{"id":3929,"date":"2012-10-09T13:40:01","date_gmt":"2012-10-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/09\/kuelewa-mizizi-ya-ajia-kwa-watoto-nchini-ghana\/"},"modified":"2012-10-09T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-09T13:40:01","slug":"kuelewa-mizizi-ya-ajia-kwa-watoto-nchini-ghana","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/09\/kuelewa-mizizi-ya-ajia-kwa-watoto-nchini-ghana\/","title":{"rendered":"Kuelewa Mizizi ya Aji&#341;a kwa Watoto Nchini Ghana"},"content":{"rendered":"<p>KUMASI, Ghana, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Akiwa na um&#341;i wa miaka kumi na moja, Thema, &#341;aia wa Kumasi, ana matumaini ya kuwa nesi atakapokuwa mkubwa. Hata hivyo, kwa sasa ameaji&#341;iwa akitembea kutoka teksi moja hadi nyingine au ga&#341;i la abi&#341;ia moja hadi jingine katika masaa ya abi&#341;ia wengi, akibeba kontena lake la ba&#341;afu kichwani huku akiziuza kwa wapita njia kwa pesewas 10 kila moja. Anapita katikati ya maga&#341;i katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ghana; na amekuwa akifanya hivyo kwa miaka minne.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Aji&#341;a kwa watoto zinaongezeka nchini Ghana, hasa katika maeneo ya mijini. Kwa mujibu wa &#341;ipoti ya hali ya watoto duniani ya Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) ya mwaka 2012, asilimia 34 ya watoto nchini Ghana wenye um&#341;i kati ya miaka mitano na 14 wanatumika katika aji&#341;a &ndash; ongezeko kutoka asilimia 23 mwaka 2003. Emilia Allan, Ofisa wa Kutetea Watoto katika UNICEF Ghana, alibainisha kuwa Kumasi pekee ina asilimia nane ya takwimu hiyo.<\/p>\n<p>Alielezea baadhi ya madha&#341;a ya aji&#341;a kwa watoto.<\/p>\n<p>&#8220;Inakiuka haki za watoto, inaathi&#341;i afya zao, na inawaweza kuwaje&#341;uhi,&#8221; alisema. &#8220;Inazuia na kuingiliana na elimu yao, na inasababisha baadhi ya madha&#341;a kama vile kunyonywa kingono, kufanyiwa ukatili na kusafi&#341;ishwa kwa watoto.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini kwa ujumla watoto kufanya kazi ni jambo linalokubalika nchini Ghana, na fasili ya aji&#341;a ya utotoni inajadiliwa kwa kina. Pamoja na kuwa um&#341;i wa chini kishe&#341;ia kwa mtu kuaji&#341;iwa ni miaka 15, She&#341;ia ya Watoto ya mwaka 1998 inasema kuwa watoto wenye um&#341;i wa miaka 13 na zaidi wanaweza kufanya baadhi ya kazi nafuu. Na Mpango wa Utekelezaji wa Kitaifa wa Kutokomeza Aji&#341;a Mbaya kwa Watoto wa hivi ka&#341;ibuni, unaojikita katika Mkataba Na. 182 wa Shi&#341;ika la Kazi Duniani (ILO), ambao unatambua changamoto za kutokomeza kabisa aji&#341;a kwa watoto; umebuniwa, badala yake, kulinda watoto kutokana na kazi ambazo zinaweza kuathi&#341;i maendeleo yao kimwili au kielimu.<\/p>\n<p>Moja ya suala lenye utata ni kazi za majumbani, kama vile kupika, kusafisha nyumba, kuuza maduka, na kutunza ndugu wadogo. P&#341;ince Ohene&ndash;Ko&#341;anteng, mku&#341;ugenzi wa mawasiliano katika shi&#341;ika la kulinda watoto la &#8220;Defense fo&#341; Child&#341;en Inte&#341;national&#8221; nchini Ghana, alielezea kuwa kazi hizo ma&#341;a nyingine zinakubalika.<\/p>\n<p>&#8220;Mambo hayo yanawezekana, na hayafai kukomeshwa, ikiwa kama hayazuii mtoto kupata elimu bo&#341;a,&#8221; alisema. &#8220;Lakini yanatakiwa kuwa na kikomo mahali fulani, kwasababu katika mahali fulani mtoto anatakiwa kufanya kazi zake za shule,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Allan wa UNICEF alisema kuwa baadhi ya kazi za nyumbani zinaweza kuchangia watoto kuchangamana na wengine au kupata mafunzo, lakini anabainisha ni wakati gani hata kazi &#341;ahisi zinaweza kukiuka haki za watoto.<\/p>\n<p>&#8220;Nchini Ghana, watoto wanasaidia familia zao,&#8221; alielezea. &#8220;Msaada huo unapokuwa na atha&#341;i katika afya ya mtoto, au katika elimu ya mtoto, inaonekana kama aji&#341;a kwa mtoto,&#8221; alisema, akiongeza kuwa kila mtoto ana haki ya kulindwa kutokana na kufanya kazi ambazo zinatishia afya, elimu au maendeleo yake.<\/p>\n<p>Watoto wengi pia wanasaidia wanafamilia wao kwa kufanya kazi za muda mfupi, na kuhudhu&#341;ia shule katika mfumo wa kupokezana (shift). Wanaweza kwenda shule asubuhi na kufanya kazi mchana, au kufanya kazi siku fulani na kusoma siku nyingine. Lakini hili pia linaweza kuzuia maendeleo yao na kuonekana kama aji&#341;a kwa mtoto, kwa mujibu wa Allan.<\/p>\n<p>&#8220;Kama mtoto . . . anakwenda kuuza vitu halafu anakwenda shule katika mfumo wa kupokezana, atakwenda shule akiwa amechoka na kuwa na usingizi. Hii inaathi&#341;i elimu ya mtoto, kwasababu akili inakuwa haifanyi kazi,&#8221; alisema, akiongeza kuwa hawana muda wa kufanya kazi zao za shule.<\/p>\n<p>Pia alibainisha kuwa wakati mtoto anapatiwa mzigo wa kubeba kichwani, pamoja na kuonekana kuwa kazi &#341;ahisi, inaweza kuathi&#341;i ukuaji wao wa kimwili na kuwa na atha&#341;i katika maendeleo yao.<\/p>\n<p>Uelewa wa Allan wa she&#341;ia za kitaifa unashabihiana na Ohene&ndash;Ko&#341;anteng. Alisema kuwa aina yoyote ile ya kazi mbaya, iwe &#8220;&#341;ahisi&#8221; au &#8220;hata&#341;i,&#8221; ni aji&#341;a kwa mtoto &ndash; na hivyo kuwa kinyume cha she&#341;ia. Lakini, alisema, she&#341;ia inatekelezwa ma&#341;a chache.<\/p>\n<p>&#8220;Hata kama she&#341;ia iko katika vitabu vyetu, vyombo vya utekelezaji vinapaswa kufanya kazi kubwa zaidi kuweza kulinda watoto,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kama tutaachia hili kwa wazazi pekee, kutokana na watoto kuwasaidia kufikia mahitaji yao ya kila siku, wataendelea kuwaingiza katika mitaa.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Jacob Achulu, mku&#341;ugenzi wa kanda ya Ashanti katika Wiza&#341;a ya Aji&#341;a na Ustawi wa Jamii, matatizo hayo ya utekelezaji yanatokana na kukosekana kwa fedha.<\/p>\n<p>&#8220;Mfumo wa she&#341;ia upo,&#8221; alisema. &#8220;Tatizo ni utekelezaji &ndash; na nadhani inatokana na umaskini kuenea sana katika maeneo mengi ya nchi yetu.&#8221;<\/p>\n<p>Kukosekana kwa usalama wa fedha kunamzuia Aku kwenda shule. Ana um&#341;i wa miaka 10, na anahudhu&#341;ia shule anapoweza, lakini wakati wazazi wake wanaposhindwa kulipia ada anauza pilipili katika soko la Kejetia.<\/p>\n<p>&#8220;Alikwenda shule leo, lakini mwalimu alimfukuza kutokana na kushindwa kulipa ada,&#8221; alielezea mwanamke katika soko hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Wanataka kwenda kesho, lakini kutokana na pesa&mdash;ada za shule&mdash;mama alisema watakwenda katika huduma badala yake,&#8221; alitafsi&#341;i.<\/p>\n<p>Achulu alitoa wito wa hatua kali zaidi kuchukuliwa.<\/p>\n<p>&#8220;Mi&#341;adi ya ILO na ya NGO inaka&#341;ibishwa, lakini kuna haja ya kuwa na shughuli endelevu ambazo zitahakikisha kuwa familia zinaweza kuwabakisha watoto wao shule,&#8221; alielezea.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la kutetea haki za watoto la &#8220;Ghana Child&#341;en&#8217;s Rights P&#341;otection Foundation&#8217;, au GCRPF, ni shi&#341;ika ambalo lina lengo la kufanya kazi kwa kutafutia ufumbuzi wa aji&#341;a kwa watoto kuanzia katika mzizi. Wanachama wake wanatoa vifaa vya shule na kufadhili wanafamilia wa kipato cha chini, na kusaidia wazazi kuingiza kipato cha nyongeza kupitia mi&#341;adi mbalimbali ya moja kwa moja. Katibu wake, Osbo&#341;n Kwasi&ndash;Sa&#341;pong, alibainisha umuhimu wa kuongeza kipato cha familia.<\/p>\n<p>&#8220;Ni jinsi gani mtoto anaweza kwenda shule kesho kama ataacha kuuza maji leo &#8221; aliuliza. &#8220;Jambo la msingi ambalo tunapaswa kufanya ni kuona ustawi wa mama, mzazi, kuweza kutafuta kitu cha kufanya kwa mikono yake,&#8221; alielezea.<\/p>\n<p>Na hatimaye, alisema mku&#341;ugenzi wa GCRPF, Mchungaji Ch&#341;istian Antwi&ndash;Boasiako, kuwaondoa watoto wengi mitaani na kuwapeleka shule kutakuwa na faida siyo tu kwa mtoto, lakini pia kwa taifa zima kwa ujumla.<\/p>\n<p>&#8220;Mtoto anapaswa kuwa na elimu nzu&#341;i, na afya bo&#341;a,&#8221; alisema, &#8220;halafu wakati anapokua, atachangia pia katika maendeleo ya taifa.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KUMASI, Ghana, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Akiwa na um&#341;i wa miaka kumi na moja, Thema, &#341;aia wa Kumasi, ana matumaini ya kuwa nesi atakapokuwa mkubwa. Hata hivyo, kwa sasa ameaji&#341;iwa akitembea kutoka teksi moja hadi nyingine au ga&#341;i la abi&#341;ia moja hadi jingine katika masaa ya abi&#341;ia wengi, akibeba kontena lake la ba&#341;afu kichwani huku&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":947,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3929","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3929","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/947"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3929"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3929\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3929"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3929"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3929"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}