{"id":3935,"date":"2012-10-10T13:40:01","date_gmt":"2012-10-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/10\/wanawake-wa-mauitania-wageukia-ufugaji-wa-kuku-kupambana-na-umaskini\/"},"modified":"2012-10-10T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-10T13:40:01","slug":"wanawake-wa-mauitania-wageukia-ufugaji-wa-kuku-kupambana-na-umaskini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/10\/wanawake-wa-mauitania-wageukia-ufugaji-wa-kuku-kupambana-na-umaskini\/","title":{"rendered":"Wanawake wa Mau&#341;itania Wageukia Ufugaji wa Kuku Kupambana na Umaskini"},"content":{"rendered":"<p>NOUAKCHOTT, Oktoba 10 (IPS) &ndash; Kwa sasa jengo limesimama likiwa tupu, lakini Fatimetou Mint M&#8217;Ba&#341;kenni anaangalia ni lini litajaa tena vifa&#341;anga wa kuku. Mapema mwaka huu, alifuga kundi la kwanza la kuku wa nyama kama m&#341;adi wa maja&#341;ibio, kuwezesha kuongeza kipato chake na usalama wa chakula katika eneo la Bou&#341;ate, kijijini mwa Mau&#341;itania.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Vifa&#341;anga wa kwanza niliofuga niliwauza mwezi Juni, na nasubi&#341;i kampuni ya PROLPRAF kuleta vifa&#341;anga wengine wa kundi la pili &ndash; kuna mahitaji makubwa mno,&#8221; alisema M&#8217;Ba&#341;kenni mwenye um&#341;i wa miaka 53.<\/p>\n<p>PROLPRAF, m&#341;adi wa kuongeza thamani ya mazao na kupunguza umaskini, ni m&#341;adi wa pamoja wa se&#341;ikali ya Mau&#341;itania na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), wenye lengo la kukuza na kuima&#341;isha usalama wa chakula wakati huo huo ukikuza uzalishaji wa ndani wa mazao saba ya chakula &ndash;mboga mboga, dengu, maziwa, ngozi na kwato, nyama nyekundu na mazao ya msituni na kuku.<\/p>\n<p>&#8220;Kitengo cha Uzalishaji wa Kuku wa Nyama ni Ba&#341;aka kwetu sisi, hasa wakati wa kipindi hiki cha ukame mkubwa wakati kuna matatizo makubwa ya utapiamlo,&#8221; M&#8217;Ba&#341;kenni aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Mpango huu ni muhimu kwa wanawake, kutokana na kuwa wanaume wamekwenda kutafuta kazi katika miji mikubwa, kama vile Nouakchott na Nouadhibou,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Ma&#341;iem Mint Sidi ni meneja wa mtambo wa kuzalishia vifa&#341;anga vya kuku wa pili wa Foum Gleita, kusini masha&#341;iki mwa nchi. Anajivunia kile ambacho taya&#341;i amejifunza juu ya kulisha na kutunza vifa&#341;anga. Pia anapendezwa na bei nafuu ya kuku. &#8220;Mmoja anaweza kununua kilo 2.4 za kuku wa nyama wenye afya, nyama wenye lishe kwa dola sita.&#8221;<\/p>\n<p>Mwezi Juni, vitengo viwii vya kuku katika Bou&#341;ate na Foum Gleita kila kimoja kimepokea vifa&#341;anga 1,600 wa kuku walioagizwa kutoka nchi ji&#341;ani ya Mo&#341;occo, alielezea Ahmed Ould Sidina, msaidizi wa PROLPRAF anayehusika na uzalishaji wa mifugo. Aina ya kuku wa nyama wanaokua kwa ha&#341;aka wanaofaa kwa biasha&#341;a wanapendwa kwa ajili ya m&#341;adi huo; aina ya kuku wanaojulikana kama Cobb500 ambao walitoka nchini Ma&#341;ekani wana uwezo wa kustawi hata kwa kupewa chakula cha ubo&#341;a mdogo.<\/p>\n<p>&#8220;Vifa&#341;anga hao wana uwezo wa kukua vizu&#341;i katika maeneo ya joto kali (nyuzi 40 katika kivuli) na ni vifa&#341;anga 34 tu waliweza kufa kati ya 1,600,&#8221; alisema Ahmed Ould B&#341;ahim Khlil, mtaalam wa mifugo kutoka PROLPRAF.<\/p>\n<p>Aliiambia IPS kuwa vifa&#341;anga walikuwa wamepatiwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Gumbo&#341;o na Newcastle, magonjwa mawili yanayoshambulia zaidi kuku nchini Mau&#341;itania, na mameneja walikuwa wamepewa mafunzo ya jinsi ya kusafisha vifa&#341;anga na kuwapatia dozi ya vitamini.<\/p>\n<p>Kila kitengo kinagha&#341;imu dola zipatazo 10,000 kukijenga, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa jengo la mabati, ununuzi wa vifa&#341;anga na chakula, na ufungaji wa mabeseni ya maji na chakula, vifaa vya uingizaji wa joto, taa za sola na majokofu.<\/p>\n<p>Mint Sidi na M&#8217;Ba&#341;kenni ni wafanyakazi wa kujitolea ambao hawalipwi na m&#341;adi, ambao bado uko katika awamu ya maja&#341;ibio.<\/p>\n<p>Kipato kutokana na m&#341;adi wa maja&#341;ibio kimeuwezesha m&#341;adi kujenga mtaji wa uendeshaji wa dola 3,500 ambao utatumika kununulia vifa&#341;anga wapya na chakula. Oda nyingine ya vifa&#341;anga 2,000 inata&#341;ajiwa kutolewa katikati mwa Agosti, alisema B&#341;ahim Khlil.<\/p>\n<p>&#8220;Ufugaji wa kuku katika maeneo yenye umaskini mkubwa una malengo ya kuhakikisha uzalishaji endelevu na kuongeza shughuli za uingizaji wa kipato na kujenga aji&#341;a,&#8221; alielezea Mohamed Ould Abdallahi, m&#341;atibu wa PROLPRAF.<\/p>\n<p>Abdallahi anasema kuwa kutokana na msaada wa dola milioni 4.17 kutoka kwa IFAD, PROLPRAF ina lengo la kupunguza upoteaji wa fedha kwa kuhakikisha uagizaji wa mazao kutoka nje nafasi yake inachukuliwa na bidhaa za ndani. Mpango huo una lengo kuu la kuima&#341;isha hali ya maisha na vipato kwa wanawake na vijana kwa ujumla.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa wiza&#341;a ya maendeleo ya vijijini, wananchi wa Mau&#341;itania wanakula wastani wa tani 11,000 za kuku kwa mwaka, wastani wa kilo tatu hadi nne kwa kila mtu.<\/p>\n<p>Mahitaji ya kuku nchini Mau&#341;itania kwa sehemu yanatokana na uzalishaji wa ndani, lakini kuku wengi wanaingizwa kutoka nje, wakiwa katika hali ba&#341;afu. Kuku wanaofikia tani 5,000 na vifa&#341;anga wapatao 40,000 wenye um&#341;i wa siku moja wanaingia nchini kila mwaka. Vile vile, ni theluthi moja tu ya mayai yanayoliwa kwa mwaka nchini Mau&#341;itania yapatayo milioni tano yanazalishwa nchini.<\/p>\n<p>Gha&#341;ama za uagizaji wa mayai, kuku wa ba&#341;afu, vifa&#341;anga na chakula, vifaa na masuala mengine kunakadi&#341;iwa kufikia dola milioni 18 kwa mwaka, kwa mujibu wa Mokta&#341; Fall, mshau&#341;i wa mifugo katika wiza&#341;a ya maendeleo ya vijijini.<\/p>\n<p>Abdallahi Ould Nabgha, &#341;ais wa chama cha taifa cha wafugaji wa kuku Mau&#341;itania, alisema kuna mashamba 60 ya kuku yanayozunguka mji wa Nouakchott kusini magha&#341;ibi, Nouadhibou huko magha&#341;ibi, na Rosso na S&eacute;libaby upande wa kusini.<\/p>\n<p>&#8220;Sekta ya kuku inaaji&#341;i watu 10,000, bila hata kuhesabu faida inayopatikana kutokana na sekta hiyo, kama vile mbolea inayotumika au manyoya ambayo yanatumika kutengenezea vifutio vya kompyuta,&#8221; alisema Nabgha.<\/p>\n<p>Alikosoa nchi kutokana na kukosa miundombinu, ambako kunasababisha kuingiza vifa&#341;anga, chakula na vifaa kwa ajili ya ufugaji wa kuku.<\/p>\n<p>Ili kukabiliana na uhaba huu, se&#341;ikali ilisaini mkataba na wafanyabiasha&#341;a wa ndani Julai 22 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kuku mjini Nouakchott, mji mkuu wa nchi kwa gha&#341;ama ya dola milioni 34.<\/p>\n<p>Litakapokamilika katika miezi 18 ijayo, jengo hili litatumika kama kitengo cha uzalishaji wa vifa&#341;anga wa siku moja na kuku wa nyama kwa uwezo wa tani 20,000 kwa mwaka, ikiwa ni pamoja na kuzalisha mayai milioni 15 na tani 120,000 za chakula cha kuku kwa mwaka, Yahya Ould Abdeldayem, mku&#341;ugenzi wa uwekezaji katika wiza&#341;a ya afya, aliiambia IPS. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NOUAKCHOTT, Oktoba 10 (IPS) &ndash; Kwa sasa jengo limesimama likiwa tupu, lakini Fatimetou Mint M&#8217;Ba&#341;kenni anaangalia ni lini litajaa tena vifa&#341;anga wa kuku. Mapema mwaka huu, alifuga kundi la kwanza la kuku wa nyama kama m&#341;adi wa maja&#341;ibio, kuwezesha kuongeza kipato chake na usalama wa chakula katika eneo la Bou&#341;ate, kijijini mwa Mau&#341;itania. &#8220;Vifa&#341;anga wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":914,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3935","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3935","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/914"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3935"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3935\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3935"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3935"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3935"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}