{"id":3936,"date":"2012-10-17T13:40:01","date_gmt":"2012-10-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/17\/kuchukuliwa-hatua-mashaiki-mwa-kongo-ni-kipaumbele-kinachozidi-kukua-kwa-wanahaakati\/"},"modified":"2012-10-17T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-17T13:40:01","slug":"kuchukuliwa-hatua-mashaiki-mwa-kongo-ni-kipaumbele-kinachozidi-kukua-kwa-wanahaakati","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/17\/kuchukuliwa-hatua-mashaiki-mwa-kongo-ni-kipaumbele-kinachozidi-kukua-kwa-wanahaakati\/","title":{"rendered":"Kuchukuliwa Hatua Masha&#341;iki mwa Kongo ni Kipaumbele Kinachozidi Kukua kwa Wanaha&#341;akati"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Oktoba 17 (IPS) &ndash; Wakati hali ikizidi kuzo&#341;ota masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC) kutokana na waasi ambao walianza mwezi Ap&#341;ili, baadhi ya wanaha&#341;akati wanaongeza wito wa kutaka kuingia kwa wanajeshi wa kigeni masha&#341;iki mwa nchi hiyo.&#8221;Wazo la wanajeshi wa kigeni limetugawa, lakini tumeamua kuwa kuna haja ya kuwepo kwa jeshi katika ukanda huu,&#8221; Baudoin Hamuli Kaba&#341;huza, m&#341;atibu wa kitaifa wa Taasisi ya Kimataifa ya Ukanda wa Maziwa Makuu, aliliambia jopo la mjadala hapa siku ya Jumatano, akizungumza kutoka Kinshasa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kaba&#341;huza alisema kuwa jeshi hilo lingehitaji kuwa la kimataifa na kuwa chini ya usimamizi wa Umoja wa Af&#341;ika na Umoja wa Mataifa.<\/p>\n<p>Suala hilo pia linajadiliwa ndani ya se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>&#8220;Je kuna ufumbuzi wa kijeshi wa tatizo hili  Tunaweza kuwezesha mabadiliko ya kijeshi ili kuleta mageuzi ya kisiasa &#8221; Steven Koutsis, kaumu mku&#341;ugenzi wa Ofisi ya Masuala ya Af&#341;ika ya Kati katika Ida&#341;a ya Masuala ya Kigeni ya Ma&#341;ekani, alisema Jumatano. &#8220;Kama unachemsha kila kitu, hilo ni suala ambalo tunalijadili ndani ya se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani tukishi&#341;ikiana na washi&#341;ika wetu.&#8221;<\/p>\n<p>Tangu mwezi Ap&#341;ili, masha&#341;iki mwa Kongo kumezidi kugawanywa na waasi ambao wamekuwa wakilenga wananchi wasiokuwa na hatia. Kufuatia kuondoka kwa wanajeshi wa Kongo katika maji&#341;a ya mvua, vikundi kadhaa vyenye silaha vilianzisha mfululizo wa mashambulizi ya umwagaji damu.<\/p>\n<p>Kwa uchache moja ya vikundi hivi, kinachojulikana kama M23, kinatuhumu se&#341;ikali ya Kinshasa kutokana na kukiuka makubaliano ya amani ya mwaka 2009 pamoja na Rwanda. Kwa mujibu wa &#341;ipoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Juni ikiwa ni pamoja na vyanzo vingi vya haba&#341;i, kikundi cha M23 kinapata msaada kutoka moja kwa moja se&#341;ikali ya Rwanda.<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa hivi ka&#341;ibuni kumekuwepo na ukomeshaji wa vita usiokuwa &#341;asmi kati ya M23 na se&#341;ikali ya DRC, hakuna mkataba wa kusitisha mapigano na hakuna njia ya ufuatiliaji iliyowekwa.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, kwa mujibu wa Koutsis, &#8220;Pande zote mbili zinazidi kusisitiza misimamo yao, na kama kwa sababu fulani usitishaji wa vita utashindwa, ku&#341;ejea kwa hatua za kijeshi kungesababisha matumizi makubwa ya nguvu kuliko kile ambacho tungekiona.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa shi&#341;ika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa, zaidi ya Wakongo 470,000 wamekimbia makazi yao tangu Ap&#341;ili.<\/p>\n<p>Siku ya Jumatano, Kamishina wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay alibainisha kuwa &#8220;mzunguko wa ghasia&#8221;, kwa upande mwingine, mashambulizi dhidi ya &#341;aia yanaweza kuwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.&#8221;<\/p>\n<p>Jeshi lenye uwezo zaidi <\/p>\n<p>Umoja wa Mataifa wenyewe taya&#341;i una jeshi linalofanya kazi huko Kongo, kikundi chenye nguvu cha aska&#341;i 18,000 kinachojulikana kama MONUSCO. Lakini huu &#8220;ujumbe wa kuleta utulivu&#8221; umekuja kukosolewa zaidi kutokana na kushindwa kulinda &#341;aia.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa ma&#341;a nyingine tena tunakabiliwa na mgogo&#341;o wa ukiukwaji wa haki za msingi masha&#341;iki mwa Kongo, na hadi sasa jumuiya ya kimataifa, na hasa MONUSCO, haijachukua hatua muhimu kukomesha hali hiyo ha&#341;aka,&#8221; Ma&#341;k Schneide&#341;, makamu wa &#341;ais mwandamizi wa shi&#341;ika la kutatua migogo&#341;o la kimataifa la Inte&#341;national C&#341;isis G&#341;oup, alisema mjini Washington siku ya Jumatano.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna imani kuwa kama kutakosekana dhami&#341;a ya MONUSCO kutumia matumizi ya nguvu zake kwa umadhubuti zaidi kupitia mamlaka yake, ni jambo lisilowezekana kuwa utaweza kupata msaada wa kisiasa ambao ni muhimu.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati kuna tofauti kimtazamo juu ya ni nini hasa mamlaka ya MONUSCO yana&#341;uhusu, na hivyo kujua ni kwa kiasi gani itawezekana kwa pamoja kuingilia vikundi vya wapiganaji masha&#341;iki mwa Kongo, Schneide&#341; alisema suala hilo liko wazi.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna suala la kuipatia mamlaka MONUSCO kuwalinda &#341;aia wasiokuwa na hatia kuwa suala la kipaumbele &ndash; hili siyo suala baya, lakini linafanyika kuwalinda &#341;aia,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;MONUSCO ni kikosi cha kijeshi chenye uwezo kama kinaelekezwa kutekeleza lengo lake. Hata hivyo nchini DRC, watu hawawezi kuelewa ni kwa nini kikosi cha kijeshi chenye uwezo mkubwa nchini humo hakina dhami&#341;a ya kutumia nguvu zake kutekeleza mamlaka yake.&#8221;<\/p>\n<p>Katika Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, Roge&#341; Meece, alielezea kipaumbele cha MONUSCO kuwa ni kulinda &#341;aia. Hata hivyo alielezea &#8220;kuzo&#341;ota kwa jumla kwa hali ya usalama &#8221; katika maeneo ya masha&#341;iki mwa Kongo kama &#8220;inayotisha sana&#8221;.<\/p>\n<p>Wakati wa amani ya kudumu <\/p>\n<p>Mkutano wa Ba&#341;aza la Usalama ulifanyika kujadili kuendelea kwa se&#341;ikali ya Rwanda kusaidia baadhi ya vikundi vya waasi masha&#341;iki mwa Kongo.<\/p>\n<p>Akitoa mfano wa uhusiano wa kipekee kati ya Ma&#341;ekani na se&#341;ikali ya Rwanda siku ya Jumatano, Kaba&#341;huza ali&#341;udia tena kutoa wito kwa Ma&#341;ekani kuongeza uwepo na ushi&#341;iki wake katika Kongo.<\/p>\n<p>Kwa miongo miwili iliyopita, Washington imekuwa mfadhili mkuu wa se&#341;ikali ya Rwanda. Ma&#341;ekani pia inatoa zaidi ya &#341;obo ya bajeti ya MONUSCO.<\/p>\n<p>Jumuiya ya kimataifa lazima kutoa wito kwa ji&#341;ani zake DRC, Kaba&#341;huza alisema. Wakati huo huo, &#8220;Ma&#341;ekani ina jukumu muhimu katika ukanda huo, kwani ina uhusiano mzu&#341;i na se&#341;ikali ya DRC ikiwa ni pamoja na Rwanda na Uganda.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Tumechoshwa na vita; tumechoshwa na kuteseka. Ni wakati sasa wa jumuiya ya kimataifa kusaidia amani ya kudumu hapa.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati Washington imeweka wazi nia yake ya kusaidia se&#341;ikali ya Kongo katika kupambana na waasi wa Lo&#341;d&#8217;s Resistance A&#341;my, ambao wanaendesha ope&#341;esheni zaidi katika nchi nne za Af&#341;ika ya kati, Kaba&#341;huza alisema maofisa wa se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani bado &#8220;hawajasema kitu&#8221; juu ya vikundi vya waasi vinavyochochea ghasia masha&#341;iki mwa Kongo, hasa kikundi cha DRC cha Democ&#341;atic Fo&#341;ces fo&#341; the Libe&#341;ation of Rwanda (FDLR), kikundi kinachotokana na mauaji ya halaiki ya Watusi mwaka 1994.<\/p>\n<p>Kufuatia uvumi kuwa se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani ilitaka kusitisha kuchapishwa kwa &#341;ipoti ya Umoja wa Mataifa ya mwezi Juni kuingiza suala la Rwanda kuendelea kusaidia waasi masha&#341;iki mwa DRC, Washington ilisitisha kutoa kiasi kidogo cha fedha, kinachofikia dola 200,000, kutoka se&#341;ikali ya Rwanda.<\/p>\n<p>Lakini siku ya Jumatano, Koutsis wa Ida&#341;a ya Mambo ya Nje alielezea kuchanganyikiwa kwake kutokana na se&#341;ikali kushindwa hadi sasa kudhibiti kwa kiasi kikubwa hatua za se&#341;ikali ya Rwanda.<\/p>\n<p>&#8220;Unafanya nini unapokuwa na mshi&#341;ika ambaye anafanya jambo ambalo ni kinyume na maslahi yetu na maslahi ya washi&#341;ika wengine na maslahi ya maji&#341;ani zake  Unawezaje kushawishi nchi kubadili se&#341;a zake &#8221; Koutsis aliuliza.<\/p>\n<p>&#8220;Ni kweli, tumefanya baadhi ya taa&#341;ifa na kuchukua baadhi ya hatua dhidi ya Rwanda, lakini hatimaye tunahitaji kushawishi Rwanda kuwa siyo katika maslahi yao kuendelea &#8221; kusaidia waasi wa M23, alihitimisha. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Oktoba 17 (IPS) &ndash; Wakati hali ikizidi kuzo&#341;ota masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC) kutokana na waasi ambao walianza mwezi Ap&#341;ili, baadhi ya wanaha&#341;akati wanaongeza wito wa kutaka kuingia kwa wanajeshi wa kigeni masha&#341;iki mwa nchi hiyo.&#8221;Wazo la wanajeshi wa kigeni limetugawa, lakini tumeamua kuwa kuna haja ya kuwepo kwa jeshi katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":949,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3936","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3936","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/949"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3936"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3936\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3936"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3936"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3936"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}