{"id":3928,"date":"2012-10-09T13:40:01","date_gmt":"2012-10-09T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/09\/dakika-67-za-aibu-katika-sheehe-za-kuzaliwa-kwa-mandela\/"},"modified":"2012-10-09T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-09T13:40:01","slug":"dakika-67-za-aibu-katika-sheehe-za-kuzaliwa-kwa-mandela","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/09\/dakika-67-za-aibu-katika-sheehe-za-kuzaliwa-kwa-mandela\/","title":{"rendered":"Dakika 67 za Aibu Katika She&#341;ehe za Kuzaliwa kwa Mandela"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Wendy Hlophe* anaonekana wazi kuwa bado anaomboleza msiba wa &#341;afiki yake wa siku nyingi, Sanna Supa, mwenye um&#341;i wa miaka 28, ambaye alipigwa &#341;isasi na kuuawa nje ya nyumba yake huko B&#341;aamfiche&#341;ville, kitongoji cha makazi duni nchini Af&#341;ika Kusini, wiki mbili zilizopita. Kwa bahati mbaya, Hlophe anajilaumu kutokana na kifo cha ghafla cha Supa. Supa, mwanamke mwenye tabia za ushoga kutokana na kuwa msagaji ambaye alijitokeza &#341;asmi kujitangaza tabia zake hizo miaka mitatu iliyopita, ni mmoja wa wanawake wachache wasagaji ambao wako wazi juu ya tabia yao wanaoishi katika makazi hayo. Yeye ni ofisa tawala katika Shule ya Sekonda&#341;i ya Snake huko Dobsonville, Soweto, na aliuawa alipokuwa akiegesha ga&#341;i lake kwenye nyumba yake Julai 1.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hlophe aliiambia IPS kuwa anajiona amehusika na kifo cha Supa kwasababu anajulikana kama mwanamke msagaji katika makazi hayo na alimuunga mkono alipojitangaza waziwazi. Hlophe anahofia uka&#341;ibu wao uliweza kumfanya Supa kuwa mlengwa.<\/p>\n<p>&#8220;Tulikua pamoja katika mtaa mmoja na ma&#341;a nyingi tulionekana tukiwa pamoja,&#8221;aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Nilishutshwa, na sikuweza kuamini kuwa alishafa&#341;iki. Alikuwa ni mtu mzu&#341;i,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Wakati wa kifo cha Supa shi&#341;ika la Fo&#341;um fo&#341; the Empowe&#341;ment of Women (FEW) lilikuwa na imani kuwa uhalifu huo ulitokana na tabia yake kwani siyo ga&#341;i lake wala mali nyingine ziliibwa.<\/p>\n<p>&#8220;Ni sisi pekee katika nchi hii tunaoona mauaji haya &#8230; je watu wanaouwa siyo binadamu kamilifu au &#341;aia kamili &#8221; liliuliza shi&#341;ika la FEW katika taa&#341;ifa yake.<\/p>\n<p>Uhalifu huo siyo mpya nchini Af&#341;ika Kusini. Supa ni mmoja kati ya wanawake wasagaji 10 ambao wameuawa nchini kote Af&#341;ika Kusini katika mwezi uliopita kutokana na tabia yao, alisema Jabu Pe&#341;ei&#341;a, mwanaha&#341;akati wa jinsia na haki za binadamu. Mashoga wanashambuliwa kila ma&#341;a nchini kote Af&#341;ika Kusini, wanasema wanaha&#341;akati.<\/p>\n<p>Mwezi Feb&#341;ua&#341;i wanaume wanne wa Af&#341;ika Kusini walihukumiwa kifungo cha hadi miaka 18 jela kutokana na kumpiga mawe na kumchoma kwa vitu vyenye ncha kali katika eneo la wazi kijana wa kike Zoliswa Nkonyana msagaji mwenye um&#341;i wa miaka 19 mwaka 2006. Uhalifu dhidi ya wasagaji ni jambo la kawaida hapa, huku kukiwa na matukio mengi ya &#8220;kuwabaka ili kuwabadilisha tabia&#8221;, ambapo wanaume wanaamini kuwa wana uwezo wa &#8220;kutibu&#8221; usagaji kwa kuwabaka.<\/p>\n<p>Hivyo wakati Ijumaa ya Julai 18 ilikuwa ni maadhimisho ya mwaka wa 94 wa kuzaliwa kwa &#341;ais wa kwanza kuchaguliwa kidemok&#341;asia nchini Af&#341;ika Kusini na mtu maa&#341;ufu duniani kote, Nelson Mandela, wanaha&#341;akati wa haki za mashoga hapa walisema hawana jambo la kushe&#341;ehekea.<\/p>\n<p>Na katika dakika 67 ambazo Waaf&#341;ika Kusini walitakiwa kutoa huduma kwa umma, alama ya miaka 67 ambayo Mandela alitumikia katika kupambana na uhu&#341;u, zilionekana kushindwa.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa jinsia na wa haki za binadamu waliita siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mandela siku ya aibu kwa se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini na chama tawala cha Af&#341;ican National Cong&#341;ess (ANC), ambacho bado Mandela ni mwanachama, kutokana na kushindwa kuzuia uhalifu dhidi ya mashoga.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati waliituhumu se&#341;ikali ya sasa kutokana na kugeuzia mgongo kila jambo ambalo &#341;ais wa zamani Mandela alilisimamia wakati wa maandamano yao ya amani katika viwanja vya Lib&#341;a&#341;y Ga&#341;dens mjini Johannesbu&#341;g Julai 18.<\/p>\n<p>Zaidi ya mashoga mia moja, na mashi&#341;ika kadhaa ya ki&#341;aia na haki za binadamu walikusanyika kupinga kuendelea kuongezeka kwa unyanyasaji, ubakaji, kutokuvumiliana na se&#341;ikali kushindwa kutafutia ufumbuzi tatizo hilo. Wanasema ukimya wa se&#341;ikali katika hali ya kuendelea kuongezeka kwa wimbi la uhalifu kumezidisha hali hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Tunatiwa aibu na viongozi wetu, tunaugua na kuchoshwa na ukimya wao,&#8221; Pe&#341;ei&#341;a alisema.<\/p>\n<p>Waandaaji wa maandamano pia walilaani matamshi ya kibaguzi yaliyotolewa na Mbunge wa chama cha ANC Nkosi Patekile Holomisa kufuatia uwasilishwaji wa ma&#341;ekebisho ya Katiba kutoka kwa Bunge la Viongozi wa Jadi kwenda kwa Kamati ya Ma&#341;ekebisho ya Katiba ya Bunge ambayo imependekeza kuondoelwa kwa vifungu vya katiba vinavyolinda watu kutokana na ubaguzi unaojikita katika upendeleo wao wa kujamiiana au jinsia zao.<\/p>\n<p>Holomisa ni wakili wa Mahakama Kuu, kiongozi wa jadi, mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Ma&#341;ekebisho ya Katiba na mwenyekiti wa Ba&#341;aza la Viongozi wa Jadi Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>Holomisa alisema Mei 2012 katika mahoajiano kuwa: &#8220;ANC inatambua kuwa Waaf&#341;ika Kusini wengi hawataki kukuza au kulinda haki za mashoga.&#8221;<\/p>\n<p>Katika mahojiano alisema hataki kufuta kauli yake hiyo na kwamba &#8220;ninakotoka mambo haya hayaungwi mkono, hayavumiliwi.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, chama tawala kimejiweka mbali na maoni haya. &#8220;ANC ina imani kuwa she&#341;ia yoyote ile inayonyima watu haki ya kuchagua upendeleo wao wa kujamiiana inawadha&#341;au katika jamii pana na hivyo kwenda kinyume na utu wao na kukiuka Kifungu cha 9 cha Katiba.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati haya yakijitokeza, Wandile Ntubeni* ameketi kandokando mwa viwanja vya Lib&#341;a&#341;y Ga&#341;dens akiangalia kikundi cha waandamanaji wakiimba katika kiwanja hicho.<\/p>\n<p>Ntubeni, 35, ambaye ni baba wa watoto watatu, alisema kuwa alichokisikia kuhusu ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya mashoga kimemuumiza. Yeye ni mfanyakazi mhamiaji kutoka jimbo la Cape ya Masha&#341;iki, ambako, alidai, hana mawasiliano na mashoga. Lakini aliiambia IPS kuwa siyo sahihi kwa se&#341;ikali kuendelea kuwa kimya juu ya suala hili.<\/p>\n<p>&#8220;Ninailamu se&#341;ikali, wanahitaji kuwa na jukumu kubwa katika mjadala wa jinsi gani ya kushughulikia suala hili na kutafuta njia ya jinsi ya kulishughulikia. Kutokana na kuwa baadhi ya mambo yanaweza kukubaliwa tu kama se&#341;ikali au chama tawala kitatupatia uongozi.&#8221;<\/p>\n<p>Ntubeni mwenyewe aliona ni vigumu kuelezea jinsi gani mauaji yalionekana kuwa jibu pekee ambalo wanatendewa wanawake mashoga.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wana haki ya kuamua wanachokitaka kufanyia miili yao,&#8221; alihitimisha.<\/p>\n<p>Wakati akizungumza, mku&#341;ugenzi wa M&#341;adi wa Usawa wa Mashoga, Vi&#341;ginia Setshedi, aliongoza waandamanaji waliokuwa wakiimba kwenda ofisi za ANC, ambayo ilikuwa upande mwingine wa viwanja vya Lib&#341;a&#341;y Ga&#341;dens.<\/p>\n<p>&#8220;Inatosha sasa!&#8221; Alipiga kelele kwa maofisa kadhaa wa chama cha ANC, ikiwa ni pamoja na maofisa wa polisi, ambao walisimama katika msta&#341;i kulinda kuta za jengo hilo.<\/p>\n<p>Baadhi walitema mate, walicheka kicheko cha kejeli na kunong&#8217;onezana, &#8220;Huku ni kupoteza muda&#8221; wakati akisoma madai ya waandamanaji, ambayo yalitaka se&#341;ikali kuvunja ukimya wake juu ya suala hilo.<\/p>\n<p>&#8220;Huu siyo mzaha!&#8221; alipiga kelele kwa sauti kali. &#8220;Hili ni suala la kufa na kupona na hatutaondoka.&#8221;<\/p>\n<p>Meneja wa uchaguzi wa ANC Mandla Dlamini alipokea madai hayo na kusema kuwa chama kitapitia wa&#341;aka huo na kutoa majibu katika wakati muafaka.<\/p>\n<p>Wakati huohuo, hali ya ghasia na kudhalilisha mashoga nchini Af&#341;ika Kusini kunazidi kuwa hali ya ukweli usiopingika.<\/p>\n<p>Lakini kifo cha udhalilishaji cha Supa ni jambo ambalo Hlophe hatalisahau.<\/p>\n<p>&#8220;Alikuwa dada yangu, bado siwezi kuonana na mama yake,&#8221; alisema akiwa anatokwa na machozi.<\/p>\n<p>&#8220;Alikuwa na fu&#341;aha wakati akitoka kwa mama yake,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Usiku wa mishumaa ulifanyika Julai 18 katika makumbusho ya &#8220;Women&#8217;s Gaol&#8221;, katika eneo la Mahakama ya Katiba nchini humo mjini Johannesbu&#341;g.<\/p>\n<p>Ilikuwa wakati wa kukumbuka wale wote waliouawa kutokana na chuki za kubaguliwa jinsia zao kuanzia mwaka 2001 hadi Julai 2012. Majina yao ni haya:<\/p>\n<p>Ivan Johannes,<\/p>\n<p>Zoliswa Nkonyana,<\/p>\n<p>Madoe Mafubedu,<\/p>\n<p>Simangele Nhlapho,<\/p>\n<p>Sizakele Sigasa,<\/p>\n<p>Salome Massoa,<\/p>\n<p>Thokozane Qwade,<\/p>\n<p>Waldo Beste&#341;,<\/p>\n<p>Eudy Simelane,<\/p>\n<p>Khanyiswa Loyi Hani,<\/p>\n<p>Desmond &#8220;Daisy&#8221; Dube,<\/p>\n<p>Neil Daniels,<\/p>\n<p>Sibongile Mphelo,<\/p>\n<p>Gi&#341;ly S&#8217;Gelane Nkosi,<\/p>\n<p>Noxolo Magwaza,<\/p>\n<p>Nqobile Khumalo,<\/p>\n<p>Hajulikani,<\/p>\n<p>Nontsikelelo Tyatyeka,<\/p>\n<p>Hajulikani,<\/p>\n<p>Thapelo Makhutle,<\/p>\n<p>Phumeza Nkolozi,<\/p>\n<p>Sasha Lee Go&#341;don,<\/p>\n<p>And&#341;ithat Thapelo Mo&#341;ifi,<\/p>\n<p>na Sanna Supa.<\/p>\n<p>*Majina yamebadilishwa kutunza utambulisho wao. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Oktoba 9 (IPS) &ndash; Wendy Hlophe* anaonekana wazi kuwa bado anaomboleza msiba wa &#341;afiki yake wa siku nyingi, Sanna Supa, mwenye um&#341;i wa miaka 28, ambaye alipigwa &#341;isasi na kuuawa nje ya nyumba yake huko B&#341;aamfiche&#341;ville, kitongoji cha makazi duni nchini Af&#341;ika Kusini, wiki mbili zilizopita. Kwa bahati mbaya, Hlophe anajilaumu kutokana na kifo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":946,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3928","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3928","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/946"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3928"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3928\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3928"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3928"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3928"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}