{"id":3959,"date":"2012-11-16T13:40:01","date_gmt":"2012-11-16T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/16\/wanamazingia-watoa-wito-kwa-waganda-kutokula-sokwe\/"},"modified":"2012-11-16T13:40:01","modified_gmt":"2012-11-16T13:40:01","slug":"wanamazingia-watoa-wito-kwa-waganda-kutokula-sokwe","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/16\/wanamazingia-watoa-wito-kwa-waganda-kutokula-sokwe\/","title":{"rendered":"Wanamazingi&#341;a Watoa Wito kwa Waganda Kutokula Sokwe"},"content":{"rendered":"<p>MKOA WA ALBERTINE RIFT, Uganda, Novemba 16 (IPS) &ndash; Wanamazingi&#341;a wanaofanya jitihada za kulinda idadi ya sokwe inayobakia nchini Uganda wameonyesha wasiwasi wao kwa watu wanaozunguka hifadhi za wanyama po&#341;i magha&#341;ibi mwa nchi hiyo kutokana na kuendelea kula sokwe.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa kuna suala gumu la ulaji wa nyama ya po&#341;ini. Hatujawahi kudhani kuwa Waganda walikuwa wakila nyama ya sokwe lakini tunaanza kuona kuwa nyani na sokwe wanaliwa. Hii inashangaza. Tishio kwa maisha ya wanyama hawa imeendelea kuongezeka,&#8221; kwa mujibu wa Lily Aja&#341;ova ambaye anaendesha Hifadhi ya Sokwe ya Ngamba, iliyopo katika kisiwa cha Ngamba katika Ziwa Victo&#341;ia katika mkoa wa Albe&#341;tine Rift.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hifadhi hiyo, ambayo inakaliwa na jumla ya sokwe 48 waliookolewa kutoka mikononi mwa watu, ilianzishwa kwa msaada wa Taasisi ya Jane Goodall na inasimamiwa na asasi ya Chimpanzee Sanctua&#341;y and Wildlife Conse&#341;vation T&#341;ust.<\/p>\n<p>Miongo iliyopita, mamia kwa maelfu ya sokwe walizu&#341;ua katika misitu minene ya kit&#341;opiki ambayo kwa wakati huo ilifunika sehemu kubwa ya a&#341;dhi ya mkoa wa Albe&#341;tine Rift nchini Uganda. Eneo hilo ni pamoja na upande wa magha&#341;ibi mwa Bonde la Ufa la Af&#341;ika Msha&#341;iki kutoka kaskazini magha&#341;ibi mwa Uganda hadi upande wa kusini magha&#341;ibi, mpakani mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC).<\/p>\n<p>Lakini kwa mujibu wa Mfuko wa Hifadhi ya Wanyamapo&#341;i Ulimwenguni, sokwe taya&#341;i wamshatoweka katika nchi nne za Kiaf&#341;ika, na wanaka&#341;ibia kutoweka kabisa katika nchi nyingine ningi kutokana na matumizi makubwa ya misitu kwa kukata miti na uwindaji wa sokwe hao kwa ajili ya nyama po&#341;i. Kwa sasa kuna wastani wa sokwe 5,000 nchin Uganda, wanasema maofisa wa hifadhi ya mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>Wengi wa sokwe wanaosalia nchini humo wanahifadhiwa katika hifadhi kubwa sita za wanyama na misitu katika mkoa wa Albe&#341;tine Rift, wakati wengine wamezingi&#341;wa katika misitu inayomilikiwa na watu binafsi.<\/p>\n<p>Aja&#341;ova aliiambia IPS kuwa pamoja na kwamba timu yake ya wanamazingi&#341;a iligundua hapo kabla kuwa watu wanakula nyama ya sokwe magha&#341;ibi mwa Uganda miaka miwili iliyopita, wale wanaoshi&#341;iki katika vitendo hivyo wengi wao walikuwa ni wahamiaji au wakimbizi kutoka nchi ji&#341;ani ya DRC. Ilikuwa ma&#341;a chache mno kwa wenyeji wa Af&#341;ika Masha&#341;iki kula nyama ya sokwe, alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna maeneo mengine mengi ya dunia ambapo nyama ya sokwe inaliwa lakini hii haijawahi kutokea nchini Uganda. Tulianza kushuhudia jambo hili wakati huo. Limekuwa likikua polepole na sisi wenyewe tumepata upepo wa jambo hilo tulipokuwa katika kazi za uwandani miaka miwili iliyiopita,&#8221; alisema, akiongeza kuwa kwa sasa &#8220;ni tatizo linaloibukia.&#8221;<\/p>\n<p>Kuwasili kwa hivi ka&#341;ibuni kwa wahamiaji kutoka DRC kubadili wakazi wa maeneo hayo na kuathi&#341;i utamaduni wa wazawa, alisema. Mwezi Julai Wazi&#341;i wa Misaada ya Dha&#341;ula, Kujiandaa na Majnga na Wakimbizi Musa Ecwe&#341;u alisema kuwa Uganda ilikuwa ikijitahidi kulisha idadi kubw aya wakimbizi wanaokimbia kutoka nchi ji&#341;ani ya DRC. Kuna wastani wa wakimbizi wa Kongo 16,000 magha&#341;ibi mwa Uganda.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna wakimbizi wengi mno wa Kikongo katika eneo hilo na inawezekana wamesdhawishi wakazi wenyeji kula nyani na sokwe,&#8221; Aja&#341;ova alisema. &#8220;Hii haikuwa sehemu ya utamaduni wa Waganda siku za zamani, lakini sasa linakuwa suala kubwa. Tumegundua kuwa tabia hiyo sasa ni kubwa katika ukanda mzima wa magha&#341;ibi. Hali imezidi ka&#341;ibu katika vijiji vyote tulivyotembelea.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a kw ama&#341;a tuliona wanakijiji wakiwa wamebeba nyani waliowaua, na ma&#341;a chache, wakiwa wamebaba sokwe,&#8221; Aja&#341;ova alisema.<\/p>\n<p>Maofisa pia wana imani kuwa watu wamenza kula sokwe kwasabau mkoa wa Albe&#341;tine Rift una umaskin mkubwa na wengi wa watu wake wanategemea zaidi &#341;asilimali za msituni kwa ajili ya kuishi, kwani hawawezi kumudu kununua nyama.<\/p>\n<p>&#8220;Watu ni maskini sana, ni maskini kutokana na kuwa mkoa huu una maendeleo duni kabisa. Ma&#341;a nyingi wanategemea &#341;asilimali za msituni, ikiwa ni pamoja na kula nyama ya po&#341;ini, na hili linaweza kuwalazimisha kuanza kula nyama ya sokwe,&#8221; Aja&#341;ova alisema.<\/p>\n<p>Wataalam sasa wana wasiwasi mweleko huo mpya unaweza kusababisha kulipuka kwa ugonjwa wa Ebola, ugonjwa wa kutokwa na damu nyingi na ambao unaua ma&#341;a moja, ambao unaaminika kuambukizwa kutoka wanyama kwenda kwa binadamu pale wanapogusana.<\/p>\n<p>&#8220;Hili ni tatizo kubwa sana. Nyama yoyote ile inayoliwa inapaswa kupitia kwa mkaguzi wa mifugo, hata kama inatoka po&#341;ini. Watu wanaokula sokwe wana hata&#341;i ya kuambukizwa magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu, ikiwa ni pamoja na Ebola,&#8221; alisema And&#341;ew Seguya, mku&#341;ugenzi mkuu wa Mamlaka ya Wanyamapo&#341;i Uganda.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna hata kabila moja la Uganda ambalo wana asili ya kula nyama ya sokwe, lakini kuna wakimbizi wengi wa Kongo katika eneo hilo na inawezekana Wakongo hao wameeneza tabia hiyo kwa wakazi wenyeji,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Ebola inaenezwa kupitia kugusana moja kwa moja na imaanika kuwa sokwe hawa ndiyo wanaobeba vi&#341;usi vya ugonjwa na kuambukiza wanadamu kwa njia nyingine nyingi, ikiwa ni pamoja na kugusa kkinyesi cha mnyama. Pia kuna kundi la wasomi ambalo lina imani kuwa UKIMWI umetokana na sokwe,&#8221; Seguya, ambaye ni mtaalama wa upusuaji wa wanyama, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wilaya ya magha&#341;ibi ya Kibaale, katika mkoa wa Albe&#341;tine Rift, ulikumbwa na gonjwa ambalo liliaminika kuwa ni la Ebola mwezi Julai. Maofisa wa afya bado hawajathibitisha kuwa ilikuwa ni ugonjwa wa Ebola. Lakini kwa mujibu wa taa&#341;ifa za vyombo vya haba&#341;i watu 17.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, Aja&#341;ova alisema jitihada zinafanyika kubadili mitizamo ya watu juu ya suala zima la kula nyama ya sokwe kupitia vipindi vya elimu maalum na kuanzisha mi&#341;adi ya ufugaji wa wanyama miongoni mwa wanakijiji.<\/p>\n<p>&#8220;Tunawaambia watu waache kula nyama ya sokwe, tunawapatia taa&#341;ifa kuwa ni hata&#341;i mno kwa afya zao kwani watapata magonmjwa kama vile ugonjwa wa Ebola. Huu ni ujumbe muhimu katika p&#341;og&#341;amu zetu za elimu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Pia tunatumia &#341;edio za masafa ya FM kufikisha ujumbe wetu kwa jamii. Redio hizi huwafikia watu wengi kwa wakati mmoja,&#8221; Aja&#341;ova alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MKOA WA ALBERTINE RIFT, Uganda, Novemba 16 (IPS) &ndash; Wanamazingi&#341;a wanaofanya jitihada za kulinda idadi ya sokwe inayobakia nchini Uganda wameonyesha wasiwasi wao kwa watu wanaozunguka hifadhi za wanyama po&#341;i magha&#341;ibi mwa nchi hiyo kutokana na kuendelea kula sokwe. &#8220;Kwa sasa kuna suala gumu la ulaji wa nyama ya po&#341;ini. Hatujawahi kudhani kuwa Waganda walikuwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":955,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3959","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3959","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/955"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3959"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3959\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3959"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3959"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3959"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}