{"id":3968,"date":"2012-12-04T13:40:01","date_gmt":"2012-12-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/12\/04\/ethiopia-yakandamiza-mashiika-ya-haki-za-binadamu\/"},"modified":"2012-12-04T13:40:01","modified_gmt":"2012-12-04T13:40:01","slug":"ethiopia-yakandamiza-mashiika-ya-haki-za-binadamu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/12\/04\/ethiopia-yakandamiza-mashiika-ya-haki-za-binadamu\/","title":{"rendered":"Ethiopia Yakandamiza Mashi&#341;ika ya Haki za Binadamu"},"content":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Desemba 4 (IPS) &ndash; Dunia ilipata dalili za kuchanganya mambo juu ya &#341;ikodi ya haki za binadamu ya Ethiopia wakati ilipochaguliwa wiki hiyo hiyo kuingia katika Ba&#341;aza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa huku shi&#341;ika kubwa la misaada la Uje&#341;umani likifunga ofisi yake likipinga mazingi&#341;a kandamizi ya kisiasa.&#8221;Kama kuhitimu kuingia katika UNHRC ni &#341;ikodi ya haki za binadamu ya nchi hiyo &ndash; basi Ethiopia isingefaa kuteuliwa &#8230;. Mazingi&#341;a ya haki za binadamu nchini yanatisha,&#8221; Endalkachew Molla, mku&#341;ugenzi wa Ba&#341;aza la Haki za Binadamu(HRCO), ambalo limedumu kwa miaka mingi nchini Ethiopia aliiambia IPS.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ethiopia, pamoja na nchi nyingine nne za Af&#341;ika &ndash; Kenya, Gabon, C&#038;oci&#341;c;te d&#8217;Ivoi&#341;e na Sie&#341;&#341;a Leone &ndash; zilichaguliwa Nov. 12 kuwa wanachama wa UNHRC kwa miaka mitatu kuanzia Jan. 1, 2013.<\/p>\n<p>Katika wiki hiyo, moja ya mashi&#341;ika makubwa ya ki&#341;aia yanayopigania haki za binadamu ya Uje&#341;umani, Hein&#341;ich B&ouml;ll Foundation (HBF), liliamua kufunga ofisi yake likipinga vikwazo dhidi ya haki za binadamu katika taifa hilo la Pembe ya Af&#341;ika. Kufungwa kwa shi&#341;ika hilo kumeweka histo&#341;ia ya kuwahi kufungwa kwa shi&#341;ika kubwa kama hilo nchini Ethiopia.<\/p>\n<p>Likiwa na jina la mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ambaye ni &#341;aia wa Uje&#341;umani, Hein&#341;ich B&ouml;ll Foundation ni NGO ambayo inakuza demok&#341;asia na haki za binadamu, ikiwa na ofisi katika nchi 30 duniani.<\/p>\n<p>&#8220;Lengo letu la kufanya kazi pamoja na washi&#341;ika wa ndani kukuza demok&#341;asia, usawa wa kijinsia na maendeleo endelevu, haliwezi kufikiwa tena. Kufungwa kwa ofisi ya Ethiopia ni isha&#341;a ya kupinga dhidi ya kukiukwa kwa haki za ki&#341;aia na uhu&#341;u wa kujieleza,&#8221; alisema Ba&#341;ba&#341;a Unm&uuml;&szlig;ig, mku&#341;ugenzi wa HBF, katika taa&#341;ifa yake ya Nov. 7.<\/p>\n<p>Unm&uuml;&szlig;ig alikuwa akimaanisha she&#341;ia tata ya NGO iliyopitishwa mwaka 2009 inayojulikana kama &#8220;Cha&#341;ities and Societies P&#341;oclamation&#8221;.<\/p>\n<p>She&#341;ia hii inaweka vizuizi vya kufanya kazi, kuendesha na kufadhiliwa kwa mashi&#341;ika ya haki za binadamu nchini Ethiopia. Inazuia shi&#341;ika lolote lile la haki za binadamu kupokea ufadhili wa zaidi ya asilimia 10 kutoka kwa vyanzo vya kigeni.<\/p>\n<p>Kutokana na she&#341;ia hii, ofisi ya HBF, ambayo ilifunguliwa mwaka 2006, ililazimika kupunguza malengo yake katika kipindi cha miaka mitatu kutoka kukuza demok&#341;asia na usawa wa kijinsia na kufanya zaidi kazi za mazingi&#341;a ili kuendana na she&#341;ia mpya, kwa mujibu wa mku&#341;ugenzi mkazi Pat&#341;ick Be&#341;g.<\/p>\n<p>&#8220;Tuli&#341;uhusiwa kutoa mafunzo ya ufumaji kwa wanawake, lakini hatuku&#341;uhusiwa kuwasaidia kudai haki zao za kikatiba. Lengo letu ni kuhamasisha mjadala wa kisiasa unaohusisha wote &ndash; lakini she&#341;ia ya sasa inafanya jambo hilo kushindikana,&#8221; Be&#341;g aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kwa kuongeza, mwongozo wa ka&#341;ibuni juu ya she&#341;ia hiyo unasema kuwa kiasi cha juu cha asilimia 30 cha bajeti ya NGO kinaweza kutumika katika gha&#341;ama za kiutawala. Be&#341;g alisoma maana ya gha&#341;ama za utawala ni nini na alishangazwa kugundua kuwa fasili yake ilikuwa ya undani zaidi ya kile ambacho kingeweza kugha&#341;amiwa na shi&#341;ika lake.<\/p>\n<p>&#8220;Ghafla, kazi yetu ya kuzalisha na kusambaza taa&#341;ifa na kutoa nafasi ya mjadala wa umma inaonekana kama kazi ya kiutawala. Hakuna jinsi ya kuendana na she&#341;ia hizi bila ya kubadili sisi ni akina nani. Hatuko taya&#341;i kufanya hilo,&#8221; Be&#341;g alisema.<\/p>\n<p>Mwaka 2009 HBF ilikubali kufanya kazi chini ya vikwazo vya she&#341;ia hiyo ikiwa na matumaini kuwa mapatano yangefikiwa na se&#341;ikali ya Ethiopia ku&#341;ejesha hali kama ilivyokuwa zamani. Hata hivyo, baada ya miaka mitatu ya mazungumzo yasiyokuwa na matunda, shi&#341;ika hilo hatimaye liliamua kufunga ofisi.<\/p>\n<p>She&#341;ia ya &#8220;Cha&#341;ities and Societies P&#341;oclamation&#8221; imekuwa mbaya mno kwa kuipatia se&#341;ikali mwanya wa kuingilia, kuchunguza na kushi&#341;iki moja kwa moja katika usimamiaji na uendeshaji wa mashi&#341;ika.<\/p>\n<p>Kwa sasa kuna mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ya kimataifa ka&#341;ibu 3,000, na 400 kati ya haya yameshapewa onyo juu ya kuendesha shughuli zao kinyume na ta&#341;atibu na kanuni za she&#341;ia hiyo.<\/p>\n<p>Umuhimu wa kulinda haki za binadamu katika nchi kama Ethiopia ulisisitizwa na naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson, ambaye aliiambia IPS kuwa &#8220;nguzo nne muhimu za kipindi cha baada ya 2015 ya MDG ni amani duniani, maendeleo, utawala wa she&#341;ia na haki za binadamu; kama moja kati ya hisi nguzo itakuwa dhaifu mfumo mzima utakuwa dhaifu.&#8221;<\/p>\n<p>Msemaji wa se&#341;ikali ya Ethiopia Be&#341;eket Simon alielezea IPS kuwa &#8220;lengo la she&#341;ia ya NGO ni kupunguza mambo ya nchi kuingiliwa na wageni, kuwezesha wananchi kushi&#341;iki katika maisha yao ya kisiasa.&#8221; Kwa mujibu wa Be&#341;eket, uteuzi wa ka&#341;ibuni wa kuingia kwenye UNHRC &#8220;unaipatia se&#341;ikali nguvu zaidi ya kuendeleza demok&#341;asia na haki za binadamu Ethiopia.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo, Endalkachew ana imani kuwa kuzuia ushi&#341;iki wa mashi&#341;ika ya haki za binadamu ya kigeni kunajenga mazingi&#341;a ambayo hayaendani na Tamko la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa la mwaka 1948.<\/p>\n<p>&#8220;Haki za binadmau hazina mipaka, ni za kila mtu. Ni ajenda ya binadamu wote. Ni kwa nini haki za binadamu nchini Ethiopia zisiwe na uta&#341;atibu kama huo usiokuwa na mipaka kama ilivyo kwa &#341;asilimali kama kilimo na miundombinu &#8221; aliuliza.<\/p>\n<p>HRCO na shi&#341;ika linaloongoza kupigania haki za wanawake la Ethiopian Women Lawye&#341;s Association (EWLA) &ndash; walifungiwa akaunti zao za benki Desemba mwaka 2009 baada ya kupata kiwango cha pesa kinachozidi kile cha she&#341;ia ya &#8220;Cha&#341;ities and Societies P&#341;oclamation&#8221;, pamoja na ukweli kwamba fedha zake zote za kigeni zilipatikana kabla ya kupitishwa kwa she&#341;ia mwaka 2009.<\/p>\n<p>EWLA imeshatoa misaada ya she&#341;ia ya bu&#341;e kwa zaidi ya wanawake 17,000. Mwaka 2011, lilisitisha &#341;asmi shughuli zake.<\/p>\n<p>Oktoba mwaka huu, mashi&#341;ika ya Amnesty Inte&#341;national na Human Rights Watch yalipinga uamuzi wa mahakama kuu ya Ethiopia kukubali kuzuiliwa kwa mali zenye thamani ya dola 500,000 za HRCO.<\/p>\n<p>Uwezo wa kuendesha shughuli wa HRCO umeshapunguzwa kwa kiasi kikubwa tangu she&#341;ia hiyo mwaka 2009. Wamepunguza matawi yao kutoka 12 hadi matatu, kutoka wafanyakazi 60 hadi 12 na ilibidi kufunga ofisi kadhaa nchini humo. Wigo wa kutoa misaada ya she&#341;ia kwa waathi&#341;ika wa haki za binadamu umekandamizwa kabisa.<\/p>\n<p>&#8220;Tunaweza kuendelea kuwa shi&#341;ika la haki za binadamu lakini lisilokuwa na &#341;asilimali,&#8221; Endalkachew alisema.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Endelkachew, kuzo&#341;ota kwa haki za binadmau nchini kunatokana na ghasia zinazotokana na chaguzi za mwaka 2005, wakati idadi kubwa ya watu walipigia ku&#341;a upinzani.<\/p>\n<p>&#8220;Machoni mwa chama tawala NGOs nyingi na waandishi wa haba&#341;i walionekana kama kusaidia upinzani, hivyo waliamini kuwa lazima wafanye kitu kuzuia shughuli zao.&#8221;<\/p>\n<p>Baada ya matukio haya, se&#341;ikali ilianzisha she&#341;ia ikiwa ni pamoja na ile ya 2009 ya &#8220;Cha&#341;ities and Societies P&#341;oclamation&#8221;.<\/p>\n<p>Kama sababu ya kuiteua Ethiopia kuingia katika UNHRC ni kuhamasisha se&#341;ikali mpya kubo&#341;esha &#341;ikodi zake za haki za binadamu chini ya uangalizi wa jumuiya ya kimataifa hapo Enadalkachew anaamini &#8220;kuna sababu ya kuwa na matumaini kuhusu mustakabali wa baadaye wa haki za binadamu nchini Ethiopia.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Desemba 4 (IPS) &ndash; Dunia ilipata dalili za kuchanganya mambo juu ya &#341;ikodi ya haki za binadamu ya Ethiopia wakati ilipochaguliwa wiki hiyo hiyo kuingia katika Ba&#341;aza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa huku shi&#341;ika kubwa la misaada la Uje&#341;umani likifunga ofisi yake likipinga mazingi&#341;a kandamizi ya kisiasa.&#8221;Kama kuhitimu kuingia katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":960,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3968","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3968","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/960"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3968"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3968\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3968"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3968"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3968"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}