{"id":3925,"date":"2012-10-02T13:40:01","date_gmt":"2012-10-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/tanzania-mauaji-ya-mwandishi-yaiingiza-nchi-katika-oodha-nyekundu\/"},"modified":"2012-10-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-02T13:40:01","slug":"tanzania-mauaji-ya-mwandishi-yaiingiza-nchi-katika-oodha-nyekundu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/tanzania-mauaji-ya-mwandishi-yaiingiza-nchi-katika-oodha-nyekundu\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Mauaji ya Mwandishi Yaiingiza Nchi Katika O&#341;odha Nyekundu"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Wakati tunasoma tuliwahi kufundishwa katika siasa kuwa bende&#341;a ya Tanzania ina &#341;angi nne. Kila &#341;angi katika bende&#341;a tulifundishwa maana yake. Nakumbuka &#341;angi hizo kuwa ni buluu, njano, nyeusi na kijani. Rangi ya kibuluu tuliambiwa inasimama badala ya maji yaliyoyopo nchini ikiwa ni pamoja na baha&#341;i, maziwa na mito n.k. Rangi nyeusi ilikuwa ikiwakilisha Mtanzania halisi ambaye ni mtu mweusi. Rangi nyingine kama vile kijani ni uoto wa asili kama vile misitu na a&#341;dhi na &#341;angi ya njano ni utaji&#341;i wetu wa madini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pia tulifundishwa kuwa Tanzania haina &#341;angi nyekundu katika bende&#341;a yake kutokana na kuwa ilipata uhu&#341;u wake bila kumwaga damu. Kwa hiyo, kutokuwepo kwa &#341;angi nyekundu pia kunatukumbusha kuwa nchi yetu ni nchi ya amani. Na kila tukiangalia bende&#341;a &ndash; iwe wananchi, se&#341;ikali, vyombo vya dola na hata Rais &ndash; inatukumbusha kuwa tunaishi katika taifa ambalo mababu zetu waliepuka dhambi kubwa ya umwagaji damu hata katika jambo zito na gumu la kutafuta uhu&#341;u.<\/p>\n<p>Lakini hivi ka&#341;ibuni taifa limetikisika. <\/p>\n<p>Baada ya mauaji ya kutatanisha ya &#341;aia kadhaa akiwemo muuza magazeti wakati wa matukio ya mikusanyiko ama maandamano ya kisiasa, Septemba 2 imekuwa siku ya kukumbukwa siyo tu na Watazania na hususani waandishi wa haba&#341;i, lakini pia na mashi&#341;ika ya kutetea haki za binadamu ya kikanda na kimataifa ikiwa ni pamoja na vyombo vya haba&#341;i vya kimataifa.<\/p>\n<p>Ni siku ambayo kulitokea mauaji ya kutisha ya mwandishi wa haba&#341;i mahi&#341;i ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Haba&#341;i ya Mkoa wa I&#341;inga, Daudi Mwangosi. Jambo ambalo lilihuzunisha wengi na ambalo limewashangaza pia wengi ndani na nje ya nchi ni jinsi mwandishi huyo alivyouawa akiwa mikononi mwa polisi ambao kwa kiasi kikubwa kazi yao ni kulinda usalama wa &#341;aia na mali zao.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa shi&#341;ika la kutetea haki za waandishi wa haba&#341;i lenye makao yake jijini New Yo&#341;k, Ma&#341;ekani la Committee to P&#341;otect Jou&#341;nalists (CPJ), kifo cha Mwangosi ni cha kwanza ku&#341;ipotiwa kuhusisha mwandishi aliyeuawa akiwa kazini nchini Tanzania tangu shi&#341;ika hilo lilipoanza kutunza kumbukumbu za kina za ukiukwaji wa haki za waandishi wa haba&#341;i duniani mwaka 1992.<\/p>\n<p>&#8220;Tunalaani mauaji ya Daudi Mwangosi, ambaye mashuhuda wanasema aliuawa wakati akimtetea mwandishi wa haba&#341;i mwenzake katika tukio la kukusanya haba&#341;i,&#8221; alisema M&#341;atibu wa Utetezi wa CPJ katika Kanda ya Af&#341;ika, Mohamed Keita. &#8220;Taa&#341;ifa za awali zinaonyesha kuwa polisi wameanza kutoa taa&#341;ifa za kuonyesha jinsi tukio lilivyotokea kuwa hawakuhusika, lakini kutokana na ushahidi wa wingi wa picha na kutoka kwa mashuhuda wa tukio, tunata&#341;ajia se&#341;ikali ya Tanzania itaweka kando upotoshaji huu, na kufanya uchunguzi wa ha&#341;aka na hu&#341;u ili kuwafikisha wahusika katika mkono wa she&#341;ia.&#8221;<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Waandishi Wasiokuwa na Mipaka (Repo&#341;te&#341;s Without Bo&#341;de&#341;s &ndash; RWF) lenye makao yake mjini Pa&#341;is nchini Ufa&#341;ansa limeingiza Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 3 ba&#341;ani Af&#341;ika ambazo zimeo&#341;odheshwa katika o&#341;odha nyekundu ya shi&#341;ika hilo kutokana na kuwa na mwandishi wa haba&#341;i ambaye aliuawa akiwa kazini.<\/p>\n<p>Nchi nyingine za Af&#341;ika zenye waandishi waliouawa wakiwa kazini mwaka 2012 ni Somalia ambapo waandishi 8 wameuawa na Nige&#341;ia ambako mwandishi mmoja ameuawa. Kwa mujibu ya o&#341;odha ya RWF, jumla ya waandishi wa haba&#341;i 39 wameshauawa hadi Septemba mwaka huu na nchi nyingine zenye waandishi wa haba&#341;i waliouawa nje ya ba&#341;a la Af&#341;ika ni pamoja na Bangladesh (2), B&#341;azil (3), India (2), Indonesia (1), I&#341;aq (2), Lebanon (1), Mexico (5), Pakistan (1), Ufilipino (1), Sy&#341;ia (10) na Thailand (1). Kwa kulinganisha, Tanzania inakuwa nchi pekee katika ukanda wa Af&#341;ika Masha&#341;iki na hata ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika kuingia katika o&#341;odha hiyo nyekundu mwaka 2012. Pia kinachoshangaza, ukilinganisha na nchi nyingine za Af&#341;ika katika o&#341;odha hiyo, Tanzania ni nchi pekee ambayo inajulikana au inajinadi kama kisiwa cha amani na utulivu ba&#341;ani Af&#341;ika na duniani kote. <\/p>\n<p>Mauaji ya nchini Somalia yanaeleweka kwani taifa hilo limekuwa katika mgogo&#341;o na bila se&#341;ikali ya kitaifa kwa miaka mingi. Pia nchi ya Nige&#341;ia inaeleweka kuwa na makundi ya wapiganaji kama yale ya Boko Ha&#341;am ambayo yanaendesha mashambulizi kaskazini mwa nchi hiyo. Ni &#341;ahisi kueleweka kuwa katika mazingi&#341;a ya vita ya nchi hizi, ni wazi kuwa waandishi wanaweza kuje&#341;uhiwa na hata kuuawa wakiwa wana&#341;ipoti katika mazingi&#341;a hata&#341;ishi.<\/p>\n<p>Lakini Tanzania kwa ma&#341;a ya kwanza baada ya miaka 51 ya uhu&#341;u imeingia katika o&#341;odha ya aibu kwani takwimu zinaonyesha kuwa tukio la kuuawa kwa Mwangosi katika Kijiji cha Nyololo, Wilayani Mufindi, Mkoani I&#341;inga limekuwa la kwanza tangu nchi ilipojinyakulia uhu&#341;u wake mwaka 1961.<\/p>\n<p>Pengine ni kutokana na Tanzania kutokuwa na histo&#341;ia kama hii ndiyo sababu tukio la mauaji ya Mwangosi limejaza vichwa vya haba&#341;i vya vyombo vya haba&#341;i duniani ikiwa ni pamoja na kituo cha televisheni cha CNN, BBC, Al Jazee&#341;a, Reute&#341;s, The Gua&#341;dian in UK, n.k. Mbali na kulaaniwa na shi&#341;ika la RWB na CPJ, mashi&#341;ika mengine ya kikanda na kimataifa yaliyolaani mauaji hayo ni pamoja na A&#341;ticle 19 lenye makao yake jijini London, Easte&#341;n Af&#341;ican Jou&#341;nalists Association (EAJA) lenye makao yake nchini Djibouti, Taasisi ya Vyombo vya Haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika (MISA) lenye makao yake mjini Windhoek, Namibia, shi&#341;ika la Inte&#341;national F&#341;eedom of Exp&#341;ession Exchange lenye makao yake nchini Canada, kutaja mashi&#341;ika machache.<\/p>\n<p>Katika tamko lake, Shi&#341;ika la ARTICLE 19 limeitaka se&#341;ikali ya Tanzania &#8220;kuondoa ma&#341;a moja vikwazo vya kufanya mikutano na maandamano katika kuheshimu Katiba na mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu ambayo ime&#341;idhia.&#8221; ARTICLE 19 imeongeza &#8220;Se&#341;ikali pia inapaswa kuchunguza matumizi makubwa ya nguvu yanayofanywa na jeshi la polisi wakati wa kukabiliana na wananachi waliokusanyika au wanaofanya maandamano na pia kuchunguza mazingi&#341;a ya kifo cha Mwangosi.&#8221;<\/p>\n<p>Akizungumza katika tamko la shi&#341;ika lake, Katibu Mkuu wa EAJA, Oma&#341; Fa&#341;uk Osman alisema &#8220;Tunalaani mauaji ya Daudi Mwangosi na tunatoa wito kwa se&#341;ikali ya Tanzania kuwafikisha wahusika katika mkono wa she&#341;ia&#8221;.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa MISA &#8220;Tukio hili linatisha. Septemba 2 siyo tu siku ya kukumbukwa katika fani ya uandishi wa haba&#341;i Tanzania lakini pia katika kanda na duniani kote kwa ujumla. Matumizi ya nguvu siyo ufumbuzi, hayaleti ufumbuzi wowote. Tunaitaka se&#341;ikali ya Tanzania kuchunguza ma&#341;a moja na kuwawajibisha wale wote waliosababisha kifo.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati mauaji ya Mwangosi yakilaaniwa kila kona ya nchi, katika kanda na kimataifa, Tanzania tunapaswa kujiuliza utamaduni wetu wa amani na utulivu tumeuacha wapi  Je ni wapi tumeteleza tuweze kuji&#341;ekebisha <\/p>\n<p>Wakati Mungu alipochukia kutokana na kuongezeka kwa uasi duniani, aliamua kuangamiza dunia kwa kutumia mvua ambayo ilinyesha usiku na mchana kwa siku 40 bila kukoma, kwa mujibu wa vitabu vya dini. Katika gha&#341;ika hiyo ni Nuhu pekee ambaye aliweza kuokoka na familia yake. Lakini baada ya Mwenyezi Mungu kuona kuwa maangamizi ya kutumia mvua yalikuwa makubwa kwa mwanadamu, aliweka agano lake kutoku&#341;udia tena kuangamiza dunia kwa kutumia maji. Alitengeneza upinde wa mvua na kusema kila nitakapotaka kuangamiza dunia kwa maji, upinde wa mvua utajitokeza katika mawingu na nitakapouona nitakumbuka agano langu la kutokuangamiza tena dunia kwa maji. <\/p>\n<p>Ni vema watu wenye mamlaka ikiwa ni pamoja na Rais, vyombo vya dola, mawazi&#341;i waliopewa dhamana, wanasiasa na hata mwananchi mmoja mmoja kuangalia bende&#341;a ya nchi na maana yake kila ma&#341;a mawazo ya kumwaga damu isiyo na hatia yanapojitokeza. Bende&#341;a yetu itatukumbusha yale tuliyofundishwa katika mada&#341;asa ya awali kwenye elimu ya msingi kuwa tulipigania uhu&#341;u kutoka kwa mkoloni ambaye alikuwa na nguvu kubwa, lakini tumeshinda bila kumwaga damu. <\/p>\n<p>Na hata sasa tunaweza kutatua matatizo yetu wenyewe, yawe ni tofauti za kichama, kisiasa au kiitikadi, bila ya kumwaga damu. Ni kwa njia hii tu amani ya Tanzania itazidi kustawi na kuwa na misingi endelevu kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo. Hatujachelewa, tunaweza kuanza sasa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Wakati tunasoma tuliwahi kufundishwa katika siasa kuwa bende&#341;a ya Tanzania ina &#341;angi nne. Kila &#341;angi katika bende&#341;a tulifundishwa maana yake. Nakumbuka &#341;angi hizo kuwa ni buluu, njano, nyeusi na kijani. Rangi ya kibuluu tuliambiwa inasimama badala ya maji yaliyoyopo nchini ikiwa ni pamoja na baha&#341;i, maziwa na mito&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3925","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3925","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3925"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3925\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3925"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3925"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3925"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}