{"id":3949,"date":"2012-10-30T13:40:01","date_gmt":"2012-10-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/30\/maswali-na-majibu-kukabiliana-na-majanga-kunaanzia-na-wanawake-katika-ngazi-ya-chini-ya-jamii\/"},"modified":"2012-10-30T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-30T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-kukabiliana-na-majanga-kunaanzia-na-wanawake-katika-ngazi-ya-chini-ya-jamii","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/30\/maswali-na-majibu-kukabiliana-na-majanga-kunaanzia-na-wanawake-katika-ngazi-ya-chini-ya-jamii\/","title":{"rendered":"Maswali na Majibu: Kukabiliana na Majanga Kunaanzia na Wanawake katika Ngazi ya Chini ya Jamii"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 30 (IPS) &ndash; Julia Kallas anamhoji JOSEPHINE CASTILLO, HAYDEE RODR&Iacute;GUEZ na VIOLET SHIVUTSE<\/p>\n<p>Wanawake na wasichana wanaweza kuwa wakala wa mabadiliko wenye nguvu, lakini wanaathi&#341;iwa zaidi na majanga kutokana na majukumu yao katika jamii, kubaguliwa na umaskini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Majanga mwaka huu ilikuwa na kaulimbiu &#8221;Wanawake na Wasichana &ndash; Nguvu ya Kukabiliana na Majanga Isiyoonekana&#8221;.<\/p>\n<p>Mwandishi wa IPS Julia Kallas alikaa chini na wanawake watatu &ndash; Josephine Castillo, kiongozi wa jamii katika ngazi ya chini na mwandalizi wa DAMPA mjini Manila, Ufilipino; Haydee Rod&#341;&iacute;guez, &#341;ais wa Umoja wa Vyama vya Ushi&#341;ika vya Wanawake, Las B&#341;umas, huko Jinotega, Nica&#341;agua; na Violet Shivutse, kiongozi na mwanzilishi wa Jamii ya Wafanyakazi wa Afya ya Shibuye nchini Kenya &ndash; kuzungumzia kuhusu umuhimu wa watoto wa kike na wanawake kama watekelezaji na viongozi wa kukabiliana na majanga.<\/p>\n<p>Swali: Nyote mnatokea katika mazingi&#341;a tofauti. Mnaweza kuniambia kuhusu changamoto kubwa zinazowakabili katika kujenga njia za kukabiliana na majanga katika jamii mnamoishi <\/p>\n<p>JOSEPHINE CASTILLO: Mimi ni mmoja wa waku&#341;ugenzi wa bodi wa chama cha jumuiya. Ni chama cha wamiliki wa majengo, tuna wanachama 421 na kila mmoja anamiliki a&#341;dhi tangu mwaka 1995. Hii inatokana na mpango wenye mafanikio ambao chama chetu kimeufanya kwa kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali, ambayo ilipatia wanawake mikopo ya nyumba kununua majengo.<\/p>\n<p>Tuna p&#341;og&#341;amu ambazo zinaleta wanajumuiya yetu pamoja kama kukitokea majanga. Tunafundisha timu ya kukabiliana na majanga punde yanapotokea kwa kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali yetu ya mitaa na mipango yetu ya kukabiliana na majanga inashi&#341;ikiana pia na Tume ya Huai&#341;ou na shi&#341;ika la GROOTS Inte&#341;national.<\/p>\n<p>Watu walioathi&#341;ika na mafu&#341;iko mwezi Agosti mjini Manila waliletwa katika maeneo yetu ya kuwahifadhi, ambayo yaliokoa wanafamilia walioathi&#341;ika na mafu&#341;iko na tetemeko la a&#341;dhi. Majanga ya asili yanajitokeza ma&#341;a kwa ma&#341;a kutokana na mabadiliko ya tabia nchi na hivyo kuhitaji njia za kukabiliana na mabadiliko haya, kuwa na mbinu za kuzuia majanga na mbinu za kuhimili majanga.<\/p>\n<p>HAYDEE RODRIGUEZ: Mimi ni &#341;ais wa Umoja wa Vyama vya Ushi&#341;ika vya Wanawake, &#8220;Las B&#341;umas&#8221; huko Jinotega, Nica&#341;agua, na tunajenga vyama vya ushi&#341;ika vya wanawake katika ngazi ya chini 20 vyenye jumla ya wanawake 1,200 na wengine 960 ambao siyo wanachama wa moja kwa moja.<\/p>\n<p>Tunakabiliwa na matatizo mengi katika jamii yetu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya tabia nchi na umiliki wa a&#341;dhi. Hivyo kupitia kazi yetu ya kukabiliana na majanga tumejenga mpango wa kulima chakula na mazao ya dawa katika nyumba zetu katika jamii ikiwa ni pamoja na mpango wa kujenga mjadala bo&#341;a kati ya jamii na se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Pia tumefanikiwa katika kuingiza wanawake wa ngazi ya chini kushi&#341;iki katika vyama. Uchaguzi ujao, ambao utafanyika Novemba 4, utashi&#341;ikisha wanawake 14 kutoka ndani ya vyama.<\/p>\n<p>VIOLET SHIVUTSE: Nilipokuwa nafanya kazi katika ofisi ambayo ilisajili wakulima, nilikutana na wanawake wengi mno wenye mimba ambao walipata shida ya kujifungua. Wengi wao walifa&#341;iki wakati wa kujifungua, wengine walikuwa na matatizo ya kujifungua wakati watoto wao walipofa&#341;iki au wanawake walikuwa wagonjwa kwa muda m&#341;efu baada ya kujifungua.<\/p>\n<p>Tatizo kubwa ni kuwasaidia na kuhakikisha kuwa wanawake hawa waliweza kufika hospitalini, kwasababu ya umbali na gha&#341;ama kubwa za huduma. Halafu nikaanza kufiki&#341;i kuhusu jinsi gani ya kusaidia wanawake hawa ambao ni muhimu mno katika jamii. Hivyo ndivyo nilipoanza kushi&#341;iki katika kazi za jamii na masuala ya afya za wanawake.<\/p>\n<p>Fedha za kupambana na VVU\/UKIMWI, usalama wa chakula, vipindi vya ukame na mafu&#341;iko ni matatizo makubwa katika jamii yangu. Maji, vyoo na usafi pia ni matatizo kwa watoto wa shule. Wakati nilikubaliana kuwa matatizo haya yalikuwa yakiongezeka, nilichukua wanawake katika ngazi ya chini ya jamii kufanya kazi nao kuanzisha jamii yetu. Tulianza shi&#341;ika linalojikita katika jamii lijulikanalo kama Wafanyakazi wa Afya wa Jumuiya ya Shibuye, ambalo kwa sasa lina wanawake kutoka ngazi ya chini ya jamii 2,036 nchini Kenya ambao wanafanyia kazi masuala haya.<\/p>\n<p>Swali:Ni kwa nini ni muhimu kuelekeza nguvu kwa wanawake na watoto wa kike katika muktadha mzima wa kupunguza majanga  JC: Kwasababu wanawake na watoto wa kike ndiyo waathi&#341;ika wakuu wa majanga yanapotokea. Wanahitaji kujiandaa na kupatiwa mafunzo. Hatutaki kusema kuwa sisi ni dhaifu, lakini ni kweli kuwa ni dhaifu. Tunapozungumzia kukabiliana na majanga hatuzungunzii tu kuhusu majanga ya asili. Kukosekana kwa elimu pia kuna maana janga. Wanawake na watoto wa kike hawawezi kupata aji&#341;a bila ya kuwa na elimu. Hii ndiyo sababu wanawake wanashi&#341;iki katika mikutano ya kimataifa, kuonyesha haja ya kupambana na haki zetu.<\/p>\n<p>HR: Wanawake kufanya kazi ya kupambana na majanga ni muhimu kwasababu tunataka kufanyia kazi maisha yetu na maisha ya jamii zetu. Wanawake wanahitaji kufanya kazi ya kukabiliana na majanga kwasababu kama hatutatunza maji, kwa mfano, hakutakuwa na kilimo na kama hakuna uzalishaji, kutakuwa na njaa.<\/p>\n<p>VS: Tuna imani kuwa kazi ya kukabiliana na majanga inaanza na mwanamke. Wao ndiyo wanaotunza jamii za vijijini kwasababu wanaume wanahamia mijini kutafuta aji&#341;a. Hivyo madha&#341;a ya majanga kwa wanawake na watoto wa kike ni kubwa. Tunahamasisha wanawake kufanya kazi katika makundi ili waweze kuelewa jinsi gani ya kujenga uwezo wa kukabiliana na majanga. Kukabiliana na majanga kuna maana kuwa na chakula katika majumba yao, kujenga hifadhi za vyakula, kubainisha &#341;asilimali za asili na kuzilinda. Pia tuna imani kuwa ni muhimu kuwafundisha watoto wetu wa kila kazi za kukabiliana na majanga ili wakijakuwa watu wazima na mama watoto waweze kusaidia jamii zao.<\/p>\n<p>Swali: Njia ya kujenga mi&#341;adi yenye ufanisi ya kukabiliana na majanga inayoendeshwa na wanawake ikoje  JC: Ni muhimu kuwa na ushi&#341;ikiano na se&#341;ikali za mitaa, taasisi na mashi&#341;ika duniani kote. Pia kuangalia mijadala ni muhimu sana. Mashi&#341;ika yanatakiwa kuelekeza nguvu katika zaidi ya masuala zaidi ya moja, kwasababu ya kuelekeza nguvu katika suala moja na suala hilo likishatatuliwa huna suala jingine la kufanyia kazi. P&#341;og&#341;amu zetu zilitokana na watu, siyo kutoka kwa wafadhili.<\/p>\n<p>HR:Nina imani tunahitaji kuhamasisha wanawake kushi&#341;iki katika kutoa maamuzi na kushika nafasi za uongozi. Mashi&#341;ika yanatakiwa kusaidia na kuhamasisha wanawake kuwa wabunifu kwa kuwapatia &#341;asilimali .Pia wanawake katika ngazi za chini wanapaswa kufanya kazi zao na mi&#341;adi na wanajamii ili kusaidia kufanya kazi za kukabiliana na majanga.<\/p>\n<p>VS: Kwanza tunahitaji kuelimisha wanawake na watoto wa kile &#8230; kwasababu kama hawana elimu hawawezi kushi&#341;iki katika kazi za jamii. Pili ni kuwafanya wanawake kuwa na nguvu kiuchumi na kisiasa. Kuwapatia thamani zaidi na ubo&#341;a katika kazi za mazingi&#341;a <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 30 (IPS) &ndash; Julia Kallas anamhoji JOSEPHINE CASTILLO, HAYDEE RODR&Iacute;GUEZ na VIOLET SHIVUTSE Wanawake na wasichana wanaweza kuwa wakala wa mabadiliko wenye nguvu, lakini wanaathi&#341;iwa zaidi na majanga kutokana na majukumu yao katika jamii, kubaguliwa na umaskini. Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Majanga mwaka huu ilikuwa na kaulimbiu &#8221;Wanawake na Wasichana&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":953,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3949","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3949","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/953"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3949"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3949\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3949"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3949"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3949"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}