{"id":3942,"date":"2012-10-23T13:40:01","date_gmt":"2012-10-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/kuwafanya-watoto-wa-kike-kuendelea-na-masomo\/"},"modified":"2012-10-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-23T13:40:01","slug":"kuwafanya-watoto-wa-kike-kuendelea-na-masomo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/kuwafanya-watoto-wa-kike-kuendelea-na-masomo\/","title":{"rendered":"Kuwafanya Watoto wa Kike Kuendelea na Masomo"},"content":{"rendered":"<p>KAMULI, Uganda, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Miaka mitatu iliyopita, baada ya I&#341;ene Kamyuka kumaliza miaka yake sita ya shule ya msingi nchini Uganda, baba yake alifilisika. Huku akiwa na ndugu zake wa tumbo moja wanne wakiwa wanasoma, baba yake Kamyuka alimwambia binti yake huyo kuachana na shule hadi hali yake ya kifedha itakapokuwa nzu&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Baba aliniambia kuwa hana pesa,&#8221; alisema. &#8220;Baba alisema: Subi&#341;i hadi wengine watakampomaliza kusoma.'&#8221;\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kamyuka, ambaye alikuwa na shauku la kusoma kutokana na kutaka kupata aji&#341;a siku za mbeleni,&#8221; aliachana na ndoto yake hiyo. Hatimaye fedha za kutosha zilipatikana hivyo kuwa na uwezo wa kumaliza shule ya msingi katika da&#341;asa la saba, Mei mwaka huu. Halafu baba akawa hana pesa tena kabla ya kumpeleka shule ya sekonda&#341;i.<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa taifa hili la Af&#341;ika masha&#341;iki linaendesha shule za se&#341;ikali ambazo kinadha&#341;ia ni bu&#341;e, katika uhalisia wazazi ambao hawawezi kumudu sa&#341;e za shule, vitabu na matumizi mengine hawawezi kupeleka watoto wao shule.<\/p>\n<p>Waganda wanaoishi katika maeneo ya kijijini kama Kamyuka, kutoka Kamuli &ndash; mji kandokando mwa Ziwa Kyoga katikati mwa Uganda &ndash; na ambao wanaishi kwa kutegemea kilimo kidogo kidogo, wanakabiliwa na magumu ya ma&#341;a kwa ma&#341;a kulipa ada za shule za watoto wao.<\/p>\n<p>Kwa suala la Kamyuka, matokeo ya ndoto ma&#341;a nyingi yanaingiliwa au yanafutwa. Wakiwa wameacha shule, watoto wa kike wanasema wananyanyapawa kwasababu watu wanadhani wameacha shule kutokana na kufanya mapenzi. Katika hali halisi, uchaguzi wa kuendelea kusoma siyo wao kwasababu ma&#341;a nyingi wazazi wanaona kipaumbele kidogo kwa mabinti zao kumaliza masomo.<\/p>\n<p>&#8220;Wanaona watoto wa kike kama mzigo, kwasababu familia zinawaandaa kwa ajili ya kuolewa,&#8221; alisema Johnson Ntende, mku&#341;ugenzi wa Shule ya Kamuli, sekonda&#341;i katikati mwa mji huo. &#8220;Jukumu la mke katika familia ni kupika kwa ajili ya watoto na kumtunza mume. Jukumu hilo halihitaji mafanikio shuleni.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa takwimu za awali za Wiza&#341;a ya Elimu ya Uganda mwaka 2012 wa shule, idadi ya watoto wa kike ambao walihitimu kwenda shule ya sekonda&#341;i ilikuwa 343,000, ikilinganishwa na wanaume 408,000.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, kiwango cha kujua kusoma na kuandika miongoni mwa vijana wa kike wa um&#341;i kati ya miaka 15 hadi 24 katika taifa hili la Af&#341;ika masha&#341;iki lisilokuwa na banda&#341;i lenye wakazi milioni 35 ni asilimia 84 mwaka 2010, ikilinganishwa na asilimia 90 ya wanaume katika kundi kama hilo. Hii ni hali inayojionyesha katika dunia nzima, huku watoto wa kike wakiwa na fu&#341;sa ndogo ya kujiunga shule na kupata huduma za kitabibu na kuwa na uwezekano mkubwa wa kunyimwa chakula.<\/p>\n<p>Matokeo yake, kwa mujibu wa utafiti wa Benki ya Dunia, ni kundi lenye uzalishaji duni na ambalo linaandamwa zaidi na umaskini katika jamii.<\/p>\n<p>Kwa suala la Kamyuka, wazazi wake walitaka kumpeleka shule, lakini hawakuwa na uwezo. Kijana huyo mwenye um&#341;i wa miaka 15 kwa sasa anasoma mwaka wake wa kwanza katika shule ya Kamuli P&#341;og&#341;essive College, kutokana na msaada wa shi&#341;ika la Plan Inte&#341;national. Alianza kusoma Agosti mwaka huu.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika hilo la misaada ya kimaendeleo ya kimataifa linalipia ada, ambazo ni sawa na dola 20 kwa kila kipindi cha miezi mitatu. Wakati shule ipo katika mpangilio wa ushi&#341;ikiano wa sekta ya umma na binafsi na inapokea baadhi ya ufadhili kutoka se&#341;ikalini chini ya mpango wa elimu ya msingi, kuna baadhi ya michango ya ziada kwa ajili ya sa&#341;e na vitabu.<\/p>\n<p>Glo&#341;ia Titi, m&#341;atibu wa mipango wa Plan Inte&#341;national, alisema kuwa kwa kuongeza katika kulipia watoto wa kike 54 katika eneo la shule, shi&#341;ika linatafuta njia za kubo&#341;esha uwezeshaji ndani na nje ya shule kuondokana na suala la kushindwa kumaliza masomo kiwango ambacho bado ni kikubwa &ndash; na ma&#341;a nyingi halitokani na kukosa fedha.<\/p>\n<p>Hadi watoto wa kike asilimia 54 mjini Kamuli wataacha shule kabla ya kuhitimu, kwa mujibu wa Titi. Katika shule ya Kamuli P&#341;og&#341;essive College, kuna chati katika ukuta wa ofisi ya mku&#341;ugenzi ikio&#341;odhesha takwimu za watoto waliojiunga shule. Kuna watoto wa kike 133 waliojiunga na shule katika mwaka wao wa nne; idadi ilishuka kwa 21 katika da&#341;asa la tano.<\/p>\n<p>Sababu ni nyingi: kubughudhiwa na wanaume wakiwa wanatembea umbali m&#341;efu kwenda shule, kukosekana kwa vyoo vyenye usi&#341;i, na kukosekana kwa pesa za kununulia taulo la usafi wakati wakiwa mwezini. Kamyuka alisema kuwa baadhi ya watoto wa kiume shuleni kwake wanawalenga watoto wa kike kwa ajili ya kufanya mapenzi ya ku&#341;idhia au ya nguvu, jambo ambalo linaweza kuathi&#341;i hadhi ya mtoto wa kike. Na kama anapata mimba, analazimishwa kuacha shule, wakati baba wa mtoto anaendelea kusoma.<\/p>\n<p>&#8220;(Wanafunzi wa kike) wanaanza kuwapenda watoto wa kiume, jambo linalowapeleka kuacha shule,&#8221; Kamyuka alisema. &#8220;Watoto wa kiume wanaha&#341;ibu tu maisha yetu.&#8221;<\/p>\n<p>Kamyuka na wanafunzi wenzake wanasema bila elimu, kuolewa mapema ni chaguo pekee kwao. Wazo hilo linajulikana sana katika jamii za Uganda. Lilimfanya Clai&#341;e Namakula kuwa katika uhusiano wa unyanyasaji wa miaka miwili.<\/p>\n<p>Akiwa na um&#341;i wa miaka 15 alifanya mapenzi na kijana &ndash; ambaye &#8220;alikuwa akinipiga, alikuwa akitumia madawa ya kulevya, akilewa pombe , akivuta siga&#341;a&#8221; &ndash; halafu nikapata mimba. Baada ya miaka miwili, na pamoja na kukosa pesa, alichukua hatua isiyokuwa ya kawaida katika mji wake mkuu wa Uganda, Kampala.<\/p>\n<p>Namakula, ambaye kwa sasa ana um&#341;i wa miaka 28 na alinyimwa fu&#341;sa ya kwenda shule, alisomea masuala ya vyakula kwa ajili ya wanawake wenye elimu ndogo. Alipomaliza masomo, yeye na wanawake wengine walianzisha kampuni ya chakula, ambayo waliita &#8220;Allied Female Youth Initiative&#8221;. Alisema mafunzo yalimuonyesha kuwa ana machaguo mengine mbali ya kutegemea &#341;afiki wa kiume au mume.<\/p>\n<p>Kabla ya mafunzo, &#8220;Sikuweza hata kuwa na akaunti ya benki,&#8221; Namakula alisema. &#8220;Watu wasingeniheshimu. Sasa watu wanaweza kunipigia magoti na kusema &#8216;mambo&#8217; kwasababu ni mtu mwenye majukumu.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMULI, Uganda, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Miaka mitatu iliyopita, baada ya I&#341;ene Kamyuka kumaliza miaka yake sita ya shule ya msingi nchini Uganda, baba yake alifilisika. Huku akiwa na ndugu zake wa tumbo moja wanne wakiwa wanasoma, baba yake Kamyuka alimwambia binti yake huyo kuachana na shule hadi hali yake ya kifedha itakapokuwa nzu&#341;i. &#8220;Baba&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":912,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3942","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3942","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/912"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3942"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3942\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3942"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3942"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3942"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}