{"id":3951,"date":"2012-10-30T13:40:01","date_gmt":"2012-10-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/30\/madi-wa-kijiji-wasaidia-wakulima-wa-vijijini-senegeal\/"},"modified":"2012-10-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-30T13:40:01","slug":"madi-wa-kijiji-wasaidia-wakulima-wa-vijijini-senegeal","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/30\/madi-wa-kijiji-wasaidia-wakulima-wa-vijijini-senegeal\/","title":{"rendered":"M&#341;adi wa Kijiji Wasaidia Wakulima wa Vijijini Senegeal"},"content":{"rendered":"<p>POTOU, Senegal, Oktoba 30 (IPS) &ndash; Ongezeko la mavuno kaskazini mwa Senegal katika jamii ya L&eacute;ona kunatoa ushahidi wa faida za msaada katika kilimo. Lakini wakati mavuno yao yakiongezeka, wakulima wanatoa wito wa kuwepo kwa se&#341;a za kulinda masoko ya mazao yao. Tangu mwaka 2008, kijiji cha Potou kimekuwa eneo la jitihada za kisekta za kupambana na umaskini, moja ya vijiji 12 vya &#8220;Milenia&#8221; kilichopo katika eneo linalokumbwa na njaa ya ma&#341;a kwa ma&#341;a katika nchi kumi ba&#341;ani Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kila eneo limechaguliwa kuwakilisha ukanda tofauti wa kilimo na kiikolojia katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, kuonyesha ni jinsi gani mchanganyiko wa maa&#341;ifa ya jadi na mifumo ya kisayansi inaweza kubo&#341;esha kufikia Lengo la Maendeleo ya Milenia la kupunguza umaskini uliokithi&#341;i na njaa kwa nusu &ndash; hata katika mazingi&#341;a magumu kabisa. (Malengo ya MDGs ni malengo kadhaa ya kupambana na umaskini yaliyokubaliwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2000.) <\/p>\n<p>M&#341;adi ulianzishwa na mwanauchumi Jeff&#341;ey Sachs, mku&#341;ugenzi wa Ea&#341;th Institute, na umepata kuungwa mkono kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mashi&#341;ika ya Umoja wa Mataifa, makampuni ya kimataifa ya kemikali na kilimo, watu mmoja mmoja na se&#341;ikali za ndani na za wafadhili wa kigeni.<\/p>\n<p>M&#341;adi wa Kijiji cha Milenia una malengo ya kupunguza umaskini uliokithi&#341;i kwa nusu, kuwapatia wakulima mbegu zenye mavuno makubwa, mbolea na vifaa vya umwagiliaji. Lakini m&#341;adi haujaangalia tu katika kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Watu katika jamii yetu sasa wanapata maji safi na nishati ya jua ambayo siyo tu kwamba inatoa mwanga katika nyumba zetu lakini pia inasadia katika umwagiliaji wa kati ya hekta 800 kati ya 1,000 zinazotumika kwa kilimo cha vitunguu katika kanda,&#8221; alisema Se&#341;igne Abdou Boye, makamu wa &#341;ais wa Chama cha Wakulima wa Bustani cha Senegal.<\/p>\n<p>M&#341;adi pia umeongeza vituo vinne vipya vya afya katika L&eacute;ona, ambapo kati ya hivyo wakazi 31,000 katika jamii wanaweza kupata huduma za afya za bu&#341;e. Mada&#341;asa mapya sitini yanaandaliwa kuejngwa pia, ili kuondokana na majengo ya muda mfupi ambayo wanafunzi wengi wa wilaya hiyo huyatumia kwa ajili ya masomo.<\/p>\n<p>Wakulima wa L&eacute;ona wanapanda kila aina ya mazao, ikiwa ni pamoja na nyanya, pilipili na ka&#341;oti, lakini El Hadj Mamadou B&#038;aci&#341;c;, &#341;ais wa jamii hii ya kijijini, alisema kuwa wakulima wa vitunguu wamekuwa wanafaidika zaidi na m&#341;adi wa Kijiji cha Milenia.<\/p>\n<p>&#8220;Mwaka jana, nilivuna chini ya tani 20 za vitunguu kutoka katika hekta moja. Mwaka huu, nimepata hekta mbili za umwagiliaji ambazo nimezipanda vitunguu, na hii inatokana na msaada wa m&#341;adi wa mbegu za vitunguu, nadhani nitaweza kupata tani 80,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mkulima mwingine wa vitunguu, Id&#341;issa Diallo, aliiambia IPS kuwa kwa kutumia mbegu bo&#341;a, umwagiliaji na mbolea za asili kutokana na kinyesi cha ng&#8217;ombe, zaidi ya tani 60,000 za vitunguu zilivunwa wakati wa msimu wa kupanda wa 2012&ndash;2011, kiwango cha juu zaidi kuliko tani 45,000 zilizozalishwa mwaka 2009&ndash;2010.<\/p>\n<p>&#8220;Kabla ya m&#341;adi, tulihitaji wafanyakazi wengi kumwagilia mashamba, lakini mazao yetu hayakuongezeka. Tulivuna chini ya tani 20 kwa hekta moja, lakini kutokana na m&#341;adi, ma&#341;a nyingine tumeweza kupata hadi tani 70 kwa hekta,&#8221; alisema Id&#341;issa Diallo, mkulima wa vitunguu wa Potou.<\/p>\n<p>Wakati wa zia&#341;a katikati mwa mwezi Julai, Bou&#341;i Sanhouidi, mwakilishi mkazi wa Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa mjini Daka&#341;, alisema mfumo mpya wa umwagiliaji unapatia jamii &#341;asilimali kupanda mbegu. Alitoa wito kwa mashi&#341;ika ya Umoja wa Mataifa kusaidia m&#341;adi huo.<\/p>\n<p>Wakati wa msimu wa kupanda wa kuanzia Ap&#341;ili hadi Novemba kila mwaka, wakazi wa Potou &ndash; kijiji chenye jumla ya wakazi 3,000 kati ya wakazi 31,000 wa L&eacute;ona, kwa mujibu wa sensa ya mwisho kufanyika &ndash; kuna ongezeko la wafanyakazi wa mashambani wanaohama kutoka nchi za ji&#341;ani.<\/p>\n<p>Ahmadou Kont&eacute;, kutoka Guinea, aliiambia IPS amekuja kufanya kazi hapa tangu mwaka 2008. Alisema ana&#341;ejea nyumbani kila mwisho mwa mwaka akiwa ameingiza dola zipatazo 360.<\/p>\n<p>B&#038;aci&#341;c; aliongeza kuwa vyama vya ushi&#341;ika vinavyofanya kazi katika L&eacute;ona vimejenga aji&#341;a kwa vijana 102 ambao wali&#341;ejeshwa kutoka Hispania kama wahamiaji ha&#341;amu mwaka 2005.<\/p>\n<p>Mafanikio ya wanajamii hao yamevutia watu wengine kutoka mahali pangine kuhamia katika eneo hilo, lakini bado kuna changamoto za kushughulikiwa.<\/p>\n<p>Wakulima wanalalamika kuwa wametengwa na ba&#341;aba&#341;a duni za ukanda huo. Pia wanasema kuwa mbolea na mbegu zilitolewa kwa kuchelewa mno na kwamba gha&#341;ama za pembejeo hizo ni kubwa mno.<\/p>\n<p>&#8220;Ndiyo, tumekuwa tukipewa mbegu na mbolea kutoka katika m&#341;adi, lakini bei ya pembejeo hizi ni ya juu mno. Tungependa kupata msaada wa nyongeza kutoka se&#341;ikalini. G&#341;amu mia tano za mbegu zinagha&#341;imu fa&#341;anga za CFA 21,000 (sawa na dola 42), na mfuko mmoja wa mbolea wa kilo 50 unagha&#341;imu fa&#341;anga 12,000 (dola 24). Bei hiyo ni ya juu mno,&#8221; Yo&#341;o Ba aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Pia kuna kutoku&#341;idhika na bei za vitunguu, Fatoumata Dia Sy, mku&#341;ugenzi wa kanda wa Huduma ya Taifa ya Ushau&#341;i Vijijini huko Louga, kaskazini mwa nchi, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Bei ya vitunguu imewekwa katika makubaliano kati ya se&#341;ikali na wakulima,&#8221; alisema. Wakulima wanapata sawa na senti 24 za dola za Kima&#341;ekani kwa kila kilo kutoka kwa wafanyabiasha&#341;a ambao wanapewa mamlaka ya kuuza vitunguu kwa senti 33 kwa kilo kwa wachuuzi ambao wataweza kuviuza kwa walaji kwa senti 50 kwa kila kilo.<\/p>\n<p>Mkulima Moussa Sow pia alipendekeza kuondolewa kwa ushu&#341;u wa kuingiza vitunguu nchini ambako se&#341;ikali ilianzisha mwezi Feb&#341;ua&#341;i hadi mwishoni mwa Agosti. &#8220;Ku&#341;uhusu tena kuingizwa kwa vitunguu ni changamoto. Kunahata&#341;isha kuua uzalishaji wetu katika eneo hili,&#8221; alisema, akihofia kushuka kwa mauzo ya vitunguu vya ndani kama soko litajaa vitunguu kutoka nje.<\/p>\n<p>&#8220;Tumechukua mikopo yetu ya benki, na sasa hatuwezi tena kuuza mazao yetu kutokana na kukosa soko,&#8221; Sow alisema.<\/p>\n<p>Rais wa L&eacute;ona Mamadou B&#038;aci&#341;c; alitoa wito wa kupigwa ma&#341;ufuku uingizwaji wa vitunguu kwa kipindi cha miaka mitatu.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i mkuu wa Senegal, Abdoul Mbaye, litembelea m&#341;adi huo Julai, na kuupongeza kama &#8220;mfano mzu&#341;i wa maendeleo.&#8221; Alisisitiza haja ya se&#341;ikali kufanya kazi ili kuufanya m&#341;adi huo kuwa endelevu na kuutekeleza katika maeneo mengine ya vijijini. Kuangaliwa kwa madai ya wakulima juu ya suala la soko ingekuwa eneo zu&#341;i kuanzia.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>POTOU, Senegal, Oktoba 30 (IPS) &ndash; Ongezeko la mavuno kaskazini mwa Senegal katika jamii ya L&eacute;ona kunatoa ushahidi wa faida za msaada katika kilimo. Lakini wakati mavuno yao yakiongezeka, wakulima wanatoa wito wa kuwepo kwa se&#341;a za kulinda masoko ya mazao yao. Tangu mwaka 2008, kijiji cha Potou kimekuwa eneo la jitihada za kisekta za&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":504,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3951","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3951","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/504"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3951"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3951\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3951"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3951"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3951"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}