{"id":3948,"date":"2012-10-29T13:40:01","date_gmt":"2012-10-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/29\/sheia-yashindwa-kulinda-watoto-wa-malawi-2\/"},"modified":"2012-10-29T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-29T13:40:01","slug":"sheia-yashindwa-kulinda-watoto-wa-malawi-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/29\/sheia-yashindwa-kulinda-watoto-wa-malawi-2\/","title":{"rendered":"She&#341;ia Yashindwa Kulinda Watoto wa Malawi"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Oktoba 29 (IPS) &ndash; Pat&#341;ick Ma&#341;tin, 14, na kaka yake Mayeso, 15, kwa sasa wako salama wakiwa nyumbani na ndugu zao katika kijiji cha Kasonya, Wilaya ya Phalombe kusini mwa Malawi, baada ya wao na watoto wengine 12 kuokolewa na kutokana na kutaka kusafi&#341;ishwa na baba yao katika biasha&#341;a ya usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa binadamu kwenda nchi ji&#341;ani ya Msumbiji mwezi uliopita.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kila msimu wa kilimo, watu kutoka Wilaya ya Phalombe wanapelekwa katika taifa hilo la kusini mwa Af&#341;ika la Msumbiji ili kuingizia familia zao pesa za kutosha kununulia baiskeli &ndash; ambayo inaonekana kuwa chombo cha anasa katika nchi ambayo asilimia 65 ya wakazi wake milioni 16 wanaishi chini ya msta&#341;i wa umaskini.<\/p>\n<p>Haba&#341;i ya watoto hawa ni moja ya matukio mengi ya kawaida nchini Malawi wakati huu, wakati takwimu za se&#341;ikali zikionyesha kuwa kwa uchache watoto milioni 1.4 wanashi&#341;iki katika aji&#341;a mbaya za watoto na asilimia 20 kati yao wanasafi&#341;ishwa ndani ya nchi na kimataifa kwa ajili ya sekta ya ngono na kazi nyingine ha&#341;amu.<\/p>\n<p>Lakini usalama wa baadaye wa wavulana hawa unabakia kutokueleweka, na wanaweza kulazimika kutumbukia tena katika aji&#341;a ya watoto, kwani she&#341;ia zilizopitwa na wakati nchini humo zina maana kuwa baba yao hatapata adhabu yoyote ile. Nchi hiyo haina she&#341;ia ya usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa watoto, na pamoja na kuwepo kwa kifungu kinachopinga usafi&#341;ishaji wa watoto Kifungu cha 79 cha She&#341;ia ya Kulinda Haki za Watoto, hakitekelezwi kiusahihi.<\/p>\n<p>Baba yao, James Ma&#341;tin, 31, ataachiwa hu&#341;u kutoka ge&#341;eza la Mulanje baada ya kutumikia kifungo cha miezi 18. Yeye, pamoja na James Banda, 23; Daniel Thumpwa, 21; na Dickson Kambewa, 37, wamekutwa na hatia ya kutumikisha watoto wenye chini ya um&#341;i wa miaka 18 katika aji&#341;a.<\/p>\n<p>Wameshitakiwa chini ya She&#341;ia ya Aji&#341;a, na wala siyo katika suala zima la usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa watoto kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha She&#341;ia ya Kulinda Haki za Watoto.<\/p>\n<p>She&#341;ia hii, ambayo ilianza kutumika Disemba 2011, inasema kuwa msafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa watoto anapaswa kuhukumiwa kifungo cha juu jela cha maisha yake yote anapokutwa na hatia ya kusa&#341;i&#341;isha watoto wenye um&#341;i wa chini ya miaka 16.<\/p>\n<p>Maxwell Matewe&#341;e, mku&#341;ugenzi mkuu wa shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la &#8220;Eye of the Child&#8221;, ambalo linajishughulisha zaidi kupanmbana na usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa watoto, aliiambia IPS kuwa she&#341;ia za nchi zinafanya kuwa vigumu kwa mashi&#341;ika yasiyokuwa ya ksie&#341;ikali na polisi kufanya kazi kikamilifu katika kupambana na vitendo hivyo.<\/p>\n<p>&#8220;Tatizo sasa ni kwamba mahakimu hawatumii She&#341;ia ya Kulinda Haki za Watoto kutoa hukumu hasa kutokana na kwamba siyo lazima na pia inategemeana na sababu kadhaa kama vile ngazi gani ya kusafi&#341;ishwa ambayo mtoto aliokolewa na pia um&#341;i wake.<\/p>\n<p>&#8220;Pia nchini Malawi hatuna she&#341;ia ya usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa binadamu hivyo wakati wahalifu wanapokamatwa na polisi na kufunguliwa mashitaka kwa she&#341;ia ya usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa binadamu mashitaka yanabadilishwa na mahakama kutokana na kuwa hakuna she&#341;ia,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Mwanaume wa Zambia ambaye alikamatwa kwa kusafi&#341;isha watoto kwa njia ha&#341;amu kutoka Dedza (katika Mkoa wa Kati mwa Malawi) kufanya kazi katika mashamba ya mahindi nchini Zambia, aliachiliwa hu&#341;u baada ya kulipa faini,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Matewe&#341;e aliongeza kuwa she&#341;ia ya sasa ya Kulinda Haki za Watoto ina mapungufu kadhaa.<\/p>\n<p>&#8220;She&#341;ia inatoa tu fasili ya usa&#341;ishaji ha&#341;amu wa mtoto kama kosa linaloweza kuadhibiwa kwa hukumu ya kifungo cha maisha jela; hata hivyo, haitoi maelekezo yoyote yale ni jinsi gani waathi&#341;ika watabainishwa na kupatiwa matunzo. Pia iko kimya katika masuala muhimu kama fasili ya aji&#341;a, na nini kinaweza kutokea kwa NGO (kwa mfano ya kulea watoto yatima ambayo inatafutia watoto walezi wa kudumu kinyume cha she&#341;ia) au kampuni ya basi ambayo inashi&#341;iki katika kusafi&#341;isha watoto,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Matewe&#341;e alisema ni wakati tu se&#341;ikali itakapokuwa na dhami&#341;a ya kisiasa kushughulikia suala hilo ndipo sababu za msingi za tatizo, ambalo analielezea kama umaskini, ukosefu wa aji&#341;a, ukosefu wa elimu na ukosefu wa utambulisho wa kitaifa, watoto wengi zaidi wataendelea kusafi&#341;ishwa kwa njia ha&#341;amu.<\/p>\n<p>Naibu msemaji wa polisi wa taifa Kelvin Maigwa aliiambia IPS kuwa kati ya Janua&#341;i na Agosti mwaka huu, kesi 43 za usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa watoto zili&#341;ipotiwa, ambapo kati ya hizo idadi ilikuwa sawa kati ya watoto wa kike na wa kiume.<\/p>\n<p>&#8220;Sababu ni kwa nini watoto hawa wanasafi&#341;ishwa kutoka majumbani mwao ni kutokana na mabwana zao kutaka wafanyakazi wa uji&#341;a mdogo ili watoto wakafanye kazi katika mashamba ya chai na tumbaku na kuwalipa uji&#341;a mdogo kutokana na kwamba hawawezi kulalamika. Watoto wa kike kwa kiasi kikubwa wanaingizwa katika aji&#341;a za ukahaba katika mabaa na nyumba za kulala wageni ambapo wanavutia wateja wao na ma&#341;a nyingine kuuza bia, wanaaji&#341;iwa pia katika kazi za majumbani katika miji midogo na mikubwa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>He&#341;be&#341;t Bimphi, mwenyekiti wa kamati ya bunge ya masuala ya jamii na mbunge wa chama cha Democ&#341;atic P&#341;og&#341;essive Pa&#341;ty katika jimbo la Ntchisi Kaskazini, aliiambia IPS kuwa kutokana na kukosekana kwa she&#341;ia ya usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa watoto mahakama zitaendelea kutoa hukumu ambazo haziendani na kile ambacho kinajitokeza.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini taa&#341;ifa nilizonazo ni kuwa Tume ya She&#341;ia imeandaa &#341;asimu ya Muswada wa Usafi&#341;ishaji wa Binadamu na kwamba kwa sasa upo kwa Wazi&#341;i wa She&#341;ia na Mambo ya Ndani. Wazi&#341;i mwenye dhamana ataufikisha Bungeni ili uweze kuangaliwa halafu utakwenda kwa wataalam wengine kuupitia tena kujua kama umeandikwa vizu&#341;i, halafu tutaujadili na kuupitisha,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Jinsia na Masuala ya Watoto Anita Kalinde aliiambia IPS kuwa Muswada wa Usafi&#341;idshaji Ha&#341;amu wa Binadamu unahitimishwa kuandaliwa, lakini kwamba kuna she&#341;ia nyingine zinazolinda haki za watoto, ambazo zina vifungu vya kutosha.<\/p>\n<p>&#8220;Kinachotakiwa kufanyika ni kuzitangaza she&#341;ia hizo kupitia elimu ya umma; na kutafsi&#341;i She&#341;ia katika lugha za kienyeji ili watu waweze kudai haki zao,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kalinde, hata hivyo, anakubali kuwa hukumu zinazotolewa kwa wahalifu hazitoshi &#8220;hasa ikizingatiwa ukweli kwamba usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa mtoto unaangamiza maisha yake ya baadaye. Ningependelea kutolewa kwa adhabu kali zaidi.&#8221;<\/p>\n<p>Alisema zaidi kuwa se&#341;ikali imeweka mbinu kadhaa za kusaidia kupunguza umaskini miongoni mwa familia ambazo ziko hata&#341;ini kutumbukia katika usafi&#341;ishaji ha&#341;amu na aji&#341;a kwa watoto.<\/p>\n<p>Kalinde alielezea suala la &#341;uzuku za kilimo, ambapo familia maskini zaidi zinanunua pembejeo za kilimo kwa bei ya chini, na hivyo kuwezeshwa kuzalisha kiasi cha kutosha kwa ajili ya familia zao.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Maigwa aliiambia IPS she&#341;ia za nchi zinaweza kuchochea wahalifu kufanya vitendo vya kihalifu tena.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa ujumla wake, baadhi ya she&#341;ia zimepitwa na wakati na ni dhaifu &#8230;haziendani na hali halisi ya sasa. Wakati zikiandaliwa zilikuwa na nguvu lakini kwa sasa kwa mfano kama unamtaka mhalifu kutoa faini ya kwacha 200 (sawa na dola moja) kutokana na kumnyanyasa mtu kwa mfano, hakuna anayeweza kushindwa kufanya hivyo na hivyo kuacha wakosaji kuachiwa hu&#341;u.&#8221;<\/p>\n<p>Msemaji wa polisi wa Wilaya ya Phalombe Augustus Nkhwazi aliiambia IPS kuwa wasafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa watoto wanavuka mpaka wa Msumbiji kwa u&#341;ahisi kinyume cha seh&#341;ia kwasababu hakuna maofisa polisi wa nchini Malawi katika kituo cha mpaka huo.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati watu hawa wakiingia katika nchi hiyo wanaonekana kama wazazi wa watoto au walezi kwasababu watu kutoka nchi hizo mbili wameima&#341;isha uhusiano wa kibiasha&#341;a ikiwa ni pamoja na kuaona. Kutokana na hali hii kuna wasafi&#341;i wanaovuka mipaka kila siku,&#8221;alisema Nkhwazi.<\/p>\n<p>Nkhwazi alisema zaidi kuwa vitendo hivyo vinaonekana zaidi katika wilaya yake kutokana na umaskini na kukosekana kwa a&#341;dhi ya kilimo ya kutosha na pia wazazi kupenda kushi&#341;iki katika vitendo hivyo.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Maigwa ana matumaini kuwa muda unabadilika kutokana na kuaji&#341;iwa kwa Jeshi la Polisi la Kulinda Watoto katika kila wilaya katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.<\/p>\n<p>&#8220;Kila kituo cha polisi kina Kitengo cha Polisi Jamii ambapo tuna Ofisa wa Ulinzi wa Watoto ambaye kimsingi anafanya kazi ya kutoa elimu ya u&#341;aia kwa jamii, kuwafundisha juu ya mbinu ambazo wasafi&#341;ishaji ha&#341;amu wanazitumia wakifika majumbani mwao, kama vile kutoa ahadi za kupata aji&#341;a zenye malipo makubwa au kupata mabadiliko ya ha&#341;aka ya kiuchumi kwa watoto &#8230;hivyo tuna imani kuwa watu wanapata maa&#341;ifa zaidi juu ya uhalifu huu kuliko ilivyokuwa hapo kabla,&#8221; alisema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Oktoba 29 (IPS) &ndash; Pat&#341;ick Ma&#341;tin, 14, na kaka yake Mayeso, 15, kwa sasa wako salama wakiwa nyumbani na ndugu zao katika kijiji cha Kasonya, Wilaya ya Phalombe kusini mwa Malawi, baada ya wao na watoto wengine 12 kuokolewa na kutokana na kutaka kusafi&#341;ishwa na baba yao katika biasha&#341;a ya usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa binadamu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":952,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3948","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3948","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/952"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3948"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3948\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3948"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3948"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3948"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}