{"id":3971,"date":"2013-01-03T13:40:01","date_gmt":"2013-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/kufanya-mizizi-ya-afika-kuendelea-kuwepo-nchini-bazil\/"},"modified":"2013-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2013-01-03T13:40:01","slug":"kufanya-mizizi-ya-afika-kuendelea-kuwepo-nchini-bazil","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2013\/01\/03\/kufanya-mizizi-ya-afika-kuendelea-kuwepo-nchini-bazil\/","title":{"rendered":"Kufanya Mizizi ya Af&#341;ika Kuendelea Kuwepo Nchini B&#341;azil"},"content":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Mwanamuziki wa Nige&#341;ia anacheza na kuimba ka&#341;ibu na mtumishi wa kidini wa B&#341;azil anayetumikia dini ya Candombl&eacute;, ambayo iliingizwa katika taifa hili la Kusini mwa Ame&#341;ika kupitia watumwa kutoka Af&#341;ika. Dini hiyo inaanza kufuliwa sasa kutokana na kusahaulika katika vitabu vya shule katika histo&#341;ia na utamaduni wa kitaifa. Mwanamuziki huyo ni Jokotoye Awolade Bankole, mwenye um&#341;i wa miaka 55 kutoka kabila la Onpeu&ndash;Ogbomoso kusini magha&#341;ibi mwa jimbo la Oyo, Nige&#341;ia na mfuasi wa Ifa, mfumo wa imani wa kabila la watu wa Yo&#341;uba ambao ulitangazwa kuwa sehemu ya U&#341;ithi wa Kitamaduni mwaka 2005 na Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO).\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mtumishi huyo wa dini ya Candombl&eacute; Alexande&#341; Rocha da Silva, au &#8220;Alexande&#341; de Oxossi&#8221; kama anavyotambulika katika dini yake, amemka&#341;ibisha Bankole katika hekalu lake. Yeye ni mzungu, pamoja na kuwa aliiambia IPS, &#8220;ni nani katika B&#341;azil anaweza kusema hana lolote linalohusiana na Af&#341;ika katika ngozi yake &#8220;<\/p>\n<p>Katika nchi hii, ambapo zaidi ya asilimia 50 ya idadi ya watu milioni 194 wanajitambulisha kama watu weusi au &#8220;mulatto&#8221;,kwa mujibu wa sensa ya wakaazi, yeye amesisitiza histo&#341;ia yake ya Ulaya, kuingia kwa Wa&#341;eno na kazi za dini ya Katoliki.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2010, asilimia 64.6 ya wakazi walijitambulisha kama Wakatoliki, wakifuatiwa na asilimia 22.2 ambao wanatoka madhehebu ya kiinjili hasa wapentekoste wa kisasa.<\/p>\n<p>Wengi ambao walijitambulisha kuwa wafuasi wa dini za Kiaf&#341;ika, kama za Umbanda na Candombl&eacute;, ambao wanawakilisha asilimia 0.3 ya wakazi, wanaendesha shughuli za imani zao kwa kujificha.<\/p>\n<p>&#8220;Bado kuna ubaguzi mwingi, hasa wakati mtu akiwa shule au chuo kikuu na kutangaza kuwa anaabudu kwenye dini za Kiaf&#341;ika,&#8221; anasema Glaucia Bastos, ambaye ni mtumishi mwanamke wa dini ya Ifa.<\/p>\n<p>Ikiwa imeingizwa nchini B&#341;azil na watumwa wa Kiaf&#341;ika, dini ya Candombl&eacute; ilikandamizwa vibaya wakati wa ukoloni, na watu kutoka dini hiyo ilibidi wajifiche ili kulinda usalama wao.<\/p>\n<p>&#8220;Dini ya Candombl&eacute; haijakandamizwa sana kutokana na umaa&#341;ufu wa Ukatoliki kama ilivyokuwa kwa dini nyingine, lakini watu weusi waliendelea kuabudu miungu yao chini ya utakatifu wa Kikatoliki,&#8221; Alexande&#341; de Oxossi aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kukandamizwa kwa uwazi kulikofanywa na polisi dhidi ya dini zenye asili ya Af&#341;ika nchini B&#341;azil kuliendelea hadi katikati mwa ka&#341;ne ya 20.<\/p>\n<p>Bastos, ambaye baba yake ni M&#341;eno lakini anajitambulisha kama mtu mweusi &#8220;kutokana na asili ya mama yake,&#8221; anaiambia IPS kuwa &#8220;hadi miaka 27 iliyopita, watu katika mitaa walikuwa wakinipigia kelele za &#8216;macumbe&#341;a&#8217;,&#8221; neno lenye asili ya Af&#341;ika ambalo hutumiwa kimzaha kumaanisha mtu anayeabudu uchawi wa watu weusi.<\/p>\n<p>Edna Teixei&#341;a de A&#341;aujo aliiambia IPS kuwa hadi miaka ya 1970, dini ya Candombl&eacute; ilikuwa ikiendeshwa kwa kujificha. &#8220;Ma&#341;a nyingi kunakuwa na dansi ya samba mbele, na hapo ndipo ibada ya Candombl&eacute; inapoendeshwa nyuma ya nyumba, ili kuificha,&#8221; alisema de A&#341;aujo, ambaye kama ilivyokuwa kwa washi&#341;iki katika she&#341;ehe hizi za kuheshimu mila za Bankole alivalia vazi la kabila la Yo&#341;uba la nchini Nige&#341;ia.<\/p>\n<p>Lakini siku zilibadilika, na she&#341;ia ya shi&#341;ikisho 7,716, ambayo inaelezea kuwa kukosekana kwa uvumilivu wa kidini ni sawa na ubaguzi.<\/p>\n<p>Mwaka 2007, Jan. 21 ilitajwa kuwa Siku ya Kitaifa ya Uvumilivu wa Kisiasa wakati wa kumbukumbu za M&atilde;e Gilda, mtumishi mwanamke wa dini ya Candombl&eacute; kutoka Kaskazini masha&#341;iki mwa jimbo la Bahia ambaye alifa&#341;iki mwaka 2000 kutokana na ugonjwa wa moyo ukihusishwa na unyanyasaji wa kidini uliotokana na makanisa ya pentekoste ya kisasa.<\/p>\n<p>Lakini pamoja na dalili ya mafanikio, waumini wa dini za Kiaf&#341;ika nchini B&#341;azil bado wanahisi kunyanyaswa.<\/p>\n<p>&#8220;Hata leo hii, kila tatizo linalojitokeza linahusishwa na laana inayotolewa kwa waumini wa dini za Candombl&eacute; au Umbanda,&#8221; de A&#341;aujo alisema.<\/p>\n<p>Bankole, ambaye anatoka mkoa wa Nige&#341;ia ambao ulikandamizwa na biasha&#341;a ya kitumwa na kudhoofishwa kabisa ka&#341;ne iliyopita, alikuja B&#341;azil kusaidia kujenga heshima kwa dini zenye asili ya Af&#341;ika nchini humo.<\/p>\n<p>Kupitia kwa mkalimani, Bankole aliiambia IPS kuwa kutokana na utumwa, Waaf&#341;ika wengi kutoka sehemu mbalimbali za ba&#341;a hilo walikabiliwa na kuchanganya au kupoteza kabisa mila zao nchini B&#341;azil, ikiwa ni pamoja na lugha za makabila yao na Ifa, ambayo kwa sasa anaja&#341;ibu kuifufua.<\/p>\n<p>Hilo ndilo lilikuwa lengo la mada juu ya &#8220;Kumbukumbu, Mababu na Utambulisho katika Muktadha wa Af&#341;ika &#8221; ambayo ilitolewa Nov. 13 kwa lugha ya Yo&#341;uba, ambayo inazungumzwa na watu milioni 10 ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Tukio hilo liliandaliwa na &#8220;chombo cha u&#341;atibu cha wataalam wa elimu ya makabila na mahusiano ya watu wa &#341;angi mbalimbali&#8221;, ambalo linatoa mafunzo kwa walimu kutumia she&#341;ia ya mwaka 2010 ambayo inataka kujifunza histo&#341;ia ya Kiaf&#341;ika na jumuiya ya watu weusi nchini B&#341;azil katika ngazi zote za mfumo wa elimu wa umma na binafsi nchini B&#341;azil.<\/p>\n<p>Bankole ana matumaini kwasababu amegundua katika safa&#341;i yake kuwa kuna aina nyingine nyingi za kukuza ufahamu wa watu juu ya asili ya Waaf&#341;ika nchini B&#341;azil na nchi nyingine za Ame&#341;ika ya Kusini, ikiwa ni pamoja na ibada za o&#341;ix&aacute; katika dini ya Candombl&eacute;.<\/p>\n<p>&#8220;Na hata matamasha ya muziki ya B&#341;azil yanaonyesha asili ya utamaduni wa Af&#341;ika,&#8221; Bankole alisema, huku akitabasamu.<\/p>\n<p>Bastos, ambaye alijiunga na mizizi ya Af&#341;ika baada ya kuoana na Edundayo Olalekan Awe, Mnige&#341;ia ambaye alikuwa mkalimani wa Bankole, alichukua miti kama mfano halisi wa utamaduni na mchanganyiko wa dini nchini B&#341;azil.<\/p>\n<p>&#8220;Huu ni mti mmoja lakini kila mtu ameupanda kama anavyotaka,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Mavazi ya mtindo wa Bahia katika mzunguko wa ibada yanafanana na mavazi aina ya &#8220;alak&aacute;&#8221; yenye asili ya Nige&#341;ia ambayo yanavaliwa na wanawake wa B&#341;azil.<\/p>\n<p>Hivyo kipande cha a&#341;dhi ya Af&#341;ika kimeunganishwa na a&#341;dhi ya B&#341;azil, na a&#341;dhi ya B&#341;azil imeunganishwa na ya Af&#341;ika, na hivyo kufanya kumbukumbu kuendelea kuwepo chini ya vivuli vya miti. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Janua&#341;i 3 (IPS) &ndash; Mwanamuziki wa Nige&#341;ia anacheza na kuimba ka&#341;ibu na mtumishi wa kidini wa B&#341;azil anayetumikia dini ya Candombl&eacute;, ambayo iliingizwa katika taifa hili la Kusini mwa Ame&#341;ika kupitia watumwa kutoka Af&#341;ika. Dini hiyo inaanza kufuliwa sasa kutokana na kusahaulika katika vitabu vya shule katika histo&#341;ia na utamaduni wa kitaifa&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":673,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3971","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3971","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/673"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3971"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3971\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3971"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3971"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3971"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}