{"id":3920,"date":"2012-10-02T13:40:01","date_gmt":"2012-10-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/changamoto-za-watoto-wa-libeia-hakuna-sea-ya-mimba-kwa-watoto-wa-shule\/"},"modified":"2012-10-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-02T13:40:01","slug":"changamoto-za-watoto-wa-libeia-hakuna-sea-ya-mimba-kwa-watoto-wa-shule","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/changamoto-za-watoto-wa-libeia-hakuna-sea-ya-mimba-kwa-watoto-wa-shule\/","title":{"rendered":"Changamoto za Watoto wa Libe&#341;ia: Hakuna Se&#341;a ya Mimba kwa Watoto wa Shule"},"content":{"rendered":"<p>Gba&#341;nga, LIBERIA, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Pat&#341;icia Kollie alipaswa kuwa shule leo hii lakini badala yake anakaa nyumbani huko Gba&#341;nga, Libe&#341;ia, akitwanga mihogo katika kinu. Mwili wake mzima umevimba. Vazi lake linaonekana kumbana tumboni.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Nyumba ya Kollie ipo umbali wa kutembea dakika chache kutoka Shule ya Sekonda&#341;i ya Kiluthe&#341;i ya Mt. Ma&#341;k katika jiji la Gba&#341;nga, Kata ya Bong, kilomita 164 kutoka mji mkuu wa taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi, Mon&#341;ovia. Kollie ana um&#341;i wa miaka 21 lakini anasoma kidato cha tatu. Hii inatokana na kukosa kwenda shule wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 14, ambavyo vilimalizika mwaka 2003, lakini wakati ambapo mfumo wa elimu ulikuwa umeshapo&#341;omoka kabisa.<\/p>\n<p>Kumalizika kwa vita kulitakiwa kumpatia fu&#341;sa ya kuanza masomo tena. Lakini mwezi uliopita alifukuzwa shule kutokana na kupata mimba.<\/p>\n<p>&#8220;Tulikuwa wanafunzi watano wenye mimba. Walituita katika ofisi. Walisema &#8216;Mna mimba. Kutokana na kuwa mnahisi ni watu wazima, &#341;ejeeni majumbani kwenu. Siwezi kuwaacha muendelee na masomo,'&#8221; Kollie alielezea.<\/p>\n<p>Kollie alisema alimuomba Pete&#341; Jutee, mkuu wa shule, kumwacha abakie katika shule hiyo binafsi lakini alikataa akidai kuwa kuwa na mimba halafu kubakia shule ni ukiukwaji wa kanuni za shule. Shule binafsi zina kanuni zake na tawi la elimu la kanisa la Kiluthe&#341;i nchini Libe&#341;ia liliandaa kanuni za jinsi ya kunedesha shule la Mt. Ma&#341;k.<\/p>\n<p>&#8220;Tumetoa uamuzi kwa mujibu wa kanuni zetu,&#8221; alisema Jutee. &#8220;Kifungu cha 10.2d kinasema kuwa hatuwezi kuwaacha wanawake wenye mimba kuendelea kuwepo shuleni. Wanapojifungua tunaweza kuwaandikisha tena.&#8221;<\/p>\n<p>Kollie na wasichana wengine wanne waliomba utawala wamalizie mwaka wao wa masomo, lakini ombi lao lilikataliwa.<\/p>\n<p>She&#341;ia ya Elimu ya Libe&#341;ia iko kimya juu ya nini kifanyike wakati wasichana wanapopata mimba wakiwa shuleni.<\/p>\n<p>Mimba na hatimaye kuacha shule ni moja ya matatizo mengi yanayowakosesha elimu wasichana nchini Libe&#341;ia.<\/p>\n<p>Wasichana katika maeneo ya kijijini wana vikwazo zaidi. Mila na destu&#341;i pamoja na kukosa elimu na fedha za kuwasaidia ni moja ya changamoto zinazowakabili.<\/p>\n<p>Mwezi Ap&#341;ili, zaidi ya wasichana wa shule mia moja katika Wilaya ya Mah Kata ya Nimba kaskazini mwa Libe&#341;ia walichukuliwa kwa nguvu kutoka shuleni ili kushi&#341;iki katika mila za jadi au unyago. Katika shule ya jadi, wasichana hao wanafanyiwa toha&#341;a na &#8220;kuandaliwa kwa ajili ya maisha ya ndoa&#8221;.<\/p>\n<p>Hali katika Wilaya ya Mah ilipelekea kufungwa kabisa kwa shule na ofisa elimu wa kata aliwapatia walimu kazi mahali pengine.<\/p>\n<p>Changamoto za kumwelimisha mtoto wa kike zipo nyingi, lakini vile vile, mchango wao katika maendeleo ya nchini Libe&#341;ia siyo wa kuhojiwa.<\/p>\n<p>Wakati wa uzinduzi wa Se&#341;a ya Taifa ya Elimu kwa Mtoto wa Kike Ap&#341;ili 2006, &#341;ais wa Libe&#341;ia ambaye ni wa kwanza kuchaguliwa kidemok&#341;asia na ni mwanamke, Ellen Johnson Si&#341;leaf, alizungumzia kuhusu jinsi gani &#8220;elimu kwa mtoto wa kike itakuwa msingi wa maendeleo ya Libe&#341;ia.&#8221; Si&#341;leaf alisema kuwa Libe&#341;ia inafanya kazi &#8220;kuona inakuwa ni nchi mpya yenye ndoto ya pamoja juu ya elimu ya mtoto wa kike &#8230;kumwondoa binadamu katika umaskini, ubaguzi na magonjwa.&#8221;<\/p>\n<p>Se&#341;a ya Elimu ya Msingi ya Bu&#341;e na ya Lazima ilitungwa na se&#341;ikali ya Si&#341;leaf kama njia ya kufikia lengo la pili la Maendeleo ya Milenia, ambalo linatoa wito kwa watoto wote kupata elimu ya msingi ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Se&#341;a inafikia lengo lake la msingi, ambalo ni kuongeza idadi ya watoto wa kike wanaoandikishwa shule, hususan katika ngazi ya elimu ya msingi, imeongezeka kwa asilimia 50.<\/p>\n<p>Hata hivyo, dalili mbaya inayotia shaka ni ubo&#341;a wa elimu hiyo; hii ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa mada&#341;asa ya kujifunzia kuweza kukidhi mahitaji ya watoto wanaozidi kuongezeka na walimu wa kutosha.<\/p>\n<p>Ndoto ya wazi ya Si&#341;leaf kuhusu elimu bado iko mbali kufikia mafanikio halisi. Umaskini, mimba za utotoni, kutokujua kusoma na kuandika na ubakaji ni mambo yanayowakabili watoto wa kike nchini Libe&#341;ia.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Misaada ya Kiutu la Uinge&#341;eza la Save the Child&#341;en lina&#341;ipoti kuwa mtoto wa kike mmoja kati ya watatu nchini Libe&#341;ia atajifungua mtoto kabla ya kufikisha um&#341;i wa miaka 20 &ndash; moja ya viwango vya juu kabisa duniani.<\/p>\n<p>Ripoti ya mwezi Feb&#341;ua&#341;i 2012 ya shi&#341;ika la Defence fo&#341; Child&#341;en Inte&#341;national inaonyesha kuwa ubakaji ni uhalifu unaojitokeza zaidi nchini Libe&#341;ia, huku watoto wa kike wenye um&#341;i kati ya miaka 10 hadi 14 wakiwa waathi&#341;ika zaidi.<\/p>\n<p>Hali ya Kollie inaelezea kwa ufasaha changamoto zinazokabili watoto wa kike wanaotaka kupata elimu. Alisema alipata mimba kutokana na kuhitaji msaada wa kifedha wa mwanaume huyo.<\/p>\n<p>&#8220;Mwanaume aliyenipatia mimba alikuwa akinisaidia,&#8221; alisema. Kwa sasa kutokana na kuwa ana mtoto wake, Kollie hapati tena msaada huo wa ada ambayo baba wa mtoto alikuwa akimpatia. Ada kwa shule za binafsi nchini Libe&#341;ia zinagha&#341;imu dola za Libe&#341;ia zipatazo 7,000 sawa na dola za Kima&#341;ekani 92; mshaha&#341;a wa mwezi wa mfanyakazi wa se&#341;ikali nchini Libe&#341;ia.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Kollie na wenzake wanne walikuwa wameshalipa ada ya kuingia kidato cha nne. Watakapo&#341;udi tena shule baada ya kujifungua watoto wao, watatakiwa ku&#341;udia mwaka mmoja tena na pia, suala gumu zaidi, kutafuta pesa za kulipia ada zaidi.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa nimeshalipia ada yangu ya shule,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kollie alielezea kusikitishwa kwake kuwa uongozi wa shule umechukua muda m&#341;efu kumfukuza. Kwa mujibu wa yeye, utawala ulikuwa unajua kuwa yeye na wasichana wengine walikuwa na mimba, hata hivyo waliwa&#341;uhusu kulipia madeni yao yote ya shule halafu wakawafukuza, wiki chache tu kabla ya kumalizika kwa mwaka wa masomo Juni 30.<\/p>\n<p>Jutee alidai kuwa alikuwa akifuata kanuni za shule tu, na alisisitiza kuwa wasichana hao hawakupewa adhabu kutokana na kupata mimba. Lakini mwaka unaofuata ni lazima wasichana hao kutafuta pesa tena kulipia ada ambayo walishalipa mwaka huu.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Gba&#341;nga, LIBERIA, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Pat&#341;icia Kollie alipaswa kuwa shule leo hii lakini badala yake anakaa nyumbani huko Gba&#341;nga, Libe&#341;ia, akitwanga mihogo katika kinu. Mwili wake mzima umevimba. Vazi lake linaonekana kumbana tumboni. Nyumba ya Kollie ipo umbali wa kutembea dakika chache kutoka Shule ya Sekonda&#341;i ya Kiluthe&#341;i ya Mt. Ma&#341;k katika jiji la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":942,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3920","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3920","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/942"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3920"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3920\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3920"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3920"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3920"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}