{"id":3926,"date":"2012-10-03T13:40:01","date_gmt":"2012-10-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/03\/uchunguzi-wagundua-mtandao-wa-biashaa-haamu-ya-usafiishaji-wa-silaha-nchini-mauitius\/"},"modified":"2012-10-03T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-03T13:40:01","slug":"uchunguzi-wagundua-mtandao-wa-biashaa-haamu-ya-usafiishaji-wa-silaha-nchini-mauitius","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/03\/uchunguzi-wagundua-mtandao-wa-biashaa-haamu-ya-usafiishaji-wa-silaha-nchini-mauitius\/","title":{"rendered":"Uchunguzi Wagundua Mtandao wa Biasha&#341;a Ha&#341;amu ya Usafi&#341;ishaji wa Silaha nchini Mau&#341;itius"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 2 (IPS) &ndash; Uchunguzi wa m&#341;adi wa &#8220;Conflict Awa&#341;eness&#8221; umegundua mtandao wa biasha&#341;a ya silaha unaohusishwa na mfanyabisha&#341;a ha&#341;amu wa zamani Vikto&#341; Bout ambao unahusisha makampuni kutoka Ma&#341;ekani, Af&#341;ika Kusini na Uinge&#341;eza, miongoni mwa nchi nyingine. Wote wameunganishwa na mfumo mpana ambao una kituo chake katika kisiwa cha Mau&#341;itius.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lengo la wasafi&#341;ishaji hao wa silaha ni kuzifikia nchi kama I&#341;an, Sudan, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo, Somalia na pengine Sy&#341;ia, watafiti wanasema.<\/p>\n<p>Kathi Lynn Austin, mku&#341;ugenzi mtendaji wa M&#341;adi wa Conflict Awa&#341;eness,ambao uliongoza uchunguzi, anasema ndiyo punde tu wame&#341;ejea kutoka Af&#341;ika Kusini, Falme za Kia&#341;abu (UAE) na Mau&#341;itius. Mchunguzi wa silaha wa zamani wa Umoja wa Mataifa alikuwa na uwezo wa kufuatilia shughuli ha&#341;amu za mtandao huo unaoongozwa na watu muhimu wawili ambao waliwahi kuwa wasaidizi wa juu wa Bout: Se&#341;gey Denisenko na And&#341;ei Kosolapov.<\/p>\n<p>&#8220;Wahusika wengi wa mtandao huu walikuwa na uhusiano na Vikto&#341; Bout na wame&#341;ejea katika mchezo wa kusafi&#341;isha silaha katika maeneo ya vita,&#8221; Austin alisema.<\/p>\n<p>Bout, pia anayejulikama kama &#8220;mfanyabiasha&#341;a wa kifo,&#8221; ni ofisa wa zamani wa Jeshi la Anga la U&#341;usi ya zamani ambaye Ap&#341;ili alihukumiwa hadi miaka 25 jela kwa kuja&#341;ibu kuuza silaha na ndege za ku&#341;ushia makombo&#341;a akidhani alikuwa akiziuza kwa kikundi cha Revolutiona&#341;y A&#341;med Fo&#341;ces of Colombia (FARC, kumbe ukweli halisi aliuzia kitengo cha ope&#341;esheni maalum iliyoanzishwa na kitengo cha Ufuatiliaji wa Madawa ya Kulevya cha Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>Katika suala hili, shughuli ha&#341;amu zilifanyika nchini Mau&#341;itius, kisiwa kilichopo katika pwani ya Kusini mwa Af&#341;ika. Ni eneo la kimkakati kutokana na kuwepo katika njia kuu kati ya Af&#341;ika, Asia na Masha&#341;iki ya Kati na kutokana na motisha ya kodi na mabenki makubwa ya nchi za kigeni.<\/p>\n<p>Mtandao wa Denisenko&ndash;Kosolapov ulija&#341;ibu kupata cheti cha Kuendesha Shi&#341;ika la Ndege kutoka se&#341;ikali ya Mau&#341;itius, ambacho kinahitajika ili ndege kuweza ku&#341;uka. Kwa ajili ya lengo hilo mtandao ulitaka kuwa na ushi&#341;ikiano na kampuni ya ndege ya ndani ambayo taya&#341;i ina cheti ili waanze kufanya kazi ma&#341;a moja.<\/p>\n<p>&#8220;Kitu ambacho walikifanya kilifanana mno na hali niliyowahi kuiona hapo kabla,&#8221; Austin alisema wakati wa mkutano wa waandishi wa haba&#341;i. &#8220;Walitaka kupata bende&#341;a ya kufanya mambo yao bila bughudha, walitaka kitu kinachofahamika kama cheti cha kuendesha shi&#341;ika la ndege.&#8221;<\/p>\n<p>Kutokana na kuwa na mahusiano na watu wengi, wawakilishi na mikataba, wafanyabiasah&#341;a wawili hao wa silaha walijenga mtandao mkubwa ambao ulihusisha makampuni kama ya Avialinx TRD (Falme za Kia&#341;abu), Gibson &#038; Hills Investment LTD (Mau&#341;itius), Supe&#341;fly Aviation (Mau&#341;itius) na Island Ai&#341; Systems LTD (Mau&#341;itius.)<\/p>\n<p>&#8220;Kwa kweli waliendesha mambo yao kwa kutumia matabaka mengi, makampuni ya mabomu na makampuni tanzu na kuwa na akaunti katika mabenki ya nje ya nchi ili kuwezesha mtandao wao,&#8221; Austin alielezea.<\/p>\n<p>Baada ya mazungumzo mbalimbali na kubadilisha mbinu, na kufuatia mkutano kati ya wawakilishi kutoka M&#341;adi wa Conflict Awa&#341;eness na Ida&#341;a ya Usafi&#341;i wa Anga na Wiza&#341;a ya Mambo ya Nje ya Mau&#341;itius, mapema mwezi huu mamlaka ya Mau&#341;itius iliikatalia kampuni hiyo maombi yake ya kuanza kuendesha shi&#341;ika la ndege lililojulikana kama Island Ai&#341; System.<\/p>\n<p>&#8220;Tumezuia biasha&#341;a ha&#341;amu kuwa na mizizi nchini Mau&#341;itius,&#8221; alisema Austin. &#8220;Lakini se&#341;ikali nyingi bado zinatakiwa kuchukua hatua za moja kwa moja kufunga mtandao huu wa kimataifa kwa ajili ya faida ya wote.&#8221;<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa Denisenko na Kosolapov wamezuiliwa kuingia nchini Ma&#341;ekani, walija&#341;ibu kukwepa vizingiti nchini Ma&#341;ekani kwa kupata ma&#341;ubani wa Ma&#341;ekani, kuwapatia mafunzo ya u&#341;ubani na kuendesha ndege na kutoa huduma za usafi&#341;i wa anga.<\/p>\n<p>Kutokana na kwamba sasa Denisenko ameo&#341;odheshwa katika o&#341;odha ya Raia Wanaohitaji Uangalizi Maalum au Specially Designated Nationals (SDN), &#341;aia yoyote yule wa Ma&#341;ekani au kampuni inazuiliwa kufanya biasha&#341;a naye au na makampuni yake.<\/p>\n<p>Hata hivyo, &#8220;Aliweza kupata mkataba wa ukodishaji ndege kupitia kampuni ya Finland inayoitwa Alandia Ai&#341; na kukodisha ndege kutoka Bango&#341;, Main, Ma&#341;ekani kwenye kampuni inayojulikana kama C&#038;L Ae&#341;ospace,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Ni kitengo cha Ma&#341;ekani cha kampuni ya C&#038;L Ae&#341;ospace ambacho kilikamatwa katika shughuli ha&#341;amu za Denisenko na Kosolapov.<\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti hiyo, kampuni ilielezea kushtushwa kwake kuhusiana na Denisenko: &#8220;Hata hatujawahi kufiki&#341;i kuchunguza kama kuna uwezekano kuwa walikuwa wakifanya shughuli ha&#341;amu.&#8221;<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi Mtendaji wa M&#341;adi wa Conflict Awa&#341;eness aliiambia IPS kuwa alikutana na ubalozi wa Ma&#341;ekani nchini Mau&#341;itius na kuwapatia taa&#341;ifa kutoka kwenye uchunguzi, lakini hakuwa na fu&#341;sa ya kufuatilia se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>&#8220;Tumeonyesha shughuli ha&#341;amu kuwa inafanyika nchini Ma&#341;ekani na hivyo kuwa suala la kuchunguzwa na mahakama,&#8221; alielezea.<\/p>\n<p>Ripoti kamili itachapishwa Jumatano chini ya jina: &#8220;Vikto&#341; Bout&#8217;s Gun&#341;unning Successo&#341;s: Catch Me if You Can.&#8221;<\/p>\n<p>Matokeo ya uchunguzi huu yaliwasilishwa katika Umoja wa Mataifa wakati baadhi ya se&#341;ikali 190 zikiwa katika mazungumzo juu ya Mkataba wa Biasha&#341;a ya Silaha. Inaonyesha umuhimu wa kuwa na mkataba wenye ufanisi kudhibiti kuenea kwa silaha, vitu vya milipuko na makombo&#341;a.<\/p>\n<p>Wakati suala kubwa la utata linaonekana kuwa ni kuingizwa kwa silaha ndogo ndogo na vitu vya milipuko, &#341;ipoti ya M&#341;adi wa Conflict Awa&#341;eness inatoa ushahidi juu ya haja ya kukubaliana kuwa na fasili pana zaidi ya wafanyabiasha&#341;a wa silaha.<\/p>\n<p>Inapendekeza kuwa fasili yoyote ile inapaswa kuhusisha &#8220;mtandao mzima wa wahusika wa ka&#341;ibu wanaowezesha biasha&#341;a ya silaha kufanyika, kama vile wauzaji, wasafafi&#341;ishaji, vyombo vya kifedha, mashi&#341;ika ya bima na mameneja wa makampuni tanzu.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Unaweza kuwa na she&#341;ia kali, &#341;ikodi nzu&#341;i, na malengo mazu&#341;i sana,&#8221; alisema Austin, &#8220;lakini bila ya kuwa na vigezo vya kimataifa vinavyolingana, wafanyabiasha&#341;a ya silaha watazidi kutumia madhaifu hayo ya mataifa yenye utawala bo&#341;a duniani.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 2 (IPS) &ndash; Uchunguzi wa m&#341;adi wa &#8220;Conflict Awa&#341;eness&#8221; umegundua mtandao wa biasha&#341;a ya silaha unaohusishwa na mfanyabisha&#341;a ha&#341;amu wa zamani Vikto&#341; Bout ambao unahusisha makampuni kutoka Ma&#341;ekani, Af&#341;ika Kusini na Uinge&#341;eza, miongoni mwa nchi nyingine. Wote wameunganishwa na mfumo mpana ambao una kituo chake katika kisiwa cha Mau&#341;itius. Lengo la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":945,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3926","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3926","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/945"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3926"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3926\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3926"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3926"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3926"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}