{"id":3938,"date":"2012-10-23T13:40:01","date_gmt":"2012-10-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/kampuni-ya-maekani-yadaiwa-kusaidia-upoaji-wa-adhi-cameoon-u-s\/"},"modified":"2012-10-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-23T13:40:01","slug":"kampuni-ya-maekani-yadaiwa-kusaidia-upoaji-wa-adhi-cameoon-u-s","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/23\/kampuni-ya-maekani-yadaiwa-kusaidia-upoaji-wa-adhi-cameoon-u-s\/","title":{"rendered":"Kampuni ya Ma&#341;ekani Yadaiwa Kusaidia &#8216;Upo&#341;aji wa A&#341;dhi&#8217; Came&#341;oon &ndash; U.S."},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika ya mazingi&#341;a yanatuhumu kampuni ya kilimo yenye makao yake jijini New Yo&#341;k, He&#341;akles Fa&#341;ms, kutokana na kuendelea na mipango yake ya kuchukua shamba la mafuta ya mawese lenye ukubwa wa hekta 73,000 na mtambo wa kusafishia mafuta hayo kusini magha&#341;ibi mwa Came&#341;oon pamoja na kutokupata &#341;idhaa ya se&#341;ikali, pingamizi mbili za mahakama, na kuendelea kwa upinzani kutoka kwa jamii.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Siku ya Jumatano, Taasisi ya Oakland na G&#341;eenpeace, mashi&#341;ika mawili ya kupigania utunzaji wa mazingi&#341;a yenye makao yake hapa Ma&#341;ekani, yalitoa &#341;ipoti inayoonyesha kuwa m&#341;adi huo uliopo katika eneo ambalo lipo katika sehemu yenye utaji&#341;i mkubwa wa bioanuwai kati ya maeneo mawili ya hifadhi kubwa, kungeathi&#341;i vibaya watu 45,000.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika hayo yanaonya kuwa m&#341;adi, ambao unahusishwa na Blackstone G&#341;oup, kampuni kubwa ya uwekezaji, inawakilisha ha&#341;akati mpya &#8220;za kugombea a&#341;dhi&#8221; ba&#341;ani Af&#341;ika kunakofanywa na makampuni ya Magha&#341;ibi.<\/p>\n<p>&#8220;He&#341;akles inadai kushi&#341;iki katika kubo&#341;esha usalama wa chakula nchini Came&#341;oon na hali ya kibinadamu, lakini tumegundua huu kuwa ni udanganyifu. Kwa uhakika, wanaka&#341;ibia kuangamiza vyanzo vya kipato vya maelfu,&#8221; F&#341;ede&#341;ic Mousseau, mwandishi wa &#341;ipoti hiyo, alisema katika vyombo vya haba&#341;i Jumatano.<\/p>\n<p>&#8220;Vile vile, He&#341;akles inadai kupata kuungwa mkono na wenyeji wa maeneo husika, lakini tumegundua kuwa huu ni uongo wa wazi. Mwisho, madai kuwa a&#341;dhi hii ni msitu wa kupandwa na kuwa umeha&#341;ibiwa yanapotosha ukweli wa mambo. Ukweli ni kwamba, eneo kubwa halijakatwa miti.&#8221; (Hadi kuandika taa&#341;ifa hii, maofisa wa He&#341;akles hawajajibu maombi ya kuwataka kutoa maoni yao.)<\/p>\n<p>M&#341;adi huo, unaosimamiwa na kampuni ndogo ya He&#341;akles ijulikanayo kama SG Sustainable Oils Came&#341;oon (SGSOC), bado upo katika hatua za awali, ambapo kwa sasa una vitalu vitatu vya miche ya miti. &#8220;Kwa sasa tunasubi&#341;i uamuzi wa se&#341;ikali ya Came&#341;oon kwenda mbele zaidi ya vitalu vya miti,&#8221; Mousseau anasema. &#8220;Hivyo huu ni wakati muhimu sana &ndash; m&#341;adi unaweza kusimamishwa.&#8221;<\/p>\n<p>Upinzani dhidi ya SGSOC ulipata nguvu mpya katika wiki iliyopita, kufuatia taa&#341;ifa ya Agosti 24 kuwa He&#341;akles ilikuwa ikiondoa m&#341;adi kutoka katika ta&#341;atibu maalum za kuzingatia miongozo ya kiikolojia inayojulikana kama Roundtable on Sustainable Palm Oil (RSPO).<\/p>\n<p>Katika kuelezea hatua hiyo, He&#341;akles, ambayo inajipambanua yenyewe kama &#8220;yenye dhami&#341;a ya kushughulikia masuala mazito ya usalama wa chakula kupitia mipango ya kilimo endelevu&#8221;, ilitoa mfano wa muda m&#341;efu ambao maombi yake ya RSPO yamechukua, wakati ikibainisha kuwa ilikuwa &#8220;ikishughulikia mahitaji makubwa ya kibinadamu&#8221; nchini Came&#341;oon.<\/p>\n<p>Hakuna uidhinishwaji wa ha&#341;aka <\/p>\n<p>Uhalali wa vitalu vya miche ya miti taya&#341;i umeanza kuhojiwa. Pamoja na kuwa SGSOC ilisaini mkataba na se&#341;ikali wa kumiliki a&#341;dhi kwa miaka 99 mwaka 2009, she&#341;ia za Came&#341;oon zinataka matumizi ya a&#341;dhi kubwa kama hiyo kupewa kibali na &#341;ais.<\/p>\n<p>Kutokana na kibali hicho bado hakijatolewa, wanaha&#341;akati wanapendekeza kuwa SGSOC haina msingi wa kishe&#341;ia wa kuanza kulima a&#341;dhi na mashamba ya kakao na mbogamboga ambapo wanajamii walitegemea.<\/p>\n<p>Jaji wa nchini humo aliandaa mashitaka mawili dhidi ya hatua za se&#341;ikali hizo, lakini kwa mujibu wa waangalizi wa ndani kampuni imekataa ku&#341;idhia.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo tu kwamba wanataka kuzingatia she&#341;ia zilizopo, lakini kampuni imegeuza mgongo wake juu ya mbinu endelevu,&#8221; anasema Samuel Nguiffo, mwanashe&#341;ia na mku&#341;ugenzi wa Kituo cha Mazingi&#341;a na Maendeleo, katika mji mkuu wa Came&#341;oon, Yaounde. &#8220;Muundo wa se&#341;ikali nchini mwetu ni dhaifu sana, hivyo tunataka se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani kuisimamisha kampuni hiyo.&#8221;<\/p>\n<p>Maofisa wa He&#341;akles wanasema kuwa wameungwa mkono na jumuiya kuendesha m&#341;adi huo, lakini mashuhuda wanasema hii haina uhakika.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati kampuni ilipofika hapa, walisema kuwa m&#341;adi huu taya&#341;i umeshaidhinishwa na &#341;ais wa Came&#341;oon &#8230; Tuliamua kuwa kimya tu,&#8221; Edwa&#341;d Ndomo, mwenyekiti wa ba&#341;aza la jadi, aliwaambia watafiti wa Taasisi ya Oakland wanaoandaa kipindi kipya cha televisheni. &#8220;Hatujawahi kuwa na mikutano kamili na kampuni.&#8221;<\/p>\n<p>Ma&#341;ie Meboka Boya, mbunge anayewakilisha eneo hilo ambako vitalu vya miti vimejengwa, aliwaambia watafiti kuwa anadhani kampuni imechukua mfumo wa &#8220;manunuzi&#8221;, kutoa fedha kidogo au chakula kwa ajili ya kuungwa mkono na wakazi wenyeji.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na maelezo ya jamii na mtizamo usiokuwa na ukweli wa kampuni hiyo,&#8221; anasema, &#8220;Najua kuwa hakuna mkataba kamili.&#8221;<\/p>\n<p>Kugombania a&#341;dhi Af&#341;ika <\/p>\n<p>M&#341;adi wa He&#341;akles ni moja ya idadi kubwa ya mipango ya uwekezaji wa wageni katika a&#341;dhi ba&#341;ani Af&#341;ika. Na pamoja na ukubwa wake, m&#341;adi huo siyo mkubwa kuliko yote &ndash; kwani nchini Kongo, kwa mfano, mpango wa mamilioni ya hekta umejadiliwa.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna watu wengi wa Ulaya na Ma&#341;ekani ambao wanatafuta a&#341;dhi mpya ba&#341;ani Af&#341;ika kwa sasa, tuna wasiwasi kuwa utafutaji wa a&#341;dhi unaweza kuchukua su&#341;a mpya na kuwa mkubwa mno,&#8221; Rolf Ska&#341; wa G&#341;eenpeace anasema.<\/p>\n<p>Pamoja na Came&#341;oon kuwa mzalishaji mpya mkubwa wa mafuta ya mawese, wengi wanapendekeza sasa kuwa kinachotokea kwa kampuni ya He&#341;akles kinaweza kuwa mfano kwa ba&#341;a zima.<\/p>\n<p>&#8220;Kama tunathibitisha kuwa mpango huu ni mbaya, kampuni zote zinazokuja zitakuwa na mipango mibaya kama ilivyo kwa He&#341;akles,&#8221; anasema Nguiffo.<\/p>\n<p>&#8220;Came&#341;oon na chi ji&#341;ani kwa sasa zinakabiliwa na mahitaji makubwa ya a&#341;dhi, na ushindani wa a&#341;dhi mkubwa kama huu ni mpya sana kwetu sisi &ndash; unashangaza. Ni wazi kuwa mfumo wa se&#341;ikali nchini mwetu ni dhaifu mno, hivyo tunataka Ma&#341;ekani kusimamisha kampuni hii.&#8221;<\/p>\n<p>Nguiffo anasema kuwa wakati Came&#341;oon kwa sasa ina hekta zipatazo 500,000 zinazotumika kama shamba makubwa ya kilimo cha biasha&#341;a, zaidi katika mashamba ya zamani, katika kipindi cha miaka mitatu mahitaji ya a&#341;dhi yameongezeka mno hadi kufikia hekta milioni tatu, kutokana na ongezeko la wawekezaji wa kigeni wanaoungwa mkono na se&#341;ikali zao na mashi&#341;ika ya kimataifa yanayotoa mikopo.<\/p>\n<p>&#8220;Wahisani na taasisi za fedha za kimataifa wamezidi kuzitaka nchi za Af&#341;ika kufungua uchumi wao, pamoja na ukweli kwamba katika nchi hizi nyingi kuna utawala wa she&#341;ia kidogo sana,&#8221; anasema Anu&#341;adha Mittal, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Taasisi ya Oakland, ambapo katika miaka ya ka&#341;ibuni imefanya utafiti kuhusu mipango mipya 70 ya a&#341;dhi ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Ka&#341;ibu mipango yote hii, anasema, inagubikwa na kukosekana kwa uwazi na kushi&#341;ikisha wazawa, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa faida nyingi zilizoahidiwa kwa ajili ya uchumi wa ndani na wa kitaifa &ndash; aji&#341;a, ukuaji wa pato la ndani, ujenzi mpya wa kliniki au vyanzo vya maji kwa wanajamii.<\/p>\n<p>&#8220;Pia kumekuwepo na imani potofu nyingi kuhusu wawekezaji ni akina nani,&#8221; anasema. &#8220;Siyo Wachina tu au Wahindi au mataifa ya Ghuba. Idadi ya wawekezaji kutoka Ulaya na Ma&#341;ekani ni kubwa, ikiwa ni pamoja na makampuni binafsi ambayo yanapatiwa fedha kubwa, wote wakitaka kupata fu&#341;sa ya kuzalisha bidhaa za bei nafuu.&#8221;<\/p>\n<p>Maendeleo kwa ajili ya nani <\/p>\n<p>Hata hivyo, hali imebadilika katika miaka ya ka&#341;ibuni, kwani walaji wamezidi kutambua masuala ya aji&#341;a na mazingi&#341;a duniani.<\/p>\n<p>&#8220;Inabidi kampuni kuuza bidhaa zake mahali fulani, na mbinu hizi zinapingana moja kwa moja na wazalishaji na wanunuzi &ndash; makampuni ya K&#341;aft, Nestle, Unileve&#341; &ndash;yanataka viwango vya juu zaidi vya mafuta ya mawese kwa ajili ya kuuza,&#8221; Ska&#341; wa G&#341;eenpeace anasema. &#8220;He&#341;akles inashindwa katika suala hili na inabidi kujibu wabia wake ni kwa nini kufanya hivyo.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa wanaha&#341;akati wengi, suala linakuja juu ya aina ya maendeleo ambayo jumuiya ya kimataifa inaja&#341;ibu kushinikiza.<\/p>\n<p>&#8220;Leo hii shinikizo kubwa ni kuondokana na mamilioni ya wakulima wadogo nchini Came&#341;oon, kuwabadili kuwa viba&#341;ua wa uji&#341;a mdogo katika mashamba makubwa,&#8221; Mousseau wa G&#341;eenpeace anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Katika mijadala ya maendeleo ya sasa tunaambiwa suala hili ni muhimu, na tunatoa misamaha ya kishe&#341;ia na kifedha kwa wawekezaji. Lakini hatuoni matokeo yoyote yale ya kimaendeleo kutoka kwa wawekezaji hawa &ndash; tunachokiona ni unyonyaji wa binadamu na &#341;asilimali za nchi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Oktoba 23 (IPS) &ndash; Mashi&#341;ika ya mazingi&#341;a yanatuhumu kampuni ya kilimo yenye makao yake jijini New Yo&#341;k, He&#341;akles Fa&#341;ms, kutokana na kuendelea na mipango yake ya kuchukua shamba la mafuta ya mawese lenye ukubwa wa hekta 73,000 na mtambo wa kusafishia mafuta hayo kusini magha&#341;ibi mwa Came&#341;oon pamoja na kutokupata &#341;idhaa ya se&#341;ikali, pingamizi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":949,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3938","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3938","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/949"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3938"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3938\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3938"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3938"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3938"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}