{"id":3956,"date":"2012-11-12T13:40:01","date_gmt":"2012-11-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/umoja-wa-mataifa-waanzisha-kampeni-ya-kimataifa-ya-kukomesha-ndoa-za-utotoni\/"},"modified":"2012-11-12T13:40:01","modified_gmt":"2012-11-12T13:40:01","slug":"umoja-wa-mataifa-waanzisha-kampeni-ya-kimataifa-ya-kukomesha-ndoa-za-utotoni","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/umoja-wa-mataifa-waanzisha-kampeni-ya-kimataifa-ya-kukomesha-ndoa-za-utotoni\/","title":{"rendered":"Umoja wa Mataifa Waanzisha Kampeni ya Kimataifa ya Kukomesha Ndoa za Utotoni"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Novemba 12 (IPS) &ndash; Umoja wa Mataifa umezindua kampeni ya kimataifa ya kukomesha ndoa za utotoni, jambo ambalo bado linaendelea katika baadhi ya jamii duniani.<\/p>\n<p>&#8220;Mikataba ya kimataifa inasema kuwa ndoa za utotoni ni ukiukwaji wa haki za binadamu kwasababu zinanyima watoto wa kike haki za kuamua ni lini wanataka kuolewa na wataolewa na nani,&#8221; inasema &#341;ipoti mpya iliyotolewa Alhamisi na Shi&#341;ika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA).\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Uzinduzi huo pia ulikuwa sehemu ya siku ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa kike &ndash; Okt. 11 &ndash; kama ilivyoamuliwa na wajumbe 193 wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka jana ili &#8220;kutambua haki za wanawake na kuonyesha changamoto za kipekee zinazokabili watoto wa kike duniani&#8221;.<\/p>\n<p>Zaidi ya wanawake milioni 67, wenye um&#341;i kati ya miaka 20 hadi 24 mwaka 2010, waliolewa wakiwa watoto wa kike. Nusu yao walikuwa ba&#341;ani Asia, moja ya tano ba&#341;ani Af&#341;ika, ulisema utafiti huo. Na katika muongo ujao, watoto wa kike milioni 14.2 chini ya miaka 18 wataolewa kila mwaka.<\/p>\n<p>Kama hali ya sasa ikiendelea, idadi itaongezeka hadi kufikia wastani wa watoto wa kike milioni 15.1 kwa mwaka, kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2030, kwa mujibu wa utafiti uliopewa jina la &#8220;Kuolewa Utotoni: Kukomesha Ndoa za Utotoni&#8221;.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi Mkuu wa UNFPA Dkt. Babatunde Osotimehin, ambaye anakosoa kwa kiasi kikubwa ndoa za utotoni, anasema ana nia ya kusaidia kukomesha ndoa za utotoni duniani kote.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna sababu ya msingi ya kijamii, kitamaduni wala kidini ya kuwafanya watoto wa kike kuolewa wakiwa na um&#341;i mdogo na uha&#341;ibifu ambao unajitokeza kwa watoto hawa wa kike,&#8221; alisema. &#8220;Mtoto wa kike anapaswa kuwa na haki ya kuchagua anataka kuolewa na nani na wakati gani. Kutokana na wazazi wengi na wanajamii wanataka mafanikio makubwa kwa mabinti zao, ni lazima kufanya kazi pamoja kukomesha ndoa hizi&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Ni njia pekee ambayo tunaweza kukomesha jambo ambalo linaweza kuwa janga la kibinadamu la ndoa ya utotoni,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Dkt. Osotimehin pia alisema kuwa ndoa za utotoni ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na zinawanyima watoto wa kike fu&#341;sa za elimu, afya na mata&#341;ajio yao ya baadaye.<\/p>\n<p>&#8220;Ndoa za utotoni zinaweza kusababisha matatizo makubwa ya mimba na kuzaa mtoto &ndash; sababu kuu zinazosababisha vifo vya watoto wa kike kati ya miaka 15&ndash;19 katika nchi zinazoendelea,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Dkt. Osotimehin pia alielezea waziwazi wake juu ya mtoto wa kike anayesoma wa Pakistan mwenye um&#341;i wa miaka 14 ambaye alipigwa &#341;isasi kutokana na kufanya kampeni dhidi ya kutetea haki ya kupata elimu nchini mwake.<\/p>\n<p>Kampeni ya kukomesha ndoa za utotoni inaungwa mkono kutoka mashi&#341;ika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, ikiwa ni pamoja na UN Women, shi&#341;ika la kuhudumia watoto la UNICEF, na mashi&#341;ika ya haki za binadamu ya kimataifa kama vile Gi&#341;ls Not B&#341;ides na Human Rights Watch.<\/p>\n<p>Michelle Bachelet, mku&#341;ugenzi mkuu wa UN Women, aliiambia IPS kuwa UN Women inaka&#341;ibisha &#341;ipoti ya UNFPA juu ya ndoa za watoto.<\/p>\n<p>&#8220;Ripoti inapaswa kutoa wito kwa sote sisi kuwa tunahitaji hatua kuchukua hatua kali kukomesha ndoa za utotoni,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Alisema hakuna mtoto wa kike anayetakiwa kunyimwa haki yake ya kufaidi utoto wake, kupata elimu na afya, na kufikia mata&#341;ajio yake.<\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo leo hii zaidi ya watoto wa kike milioni 14 wananyimwa haki zao kila mwaka wanapoolewa wakiwa watoto. UN Women inatoa wito kwa se&#341;ikali zote na watu wote kukomesha ndoa za utotoni na kulinda haki za watoto wa kike,&#8221; alisema Bachelet.<\/p>\n<p>Anju Malhot&#341;a, wa Kitengo cha Jinsia katika UNICEF, alisema Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike inaonyesha haja ya kuweka mahitaji ya haki za mtoto wa kike katikati mwa ajenda ya maendeleo.<\/p>\n<p>&#8220;Umoja wa Mataifa na washi&#341;ika wake wanakusanyika pamoja kuonyesha mafanikio makubwa yaliyopatikana kuonyesha changamoto zilizopo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa zilizotolewa hivi ka&#341;ibuni, UNICEF ilisema kuwa India, moja ya nchi zenye ndoa nyingi za utotoni miongoni mwa watoto wa kike kabla hawajafikisha miaka 18, ndoa za utotoni zimepungua kitaifa na ka&#341;ibu katika majimbo yote kutoka asilimia 54 mwaka 1992&ndash;1993 hadi asilimia 43 mwaka 2007&ndash;2008, lakini kasi ya kupungua ni ndogo.<\/p>\n<p>Ikilinganishwa na nchi kama Bangladesh, Bu&#341;kina Faso, Djibouti, Ethiopia, India, Nige&#341;, Senegal na Somalia inaonyesha jinsi gani hatua za kishe&#341;ia pamoja na kuungwa mkono na wanajamii, kunatoa njia zinazowezekana &ndash; hasa kwenda shule &ndash; na kuwezesha jamii kujadili na kufikia hitimisho, uamuzi wa pamoja na kukomesha ndoa za utotoni kunaleta matokeo mazu&#341;i, ilisema UNICEF.<\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti yake, Human Rights Watch ilisema imeweka kumbukumbu ya ukiukwaji dhidi ya haki za wasichana na wavulana walioingia katika ndoa kwenye nchi za Afghanistan, Bangladesh, India, I&#341;aq, Kenya, Ky&#341;gyzstan, Nepal, Papua New Guinea, Sudan Kusini, na Yemen.<\/p>\n<p>Ushuhuda wa watoto waliohojiwa unaonyesha madha&#341;a makubwa ya ndoa za utotoni katika maumbile yao na kiakili, kielimu, na uwezo wa watoto wa kuishi bila ya haki zao kukiukwa.<\/p>\n<p>Madha&#341;a ya ndoa za utotoni hayaishii tu wakati mtoto anapoolewa na kufikia utu uzima, lakini ma&#341;a nyingi huwafuata katika maisha yao yote wakati wakikabiliwa na hali zao za kiafya kutokana na kupata mimba wakiwa watoto mno na ma&#341;a nyingi kukosa kwao elimu na kukosa uhu&#341;u wa kiuchumi, unyanyasaji wa majumbani, na ubakaji wa kwenye ndoa.<\/p>\n<p>Alipoulizwa ni haki au siyo haki kusema kuwa ndoa nyingi za utotoni zinajitokeza miongoni mwa nchi za Kiislam, Liesl Ge&#341;ntholtz, mku&#341;ugenzi wa kitengo cha haki za wanawake kwenye shi&#341;ika la Human Rights Watch, aliiambia IPS, &#8220;Siyo haki kusema hili, kwani ndoa za utotoni zinajitokeza katika jamii tofautitofauti, ikiwa ni pamoja na jamii za Kik&#341;isto.&#8221;<\/p>\n<p>Akitoa mifano michache, alisema, nchini Bu&#341;kino Faso, asilimia 48 ya watoto wa kike kwa sasa kati ya um&#341;i wa miaka 20 na 24 waliolewa kabla ya kufikisha um&#341;i wa miaka 18; nchini Came&#341;oon, takwimu zinaonyesha asilimia 36; katika Jamhu&#341;i ya Af&#341;ika ya Kati ni asilimia 61; na katika Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo asilimia ni 39.<\/p>\n<p>&#8220;Hizi ni takwimu za UNICEF, hivyo zinaaminika sana,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, UNFPA ilitangaza kuwa itawekeza dola za nyongeza kiasi cha milioni 20 katika kipindi cha miaka mitano ijayo kufikia &#8220;watoto wa kike wanaonyanyaswa zaidi katika nchi 12 zenye kiwango cha juu zaidi cha ndoa za utotoni&#8221;. Nchi hizo ni pamoja na Guatemala, India, Nige&#341; and Zambia.<\/p>\n<p>&#8220;Uwekezaji huu uta&#341;uhusu UNFPA kutekeleza mipango ya kimpangilio zaidi na iliyounganishwa pamoja kuongeza msaada kwa watoto wa kike walioolewa na wasioolewa wenye um&#341;i kati ya miaka 10&ndash;18 ambao wako hata&#341;ini kuacha shule, kuolewa wakiwa watoto na kupata mimba za utotoni,&#8221; alisema Dk. Osotimehin, mku&#341;ugenzi mkuu wa UNFPA.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Fo&#341;d Foundation lenye makao yake mjini New Yo&#341;k lilitoa ahadi ya dola milioni 25 kama msaada wake wa kusaidia kukomesha ndoa za utotoni duniani kote. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Novemba 12 (IPS) &ndash; Umoja wa Mataifa umezindua kampeni ya kimataifa ya kukomesha ndoa za utotoni, jambo ambalo bado linaendelea katika baadhi ya jamii duniani. &#8220;Mikataba ya kimataifa inasema kuwa ndoa za utotoni ni ukiukwaji wa haki za binadamu kwasababu zinanyima watoto wa kike haki za kuamua ni lini wanataka kuolewa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":382,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3956","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3956","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/382"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3956"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3956\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3956"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3956"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3956"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}