{"id":3964,"date":"2012-11-27T13:40:01","date_gmt":"2012-11-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/27\/maswali-na-majibu-onyesho-la-nyota-wanaoendesha-haakati-2\/"},"modified":"2012-11-27T13:40:01","modified_gmt":"2012-11-27T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-onyesho-la-nyota-wanaoendesha-haakati-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/27\/maswali-na-majibu-onyesho-la-nyota-wanaoendesha-haakati-2\/","title":{"rendered":"Maswali na Majibu: Onyesho la Nyota Wanaoendesha Ha&#341;akati"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Novemba 27 (IPS) &ndash; Anzisha mjadala wa kidunia unaoangalia sababu kwa nini umaskini unaendelea kuwepo &ndash; na tumia sinema.<\/p>\n<p>Mpango mkubwa wa &#8220;Kwa nini Umaskini&#8221; unaleta pamoja watengenezaji filamu maa&#341;ufu nane na wengine 30 wenye vipaji vya filamu zinazofundisha masuala mbalimbali ya umaskini, kama vile jinsia na kukosekana kwa usawa, ubaguzi na misaada na biasha&#341;a.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kuanzia Novemba 25 hadi 30, filamu zita&#341;ushwa duniani kote kupitia mashi&#341;ika ya utangazaji ya kitaifa 62 kupitia duniani kote, na kufikia watu milioni 500. Mjadala wa mtandaoni kuhusu mada hii utafuata.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa nini Umaskini&#8221; ilizinduliwa katika Umoja wa Mataifa Sep. 27, na inaendeshwa na shi&#341;ika la Steps, lenye makao yake nchini Denma&#341;k na Af&#341;ika Kusini. Ajenda siyo kutafuta pesa au kushinikiza hata ufumbuzi mmoja tu wa umaskini duniani &ndash; nia ni kuchochea mijadala kuhusu maeneo ya umaskini kad&#341;i inavyowezekana.<\/p>\n<p>Mtengezaji wa filamu wa Sweden Bosse Lindquist anatumia eneo la misaada ya kiutu katika mchango wake, katika filamu yenye jina la &#8220;Tupatieni Fedha&#8221;. Alizungumza na mwandishi wa IPS Becky Be&#341;gdahl kuhusu filamu, na lengo lake ni kuangalia wanasanaa mamilionea Bob Geldof na Bono, ambaye alitumia miaka mingi akitetea watu maskini duniani.<\/p>\n<p>Sehemu ya mahojiano inafuata.<\/p>\n<p>Swali: Umekujaje na wazo la filamu <\/p>\n<p>Jibu: Nilika&#341;ibishwa na BBC, SVT na waha&#341;i&#341;i wengine kuangalia masuala ya misaada na maendeleo. Baada ya kuangalia ulimwengu wa mataji&#341;i na watu maa&#341;ufu, nilikubali kuwa Bob Geldof, ambaye kwa njia nyingi alianza kuingia katika watu maa&#341;ufu katika kupambana na umaskini, alikuwa ni mwanasanaa wa muda m&#341;efu.<\/p>\n<p>Amekuwa mwanaha&#341;akati tangu mwaka wa 1984, wakati huo akitafuta pesa za waathi&#341;ika wa njaa, halafu baadaye kufanyia kazi suala la mabadiliko ya mfumo. Pia ilikuja kuwa wazi mapema kuwa Bono alijiunga naye katika kupambana na umaskini miaka ya 90, na watu hawa wakashi&#341;ikiana na wengine wengi na mashi&#341;ika, na sasa wameshapata mafanikio makubwa. <\/p>\n<p>Swali: Je matamasha na kampeni za wanasanaa kama Bono na Geldof yalisaidia maskini <\/p>\n<p>Jibu: Ndiyo. Kwa kusema hili, pia ni muhimu kutaja kuwa hakuna tafiti za kisayansi kuonyesha matokeo halisi ya kampeni hiyo. Pia suala zima la matokeo ya jumla ya misaada ya maendeleo katika maendeleo ya kiuchumi ya Af&#341;ika. Haya ni masuala magumu mno, ikitegemeana na sababu nyingi.<\/p>\n<p>Hata hivyo bado ni wazi kuwa Bono na Geldof walikuwa na jukumu kubwa mno katika kufutwa kwa madeni ya mataifa ya Af&#341;ika na mataifa taji&#341;i mwaka 2005. Pia, Bono na Geldof walimsaidia Rais (Geo&#341;ge W.) Bush kuanzisha mpango wa PEPFAR (Mpango wa Rais wa Ma&#341;ekani wa Kupambana na Dha&#341;ula ya UKIMWI), na kufanya dunia iliyoendelea kuanza kufadhili GAVI (Mpango wa Chanjo ya UKIMWI Duniani), mi&#341;adi miwili ambayo kwa pamoja imefadhili sehemu kubwa ya madawa ya kuokoa maisha ambayo kwa sasa yanafikia Waaf&#341;ika milioni nane waliaoambukizwa na VVU.<\/p>\n<p>Swali: Je, nyota na taji&#341;i mzungu anaweza kuwa msemaji wa Mwaf&#341;ika mweusi maskini <\/p>\n<p>Jibu: Bono na Geldof wamekuwa watetezi maa&#341;ufu wakifanya kazi kuongezwa kwa &#341;asilimali kwa maskini ba&#341;ani Af&#341;ika, ikiwa ni pamoja na kubadilika kwa mfumo wa kimataifa, kufikia kuwa na she&#341;ia muhimu inayohusu misaada ya uwazi. Lakini wasemaji &ndash; hapana! Kazi hii lazima ifanywe na Waaf&#341;ika wenyewe.<\/p>\n<p>Swali: Je ni kwa kiasi gani kazi za mwanasanaa&ndash;mwanaha&#341;akati zinafanywa kwa ajili ya kuongeza umaa&#341;ufu wa mtu mmoja mmoja, na ni kwa kiasi gani inafanyika kusaidia wengine <\/p>\n<p>Jibu: Ni watu maa&#341;ufu wachache sana ambao wanashi&#341;iki katika kazi za misaada kuongeza umaa&#341;ufu wao wenyewe. Bado sijathibitisha hilo kwa Bono au Bob Geldof wakifanya hivi. Lakini kwa hakika, utetezi wao wa kweli hauna madha&#341;a kwa majina yao makubwa na uuzaji wa &#341;ikodi zao.<\/p>\n<p>Swali: Mataifa taji&#341;i 20 duniani yanatumia asilimia 80 ya &#341;asilimali. Baadhi ya watu wanaishi katika maisha ya anasa, wengine wanazidi kuwa na njaa. Inawezekana kuwa na usawa wa kidunia &ndash; bila ya kusaidiwa na nyota hawa <\/p>\n<p>Jibu: Tunapaswa kufanya kazi katika dunia ambayo ni ya usawa zaidi na ya haki. Hakuna kitu kingine kinaweza kuwa cha haki. Pia hii ni njia pekee kama tunataka kufanya dunia kuwa na amani zaidi na salama. Nadhani kuwa suala hili ni muhimu kwa kila mtu kuja pamoja na kupambana na uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a na kuongezeka kwa joto duniani.<\/p>\n<p>Swali: Na tutafikiaje hili <\/p>\n<p>Jibu: Mapambano yamefanyika katika majukwaa kadhaa. Moja ya mapambano muhimu ni kuhusu kutungwa kwa she&#341;ia ambayo itapambana na &#341;ushwa na wizi katika biasha&#341;a kati ya nchi zenye madini au &#341;asilimali za kilimo na wanunuzi katika nchi taji&#341;i.<\/p>\n<p>Mapambano mengine makubwa ni kuhusu kumpatia kila mtoto elimu. Mapambano ya tatu ni wazi kuwa yanahusu kuhakikisha kuwa wanawake wana fu&#341;sa sawa kama wanaume katika dunia.<\/p>\n<p>Swali: Una maoni gani juu ya dhana ya &#8220;mtego wa misaada&#8221;, dhana ambayo inasema kuwa nchi maskini zinakuwa tegemezi kwa misaada ya kigeni <\/p>\n<p>Jibu: Siyo nchi maskini sana zinazozidi kuwa tegemezi, ni maofisa wa se&#341;ikali ambao wanazidi kuwa tegemezi. Kuna aina fulani ya &#341;ushwa katika kuhamisha fedha nyingi, na kuna hata&#341;i kwa watu kudanganyika na hili.<\/p>\n<p>Lakini ukweli kwamba kuna &#8220;mtego wa misaada&#8221; hata kama upo hauwezi kuwa sababu ya kuachana na misaada yote. Pamoja na kuwa ni sababu kubwa mno kudai uwazi kuhusu jinsi gani misaada inatolewa na kusambazwa, kwa kuwa na mbinu zilizojengwa ndani mwa wapokeaji wenyewe kufuatilia jinsi gani fedha zinatolewa <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Novemba 27 (IPS) &ndash; Anzisha mjadala wa kidunia unaoangalia sababu kwa nini umaskini unaendelea kuwepo &ndash; na tumia sinema. Mpango mkubwa wa &#8220;Kwa nini Umaskini&#8221; unaleta pamoja watengenezaji filamu maa&#341;ufu nane na wengine 30 wenye vipaji vya filamu zinazofundisha masuala mbalimbali ya umaskini, kama vile jinsia na kukosekana kwa usawa, ubaguzi na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":957,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3964","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3964","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/957"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3964"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3964\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3964"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3964"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3964"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}