{"id":3958,"date":"2012-11-12T13:40:01","date_gmt":"2012-11-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/wanawake-chachu-ya-usalama-wa-chakula\/"},"modified":"2012-11-12T13:40:01","modified_gmt":"2012-11-12T13:40:01","slug":"wanawake-chachu-ya-usalama-wa-chakula","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/wanawake-chachu-ya-usalama-wa-chakula\/","title":{"rendered":"Wanawake Chachu ya Usalama wa Chakula"},"content":{"rendered":"<p>DES MOINES, Iowa, Ma&#341;ekani, Novemba 12 (IPS) &ndash; Katika kupitishwa kwa se&#341;a ya kuwekeza kwa wanawake &ndash; ambao ndiyo wakulima wengi wa mazao ya chakula duniani &ndash; Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon alisema usalama wa chakula hauwezi kufikiwa bila ya wanawake, na kuwa nchi zenye uhaba wa chakula duniani zinatakiwa viongozi wao kuwa na vipaumbele. &#8220;Watoto wa kike na wanawake katika jamii wana nafasi kubwa ya kukabiliana na njaa,&#8221; Ban aliuambia mkutano wa viongozi wa dunia, watafiti, wakulima na watunga se&#341;a wakati wa uwasilishaji wa Tuzo ya Chakula Duniani mwaka 2012.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mkutano wa viongozi wa dunia katika jimbo la katikati mwa Ma&#341;ekani la Iowa ulijadili mikakati ya kukuza uzalishaji wa chakula duniani umesema changamoto kubwa ya usalama wa chakula ba&#341;ani Af&#341;ika itahitaji kukusanya vichwa bo&#341;a kabisa vya wanasayansi katika ba&#341;a, ikiwa ni pamoja na vichwa vya wanawake wa ba&#341;a hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Kukomesha njaa katika maisha yetu kunahitaji kuchanganya ubunifu wa wanasayansi na watafiti &#8230;kukomesha njaa pia kunatoa wito wa utawala bo&#341;a duniani &#8230;Kukomesha njaa duniani kunaweza kufanyika na ni jambo sahihi kulifanya,&#8221; Ban Ki&ndash;moon alisema katika she&#341;ehe za mwaka huu za Tuzo ya Chakula Duniani, tuzo ya kimataifa inayotolewa kutambua mchango wa watu mmoja mmoja ambao wamekuza maendeleo ya kibinadamu kwa kuleta ubo&#341;a, wingi au upatikanaji wa chakula duniani.<\/p>\n<p>Wito wa ushi&#341;ikiano wa kimataifa katika kuleta uongozi wa usalama wa chakula wakati ambapo ka&#341;ibu watu bilioni moja wanalala njaa kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Ban angekuwa anazungumzia kuhusu Wanawake wa Af&#341;ika katika Utafiti wa Kilimo na Maendeleo (AWARD).<\/p>\n<p>Wiki hii, AWARD, iliadhimisha kufanya kazi kuongeza idadi ya wanawake watafiti na wanasayansi katika kilimo, na kupata ka&#341;ibu dola milioni 20 katika ufadhili mpya wa pamoja kati ya Bill &#038; Melinda Gates Foundation na Shi&#341;ika la Misaada ya Kimataifa la Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>Msaada uliotangazwa katika Mjadala wa Bo&#341;laug, ulioandaliwa Okt. 17&ndash;19 huko Des Moines, Iowa, uta&#341;uhusu AWARD kuzindua awamu ya pili ya miaka mitano ya kuwapatia wanawake wanasayansi katika kilimo kwenye mataifa 11 Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, na kuongeza katika idadi ya mamia ya watafiti ambao wamekuwa wakisaidiwa tangu mwaka 2008.<\/p>\n<p>Ni mmoja tu kati ya watafiti wanne ba&#341;ani Af&#341;ika ni wanawake, kwa mujibu wa utafiti wa AWARD wa mwaka 2008. Lakini hali inazidi kuwa mbaya: ni mmoja tu katika kila saba wanashika nafasi za uongozi katika taasisi za utafiti wa kilimo ba&#341;ani Af&#341;ika. Mwanzilishi wa AWARD Vicki Wilde alisema hii imewaacha wanawake kushindwa kuhudumiwa katika kilimo na hivyo kuwa katika nafasi duni zaidi ya kupambana na njaa.<\/p>\n<p>&#8220;Inakuja kuwa siyo suala la kushangaza kwamba ni vigumu kufikia usalama wa chakula ba&#341;ani Af&#341;ika,&#8221; Wilde aliiambia IPS. &#8220;Sehemu ya sababu ya jambo hilo kuwa gumu sana ni kwamba wakati nguvukazi ya wanawake katika kilimo ni kubwa zaidi ba&#341;ani Af&#341;ika, chini ya mmoja katika kila watu wanne katika utafiti wa kilimo ni wanawake, na hii imetufanya kuachwa katika mzunguko wa kuongeza thamani ya kilimo.&#8221;<\/p>\n<p>Wilde alisema wanawake hawakuwa katika utoaji wa maamuzi katika vipaumbele vya chakula. Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kuwashi&#341;ikisha siyo jibu la kila tatizo, itahakikisha maendeleo mazu&#341;i na ya kasi, na wakulima wadogo wadogo &ndash; ambao wengi wao ni wanawake ba&#341;ani Af&#341;ika &ndash; watahudumiwa vizu&#341;i zaidi kwa njia ya kuongeza uzalishaji wa chakula na kuongeza vipato vyao.<\/p>\n<p>&#8220;Katika ba&#341;a la Af&#341;ika tunahitaji kizazi cha viongozi wapya ambao ni wabunifu, wanaoona mbali, wajasi&#341;iamali, wenye ujuzi mkubwa na wanaozingatia jinsia, na wanapaswa kujibu vipaumbele vya wakulima wadogo wadogo, ambao wengi wao ni wanawake,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>AWARD, ilipendwa na mashi&#341;ika mengi katika Mjadala wa Bo&#341;laug, kuwa ni mpango mzu&#341;i ambao mwaka huu umeshuhudia maombi 3,000 ya wanasayansi wanawake wa Af&#341;ika kuingia katika nafasi 320 za kuwa wanasayansi wa shi&#341;ika. Wilde alisema shi&#341;ika lake limetaka kupanua wigo wa vipaji vya watekeleaji wa se&#341;a za usalama wa chakula.<\/p>\n<p>AWARD ni mpango wa kuendeleza ujuzi kwa kuima&#341;isha ujuzi wa utafiti na uongozi kwa wanawake wa Af&#341;ika katika sayansi ya kilimo, kuwapatia uwezo wa kuchangia kiufanisi zaidi katika kutokomeza umaskini katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a.<\/p>\n<p>Unatoa ufadhili wa miaka miwili kupata mafunzo ya vitendo katika maeneo ya ushi&#341;ikishwaji, ujuzi wa sayansi na maendeleo ya uongozi. Wanawake wa Af&#341;ika wanaofanya kazi katika maendeleo ya utafiti wa kilimo kutoka Ethiopia, Ghana, Kenya, Libe&#341;ia, Malawi, Msumbiji, Nige&#341;ia, Rwanda, Tanzania, Uganda na Zambia, na ambao wamemaliza shahada za kwanza, za pili au hata sahada za udakta&#341;i katika fani zinazokubaliwa wanastahili ufadhili huo.<\/p>\n<p>Ma&#341;y Njenga, mtafiti katika AWARD kutoka Kenya, ni mwanamke mwenye maono yake ya kubadili se&#341;a na mitizamo ya majukumu ya wanawake katika usalama wa chakula.<\/p>\n<p>Njenga, mwanasayansi wa mazingi&#341;a ambaye anaunganisha kilimo na mazingi&#341;a na masuala ya nishati, amejikita katika kubo&#341;esha usimamiaji wa maliasili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Amefanya hivi kwa kuingiza teknolojia kama zile ambazo ni &#341;afiki kwa mazingi&#341;a, nishati &#341;ahisi inayotokana na vumbi mkaa, vumbi la mbao na vitu vingine vinavyotokana na mimea katika jamii maskini.<\/p>\n<p>&#8220;Naweza kufanya kazi na wanawake na kuja na teknolojia nzu&#341;i, lakini kama sina sauti ya watunga se&#341;a, teknolojia zangu zitabaki kwenye vitabu na hazitatumiwa,&#8221; Njenga aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa kupitia mafunzo na mafunzo kwa vitendo katika AWARD, nimejifunza kushawishi maendeleo ya kise&#341;a kwa ajili ya kuleta mabadiliko kutokana na kuwa na mbinu za kuandika kwa makundi tofauti na kutumia njia tofauti za kuchapisha masuala yangu katika vyombo tofauti vya haba&#341;i kufikia watu katika lugha wanayoweza kuelewa.&#8221;<\/p>\n<p>Njenga, mtafiti mwenye PhD katika Chuo Kikuu cha Nai&#341;obi anayefanya kazi kwa kushi&#341;ikiana na Wo&#341;ld Ag&#341;ofo&#341;est&#341;y Cent&#341;e (ICRAF), alikuwa anapenda kutengeneza nishati safi kubo&#341;esha kipato cha wanawake na kulinda afya zao na za watoto wao wakati huo huo wakilinda mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Nina wasiwasi kuwa tunaweza kufikia hali ambapo katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a tutaweza kuzalisha chakula lakini tukashindwa kupika kutokana na kukosekana kwa nishati; na hivyo ni lazima kuweka kipaumbele katika nishati ya taka za wanyama na majumbani kwa ajili ya kupikia kama sehemu muhimu ya usalama wa chakula na lishe,&#8221; Njenga alisema.<\/p>\n<p>Mtafiti mwingine wa AWARD, P&#341;ofesa Sheila Okoth wa Chuo Kikuu cha Nai&#341;obi, amechangia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza njaa kupitia utafiti wake juu ya ufumbuzi wa kukabiliana na sumu, zinazotokana na kuvu katika mashamba ya Kenya.<\/p>\n<p>&#8220;Nilibadilika sana kutokana na mafunzo na uelewa niliopata kutoka AWARD,&#8221; alisema Okoth. &#8220;Hata sasa nina nia ya kusaidia kutatua tatizo la sumu ambazo zinafanya wakulima maskini kuwa maskini zaidi.&#8221;<\/p>\n<p>Okoth alianzisha maaba&#341;a ya kwanza ya uzamili, kutokana na mafunzo yake ya sayansi ya juu ya miezi mitatu katika Chuo Kikuu cha Stellenbosch nchini Af&#341;ika Kusini, ambayo yalifadhiliwa na USAID kupitia AWARD<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DES MOINES, Iowa, Ma&#341;ekani, Novemba 12 (IPS) &ndash; Katika kupitishwa kwa se&#341;a ya kuwekeza kwa wanawake &ndash; ambao ndiyo wakulima wengi wa mazao ya chakula duniani &ndash; Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon alisema usalama wa chakula hauwezi kufikiwa bila ya wanawake, na kuwa nchi zenye uhaba wa chakula duniani zinatakiwa viongozi wao&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":540,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3958","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3958","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/540"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3958"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3958\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3958"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3958"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3958"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}