{"id":3943,"date":"2012-10-23T13:40:01","date_gmt":"2012-10-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/wafadhili-lazima-kutumia-fusa-ya-mwaka-2013-katika-ukanda-wa-sahel-umoja-wa-mataifa-watoa-ombi\/"},"modified":"2012-10-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-23T13:40:01","slug":"wafadhili-lazima-kutumia-fusa-ya-mwaka-2013-katika-ukanda-wa-sahel-umoja-wa-mataifa-watoa-ombi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/wafadhili-lazima-kutumia-fusa-ya-mwaka-2013-katika-ukanda-wa-sahel-umoja-wa-mataifa-watoa-ombi\/","title":{"rendered":"Wafadhili Lazima Kutumia Fu&#341;sa ya Mwaka 2013 Katika Ukanda wa Sahel: Umoja wa Mataifa Watoa Ombi"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Iki&#341;ipotiwa kuwa mgogo&#341;o mbaya zaidi wa chakula katika ukanda wa Sahel ba&#341;ani Af&#341;ika unaonekana kutatuliwa, ofisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa katika eneo hilo, David G&#341;essley, alionya kuwa uwezekano wa kupita katika dha&#341;ula hiyo haupaswi kuondoa mtizamo wa kimataifa kutoka kile ambacho kinahitaji kufanyika mwaka 2013, ambao anauita mwaka mgumu wa kujenga uhakika wa chakula katika ukanda huo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Uwezekano wa kukabiliana na hali mwaka 2013 umetokana na kukutana kwa vipambele vikubwa vya kimataifa katika Sahel wakati huo huo se&#341;ikali kadhaa za kikanda, ambazo ni nchi za Nige&#341;, zimeshaanza kwa kiasi kikubwa, kazi ya kushughulikia baadhi ya sababu za msingi za uhaba wa chakula katika ukanda huo. <\/p>\n<p>Lakini G&#341;essley ana wasiwasi kuwa fu&#341;sa hii ingeweza kuondolewa siyo tu na mata&#341;ajio ya mavuno mazu&#341;i kiasi mwaka huu, lakini pia kutokana na hali ya machafuko nchini Mali na hivyo kuondoa mtizamo wa kimataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa kuwa na haba&#341;i njema, hata&#341;i ni kwamba tutasahau mgogo&#341;o wa kudumu &ndash; kutaendelea kuwa na masuala ya usalama wa chakula katika ukanda wa Sahel, na tunajua ukame utatupiga tena katika siku zijazo,&#8221; G&#341;essley, m&#341;atibu wa masuala ya kibinadamu kikanda katika Sahel, alisema hapa mjini Washington.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna fu&#341;sa ya kuchagua kufanya matatizo sugu kuendelea, kukabiliana na misaada mikubwa, au tunaweza kuanza kuchukua hatua sasa kuja&#341;ibu kupunguza madha&#341;a &ndash; kwa watu wanaoteseka na gha&#341;ama za kuchukua hatua. Lakini tunahitaji dhami&#341;a yenye nguvu za kisiasa miongoni mwa nchi na wafadhili kuangalia jinsi gani ya kufanya jambo hilo.&#8221; <\/p>\n<p>Katika Ukanda wa Sahel &ndash; ambapo ka&#341;ibu nchi kadhaa za mpakani mwa jangwa la Saha&#341;a kusini mwa Af&#341;ika &ndash; ziliandamwa na majanga, pamoja na kuwa siyo wa kipekee, lakini ukame wa mwaka jana uliangamiza kabisa mavuno na mifugo. Kutokana na ukame, bado kuna wastani wa kaya milioni 18 katika ukanda wa Sahel zinakumbwa na uhaba wa chakula, ikiwa ni pamoja na watoto wapatao milioni ambao wana utapiamlo mkali. <\/p>\n<p>Kumekuwepo na wasiwasi unaozidi kuongezeka kuwa mavuno duni yatapatikana tena mwaka huu, na Benki ya Dunia ilionya mwishoni mwa Agosti kuwa bei ya mahindi na mtama katika maeneo ya ukanda wa Sahel taya&#341;i imeshapanda sana. Lakini kuwasili kwa mvua, pamoja na jitihada kubwa za kimataifa, kumepunguza hofu kidogo. <\/p>\n<p>Kuangalia kipindi cha muda m&#341;efu Hata hivyo, ahadi za wafadhili juu ya jitihada za kimataifa kuhusu Sahel zilifikia dola bilioni 1.6, dola zipatazo milioni 350 zilitoka Ma&#341;ekani na nyingi kutoka Umoja wa Ulaya. (Dola zipatazo bilioni 1.3 kati ya hizo zilikwenda katika jitihada za kukabiliana na mgogo&#341;o wa chakula, wakati nyingine zilikwenda katika jitihada zenye fedha kidogo za kukabiliana na wakimbizi ambao walilazimika kukimbia makazi yao.) <\/p>\n<p>Na wakati jitihada hizo hadi sasa zinaonekana kupunguza mgogo&#341;o wa chakula mwaka huu, G&#341;essley anasema pesa zilizotolewa zimefanya kazi ndogo kusaidia wanajamii kujiandaa kukabiliana na hali hiyo isiyozuilika. <\/p>\n<p>&#8220;Ni vema kujua kuwa hatua ya mapema inaweza kuwa na matokeo chanya,&#8221; G&#341;essley anasema. &#8220;Lakini mgogo&#341;o umepata msaada wa kiasi fulani tu kwa muda fulani na kwamba unapotea; kwa kuwa na mvua nzu&#341;i, watu taya&#341;i wanazumgumzia kuhusu mambo mengine. Kwa uhakika, uchukuliwaji wa hatua za kibinadamu wa aina hii ma&#341;a zote unahitajika kama kutakuwa na mapungufu ya kisiasa na kimaendeleo &ndash; na katika ukanda mzima wa Sahel, ni hakika kuna mapungufu ya kimaendeleo.&#8221; <\/p>\n<p>Hata katika mwaka huu wenye mavuno mazu&#341;i &ndash; kwani mwaka huu unaweza kuthibitisha kuwa &#341;obo milioni ya watoto bado wanata&#341;ajiwa kufa&#341;iki katika nchi za Sahel. Tatizo hilo la kimuundo la kipindi ki&#341;efu, wataalam wanasema, ni hali ambayo inaweza kubadilika na kuwa mgogo&#341;o kamili wakati wowote ule. <\/p>\n<p>Ili kuendelea na mpango wa uokozi ambao Umoja wa Mataifa na wengine wanashi&#341;iki sasa, G&#341;essley anasema wafadhili wa kimataifa watahitaji ahadi zinazoeleweka kwa mipango ya miaka mitano au hata 10. <\/p>\n<p>Hiyo ni oda kubwa, hasa wakati wafadhili duniani wanapokuza mi&#341;adi yao wakati huu wa kuchukua hatua kali. Zaidi ya hapo, Umoja wa Mataifa, una se&#341;a ya kutokutoa pesa kwa zaidi ya miaka mitatu. <\/p>\n<p>Hata hivyo, bado kuna wafadhili wakubwa ambao mi&#341;adi ya kukabiliana na ukame katika Sahel inahitaji. Mpango muhimu zaidi unaoweza kufika mbali unaendeshwa na Tume ya Ulaya, ushi&#341;ikiano ulioanzishwa Juni unaojulikana kama AGIR Sahel. <\/p>\n<p>Wakati lengo la awali la ushi&#341;ikiano ni katika mgogo&#341;o mkubwa wa chakula, tamko lake la awali lilikuwa ni kuangalia mbele zaidi. &#8220;Washi&#341;iki walikubaliana kuwa jitihada za pamoja na se&#341;ikali na mashi&#341;ika katika kanda na washi&#341;ika wa kibinadamu na maendeleo zinahitajika,&#8221; tamko hilo linasema kuhusu, &#8220;kushughulikia migogo&#341;o ya sasa na kupunguza kiwango cha migogo&#341;o katika siku sijazo.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati G&#341;essley anapongeza ushi&#341;ika wa AGIR Sahel, anasema kuwa mchanganyiko wa sasa wa kimataifa wa lengo na mitizamo kwa se&#341;ikali kadhaa za kanda ya Sahel &#8220;inaweza kutoku&#341;udiwa kama hatua hazitachukuliwa katika kipindi cha mwaka ujao. <\/p>\n<p>Mtizamo wa kiusalama Kikwazo kikubwa kufuatia shinikizo la mwaka 2013 la jumuiya ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na ukame katika ukanda wa Sahel kinaweza kuwa hali isiyotabi&#341;ika ya Mali, ambapo tangu Machi wombwe la kiusalama na kisiasa limesababisha makundi ya waasi kuchukua udhibiti wa sehemu kubwa ya kaskazini mwa nchi. <\/p>\n<p>&#8220;Masuala kama haya ya kiusalama tunayoyaona Mali ni tishio kubwa katika mfumo wetu wa kukabiliana na majanga,&#8221; G&#341;essley anaonya. &#8220;Hata&#341;i ni kwa wanasiasa kuonyesha dhami&#341;a ya kushughulikia mambo yote hayo &ndash; kufikiwa na mashi&#341;ika ya kibinadamu, n.k. &ndash; na kusahau kuhusu matatizo ya muda m&#341;efu. Kama hilo likijitokeza, tutapoteza fu&#341;sa ya kushughulikia suala la usalama wa chakula na pia ubaguzi ambao umeenea sana katika Sahel nzima.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo bado, ufumbuzi wa kisiasa unabakia kutokuwa wa uwazi, kuna mahitaji ya wazi na ya ha&#341;aka ya kibinadamu ikiwa ni pamoja na misaada ya kiufundi nchini Mali. Wakati huo huo, hali nchini Mali inazidi kuchukuliwa hatua na wapiganaji wa ugaidi, kwani nchi za Magha&#341;ibi, hasa Ma&#341;ekani, katika wiki za ka&#341;ibuni zimependekeza kwa nguvu kuwa vikundi vya kigaidi, kama vile Al Qaeda katika eneo la Islamic Magh&#341;eb, vinazidi kujipenyeza katika machafuo ya nchini Mali. <\/p>\n<p>&#8220;Sikubaliani kuwa Mali itakuja kufunika kuonekana kwa ukanda wa Sahel,&#8221; Joel Cha&#341;ny, makamu wa &#341;ais wa se&#341;a za kibinadamu katika Inte&#341;Action, mtandao wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia nchini Ma&#341;ekani, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo, kwa mwaka ujao kuna wasiwasi halisi juu ya kama tutakuja kuikabili Mali kama suala la kiusalama badala ya kuwa suala la kibinadamu. Tutakuja kuanza kuona mashambulizi ya Ma&#341;ekani nchini Mali  Kama ndivyo, itakuwa vigumu sana kufanya kazi za kibinadamu huko.&#8221;<\/p>\n<p>Wiki iliyopita, shi&#341;ika la Inte&#341;Action lilitangaza kuwa wanachama wake walikuwa wakiomba zaidi ya dola bilioni kusaidia katika usalama wa chakula na lishe, ikiwa ni pamoja na kwa ajili ya eneo la Sahel. <\/p>\n<p>&#8220;Tunajua kuwa katika hali kama ya Sahel unapaswa kufanya mambo yote &ndash; lazima kuwepo na uwezo wa kuchukua hatua kuokoa maisha ya watu, lakini unaweza kuja&#341;ibu kuchukua hatua kwa njia ambazo zitawezesha jamii kuwa na nguvu na kuwa na uwezo wa kukabiliana na mtikisiko katika hali ya kawaida,&#8221; Cha&#341;ny anasema. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini je mwaka 2013 utakuwa tofauti sana na, kwa mfano, miaka mitano iliyopita &ndash; je mwaka ujao utakuwa na changamoto zaidi  Pengine itakuwa hivyo au haitakuwa hivyo. Suala la msingi hapa inahitaji kuongeza jitihada ma&#341;a mbili kufanya kazi katika ukanda wa Sahel kwa njia ambayo ina&#341;uhusu watu kuendesha maisha yao wenyewe.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Iki&#341;ipotiwa kuwa mgogo&#341;o mbaya zaidi wa chakula katika ukanda wa Sahel ba&#341;ani Af&#341;ika unaonekana kutatuliwa, ofisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa katika eneo hilo, David G&#341;essley, alionya kuwa uwezekano wa kupita katika dha&#341;ula hiyo haupaswi kuondoa mtizamo wa kimataifa kutoka kile ambacho kinahitaji kufanyika mwaka 2013, ambao&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":951,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3943","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3943","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/951"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3943"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3943\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3943"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3943"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3943"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}