{"id":3924,"date":"2012-10-02T13:40:01","date_gmt":"2012-10-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/mwanahaakati-wa-bazili-auawa-katika-kivuli-cha-rio20\/"},"modified":"2012-10-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-02T13:40:01","slug":"mwanahaakati-wa-bazili-auawa-katika-kivuli-cha-rio20","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/mwanahaakati-wa-bazili-auawa-katika-kivuli-cha-rio20\/","title":{"rendered":"Mwanaha&#341;akati wa B&#341;azili Auawa Katika Kivuli cha Rio+20"},"content":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Eneo la mbali kutoka mazingi&#341;a ya kifaha&#341;i palipofanyika mkutano wa Rio+20, mkutano wenye malengo makubwa kuhusu mazingi&#341;a duniani uliokuwa unafanyika tangu miongo miwili iliyopita, matukio katika kijiji cha wavuvi katika jimbo la Rio de Janei&#341;o yanaonyesha gha&#341;ama ya kupambana na uhalifu wa kimazingi&#341;a zinaweza kuwa kubwa kiasi cha kuondoa maisha ya mtu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Watu wanaoishi katika kijiji cha mwambao cha Mau&aacute; katika Ghuba ya Guanaba&#341;a, katika manisipaa ya Mag&eacute;, kilomita 84 kaskazini mwa Rio, hawana muda wa kufiki&#341;ia kwa undani juu ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mazingi&#341;a Endelevu uliofanyika katika jiji hili Juni 20&ndash;22.<\/p>\n<p>Siku ya Ijumaa Juni 22, siku ambayo wakuu wa nchi walisaini wa&#341;aka wa mwisho wa mkutano huo &ndash; wa&#341;aka uliokosolewa kutokana na kukosa kifungu cha kulinda baha&#341;i &ndash; wavuvi wawili na wanaha&#341;akati wa mazingi&#341;a, Almi&#341; Noguei&#341;a na J&otilde;ao Luiz Telles, walipotea majumbani mwao.<\/p>\n<p>Mwili wa Noguei&#341;a ulikutwa siku mbili baadaye, ukiwa umefungwa katika boti yake ambayo ilizama majini katika ufukwe huo wa kijijini. Telles alikutwa amefa&#341;iki Juni 25, akiwa amesogezwa kandokando mwa baha&#341;i katika manisipaa ya ka&#341;ibu. Alikuwa amefungwa mikono na miguu.<\/p>\n<p>Miili hiyo ilionyesha dalili kuwa watu hao walifa&#341;iki kwa kubebwa na maji.<\/p>\n<p>&#8220;&#8216;Watu wa baha&#341;ini watakuja kufa baha&#341;ini.&#8217; Huu ni ujumbe ambao wanatupatia,&#8221; Alexand&#341;e Ande&#341;son, mkuu wa Associa&ccedil;ao Homens e Mulhe&#341;es do Ma&#341; (AHOMAR), alitangaza huku akitokwa na machozi kwenye maandamano yaliyofanyika Juni 29 kudai uchunguzi wa ma&#341;a moja na mamlaka.<\/p>\n<p>Waathi&#341;ika wa mauaji waliongoza wafuasi wa AHOMAR, chama cha baadhi ya watu 2,000 ambao ni wavuvi wadogo wadogo ambao wanapambana dhidi ya uchafuzi wa mazingi&#341;a katika ghuba ambako kumekuwa nyumbani kwao, mahali pa kazi na chanzo cha maisha ya vizazi vyao.<\/p>\n<p>Ghuba ya Guanaba&#341;a inachafuliwa kwa kiasi kikubwa na maji taka yasiyotibiwa na kuchafuliwa kwa taka za viwandani ka&#341;ibu na mwambao, na mazingi&#341;a yanateseka.<\/p>\n<p>AHOMAR inakuza uelewa wa kijamii na madha&#341;a ya kimazingi&#341;a kutaka viwanda vikubwa, na kuja&#341;ibu kuzuia makampuni kuua samaki ambao wanategemea. Chama kimelalamika tangu mwaka 2007 kuhusu uchafuzi unaotokana na ujenzi wa Complexo Pet&#341;oqu&iacute;mico (COMPER, jengo kubwa la kemikali za pet&#341;oli) katika jimbo la Rio de Janei&#341;o.<\/p>\n<p>COMPER inawakilisha uwekezaji mkubwa wa taifa la B&#341;azili wa kampuni ya mafuta, Pet&#341;ob&#341;as, na ni sehemu ya mpango unaokuzwa nchini uliozinduliwa na se&#341;ikali ya &#341;ais wa zamani Luiz In&aacute;cio Lula da Silva (2003&ndash;2011)na kuendelezwa na mtangulizi wake, Rais Dilma Rousseff.<\/p>\n<p>AHOMAR inadai kuwa ujenzi wa COMPER, ambao kazi ya ujenzi ilitolewa na Pet&#341;ob&#341;as kwa GDK na Oce&aacute;nica, imepunguza samaki wanaovuliwa katika Ghuba ya Guanaba&#341;a kwa asilimia 80, ikiwa ni pamoja na kusababisha madha&#341;a kwa binadamu na wanyamapo&#341;i.<\/p>\n<p>Wavuvi walilengwa kutokana na ghasia, na hata kuuawa, tangu mwaka 2009 wakati wakitumia boti zao kuzuia kufikia maji ya chini ya a&#341;dhi na eneo la ujenzi katika eneo la ba&#341;a la bomba la gesi asilia (LNG) na gesi ya pet&#341;oli iliyosafishwa (LPG).<\/p>\n<p>Vitisho viliongezeka mwishoni mwa mwaka 2011, wakati AHOMAR ilipoanzisha maandamano dhidi ya uamuzi wa taasisi ya mazingi&#341;a ya jimbo la Rio (INEA) kutekeleza mipango ya kubadili Mto Guaxindiba, ambao unaingia katika ghuba hiyo, katika njia ya maji kwa ajili ya usafi&#341;i wa vyombo vikubwa. Utekelezaji wa mipango hapo kabla yaliwekwa katika makabati katika ngazi ya utoaji wa leseni ya mazingi&#341;a.<\/p>\n<p>Kituo cha polisi ka&#341;ibu na makao makuu ya AHOMAR yalikuwa yamefungwa.<\/p>\n<p>Ande&#341;son alikuwa anasindikizwa na aska&#341;i binafsi, aliyetolewa na mpango wa kulinda wafanyakazi wa haki za binadamu, lakini hata hivyo amekabiliwa na ghasia na kushambuliwa.<\/p>\n<p>&#8220;Tunataka kulinda mazingi&#341;a yetu kwasababu sisi ni sehemu ya mazingi&#341;a hayo. Sisi wavuvi ni sehemu ya Ghuba ya Guanaba&#341;a. Lakini hatutaki kufa kwa kubebwa na maji,&#8221; Ande&#341;son alisema.<\/p>\n<p>Mhazini wa AHOMAR, Paulo Souza, alishambuliwa na kupigwa &#341;isasi na kufa mbele ya familia yake mwaka 2009, kama ambavyo ili&#341;ipotiwa na IPS wakati huo. Aliuawa kwa kupigwa &#341;isasi tano kichwani.<\/p>\n<p>Mwaka 2010, Ma&#341;cio Ama&#341;o, mwanachama mwanzilishi wa AHOMAR, aliuawa nyumbani kwake mbele ya mke na mama yake.<\/p>\n<p>Hakuna mauaji ya namna hiyo yameshatafutiwa ufumbuzi.<\/p>\n<p>&#8220;Inasikitisha kuwa waandishi wote hawa wamekusanyika hapa, mbele ya miili mingine miwili iliyouawa, kana kwamba jambo hili linahitajika kujulikana kwa watu wakati linajulikana na limekuwa likiendelea kwa muda m&#341;efu,&#8221; mbunge wa chama cha Socialism and F&#341;eedom Pa&#341;ty (PSOL) Ma&#341;celo F&#341;eixo, mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu ya bunge la jimbo la Rio de Janei&#341;o, aliuambia mkutano wa maandamano ya kupinga mauaji.<\/p>\n<p>&#8220;Natumaini wakati mwingine tutakutana hapa, haitatokana na kwamba Alexand&#341;e ameuawa!&#8221; alidai.<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu baada ya mkutano, Ande&#341;son alikuwa mwathi&#341;ika tena wa vitisho mbele ya nyumba yake. IPS haikuweza kumpata kwa njia ya simu tangu wakati huo.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuzungumzii tena suala la hali ya usalama. Watu wanakufa kutokana na uanaha&#341;akati wao, upinzani wao halali dhidi ya ujenzi wa Ghuba ya Guanaba&#341;a,&#8221; mwanaha&#341;akati Sand&#341;a Ca&#341;valho wa kikundi cha haki za binadamu cha Justi&ccedil;a Global (Haki Duniani) aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wanatoa wito kwa polisi na mamlaka ya she&#341;ia ya shi&#341;ikisho kuchunguza vifo, ambavyo wanasema vina &#8220;dalili ya wazi za kuwa na mtindo fulani wa uuaji&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Natoa wito kwa mamlaka kuchunguza kwa undani, kwasababu wahusika taya&#341;i wameshapata kile walichotaka: waliwaondoa wanaume wa baha&#341;i katika makazi yao,&#8221; Ande&#341;son alisisitiza.<\/p>\n<p>Boti za uvuvi hazija&#341;ejea katika kazi zake za kawaida tangu mauaji hayo. Hakuna anayeweza kuja&#341;ibu kwenda baha&#341;ini, ambako kulikuwa kimbilio la wavuvi kama mambo mabaya yakijitokeza nyumbani au katika eneo la ba&#341;a,&#8221; Ande&#341;son alisema &#8220;Sasa njia yetu ni kuelekea kwenye makabu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya haki za binadamu yameshawishika kuwa huu ni &#8220;uhalifu wa kisiasa&#8221;. F&#341;eixo aliiambia IPS kuwa kampuni iliyopatiwa kazi ya ujenzi ma&#341;a nyingine inaaji&#341;i makampuni ya ulinzi ambayo yanaegemea katika &#8220;vitisho na hata kuua&#8221;.<\/p>\n<p>Baye anagombea umeya wa jiji la Rio de Janei&#341;o, alisema hakuamini kuwa wahusika wa mauaji wameagizwa na Pet&#341;ob&#341;as kutekeleza kazi hiyo&#8221;.<\/p>\n<p>Hata hivyo, alisisitiza kuwa kampuni hiyo kubwa ya mafuta &#8220;haiwezi kujidai kuwa haihusiki katika matukio haya. Ni m&#341;adi wa uwekezaji wa Pet&#341;ob&#341;as na kampuni lazima kuwajibika kwa yeyote ule anayepatiwa kazi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kila mmoja katika AHOMAR anatambua muuaji ni nani, alisema Ande&#341;son.<\/p>\n<p>&#8220;Ni watu ambao wanatengeneza fedha nyingi kutokana na ujenzi wa viwanda katika Ghuba ya Guanaba&#341;a; wana aji&#341;a katika usalama, au katika usafi&#341;i wa majini au wa nchi kavu. Wako ndani ya se&#341;ikali za kijimbo na manisipaa, na pia katika huduma za usalama za umma,&#8221;alisema.<\/p>\n<p>Katika manisipaa ya Mag&eacute; na nyinginezo kwenye eneo la nje ya Rio, makundi ya udunguaji yanayojulikana kama &#8220;militias&#8221; yanapatikana; vikundi hivyo vinaundwa na wanausalama wanaofanya kazi au waliostaafu na wanaungwa mkono na wanasiasa wa ndani, kama ambavyo tume ya uchunguzi ya bunge iliyoongozwa na F&#341;eixo ilivyobaini.<\/p>\n<p>F&#341;eixo, pia, ana ulinzi wa polisi kwasababu amepata vitisho vinavyohusiana kukemea wauaji hawa wanaotumia mtindo wa kimafia.<\/p>\n<p>Katika kujibu maombi ya taa&#341;ifa kutoka kwa IPS, Pet&#341;ob&#341;as ilipeleka tamko ambapo imesema kampuni ya mafuta haijui vifo hivyo na kukanusha vitisho dhidi ya wavuvi.<\/p>\n<p>Pet&#341;ob&#341;as alisema mchakato wa leseni za mazingi&#341;a nchini B&#341;azili inaangalia masuala yote ya madha&#341;a ya kiikolojia ikiwa ni pamoja na uwezekano wa madha&#341;a kwa wanajamii. Hata hivyo, utafiti wa undani wa madha&#341;a ya mipango hiyo ulifanyika kabla leseni haijatolewa, na chombo cha leseni kinatoa hatua za kuchukua katika fidia na kusimamia utekelezaji wake,&#8221; lilisema tamko hilo.<\/p>\n<p>Pet&#341;ob&#341;as ni &#8220;kampuni ambayo inawajibika kijamii na kimazingi&#341;a ambayo inadai ubo&#341;a unaofanana wa kitabia kutoka kwa wasambazaji wake,&#8221; lilisema tamko.<\/p>\n<p>Katika mkutano ujao, wavuvi watajadili kama kuachana na jitihada au, badala yake, kuchukua hatua za ndani kama vile kuvu&#341;uga safa&#341;i za meli.<\/p>\n<p>AHOMAR iko katika vita kati ya &#8220;wavuvi wadogo na makampuni makubwa ya mafuta,&#8221;kwa mujibu wa Ma&#341;ga&#341;ida P&#341;essbu&#341;ge&#341;, mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu wa chama cha baa nchini B&#341;azili (O&#341;dem dos Advogados do B&#341;asil) katika jiji la Rio de Janei&#341;o.<\/p>\n<p>Ande&#341;son analizungumzia suala hili kwa utofauti, akisema kuwa siyo kesi ya Daudi dhidi ya Goliath, lakini ha&#341;akati &#8220;dhidi ya shetani mwenyewe&#8221;.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Eneo la mbali kutoka mazingi&#341;a ya kifaha&#341;i palipofanyika mkutano wa Rio+20, mkutano wenye malengo makubwa kuhusu mazingi&#341;a duniani uliokuwa unafanyika tangu miongo miwili iliyopita, matukio katika kijiji cha wavuvi katika jimbo la Rio de Janei&#341;o yanaonyesha gha&#341;ama ya kupambana na uhalifu wa kimazingi&#341;a zinaweza kuwa kubwa kiasi cha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":944,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3924","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3924","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/944"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3924"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3924\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3924"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3924"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3924"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}