{"id":3930,"date":"2012-10-09T13:40:01","date_gmt":"2012-10-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/09\/uzalishaji-wa-nafaka-kwa-ajili-ya-watoto-wenye-upungufu-wa-lishe-boa-nchini-mali\/"},"modified":"2012-10-09T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-09T13:40:01","slug":"uzalishaji-wa-nafaka-kwa-ajili-ya-watoto-wenye-upungufu-wa-lishe-boa-nchini-mali","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/09\/uzalishaji-wa-nafaka-kwa-ajili-ya-watoto-wenye-upungufu-wa-lishe-boa-nchini-mali\/","title":{"rendered":"Uzalishaji wa Nafaka kwa Ajili ya Watoto Wenye Upungufu wa Lishe Bo&#341;a Nchini Mali"},"content":{"rendered":"<p>BAMAKO, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Mtama umekuwa kitu muhimu katika unga wenye vi&#341;utubisho katika jitihada za ndani na endelevu za kukabiliana na utapiamlo nchini Mali.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika jiji la Kati, baadhi ya kilomita 15 kutoka mji mkuu, Bamako, idadi ya wanawake wana kazi nyingi wakisindika nafaka hizo kuwa &#8220;Misola&#8221;.<\/p>\n<p>Mpango wa Misola, uliojengwa na chama cha Kifa&#341;ansa chenye jina kama hilo, ni m&#341;adi wa afya ya umma ambao una lengo la kupunguza upungufu wa lishe bo&#341;a miongoni mwa watoto wa um&#341;i mdogo.<\/p>\n<p>&#8220;Tunanunua mtama, zao muhimu katika kubo&#341;esha unga wetu tunaozalisha, kutoka kwa wafanyabiasha&#341;a wa nafaka katika jiji hapa,&#8221; alisema Ramata T&#341;ao&#341;&eacute;, ambaye anaongoza mtambo wa uzalishaji wa Kati.<\/p>\n<p>Unga umetengenezwa kwa mtama kwa asilimia 60, soya kwa asilimia 20, na ka&#341;anga kwa asilimia 10. Vitamini na madini ya chumvi yanaongezwa katika unga huu ili kuwa na mlo kamili ambao unatumika kukomesha upungufu wa vi&#341;utubisho mwilini.<\/p>\n<p>Mahitaji ya unga yanazidi kuongezeka nchini Mali, kufuatia mavuno duni katika msimu uliopita. Utapiamlo ni tatizo kubwa katika nchi hii ya hali ya jangwa katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi, ambako usalama wa chakula umeathi&#341;iwa zaidi na ukame wa miaka ya ka&#341;ibuni &ndash; hali ambayo imezidishwa na uasi unaoendelea katika upande wa kaskazini.<\/p>\n<p>Katika mwezi Desemba, Wiza&#341;a ya Kilimo ilisema kuwa nchi imevuna zaidi ya milioni tano za nafaka, dhidi ya kiwango kilichokadi&#341;iwa cha tani milioni nane.<\/p>\n<p>&#8220;Mgogo&#341;o wa chakula unaozidi kukua unaongeza hata&#341;i ya utapiamlo katika mikoa kadhaa ya Mali, ikiwa ni pamoja na Kayes (kusini magha&#341;ibi), Kouliko&#341;o na S&eacute;gou (kusini),&#8221; alisema Aminata Sissoko, mtaalam wa lishe katika shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu Mali.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa kuwekwa kwa mikoa mitatu ya kaskazini ya Kidal, Timbuktu na Gao chini ya makundi ya Kiislam na waasi kutoka kundi la National Movement fo&#341; the Libe&#341;ation of Azawad (MNLA) kumezidisha hali ya uhaba wa chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na hali hiyo, hatujaweza kwenda katika maeneo yanayodhibitiwa na vikundi vya waasi kutathmini mahitaji. Lakini tunasaidia watu walioyakimbia makazi kutokana na vita kwa kuwapatia unga wa Misola,&#8221; Sissoko aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Moja katika kila watoto watano wa Mali ana upungufu wa lishe bo&#341;a mwilini, kwa mujibu wa Abdoulaye Sangho, m&#341;atibu wa tawi la Misola nchini Mali.<\/p>\n<p>&#8220;Sisi ni NGO ambayo inasaidia wanawake wazalishaji wa unga wa Misola,&#8221; Sangho aliiambia IPS. &#8220;Lengo letu ni kubo&#341;esha viwango vya lishe vya wakazi wote, kwa kulenga watoto wa kati ya um&#341;i wa miaka sita na miezi 60, na wanawake wajawazito na wanaonyonyesha.&#8221;<\/p>\n<p>Kituo cha uzalishaji wa Misola kilianzishwa mwaka 1993 katika eneo la Diafa&#341;ab&eacute;, katika mkoa wa kati. Mpango huo ulikua kwa kasi, na leo hii kuna viwanda vidogo 19 vilivyoenea katika mikoa yote ya nchi isipokuwa Kidal, katika upande wa kaskazini.<\/p>\n<p>M&#341;adi unakwenda mbali hadi kuvuka mipaka ya nchi. Uzalishaji wa unga wenye vi&#341;utubisho ulianza nchini Bu&#341;kina Faso mwaka 1982, na unga huo wenye lishe sasa unatengenezwa nchini Senegal, Nige&#341; na Benin.<\/p>\n<p>Nembo moja inaunganisha makampuni yanayotengeneza unga wa Misola. &#8220;Wanawake wanaofanya kazi katika kila m&#341;adi pia wanakuza njia bo&#341;a za kutengeneza unga wa lishe kwa maji&#341;ani zao. Wanaandaa mikutano ya maonesho katika vituo vya afya au katika maeneo mengine ya umma,&#8221; alisema Sangho.<\/p>\n<p>&#8220;Alipokuwa na um&#341;i wa miezi saba, mtoto wangu alikuwa mgonjwa sana na pia mkondefu. Lakini sikujua tatizo lilikuwa ni utapiamlo. Ni wakati wa maonesho ya Misola katika soko niliweza kujua tatizo hilo,&#8221; alisema Assetou T&#341;ao&#341;&eacute;, muuza viungo vya chakula.<\/p>\n<p>Kwa kuwafunza wanawake hawa kutengeneza unga huu &ndash; ambao unatumika kwa uji &ndash; ikiwa ni pamoja na kukuza matumizi yake katika jumuiya zao, chama cha Misola kinajenga uelewa mpana wa suala zima la lishe na uelewa wa jinsi ya kufikia jambo hili, kwa kujikita katika vifaa vya uzalishaji.<\/p>\n<p>Katika eneo lililozungushiwa ua huko Kati, T&#341;ao&#341;&eacute; na wenzake wametandaza mtama ambao wameuosha kwa umakini ma&#341;a kadhaa ili kuuanika juani katika matu&#341;ubai. &#8220;Kutokana na kuwa tunachozalisha kinatakiwa kutumika kwa chakula cha watoto, tunakuwa makini sana na usafi,&#8221; alisema T&#341;ao&#341;&eacute;, akielezea ni kwa nini hakuna anaye&#341;uhusiwa kuingia katika ghala akiwa amevaa viatu.<\/p>\n<p>Chata Ma&#341;iko, nesi katika kituo cha afya cha Bamako aliiambia IPS kuwa njia zinazopendekezwa kuzuia utapiamlo zinapatikana kiu&#341;ahisi. &#8220;Paketi ya chakula hiki inagha&#341;imu siyo zaidi ya fa&#341;anga za CFA 500 (kama dola moja). Lakini kwa bahati mbaya, kuna wazazi ambao hawataki kuwaleta watoto wao katika vituo vya afya kwa wakati unaotakiwa,&#8221; alisema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BAMAKO, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Mtama umekuwa kitu muhimu katika unga wenye vi&#341;utubisho katika jitihada za ndani na endelevu za kukabiliana na utapiamlo nchini Mali. Katika jiji la Kati, baadhi ya kilomita 15 kutoka mji mkuu, Bamako, idadi ya wanawake wana kazi nyingi wakisindika nafaka hizo kuwa &#8220;Misola&#8221;. Mpango wa Misola, uliojengwa na chama cha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":766,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3930","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3930","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/766"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3930"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3930\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3930"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3930"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3930"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}