{"id":3957,"date":"2012-11-12T13:40:01","date_gmt":"2012-11-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/ili-kupunguza-umaskini-afika-muelimishe-mtoto-wa-kike-reduce\/"},"modified":"2012-11-12T13:40:01","modified_gmt":"2012-11-12T13:40:01","slug":"ili-kupunguza-umaskini-afika-muelimishe-mtoto-wa-kike-reduce","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/ili-kupunguza-umaskini-afika-muelimishe-mtoto-wa-kike-reduce\/","title":{"rendered":"Ili Kupunguza Umaskini Af&#341;ika &ndash; Muelimishe Mtoto wa Kike &ndash; Reduce"},"content":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Novemba 12 (IPS) &ndash; Wakati muongo uliopita idadi ya nyongeza ya watoto milioni 52 katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a waliandikishwa katika shule za msingi, huku idadi ya watoto wa kike ikiongezeka kutoka asilimia 54 hadi asilimia 74, idadi kubwa ya watoto hao wa kike &ndash; milioni 16 &ndash; bado wanaendelea kunyimwa elimu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hii ni kwa mujibu wa &#341;ipoti ya shi&#341;ika la Plan Inte&#341;national yenye jina la &#8220;P&#341;og&#341;ess and Obstacles to Gi&#341;ls&#8217; Education in Af&#341;ica&#8221; yaani Mafanikio na Vikwazo vya Elimu ya Watoto wa Kike Ba&#341;ani Af&#341;ika iliyotolewa mjini Addis Ababa, Ethiopia Okt. 11 &ndash; siku ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike.<\/p>\n<p>Ripoti inasema kuwa kujiandikisha shule katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a kunabakia kuwa katika idadi ya chini zaidi duniani, huku watoto wa kiume wakiwa na fu&#341;sa zaidi ya kuandikishwa ikilinganishwa na watoto wa kike.<\/p>\n<p>Inaonya kuwa kama hali haitabadilika ma&#341;a moja, Lengo la Maendeleo ya Milenia la kutoa elimu ya msingi kwa wote ifikapo mwaka 2015 halitafikiwa. (MDGs ni mlolongo wa malengo ya maendeleo juu ya maendeleo na kupambana na umaskini ambayo yalikubaliwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2000.)<\/p>\n<p>Luthe&#341; Anuku&#341;, naibu mku&#341;ugenzi wa kanda ya Af&#341;ika Masha&#341;iki na Kusini wa Plan Inte&#341;national, aliiambia IPS kuwa utamaduni ulikuwa moja ya sababu kuu za tatizo: &#8220;Tunapaswa kushi&#341;ikiana na wanajamii kujadili suala la watoto wa kike ambao hawaendi shule.&#8221;<\/p>\n<p>Sababu kadhaa zinazuia watoto wa kike wasiende shule, kama vile gha&#341;ama za elimu, unyanyasaji mashuleni, au familia kupendelea kupeleka shule watoto wa kiume badala ya watoto wa kike.<\/p>\n<p>Ripoti inasema kuwa wakati nchi nyingi katika ba&#341;a zina se&#341;a za kitaifa zinazohakikisha elimu ya msingi ya bu&#341;e, ukweli halisi ni kwamba watoto wa kike na wazazi wao ni tofauti sana.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati ada zinaweza kuwa zimesitishwa, shule nyingi zinaendelea kutoa aina nyingine za ada, kama vile kujisajili kufanya mitihani. Hii pia inaongeza katika gha&#341;ama za sa&#341;e za shule, vitabu, usafi&#341;i, madafta&#341;i na kalamu na gha&#341;ama nyingine za elimu ambazo hazionekani, na hivyo kufanya kumpeleka mtoto shule kuwa suala kubwa la kifedha kwa familia,&#8221; inasema &#341;ipoti hiyo.<\/p>\n<p>Ndoa za mapema na kupata mimba ni sababu nyingi muhimu ya msingi inayofanya watoto wa kike kuacha shule. Nchini Uganda, Guinea&ndash;Bissau na Libe&#341;ia, ka&#341;ibu asilimia 60 ya watoto wanaosoma shule waliacha masomo yao kutokana na kupata mimba, kwa mujibu wa &#341;ipoti. Na katika nchi kama Nige&#341;, Chad na Mali, watoto wawili kati ya watatu wanaolewa kabla ya miaka 18.<\/p>\n<p>Isabel* ni mtoto mwenye um&#341;i wa miaka 19 kutoka Msumbiji ambaye ameolewa ma&#341;a mbili, na hivi ka&#341;ibuni alilazimishwa na familia yake kuolewa ma&#341;a ya tatu tena na mwanaume mzee. Hana elimu na hivyo anategemea zaidi familia yake.<\/p>\n<p>&#8220;Walinionya kuwa kama nikishindwa kutekeleza maneno yao, wangenifukuza na watoto wangu wawili. Kwasababu sina aji&#341;a, nililazimika kukabiliana na changamoto hii,&#8221; aliiambia Plan Inte&#341;national.<\/p>\n<p>Latifa* mwenye um&#341;i wa miaka kumi na tano kutoka Ethiopia aliweza kuhimili vishindo vya familia yake wakati baba yake wa kambo alitaka aolewe kwa mwanaume mwenye um&#341;i wa miaka 40 ambaye ni aska&#341;i. Haikuwa &#341;ahisi kwa Latifa kukabiliana na changamoto ya familia yake kwani alibughudhiwa sana. Aliiambia Plan Inte&#341;national: &#8220;Hali ilipozidi kuwa mbaya kuweza kuihimili, nilikimbia kwenda kuishi na shangazi yangu kilomita 60 kutoka nyumbani kwetu.&#8221; Hata hivyo kupata ada ya shule limekuwa tatizo kubwa, lakini kutokana na kuwa na aji&#341;a ya muda mfupi katika saluni anaweza kulipia ada hiyo.<\/p>\n<p>Lakini watoto wengi wa kike kama Latifa ma&#341;a nyingi huishia katika mahusiano ya kingono kuweza kulipia ada zao za shule au kununua mahitaji ya msingi lakini ambayo hawana uwezo wa kuyanunua kama vile sabuni, chakula na nguo, kwa mujibu wa &#341;ipoti hiyo.<\/p>\n<p>Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike inalenga katika kusaidia watu kama Isabel na Latifa, lakini watoto wa kiume na wanaume pia wanapaswa kutekeleza sehemu yao, Anuku&#341; alisema. &#8220;Uamuzi kama mtoto wa kike aende shule au asiende unaamuliwa na wanaume. Hivyo tutalenga familia kupeleka watoto wao shule, ili wawe mifano ya kuigwa katika jamii.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati Af&#341;ika ni maskini, se&#341;ikali zinatumia sababu hii ma&#341;a nyingine kutokana na kushindwa kwao kubeba wajibu juu ya hali kama hii, Anuku&#341; alisema. Alisema kuwa ba&#341;a hili halina uhaba wa &#341;asilimali.<\/p>\n<p>&#8220;Suala la msingi ni jinsi gani &#341;asilimali hizi zinagawanywa vizu&#341;i na kutumiwa. Utawala ni suala kubwa ba&#341;ani Af&#341;ika; ni muhimu kuwa se&#341;ikali zinajitolea kuleta mabadiliko.&#8221;<\/p>\n<p>P&#341;ofesa Jean&ndash;Pie&#341;&#341;e Onvehoun Ezin, wa Tume ya Rasilimali Watu, Sayansi na Teknolojia ya Umoja wa Af&#341;ika (AU), aliiambia IPS kuwa shi&#341;ika lake lina nia ya kuhakikisha kuwa watoto wa kike ba&#341;ani Af&#341;ika wanakua katika mazingi&#341;a salama huku wakiwa na fu&#341;sa za kufikia mustakabali wao kamili.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kwamba wana um&#341;i mdogo na ni wanawake, watoto wa kike wanakandamizwa kuliko kundi jingine lolote lile, wananyonywa na kunyanyaswa.&#8221; Aliongeza kuwa ili kuhakikisha watoto wa kike wanafikia fu&#341;sa zao kamili &#8220;siyo suala la kuwa na dhami&#341;a tu moyoni, lakini ufumbuzi mkubwa zaidi tunaojua ni kuondokana na umaskinki.&#8221;<\/p>\n<p>Ezin aliiambia IPS kuwa wakati se&#341;a zilikuwa bo&#341;a katika ka&#341;atasi, kuzitekeleza kunazidi kubakia kuwa kikwazo katika ba&#341;a zima.<\/p>\n<p>&#8220;Kama shi&#341;ika au taasisi pekee, unaweza kuzungumza mambo mengi na kwa sauti kubwa, lakini huwezi kuleta mabadiliko mwenyewe.&#8221;<\/p>\n<p>Kamishina wa AU ana imani kuwa elimu ya msingi ni jukumu la nchi husika. &#8220;Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali na se&#341;ikali wanapaswa kufanya kazi pamoja kutekeleza se&#341;a za elimu,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Novemba 12 (IPS) &ndash; Wakati muongo uliopita idadi ya nyongeza ya watoto milioni 52 katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a waliandikishwa katika shule za msingi, huku idadi ya watoto wa kike ikiongezeka kutoka asilimia 54 hadi asilimia 74, idadi kubwa ya watoto hao wa kike &ndash; milioni 16 &ndash; bado wanaendelea kunyimwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":954,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3957","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3957","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/954"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3957"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3957\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3957"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3957"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3957"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}