{"id":3937,"date":"2012-10-17T13:40:01","date_gmt":"2012-10-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/17\/uchaguzi-huu-na-wa-haki-wafanyika-nchini-angola\/"},"modified":"2012-10-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-17T13:40:01","slug":"uchaguzi-huu-na-wa-haki-wafanyika-nchini-angola","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/17\/uchaguzi-huu-na-wa-haki-wafanyika-nchini-angola\/","title":{"rendered":"Uchaguzi Hu&#341;u na wa Haki Wafanyika Nchini Angola"},"content":{"rendered":"<p>LUANDA, Oktoba 17 (IPS) &ndash; Maswali yanaulizwa juu ya uhalali wa uchaguzi mkuu wa Angola wakati kiongozi wa pili kwa kukaa mada&#341;akani muda m&#341;efu ba&#341;ani Af&#341;ika Jose Edua&#341;do dos Santos akiwa ameshinda kipindi kingine cha miaka mitano kutokana na chama chake kupata ushindi wa kishindo. Chama cha Popula&#341; Movement fo&#341; the Libe&#341;ation of Angola (MPLA) &ndash; ambacho kimetawala Angola tangu wakati wa uhu&#341;u kutoka kwa Wa&#341;eno mwaka 1975 &ndash; kilipata viti vingi vya ubunge chini kidogo ya asilimia 72.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mpizani wake mkubwa wa zamani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe, chama cha Union fo&#341; the Total Independence of Angola (UNITA), kimeshika nafasi ya pili kwa kupata ka&#341;ibu asilimia 19 ya viti, hadi kuka&#341;ibia kuongeza ma&#341;a mbili ushindi wake wa mwaka 2008. Chama cha tatu ni kile chama kipya cha Salvation&ndash;Electo&#341;al Coalition (CASA&ndash;CE) ambacho kilishinda asilimia sita ya ku&#341;a, kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (CNE) siku ya Jumatatu, Septemba 4.<\/p>\n<p>Lakini wakati MPLA &ndash; chama ambacho kampeni zake za kifaha&#341;i zili&#341;ipotiwa kugha&#341;imu zaidi ya dola milioni 70 &ndash; kinashe&#341;ehekea ushindi wake, vyama vyua upinzani vya UNITA, CASA&ndash;CE na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wanafanyia kazi suala la kupinga ushindi huo mahakamani.<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu matokeo ya mwisho yanapotangazwa, kuna masaa 48 kwa chama kupeleka madai yake ya kupinga matokeo hayo katika mahakama ya katiba ya taifa hilo la kusini mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyotolewa Sep. 3, UNITA ilisema ilikuwa ikiendesha uhesabuji wake wa ku&#341;a na ilikuwa ikifuatilia matokeo ya awali yanayotolewa na CNE.<\/p>\n<p>UNITA ilishutumu CNE kwa kutumia vyombo vya usalama vya se&#341;ikali kuendesha vituo vya kupigia ku&#341;a, inahoji mchakato wake wa kuwasilisha takwimu, na ililalamikia juu ya jinsi gani wajumbe wengi wa chama na waangalizi wa uchaguzi waliweza kupewa &#341;idhaa ya kufuatilia uchaguzi.<\/p>\n<p>Chama kimekosoa CNE na maandalizi yake ya uchaguzi kwa baadhi ya miezi, ikidai kuna udanganyifu kwa upande wa MPLA. Malalamiko yamejikusanya zaidi katika o&#341;odha ya wapiga ku&#341;a, jinsi o&#341;odha hiyo ilivyoandaliwa, kukaguliwa na kusambazwa kwa wananchi.<\/p>\n<p>UNITA inadai kuwa &#8220;maelfu ya wapiga ku&#341;a hewa&#8221; wameongezwa katika o&#341;odha na kuwa kuchelewa kuwakilishwa kwa o&#341;odha ya mwisho kulizuia watu wengi wasipige ku&#341;a.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuta&#341;uhusu udanganyifu kuchukua nafasi na hatutatambua se&#341;ikali yoyote ile inayotokana na chaguzi hizi zinazofanyika nje ya she&#341;ia,&#8221; kiongozi wa UNITA Isa&iacute;as Samakuva alisema wiki moja kabla ya ku&#341;a kufanyika.<\/p>\n<p>Siku ya Agosti 31, siku ya uchaguzi wenyewe, watu wengi &ndash; idadi kamili haijulikani &ndash; hawakuweza kupiga ku&#341;a kutokana na kushindwa kupata majina yao kwenye o&#341;odha. Baadhi waliambiwa kuwa walisajiliwa kupiga ku&#341;a kilomita mia kadhaa katika mikoa mingine.<\/p>\n<p>Matokeo ya wali kutoka CNE yanaonyesha idadi ya wapiga ku&#341;a imepungua kutoka asilimia 80 mwaka 2008 hadi asilimia 60 mwaka huu. Idadi ya wapiga ku&#341;a imepungua zaidi katika mji mkuu wa Luanda na kufikia asilimia 50.<\/p>\n<p>Hata hivyo, timu za waangalizi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC), Umoja wa Af&#341;ika (AU) na Jumuiya ya Nchi Zinazoongea Lugha ya Ki&#341;eno zilipongeza Tume ya Uchaguzi ya Angola kutokana na jinsi ilivyoendesha uchaguzi huo.<\/p>\n<p>Mkuu wa ujumbe wa AU, &#341;ais wa zamani wa Cape Ve&#341;de Ped&#341;o Pi&#341;es, alibainisha baadhi ya masuala ya ucheleweshaji wa kupitishwa kwa wajumbe wa chama na waangalizi, vyombo vya haba&#341;i kutotoa nafasi sawa kwa wagombea na kushindwa ku&#341;uhusu &#341;aia wanaoishi nje ya nchi kupiga ku&#341;a. Hata hivyo, Pi&#341;es alisema kwa ujumla uchaguzi ulikuwa &#8220;hu&#341;u, wa haki, wa uwazi na unaoaminika&#8221;.<\/p>\n<p>Be&#341;nand Membe, Wazi&#341;i wa Mambo ya Nje wa Tanzania ambaye aliongoza ujumbe wa SADC, alikubali kuwa baadhi ya madai yaliyotolewa na vyama vya upinzani ni ya msingi lakini alisema: &#8220;Tunaona kuwa wakati baadhi ya mambo yaliyolalamikiwa ni muhimu, hata hivyo hayana uzito mkubwa wa kuweza kuathi&#341;i kukubalika kwa mchakato mzima wa uchaguzi.&#8221;<\/p>\n<p>Mwanamuziki na mwanaha&#341;akati wa Angola Luaty Bei&#341;ao, ambaye ameshi&#341;iki katika maandamano kadhaa ya kupinga se&#341;ikali na aliyesaidia kuanzisha tovuti ambayo imekuwa ikichapisha malalamiko ya umma kuhusu uchaguzi, aliiambia IPS kuwa amekatishwa tamaa mno na misimamo ya waangalizi wa uchaguzi.<\/p>\n<p>&#8220;Uchaguzi wa namna hii unawezaje kuonekana kuwa wa haki &#8221; aliuliza.<\/p>\n<p>&#8220;Unawezaje kusema kuwa mambo yalikwenda vizu&#341;i kutokana na kukosekana kwa mapigano na kwasababu watu hawakutupa mawe kwenye maga&#341;i na kuchoma matai&#341;i mitaani <\/p>\n<p>&#8220;Amani siyo jambo pekee linalotumika kutathmini kuwa uchaguzi ni hu&#341;u na wa haki. Lazima tutathmini idadi kubwa ya watu ambao hawakuweza kupiga ku&#341;a.&#8221;<\/p>\n<p>Bei&#341;ao, ambaye amewahi kufungwa jela ma&#341;a kadhaa kutokana na uanaha&#341;akati wake, aliongeza: &#8220;Uchaguzi huu uligubikwa na wizi wa ku&#341;a na se&#341;ikali hii siyo halali.&#8221;<\/p>\n<p>CNE imekanusha kufanya lolote lile baya na MPLA imeshutumu upinzani kutokana na kutoa madai ya udanganyifu ili kufunika uma usione matokeo yao mabaya ya ku&#341;a.<\/p>\n<p>Hata hivyo, MPLA, taya&#341;i imeshatangaza ushindi na wananchi wengi wa kawaida wa Angola wanaonekana kutokujali madai yanayotolewa na UNITA.<\/p>\n<p>Avelino Pacheco, 22, kutoka Luanda, aliiambia IPS: &#8220;Kwa maoni yangu uchaguzi huu uliendeshwa vizu&#341;i sana na tulikuwa hu&#341;u kumchagua mtu tunayemtaka. Watu walichagua MPLA na Rais dos Santos.<\/p>\n<p>&#8220;Hakukuwa na udanganyifu, ni lazima tuheshimu chaguo la watu,&#8221; alisema mwanafunzi huyo wa masuala ya takwimu.<\/p>\n<p>Mwanamke, anayesubi&#341;i katika foleni ya teksi ambaye hakutaka jina lake litajwe, aliiambia IPS: &#8220;Haijalishi matokeo yakoje, taya&#341;i MPLA iko mada&#341;akani na itakuwa mada&#341;akani kwa muda m&#341;efu. Tunapaswa tu kukubaliana na hilo.&#8221;<\/p>\n<p>Vyama vingine sita na makundi yaliyojiunga pamoja, ikiwa ni pamoja na chama cha kihisto&#341;ia cha National F&#341;ont fo&#341; the Libe&#341;ation of Angola na Pa&#341;ty of Social Renovation, waligawana asilimia tatu zilizobaki.<\/p>\n<p>Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 27 nchini humo vilinmalizika mwaka 2002 na tangu uhu&#341;u mwaka 1975 Angola imekuwa na chaguzi mbili tu zilizopita.<\/p>\n<p>Uchaguzi wa mwaka 2008 ulipita kwa amani pamoja na kuenea kwa madai ya wizi wa ku&#341;a, lakini uchaguzi wa mwaka 1992 ulikatishwa kabla haujamalizika na kusababisha awamu ya pili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika mwaka 2002. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya awamu ya kwanza vilianza baada ya uhu&#341;u mwaka 1975 hadi mwaka 1991.<\/p>\n<p>Chini ya katiba ya nchi hiyo ya mwaka 2010, kiongozi wa chama ambacho kinashinda viti vingi bungeni anakuwa &#341;ais &ndash; na hivyo Dos Santos ame&#341;ejeshwa tena mada&#341;akani.<\/p>\n<p>Ni kwa ma&#341;a ya kwanza kupewa mada&#341;aka kwa njia ya uchaguzi kwa &#341;ais huyo mwenye um&#341;i wa miaka 70. Mhandisi aliyepata elimu yake nchini Russia hajawahi kuchaguliwa kwa njia ya ku&#341;a hapo siku za zamani, pamoja na kutawala nchi hiyo tangu mwaka 1979.<\/p>\n<p>Wakati taifa hilo lenye utaji&#341;i mkubwa wa mafuta limepata kiwango cha juu cha ukuaji wa uchumi tangu kumalizika kwa vita vilivyodumu kwa miongo mitatu mwaka 2002, na inatabi&#341;iwa kuona pato lake la taifa likiongezeka kwa asilimia 12 mwaka 2012. Hata hivyo, ni watu wake wachache tu ndiyo wanafaidi matunda ya amani.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2011, Angola inashika nafasi ya 148 kati ya mataifa 187 duniani na zaidi ya nusu ya wakazi wake wanaishi chini ya msta&#341;i wa umaskini huku wakiishi bila ya kupata huduma za msingi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUANDA, Oktoba 17 (IPS) &ndash; Maswali yanaulizwa juu ya uhalali wa uchaguzi mkuu wa Angola wakati kiongozi wa pili kwa kukaa mada&#341;akani muda m&#341;efu ba&#341;ani Af&#341;ika Jose Edua&#341;do dos Santos akiwa ameshinda kipindi kingine cha miaka mitano kutokana na chama chake kupata ushindi wa kishindo. Chama cha Popula&#341; Movement fo&#341; the Libe&#341;ation of Angola (MPLA)&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":507,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3937","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3937","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/507"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3937"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3937\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3937"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3937"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3937"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}