{"id":3955,"date":"2012-11-12T13:40:01","date_gmt":"2012-11-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/mfalme-nchini-swaziland-anakabiliwa-na-nguvu-ya-umma-mwaka-2012\/"},"modified":"2012-11-12T13:40:01","modified_gmt":"2012-11-12T13:40:01","slug":"mfalme-nchini-swaziland-anakabiliwa-na-nguvu-ya-umma-mwaka-2012","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/11\/12\/mfalme-nchini-swaziland-anakabiliwa-na-nguvu-ya-umma-mwaka-2012\/","title":{"rendered":"Mfalme Nchini Swaziland Anakabiliwa Na Nguvu ya Umma Mwaka 2012"},"content":{"rendered":"<p>MBABANE, Novemba 12 (IPS) &ndash; Mfalme wa Swaziland Mswati III anakabiliwa na shinikizo kubwa kufuatia mgogo&#341;o wa kikatiba ambao umesababisha ba&#341;aza lake la mawazi&#341;i kukataa kujiuzulu baada ya Bunge kupitisha ku&#341;a ya kutokuwa na imani na ba&#341;aza hilo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wachambuzi wa kisiasa wanahisi hili limeonyesha kukosekana kwa demok&#341;asia katika mfumo mzima wa se&#341;ikali ya Swaziland na kuwa imemweka Mswati katika hali ya hata&#341;i ambapo inabidi kuchagua kati ya matakwa ya watu na ya wale ambao aliwaweka mada&#341;akani.<\/p>\n<p>&#8220;Hatua ya wazi&#341;i mkuu kuweka wazi kuwa se&#341;ikali ina mada&#341;aka na kuwa nguvu ya kikatiba ya maneno au ya kimaandishi haina thamani,&#8221; mchambuzi wa kisiasa Dkt. Sikelela Dlamini aliiambia IPS, akimaanisha Wazi&#341;i Mkuu Ba&#341;nabas Sibusiso Dlamini (hawana uhusiano) kukataa kuondoka mada&#341;akani.<\/p>\n<p>Bunge la nchini humo, liliondosha mada&#341;akani ba&#341;aza la mawazi&#341;i, ambalo ndicho chombo cha juu cha se&#341;ikali, ambalo linahusu pia wazi&#341;i mkuu na mawazi&#341;i wengine, siku ya Oktoba 3 kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa (ICA) kulazimu Shi&#341;ika la Posta na Simu la Swaziland (SPTC) linalomilikiwa na se&#341;ikali kufunga huduma zake zote za simu za mokononi baada ya shi&#341;ika la simu za mikononi la MTN nchini Swaziland kulalamikia kukosekana kwa uwanja sawa wa kibiasha&#341;a. Tangu kufungiwa huko, SPTC imebaki na huduma yake ya simu za mezani tu.<\/p>\n<p>Mswati anamiliki asilimia 10 ya hisa katika shi&#341;ika la MTN wakati Wazi&#341;i Mkuu Dlamini ana hisa katika shi&#341;ika la Swaziland Empowe&#341;ment Limited, ambalo linamiliki asilimia 19 ya hisa katika MTN.<\/p>\n<p>Hata hivyo, baadhi ya wataalam wa she&#341;ia wamesema kuwa uamuzi wa ICA haukuwa unafunga kishe&#341;ia kwasababu siyo am&#341;i iliyotolewa na mahakama za nchini, pamoja na kuwa se&#341;ikali ilisisitiza kuwa inafungwa na uamuzi huo.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i Mkuu Dlamini alisema masaa machache tu baada ya ku&#341;a ya kukosa imani na ba&#341;aza la mawazi&#341;i kuwa asingeweza kujiuluzu.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali ya Kifalme inaamini kuwa hoja iliyopitishwa na Bunge siyo sahihi kwani inataka kushinikiza ba&#341;aza la mawazi&#341;i kukiuka am&#341;i za mahakama,&#8221; Dlamini alisema, akiwa na maana uamuzi wa ICA.<\/p>\n<p>Wakati mahakama inasema wazi kuwa ba&#341;aza la mawazi&#341;i linapaswa kujiuzulu siku tatu baada ya ku&#341;a ya kukosa imani nalo, msemaji wa se&#341;ikali Pe&#341;cy Simelane aliiambia IPS kuwa tawi la utekelezaji wa shughuli za se&#341;ikali bado linasubi&#341;i uamuzi wa Mfalme. Oktoba 9, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i kuwa wazi&#341;i mkuu asingejiuzulu.<\/p>\n<p>Swaziland ni nchi ya kifalme na Mswati anateua ba&#341;aza la mawazi&#341;i na maseneta 20 kati ya 30 katika bunge la kifalme, huku maseneta wengine wakiteuliwa na Ba&#341;a la Bunge.<\/p>\n<p>Na wakati vyama vya siasa havi&#341;uhusiwi kufanya kampeni tangu mwaka 1973, wananchi wanaweza kuchaguliwa kuwa wabunge wa Ba&#341;aza Kuu la Bunge chini ya Tinkhundla ambao ni mfumo wa majimbo. Ku&#341;a ya kukosa imani na ba&#341;aza la mawazi&#341;i imeonekana kama ku&#341;a ya watu.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa U&#341;atibu wa Ba&#341;aza la Mashi&#341;ika Yasiyokuwa ya Kise&#341;ikali Emmanuel Ndlangamandla alisema kuwa uamuzi wa Ba&#341;aza Kuu la Bunge unaonyesha matakwa ya watu na Mswati anata&#341;ajiwa kupitisha azimio hilo kama anazingatia utawala wa she&#341;ia na demo&#341;kasia.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuwezi kuwa na hali ambapo tuna mamlaka kwa upande mmoja na watu kwa upande mwingine. Katika hali kama hii, ni wazi kuwa watu hawaitaki se&#341;ikali,&#8221; alisema Ndlangamandla.<\/p>\n<p>Chanzo cha haba&#341;i cha kuaminika kiliiambia IPS kuwa mfalme mwenye um&#341;i wa miaka 44 anakataa kuonana na Spika wa Bunge kuzungumzia suala hilo na hayupo taya&#341;i kuchukua hatua yoyote juu ya ku&#341;a ya kukosa imani na ba&#341;aza la mawazi&#341;i kwasababu alikasi&#341;ishwa mno na azimio la Bunge.<\/p>\n<p>Katiba inampatia Mswati mamlaka ya kuvunja ba&#341;aza la mawazi&#341;i baada ya kupigiwa ku&#341;a ya kukosa imani. Spika wa Bunge, P&#341;ince Guduza, ambaye ni kaka wa kambo wa Mswati, alisema bado anatafuta jinsi ya kuzungumza na Mfalme juu ya suala hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Hadi sasa Mfalme hajasema jambo lolote,&#8221; alisema Simelane. &#8220;Hivyo mambo yanaendelea kama kawaida.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo, Chama cha Wanashe&#341;ia Swaziland kilisema katika taa&#341;ifa yake ya Oktoba 12 kuwa ku&#341;a ya kukosa imani itakuwa halali hadi mahakama zitakaposema vinginevyo. &#8220;Ni maoni yetu kuwa suala hili lilipaswa kupelekwa mahakamani kama suala la ha&#341;aka,&#8221; ilisema taa&#341;ifa.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, Bunge limeamua kugomea ba&#341;aza la mawazi&#341;i, jambo lenye maana kuwa mijadala na upitishaji wa miswada bungeni imesitizwa.<\/p>\n<p>Lakini she&#341;ia ipo upande mwingine wa watu, alisema mwanashe&#341;ia wa katiba Thulani Maseko, ambaye alisema kuwa hata Mswati hayupo juu ya katiba. Aliongeza kuwa hakushangazwa na tukio hilo hasa kutokana na kuwa mamlaka haifuati utawala wa she&#341;ia na haki za binadamu.<\/p>\n<p>&#8220;She&#341;ia imekuwa ikipuuzwa, ikikiukwa ma&#341;a nyingi,&#8221; Maseko aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Rais wa Shi&#341;ikisho la Jumuiya ya Wafanyabiasha&#341;a Swaziland Hen&#341;y Tum du Pont aliiambia IPS kuwa gha&#341;ama za huduma za mawasiliano nchini Swaziland zilikuwa za juu zaidi katika nchi za kidemok&#341;asia Kusini mwa Af&#341;ika kutokana na kuwa na mfumo hodhi wa simu za mkononi na kumkosoa zaidi wazi&#341;i mkuu kutokana na kulichukulia jambo hilo kwa maslahi binafsi.<\/p>\n<p>&#8220;Kashfa ya SPTC ni moja ya maamuzi mengi ya kulinda maslahi binafsi yanayotolewa na ba&#341;aza la mawazi&#341;i, ambalo kwa kiasi kikubwa linadhoofisha heshima ya biasha&#341;a nchini humo,&#8221; alisema Du Pont.<\/p>\n<p>Msuguano kati ya ba&#341;aza la mawazi&#341;i na Bunge unaima&#341;isha sauti ya maendeleo katika wito wao wa kutaka demok&#341;asia. Tangu mwaka 2008, vyama vya wafanyakazi vimetoa wito wa kuwepo kwa demok&#341;asia ya vyama vingi kupitia maandamano ya wafanyakazi ambayo yamekabiliwa na ukandamizaji mkubwa wa vyombo vya usalama.<\/p>\n<p>Maseko alisema kuwa msuguano huo kati ya pande mbili za se&#341;ikali unaonyesha kuwa &#8220;hatimaye kuku amefikishwa nyumbani kwa ajili ya kuchomwa moto.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MBABANE, Novemba 12 (IPS) &ndash; Mfalme wa Swaziland Mswati III anakabiliwa na shinikizo kubwa kufuatia mgogo&#341;o wa kikatiba ambao umesababisha ba&#341;aza lake la mawazi&#341;i kukataa kujiuzulu baada ya Bunge kupitisha ku&#341;a ya kutokuwa na imani na ba&#341;aza hilo. Wachambuzi wa kisiasa wanahisi hili limeonyesha kukosekana kwa demok&#341;asia katika mfumo mzima wa se&#341;ikali ya Swaziland na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":522,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3955","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3955","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/522"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3955"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3955\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3955"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3955"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3955"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}