{"id":3961,"date":"2012-11-26T13:40:01","date_gmt":"2012-11-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/26\/maswali-na-majibu-kuonyesha-mazui-mabaya-na-kukosekana-kwa-uhuu-wa-habai-2\/"},"modified":"2012-11-26T13:40:01","modified_gmt":"2012-11-26T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-kuonyesha-mazui-mabaya-na-kukosekana-kwa-uhuu-wa-habai-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/26\/maswali-na-majibu-kuonyesha-mazui-mabaya-na-kukosekana-kwa-uhuu-wa-habai-2\/","title":{"rendered":"Maswali na Majibu: Kuonyesha Mazu&#341;i, Mabaya na Kukosekana kwa Uhu&#341;u wa Haba&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Novemba 26 (IPS) &ndash; Mwandishi Stanley Kwenda akizungumza na PANSY TLAKULA, Msimamizi Maalum wa Uhu&#341;u wa Haba&#341;i na Upatikanaji wa Haba&#341;i wa Umoja wa Af&#341;ika <\/p>\n<p>Pansy Tlakula, Msimamizi Maalum wa Uhu&#341;u wa Haba&#341;i na Upatikanaji wa Haba&#341;i wa Umoja wa Af&#341;ika, amefanya kazi ya kutosha ya kutafutia ufumbuzi kuendelea kwa udhalilishaji wa waandishi wa haba&#341;i nchini Gambia.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Akiwa katika jukumu lake kama kamishina wa Tume ya Af&#341;ika kuhusu Haki za Binadamu, amewahi kutoa wito ma&#341;a kadhaa kwa se&#341;ikali ya taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi kuheshimu haki ya kujieleza.<\/p>\n<p>&#8220;Nimeandika ba&#341;ua kadhaa kwa se&#341;ikali juu ya kukamatwa kwa hivi ka&#341;ibuni kwa waandishi wa haba&#341;i &ndash; se&#341;ikali kwa sasa imechoka na ba&#341;ua zangu. Tumefanya kila linalowezekana kuonyesha tatizo la Gambia na mataifa mengine ya Af&#341;ika,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Lakini haijatosha kuzuia ukandamizaji wa vyombo vya haba&#341;i nchini Gambia.<\/p>\n<p>Mwezi Septemba, se&#341;ikali ilikamata waandishi wa haba&#341;i wawili na kufungia magazeti yao, The Standa&#341;d na The Daily News, kutokana na kuandika haba&#341;i nyingi za upinzani unaotokana na se&#341;ikali kuwanyonga wafungwa tisa.<\/p>\n<p>Mwezi Juni, wazi&#341;i wa zamani wa Haba&#341;i na Mawasiliano nchini humo Amadou Scatt&#341;ed Janneh na wengine watatu walikamatwa kutokana na kuchapisha na kusambaza fulani ambazo zilitoa wito wa kukomeshwa kwa udikteta nchini Gambia.<\/p>\n<p>Janneh, ambaye pia ni &#341;aia wa Ma&#341;ekani, ameshitakiwa kwa kosa la uhaini na kufungwa kifungo cha maisha lakini aliachiliwa hu&#341;u baada ya mwanaha&#341;akati wa haki za binadamu wa Ma&#341;ekani Mchungaji Jesse Jackson kuingilia kati.<\/p>\n<p>Tlakula alisema kuwa Tume ya Haki za Binadamu Af&#341;ika ilipeleka kesi ya Janneh kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini kwa bahati mbaya Gambia haija&#341;idhia itifaki inayounda Mahakama ya Af&#341;ika ya Haki za Binadamu na hivyo kushindwa kuwapeleka mahakamani,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Lakini kushindwa kwa Gambia hakujaondoa nia ya Tlakula ya kuhakikisha kuwa uhu&#341;u wa haba&#341;i unakuwepo katika ba&#341;a. Hivi ka&#341;ibuni, alichukua hatua kali za kuhimiza se&#341;ikali za Kiaf&#341;ika kuanzisha vyombo hu&#341;u vya kusimamia uhu&#341;u wa haba&#341;i, akisema kuwa wanasiasa na se&#341;ikali hawatakiwi kumiliki vyombo vya haba&#341;i.<\/p>\n<p>Tlakula, ambaye ni wakili wa Mahakama Kuu ya Af&#341;ika Kusini, mjumbe wa zamani wa Tume ya Haki za Binadamu Af&#341;ika Kusini na mwenyekiti wa sasa wa Tume Hu&#341;u ya Uchaguzi, anataka kuona mazingi&#341;a ya kishe&#341;ia ba&#341;ani Af&#341;ika ambayo yana&#341;uhusu uhu&#341;u wa waandishi wa kufanya kazi zao.<\/p>\n<p>Sehemu ya mahojiano inafuata:<\/p>\n<p>Swali: Ni jukumu gani ambalo waandishi wanapaswa kulitekeleza ba&#341;ani Af&#341;ika <\/p>\n<p>Jibu: Waandishi wa haba&#341;i wanatakiwa kuanika &#341;ushwa, uhalifu na mambo yote mabaya kuhusu ba&#341;a hili, lakini pia tunatakiwa kuonyesha mambo mazu&#341;i ya ba&#341;a letu kwani hapa ndiyo nyumbani kwetu.<\/p>\n<p>Hatuwezi kuonyesha ubaya tu wa ba&#341;a letu kwa dunia. Tunatakiwa kubeba sifa yetu na kutoa haba&#341;i zetu wenyewe na wala siyo kutegemea kutolewa na watu wengine.<\/p>\n<p>Swali: Mataifa kadhaa ba&#341;ani Af&#341;ika hayana she&#341;ia za kukuza haki ya haba&#341;i. Katika ngazi ya ba&#341;a ungependa suala hilo kusukumwa ili kuwa na haki ya kupata haba&#341;i katika ba&#341;a <\/p>\n<p>Jibu: Tumesukuma suala hilo kwa kiasi. Tumeandaa she&#341;ia ya mfano kuhusu upatikanaji wa haba&#341;i Af&#341;ika. Tulianza mchakato wa kuandaa she&#341;ia hiyo katika mataifa matano ya Af&#341;ika na sasa tuna mataifa 10 ambayo yana she&#341;ia ya upatikanaji wa haba&#341;i.<\/p>\n<p>Mataifa zaidi sasa yana miswaada ya she&#341;ia ya upatikanaji wa haba&#341;i ambayo inasubi&#341;i kupelekwa bungeni. Tuna matumaini kuwa she&#341;ia hii ya mfano itasukuma mipango ya upatikanaji wa she&#341;ia kwasababu tunadhani hatupaswi tu kukosoa nchi, lakini kuwasaidia kufikia uhu&#341;u wa haba&#341;i. Bila ya kuwa na uhu&#341;u haba&#341;i, haki nyingine zote hazitafikiwa.<\/p>\n<p>Swali: Zimbabwe imewahi kuwa na sifa mbaya sana ya uhu&#341;u wa haba&#341;i ba&#341;ani Af&#341;ika siku za nyuma. Wakati sasa ikiandaa &#341;asimu ya katiba mpya, ushau&#341;i wako ni nini kwa nchi hiyo <\/p>\n<p>Jibu: Katiba mpya haitatua matatizo yote. Hata baada ya katiba mpya, bado tutaendelea kuwa na she&#341;ia ambazo zinakandamiza uhu&#341;u wa kujieleza kama vile She&#341;ia ya Upatikanaji wa Haba&#341;i na Kulinda Si&#341;i za Mtu Binafsi, She&#341;ia ya Utulivu wa Uma na Usalama, na she&#341;ia nyingine nyingi ambazo haziendani na she&#341;ia nyingine za kikanda na kimataifa ambazo Zimbabwe ime&#341;idhia.<\/p>\n<p>She&#341;ia hizo zinaendelea kubakia kuwa chanzo cha wasiwasi kwetu sisi lakini tuna matumaini kuwa kutokana na katiba mpya, she&#341;ia hizi zitafanyiwa ma&#341;ekebisho ili kuzingatia katiba.<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu katiba mpya itakapopitishwa, she&#341;ia hizi inabidi zi&#341;ekebishwe upya au kuandikwa upya. Kama siyo hivyo, zinaweza kupingwa mahakamani. Katiba mpya ni hatua katika mwelekeo mzu&#341;i, pamoja na kwamba she&#341;ia zinapaswa kuzingatia katiba.<\/p>\n<p>Swali: Je tunapata mafanikio yoyote katika suala zima la uhu&#341;u wa haba&#341;i katika ba&#341;a <\/p>\n<p>Jibu: Ndiyo tunapata mafanikio kwa kuhamasisha baadhi ya nchi kupitisha she&#341;ia za kukuza uhu&#341;u wa haba&#341;i. Kwa sasa tuna kampeni yenye lengo la kuondoa suala la kashfa katika makosa ya jinai.<\/p>\n<p>Awamu ya kwanza ya kampeni hii ni kubainisha ni wapi she&#341;ia hizi za kashfa zinapatikana kwasababu pale ambapo zipo zina faida kubwa kwa uhu&#341;u wa kujieleza. Tunaendesha kampeni ya maja&#341;ibio nchini Zambia na Botswana.<\/p>\n<p>Swali: Unashughulikaje na kuongezeka kwa hoja kwa baadhi ya nchi kuwa kusita kwao kupitisha she&#341;ia za uhu&#341;u wa kujieleza kunatokana na masuala ya usalama wa taifa <\/p>\n<p>Jibu: Hii inasababisha swala muhimu kuhusu haja ya kucho&#341;a msta&#341;i unaoonyesha mpaka kati ya haba&#341;i zilizopo na kupatikana katika hali ambayo haiwezi kuathi&#341;i usalama wa taifa. Ni suala kubwa na tunaja&#341;ibu kuweka miongozo ya upatikanaji wa haba&#341;i na usalama wa taifa. Ni suala linaloikabili dunia nzima, na kazi hiyo ni endelevu.<\/p>\n<p>Swali: Unaonaje kwa Rais wa Af&#341;ika Kusini Jacob Zuma kufuta kesi yake dhidi ya mwandishi na mcho&#341;aji wa katuni Jonathan Zapi&#341;o, ambaye alimfungulia mashitaka na kutaka kulipwa maelfu ya dola dhidi ya katuni ambayo ilimuonyesha akijiandaa kumbaka mwanamke huku akisaidiana na wafuasi wake se&#341;ikalini na chama chake cha siasa <\/p>\n<p>Jibu: Nina fu&#341;aha kubwa. Ni ushindi kwa uhu&#341;u wa kujieleza na uandishi wa haba&#341;i ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Novemba 26 (IPS) &ndash; Mwandishi Stanley Kwenda akizungumza na PANSY TLAKULA, Msimamizi Maalum wa Uhu&#341;u wa Haba&#341;i na Upatikanaji wa Haba&#341;i wa Umoja wa Af&#341;ika Pansy Tlakula, Msimamizi Maalum wa Uhu&#341;u wa Haba&#341;i na Upatikanaji wa Haba&#341;i wa Umoja wa Af&#341;ika, amefanya kazi ya kutosha ya kutafutia ufumbuzi kuendelea kwa udhalilishaji wa waandishi wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":516,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3961","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3961","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/516"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3961"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3961\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3961"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3961"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3961"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}