;ika lake limechukua hatua za kubo&#341;esha ubo&#341;a wa elimu na kusaidia watoto kwenda shule. &#8220;Hatua hizi zitafanya kazi kama ada za shule zitaondolewa, kama ilivyotangazwa na se&#341;ikali,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati wa kuanza kwa msimu wa shule wa mwaka 2012&ndash;2013,&#8221; aliiambia IPS, &#8220;UNICEF ilizindua kampeni ya kuongeza ufahamu katika jimbo la Kasa&iuml; kusajili watoto 40,000 kwenda shule, ikiwa ni pamoja na watoto wa kike 18,000, katika shule za msingi. Pia tumefanya kazi kuhamasisha wazazi ambao watoto wao wamefikia um&#341;i wa kwenda shule.&#8221;<\/p>\n<p>C&eacute;cile Tshiyombo, mjumbe wa Umoja wa Walimu Kongo, alisema matatizo yanayoupata mfunmo wa elimu DRC ni magumu kuyatafutia ufumbuzi. &#8220;Watoto hawa waliamua kuacha shule na kutafuta kazi wenyewe, watoto ambao wanafanya kazi kupata uji&#341;a kama watu wazima: hawataki kwenda shule tena. Taya&#341;i wanajitegemea katika um&#341;i wao wa utotoni, jambo ambalo siyo la kawaida,&#8221; aliimbia IPS.<\/p>\n<p>Tshiyombo anadhani kuwa watoto wengi pia wanaacha shule kwasababu kinachotolewa shuleni hakiwavutii tena. &#8220;Diploma inayotolewa mwishoni mwa kozi baada ya shule ya sekonda&#341;i au ngazi ya chuo kikuu haiwafikishi popote. Kama kuna wahitimu wa elimu ya juu wanauza pipi au maji ya ba&#341;idi kuweza kuishi, je vijana hawa wataona mustakabali gani wa maisha ya baadaye kwa kama watasoma &#8220;<\/p>\n<p>Joseph Paulusi amekuwa akisafisha viatu tangu akiwa na um&#341;i wa miaka 11. Akiwa na um&#341;i wa miaka 16 sasa, aliiambia IPS: &#8220;Nilisoma hadi da&#341;asa la sita katika shule ya msingi. Lakini baada ya baba yangu kufa&#341;iki dunia, mama yangu hakuweza kunisomesha, hivyo niliamua kuacha na kuanza kung&#8217;a&#341;isha viatu.&#8221;<\/p>\n<p>Amekuwa sasa ndiye anayetegemewa kusaidia familia kwa chakula. &#8220;Kazi hii inamsadia mama yangu. Kutokana na fedha ninazopata, kama fa&#341;anga 15,000 za Kikongo kwa siku (dola zipatazo 16), ana uwezo wa kulisha familia nzima.&#8221;<\/p>\n<p>D&eacute;og&#341;atias Nendumba, m&#341;atibu wa kitaifa wa jitihada za se&#341;ikali, alisema &#8220;Se&#341;ikali ya Kongo inatambua vema hali ya maelfu ya watoto waliaoacha shule. Imechukua hatua ya kuyfanyia uchunguzi wa kitaifa.&#8221;<\/p>\n<p>Kati ya watoto 35,000 waliohojiwa &ndash; ikiwa ni pamoja na zaidi ya watoto wa kike 25,000 &ndash; waliacha shule mwaka 2011&ndash;2012 kutokana na sababu mbalimbali, kama vile umaskini, vita, na kuhama kutoka maeneo ya vijijini, alisema Nendumba.<\/p>\n<p>&#8220;Watoto hawa wana haki ya kutunzwa na jamii ili waweze kukua kama watu wazima. Ni jambo tata kuwaacha kulea familia zao. Wale ambao wanaendelea kubakia shuleni ma&#341;a nyingi wanakatishwa moyo na kupoteza hamasa wanapokuwa wanafukuzwa shule ma&#341;a kwa ma&#341;a kutokana na kutokulipia ada,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa takwimu kutoka taasisi ya takwimu za mipango na elimu, idadi ya wanafunzi ambao waliandikishwa shule katika ngazi zote kwa mwaka 2011&ndash;2012 wa masomo iliongezeka hadi 3,158,193, ambapo kati ya hao ni 624,720 tu walikuwa watoto wa kike.<\/p>\n<p>&#8220;Tukiwa tunakabiliwa na kushuka kwa ubo&#341;a wa maisha, tuna wasiwasi kuwa kutakuwa na wanafunzi wachache mno ambao watamaliza mwaka huu wa masomo wa 2012&ndash;2013,&#8221; alisema Mathieu Kembe, ofisa katika ofisi ya mipango. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KINSHASA, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Akiwa amening&#8217;inia katika mlango wa basi wakati likipenyeza kwenye foleni kubwa, Gi&#341;es Manoka mwenye um&#341;i wa miaka 16 anawaita wasafi&#341;i wa basi hilo wakati likikatiza katika mitaa ya jiji la Kinshasa, mji mkuu wa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC Congo) Mmoja wa wapita njia anamuuliza kijana huyo anayeonekana kuwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":962,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3975","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3975","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/962"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3975"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3975\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3975"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3975"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3975"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}