{"id":3970,"date":"2012-12-06T13:40:01","date_gmt":"2012-12-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/12\/06\/tanzania-vyombo-vya-habai-na-siku-16-za-kupinga-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake-duniani\/"},"modified":"2012-12-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-12-06T13:40:01","slug":"tanzania-vyombo-vya-habai-na-siku-16-za-kupinga-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake-duniani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/12\/06\/tanzania-vyombo-vya-habai-na-siku-16-za-kupinga-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake-duniani\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Vyombo vya Haba&#341;i na Siku 16 za Kupinga Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake Duniani"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Desemba 6 (IPS) &ndash; Kifungu cha 29 cha Itifaki ya Jinsia na Maendeleo kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika kinataja umuhimu wa vyombo vya haba&#341;i kuzingatia masuala ya jinsia kwa kuhakikisha wanawake wanakuwa na sauti sawa na wanaume katika maudhui ya haba&#341;i na idadi ya wafanyakazi wa vyombo vya hava&#341;i.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa mujibu wa kifungu hicho &#8220;Wanawake wanapaswa kuwa na uwakilishi sawa katika maeneo yote na katika ngazi zote zinazohusu kazi za uandishi wa haba&#341;i&#8221;.<\/p>\n<p>Umoja wa Mataifa pia unatambua umuhimu wa wanawake katika kuwa na sauti sawa kwenye vyombo vya haba&#341;i. Kwa mujibu wa maazimio ya Mkutano wa Nne wa Wanawake wa Beijing wa Umoja huo wa mwaka 1995, wanawake wanapaswa kuwa na ushi&#341;iki kamili na wa usawa katika vyombo vya haba&#341;i, ikiwa ni pamoja na menejimenti, uandaaji wa vipindi, elimu, mafunzo na utafiti. Kwa mujibu wa maazimio hayo, kuendelea kuandika au kuonyesha mambo mabaya ya wanawake na picha zinazowadhalilisha katika vyombo vya haba&#341;i kunapaswa kukomeshwa. <\/p>\n<p>Hata hivyo, hali bado ni tofauti katika ukanda mzima wa Kusini mwa Af&#341;ika ikiwa ni pamoja na nchini Tanzania. Kwa mujibu wa &#341;ipoti ya Utafiti wa Jinsia na Vyombo vya Haba&#341;i ya mwaka 2010 iliyofadhiliwa na shi&#341;ika la Gende&#341; Links la Af&#341;ika Kusini, masuala ya jinsia hayapatiwi nafasi kubwa katika vyombo vya haba&#341;i vya Tanzania ambapo ni asilimia 0.3% ya haba&#341;i zinahusu jinsia.<\/p>\n<p>Utafiti pia unasema wanaume wanaongoza kutoa sauti zao katika vyombo vya haba&#341;i vya Tanzania, wakiwa ni asilimia 79 ya vyanzo vyote vya haba&#341;i huku wanawake wakishika asilimia 21 tu. Katika suala la aji&#341;a katika vyombo vya haba&#341;i, utafiti unaonyesha kuwa wanawake ni asilimia 36 ya wafanyakazi katika vyombo vya haba&#341;i, lakini wanashika asilimia 30 tu ya nafasi za juu za utoaji wa maamuzi.<\/p>\n<p>Pia kuna taa&#341;ifa za unyanyasaji wa kijinsia katika vyombo vya haba&#341;i ikiwa ni pamoja na masuala kama vile &#341;ushwa ya ngono, mishaha&#341;a duni na kufanya kazi hadi miaka mitatu bila kupatiwa mikataba ya aji&#341;a.<\/p>\n<p>Akizungumza wakati wa wa&#341;sha ya waandishi wa haba&#341;i na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ya kujiandaa na kampeni ya siku 16 za kupinga unyanyasaji wa kijinsia mapema mwezi wa Novemba, M&#341;atibu wa wa&#341;sha hiyo Gladness Munuo alisema kuna haja kubwa ya kujenga uelewa kuhusu ukatili wa kijinsia kama vile uvunjaji wa haki za binadamu kijamii, kitaifa, kikanda na kimataifa.<\/p>\n<p>Alisema katika kipindi cha siku 16 za kupinga unyanyasaji wa kijinsia kuna haja ya kuima&#341;isha kazi za kupinga ukatili dhidi ya wanawake katika ngazi za chini na kuunganisha kazi za maeneo mbalimbali yanayoshughulikia ukatili dhidi ya wanawake. Pia kipindi hiki ni muhimu katika kujenga njia ya kubadilishana taa&#341;ifa na uzoefu kuhusu ukatili dhidi ya wanawake kati ya wadau mbalimbali, kuonyesha mshikamano ulimwenguni kote kupinga ukatili dhidi ya wanawake na pia kutumia siku 16 kupaza sauti ili wadau wote waweze kutekeleza wajibu wao katika kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa kampeni hiyo pia inafanyika nchini kwa kuwa Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine za Af&#341;ika, vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiendelea, huku unyanyaswaji huo ukijitokeza katika su&#341;a mbali mbali kama vipigo, ukeketaji, ubakaji, mauaji ya wanawake na watoto wa kike, ku&#341;ithi wajane, ukatili nyumbani n.k. <\/p>\n<p>Alisema ni muhimu vyombo vya haba&#341;i na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kushi&#341;ikiana kwa kiasi kikubwa katika kupinga unyanyasaji wa kijinsia kwani vyombo hivyo ni chachu kubwa ya kuleta mabadiliko katika jamii kama vikifanya kazi pamoja.<\/p>\n<p>Ili vyombo hivi viweze kufanya kazi kwa pamoja, kuna haja ya kukaa pamoja na kujuana. &#8220;Ni muhimu mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kujua jinsi vyombo vya haba&#341;i vinavyofanya kazi, na wakati huo huo vyombo vya haba&#341;i kujua jinsi mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanavyofanya kazi,&#8221; alisema Munuo.<\/p>\n<p>Hata hivyo, wadau mbalimbali waliohudhu&#341;ia wa&#341;sha hiyo walipendekeza kuwepo mafunzo ya jinsi vyombo vya haba&#341;i vinavyofanya kazi kwa viongozi wanawake kwani wengi wao wanashindwa kuongea na vyombo vya haba&#341;i bila kujua kuwa wanajinyima wenyewe haki yao ya kutoa maoni.<\/p>\n<p>Walisema mifumo ya maisha katika jamii na tamaduni mbalimbali ba&#341;ani Af&#341;ika zimewafanya wanawake siku zote kuwa nyuma na kutegemea kila jambo kutoka kwa wanaume. &#8220;Kuna wakati hata wanawake wa vijijini hawataki kuongea na waandishi wa haba&#341;i hadi wapate idhini ya kuongea kutoka kwa waume zao,&#8221; alitoa maoni Rose Mwalongo, mmoja wa washi&#341;iki wa wa&#341;sha hiyo. <\/p>\n<p>Waadishi wa haba&#341;i nchini walitakiwa kutumia fani yao kwa bidii kuhakikisha kuwa katika kila haba&#341;i wanazoandika wanazingatia kuwepo kwa sauti za wanawake ili kufikisha ujumbe ambao unatokana na maoni ya jamii nzima na wala siyo kuegemea upande wa jinsia moja tu ya wanaume.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Desemba 6 (IPS) &ndash; Kifungu cha 29 cha Itifaki ya Jinsia na Maendeleo kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika kinataja umuhimu wa vyombo vya haba&#341;i kuzingatia masuala ya jinsia kwa kuhakikisha wanawake wanakuwa na sauti sawa na wanaume katika maudhui ya haba&#341;i na idadi ya wafanyakazi wa vyombo vya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3970","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3970","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3970"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3970\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3970"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3970"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3970"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}