{"id":3921,"date":"2012-10-02T13:40:01","date_gmt":"2012-10-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/watoto-wapatao-200-wanapigana-katika-vita-baina-ya-seikali-na-waasi-mashaiki-mwa-drc\/"},"modified":"2012-10-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-02T13:40:01","slug":"watoto-wapatao-200-wanapigana-katika-vita-baina-ya-seikali-na-waasi-mashaiki-mwa-drc","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/watoto-wapatao-200-wanapigana-katika-vita-baina-ya-seikali-na-waasi-mashaiki-mwa-drc\/","title":{"rendered":"Watoto Wapatao 200 Wanapigana Katika Vita Baina ya Se&#341;ikali na Waasi Masha&#341;iki mwa DRC"},"content":{"rendered":"<p>KINSHASA, Oktoba 1 (IPS) &ndash; &#8220;Kwa uchache niliona wapiganaji watoto wadogo watatu au wanne wakiwa wameongozana na wapiganaji watu wazima,&#8221; alisema Jean Clave&#341; Rukomeza, mkazi wa Runyonyi, moja ya ngome za waasi wa M23 ambao wamekuwa tatizo masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC) tangu mwezi Machi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wapiganaji watu wazima walikataa ku&#341;uhusu wakazi kuwaka&#341;ibia au kuzungumza na wapiganaji hao watoto,&#8221; alisema Rukomeza, mwandishi wa haba&#341;i wa zamani wa kituo cha &#341;edio cha binafsi cha Mapendo, ambacho kinatangaza kutoka Butembo katika Kivu ya Kaskazini, jimbo nchini DRC ambalo lipo katikati mwa mapambano kati ya vikosi vya waasi na se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa wapiganaji wote wanazungumza lugha ya Kinya&#341;wanda &ndash; ambayo inazungumzwa nchini Rwanda na maeneo ya masha&#341;iki mwa DRC. Mashuhuda wanaunga mkono madai yaliyotolewa na msemaji mwandamizi wa se&#341;ikali ya Kongo katika televisheni ya taifa Juni 24.<\/p>\n<p>Akizungumza katika televisheni ya taifa Jumamosi (Juni 30), Lambe&#341;t Mende, Wazi&#341;i wa Mawasiliano wa Kongo, alikanusha uvumi unaosema &#8220;DRC imewapatia silaha waasi wa FDLR (Democ&#341;atic Fo&#341;ces fo&#341; the Libe&#341;ation of Rwanda) na aska&#341;i wa zamani wa FAR (Fo&#341;ces A&#341;m&eacute;es Rwandais &ndash; ambao walitokana na jeshi la zamani la Rwanda) kushambulia se&#341;ikali ya Kigali&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Kati ya mwezi Machi na Ap&#341;ili 2012, Rwanda ilichukua watoto wapatao 200 ambao iliwapatia mafunzo na kuwapeleka katika kikundi cha mapambano cha M23,&#8221; alisema Mende. M23 ni kikundi cha waasi wa kijeshi ambao wameongoza uasi masha&#341;iki mwa DRC.<\/p>\n<p>Matamshi ya Mende yalifuatiwa na uchapishaji, Juni 21, wa &#341;ipoti ya Umoja wa Mataifa juu ya hali ya masha&#341;iki mwa DRC na msaada wa nje walioupata waasi hao, na kusema kuwa &#8220;kati ya Ap&#341;ili na Mei 2012, waasi wa M23 walitumia watoto kadhaa kubeba vifaa vya kijeshi na kupigana katika mapambano&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;(Kikundi cha Waasi cha M23) kiliundwa na Bosco Ntaganda, jene&#341;ali katika FARDC (jeshi la Kongo), kwa kusaidiana na Lau&#341;ent Nkunda Batwa&#341;e, &#341;ais wa zamani wa CNDP (the National Cong&#341;ess fo&#341; the Defence of the People) ambaye uasi wake uliendeshwa katika jimbo hilo tangu mwaka 2003 na wafuasi wa ngazi za juu wa CNDP walitakiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kutokana na uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu,&#8221; lilisema toleo la Kifa&#341;ansa la &#341;ipoti hiyo.<\/p>\n<p>Ripoti hiyo &ndash; kwa kujikita katika ushahidi wa mashuhuda kutoka kwa aska&#341;i, waasi waliokuwa ndani ya kikundi au waliokuwa wakijiengua kutoka katika kundi hilo, &#341;ipoti za kiitelijensia za jeshi la Kongo na za kiupelelezi &ndash; zinaonyesha kwa undani matumizi ya watoto, ikiwa ni pamoja na kuwapatia &#341;isasi, mafunzo, huduma za afya na kuwahamasisha wapiganaji wa zamani wa M23.<\/p>\n<p>Katika &#341;ipoti na viambatisho iliyochapishwa Juni 27, Kundi la Wataalam wa Umoja wa Mataifa katika DRC waliwataja watu wenye vyeo vya juu katika jeshi la Rwanda ikiwa ni pamoja na Bosco Ntaganda na Lau&#341;ent Nkunda Batwa&#341;e.<\/p>\n<p>Wataalam wanabainisha kuwa katika kumshikilia Thomas Lubanga Dyilo kwa uhalifu wa kivita na kutumia watoto katika vita kwenye jimbo la Itu&#341;i kati ya mwaka 2002&ndash;2003, Ntaganda alitajwa kama mhalifu mwenza.<\/p>\n<p>&#8220;Uamuzi huo ulisababisha wito zaidi wa kutaka Jene&#341;ali Ntaganda kukamatwa na kuhamishiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai kwani anashitakiwa kwa makosa kama hayo hayo ya uhalifu wa kivita kama ilivyo kwa Bwana Dyilo.&#8221;<\/p>\n<p>Katika ba&#341;ua ya Juni 18 kwa Li Baodong, &#341;ais wa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na Mukongo Ngay Z&eacute;non, wa Ujumbe wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa katika DRC, ambayo IPS ilipata nakala yake, se&#341;ikali ya Kongo &#8220;ilielezea Ba&#341;aza la Usalama juu ya msaada unaotoka Rwanda kwa ajili ya M23 na kuendelea kutumia wapiganaji kutoka nchini humo&#8221;.<\/p>\n<p>Ba&#341;ua iliongeza: &#8220;Kufuatia uchunguzi uliofanywa na se&#341;ikali na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC (MONUSCO), hitimisho linau&#341;uhusu kusema kuwa wapiganaji wengi walitokana na Wanya&#341;wanda walio&#341;ejea nchini mwao, ambapo kati yao kuna watoto wapatao 200 na vijana wadogo mno&#8221;.<\/p>\n<p>Siku chache kabla, wazi&#341;i wa mambo ya kigeni wa Kongo, Raymond Tshibanda N&#8217;Tungamulongo, alimwandikia Li akimweleza kuwa M23 &#8220;kwa kuongeza utegemezi wao katika umoja usiokuwa tukufu&#8221; wa msaada wa Rwanda. &#8220;Miongoni mwa wapiganaji waliokamatwa na FARDC ni wafuasi wa FDLR, wengi wao wakiwa wali&#341;ejeshwa nchini Rwanda na MONUSCO.&#8221;<\/p>\n<p>FDLR ni waasi wa Kihutu ambao walipigana dhidi ya Watusi mjini Kigali tangu mwaka 1996 na ambao wana ngome masha&#341;iki mwa nchi ji&#341;ani ya DRC.<\/p>\n<p>Lakini kwa Jonathan Kavugho, mpiganaji wa zamani wa waasi wa Alliance of Democ&#341;atic Fo&#341;ces fo&#341; the Libe&#341;ation of Congo (AFDL), ambao waliongozwa na Lau&#341;ent D&eacute;si&#341;&eacute; Kabila, ambaye alinyakua mada&#341;aka mjini Kinshasa Mei 1997, uwepo wa wapiganaji wa FDLR miongoni mwa wapiganaji wa M23 siyo suala la kuhangaikia.<\/p>\n<p>&#8220;Ni uamuzi uliochukuliwa na se&#341;ikali Machi 2012 kuahi&#341;isha ope&#341;esheni za kijeshi katika ukanda huo ambako kunasababisha matatizo, kwani kume&#341;uhusu baadhi ya vikundi vya FDLR ambao taya&#341;i wali&#341;ejeshwa na Rwanda kuanza ta&#341;atibu kuchukua nafasi zao za zamani &ndash; ambazo zimetelekezwa na M23 na FARDC wakati huo huo.&#8221;<\/p>\n<p>Madai mengine ya Rwanda kuunga mkono M23 wakati wa zia&#341;a ya Juni 21 katika mji mkuu wa Kongo, yalikanushwa na Louise Mushikiwabo, Wazi&#341;i wa Mambo ya Kigeni wa Rwanda, kwa kusema hakuna ushi&#341;iki wowote wa nchi yake katika vita, na kuyaita madai ya Kinshasa kama &#8220;uzushi&#8221;.<\/p>\n<p>Akizungumza baadaye katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New Yo&#341;k Juni 25, alisema, &#8220;Rwanda haijashi&#341;iki kwa ka&#341;ibu au kwa mbali katika kutikisa utulivu wa DRC na nchi hizo mbili taya&#341;i zimeanzisha uhusiano wa kibalozi kuonyesha dunia nzima kuwa haiwezekani tena kuendeleza uzushi katika jambo hili.&#8221;<\/p>\n<p>Ba&#341;aza la Umoja wa Mataifa limekuja na azimio linalotaka DRC kuendelea na jitihada zake za kukomesha uasi wa M23, na kulaani se&#341;ikali zinazounga mkono waasi bila kutaja nchi kwa majina. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KINSHASA, Oktoba 1 (IPS) &ndash; &#8220;Kwa uchache niliona wapiganaji watoto wadogo watatu au wanne wakiwa wameongozana na wapiganaji watu wazima,&#8221; alisema Jean Clave&#341; Rukomeza, mkazi wa Runyonyi, moja ya ngome za waasi wa M23 ambao wamekuwa tatizo masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC) tangu mwezi Machi. &#8220;Wapiganaji watu wazima walikataa ku&#341;uhusu wakazi kuwaka&#341;ibia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":568,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3921","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3921","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/568"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3921"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3921\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3921"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3921"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3921"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}