{"id":3939,"date":"2012-10-23T13:40:01","date_gmt":"2012-10-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/nafasi-ya-pili-kwa-mapinduzi-ya-kijani-afika\/"},"modified":"2012-10-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-23T13:40:01","slug":"nafasi-ya-pili-kwa-mapinduzi-ya-kijani-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/nafasi-ya-pili-kwa-mapinduzi-ya-kijani-afika\/","title":{"rendered":"Nafasi ya Pili kwa Mapinduzi ya Kijani Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>ROME, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Wakati dunia ikisaka njia za kuzalisha chakula kufikia angalau asilimia 70 ifikapo mwaka 2050 kulisha idadi kubwa ya watu wanaozidi kukumbwa na njaa, wengi wanaangalia ba&#341;ani Af&#341;ika kama eneo muhimu kufikia malengo haya, zaidi kutokana na kuwa na eneo kubwa la a&#341;dhi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mjini A&#341;usha, Tazania, hivi ka&#341;ibuni kumekuwa eneo la kuumiza vichwa juu ya mada hii, wakati ambapo wahusika wengi wa Jukwaa la mapinduzi ya Kijani Af&#341;ika (AGRF) walikutana kuanzia Sept. 26 hadi 28, kwa nia ya kuleta usalama wa chakula unaoongozwa na Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Katika mkutano wa kilele wa mataifa yenye viwanda vingi duniani ya G8, viongozi wa dunia ikiwa ni pamoja na wale wanaotoka mataifa 21 ya Af&#341;ika na makampuni binafsi 27 walitoa dola bilioni tatu kusaidia umoja mpya wa kuleta usalama wa chakula na lishe.<\/p>\n<p>Lengo lao ni kuondoa watu milioni 50 kutoka katika umaskini katika kipindi cha miaka 10 ijayo. AGRF imejengeka kuhamasisha dhami&#341;a ya viongozi wa Af&#341;ika kwa kukuza uwekezaji wa dha&#341;ula na se&#341;a za kusaidia kuongeza uzalishaji wa kilimo na kipato kwa wakulima wa Af&#341;ika &ndash; hasa kupitia mbinu za kilimo endelevu na mifumo ya kiubunifu ya ufadhili wa kilimo.<\/p>\n<p>Rais wa IFAD, Dk. Kanayo F. Nwanze, alizungumzia masuala haya katika Jukwaa la A&#341;usha katika jopo la mjadala lililolenga juu ya jinsi gani ya kufanya masoko ya kitaifa na kikanda Af&#341;ika kufanya kazi.<\/p>\n<p>Ukuaji wa kilimo wa hivi ka&#341;ibuni nchini Tanzania ni mfano wa nini kinawezekana, wanasema waandalizi wa jukwaa hilo. Katika wilaya ya Kilombe&#341;o mkoani Mo&#341;ogo&#341;o, mazao ya mahindi yanayolimwa na wakulima wadogo yameongezeka hivi ka&#341;ibuni kutoka tani 1.5 hadi 4.5 kwa hekta; mavuno ya mpunga yameongezeka kutoka tani 2.5 hadi 6.5 kwa hekta.<\/p>\n<p>Wakulima hao wadogo ni muhimu kwa ukuaji wa kilinmo ba&#341;ani Af&#341;ika na kunatambuliwa kwa kiasi kikubwa, na wanaha&#341;akati wanata&#341;ajia jukwaa &#8220;litajadili njia mpya za kutoa &#341;asilimali, kukabiliana na changamoto na kubo&#341;esha mavuno kwa mamilioni ya wakulima ambao wanafanya kazi katika chini ya hekta moja ya a&#341;dhi katika ba&#341;a hilo&#8221;.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Ca&#341;los Se&#341;&eacute;, mwanamkakati mkuu wa maendeleo katika shi&#341;ika la Maendeleo ya Kilimo la Kimataifa (IFAD), kuongeza uwekezaji katika kilimo ni suala muhimu sana. &#8220;Tunataka kuwekeza katika kilimo kwani mapinduzi ya kijani ni jambo ambalo soko litayaendesha lenyewe.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa tunakubali kuwa tuna hifadhi ndogo. Hifadhi kubwa, kwa mfano nafaka, zinazohifadhiwa na mashi&#341;ika ya se&#341;ikali kwa sasa zimepungua kwa kiasi kikubwa. Hivyo wakati ukame nchini Ma&#341;ekani au Aust&#341;alia, au matatizo nchini Russia yalipokumba masoko haya, bei zinapanda kwa kasi kutokana na hakuna kiwango kikubwa cha hifadhi kama ilivyokuwa hapo zamani.&#8221;<\/p>\n<p>Uwekezaji katika kilimo una faida kubwa za moja kwa moja katika maisha ya wakulima wadogo, ambao wanaendesha maeneo makubwa ya a&#341;dhi katika dunia inayoendelea.<\/p>\n<p>&#8220;Wanahitaji bidhaa zaidi za umma kwa njia ya utafiti, ugani na mazingi&#341;a mazu&#341;i ya se&#341;a,&#8221; Se&#341;&eacute; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;IFAD inashi&#341;iki kikamilifu katika kusaidia se&#341;ikali kufanya hivyo. Kazi yetu ni kuhusu kuongeza usambazaji wa chakula, na kusaidia kujenga nguvu ya wakulima wadogo na mashi&#341;ika yao kuwa na ufanisi zaidi, kutumia a&#341;dhi kwa ufanisi zaidi, kugawana maa&#341;ifa, kujipanga vizu&#341;i, na kuongeza uzalishaji wao katika hali ambayo ni ya gha&#341;ama nafuu, kufikisha chakula mijini na masokoni bila gha&#341;ama kubwa.&#8221;<\/p>\n<p>Watu wengi maskini wanatumia zaidi ya nusu ya kipato chao kwa ajili ya chakula, na hivyo kuwafanya kuwa &#341;ahisi kuathi&#341;ika na bei za chakula.<\/p>\n<p>Ripoti ya bei ya chakula ya FAO, ambayo inapima bei za kila mwezi na jinsi zinavyobadilika ambazo zinahusu nafaka, mbegu za mafuta, bidhaa za maziwa, nyama na suka&#341;i, ilikuwa wastani wa 213 mwezi Agosti, na kutokubadilika mwezi Julai. Pamoja na bei kuwa bado ziko juu, &#341;ipoti ya FAO kwa sasa inasimamia katika 25 chini ya kiwango cha juu zaidi cha 238 mwezi Feb&#341;ua&#341;i 2011 na 18 chini ya kiwango chake cha Agosti mwaka 2011.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa FAO, &#341;ipoti hiyo inapima kwa pamoja na kuwa uangalizi unahitajika, bei za sasa &#8220;hazihalalishi mazungumzo ya mgogo&#341;o wa chakula duniani&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ni hali tofauti mno ikilinganishwa na kile tulichokuwa nacho miaka iliyopita,&#8221; Se&#341;&eacute; aliiambia IPS. &#8220;Tunakubali kuwa hali hii inafaa kufuatiliwa kwa ka&#341;ibu, lakini hatuoni kuwa na uzito mkubwa kama ilivyokuwa hapo kabla.&#8221;<\/p>\n<p>Wataalam wa usalama wa chakula wana imani kuwa jumuiya ya kimataifa kwa sasa inajiandaa vizu&#341;i kushughulikia bei za vyakula kuliko ilivyokuwa hapo kabla mwaka 2007 na 2008. &#8220;Tuna mifumo mizu&#341;i vya u&#341;atibu, uchambuzi, na kupeana taa&#341;ifa,&#8221; kwa mujibu wa Se&#341;&eacute;.<\/p>\n<p>Changamoto nyingi bado zipo. &#8220;Kuna haja ya ukuaji wa uzalishaji, hasa mifumo ya wakulima wadogo, kilimo kinachokabiliana vyema na mabadiliko ya hali ya hewa, masoko yanayofanya kazi vizu&#341;i na yaliyounganishwa, na vipato vya juu na vilivyotulia kwa wanawake na wanaume wanaoishi katika umaskini,&#8221; Se&#341;&eacute; alisema.<\/p>\n<p>Masuala yote haya yanapaswa kuwa sehemu ya ajenda zinazoendelea, ambazo zinakwenda mbali ya mifano maalum ya kupanda kwa bei za vyakula.<\/p>\n<p>Jambo linalowasumbua wataalam ni kukosekana kwa ufahamu wa kuunganisha matokeo ya usalama wa chakula. Lakini wakati bei za nafaka zilianza kupanda duniani hadi kwenye ngazi ya juu mwezi Juni mwaka huu, kufuatia ukame mbaya zaidi kuipiga Ma&#341;ekani &ndash; mzalishaji mkuu wa mahindi na maha&#341;age &ndash; ilitoa ujumbe mzito kuhusu mfumo wa chakula duniani uliounganika.<\/p>\n<p>&#8220;Nadhani ni muhimu kufanya uhusiano kati ya mgogo&#341;o wa chakula nyumbani na nini kinatokea katika maeneo mengine ya dunia,&#8221; Se&#341;&eacute; alisema. &#8220;Ma&#341;a nyingi watu hawaelewi vizu&#341;i jinsi gani masuala haya yanaunganika. Kwa mfano, maha&#341;age kwa ajili ya kulisha ngu&#341;uwe nchini Uje&#341;umani yanakuja kutoka B&#341;azili, (ambayo) imeathi&#341;ika kutokana na kukatwa kwa misitu ya mvua halafu linakuja suala la aji&#341;a inayotokana na uzalishaji huu wa bidhaa hizi katika maeneo tofauti.&#8221;<\/p>\n<p>Ni uchambuzi tu wa jumla wa mfumo wa chakula unaweza kuleta ufumbuzi kamili wa mgogo&#341;o wa chakula duniani. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ROME, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Wakati dunia ikisaka njia za kuzalisha chakula kufikia angalau asilimia 70 ifikapo mwaka 2050 kulisha idadi kubwa ya watu wanaozidi kukumbwa na njaa, wengi wanaangalia ba&#341;ani Af&#341;ika kama eneo muhimu kufikia malengo haya, zaidi kutokana na kuwa na eneo kubwa la a&#341;dhi. Mjini A&#341;usha, Tazania, hivi ka&#341;ibuni kumekuwa eneo la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":276,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3939","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3939","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/276"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3939"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3939\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3939"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3939"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3939"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}