{"id":3919,"date":"2012-10-02T13:40:01","date_gmt":"2012-10-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/kuzidi-kukua-kwa-sekta-ya-buudani-kwawanasa-watoto-wa-kike-wa-nepali\/"},"modified":"2012-10-02T13:40:01","modified_gmt":"2012-10-02T13:40:01","slug":"kuzidi-kukua-kwa-sekta-ya-buudani-kwawanasa-watoto-wa-kike-wa-nepali","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/10\/02\/kuzidi-kukua-kwa-sekta-ya-buudani-kwawanasa-watoto-wa-kike-wa-nepali\/","title":{"rendered":"Kuzidi Kukua kwa Sekta ya Bu&#341;udani Kwawanasa Watoto wa Kike wa Nepali"},"content":{"rendered":"<p>KATHMANDU, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Ni jambo ambalo halijaonekana waziwazi, ila sekta ya bu&#341;udani inayozidi kukua nchini Nepali imekuwa ikivutia wasichana wadogo kukimbilia katika majiji makubwa nchini humo badala ya kwenda nchini India.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa haki za binadamu wana wasiwasi kuwa suala la biasha&#341;a ya binadamu ya ndani haijaangaliwa kishe&#341;ia kwa mujibu wa she&#341;ia iliyopitishwa mwaka 2007, kwa kuzuia na kuwapa adhabu wahusika wa biasha&#341;a ya kusafi&#341;isha wasichana wadogo wanaovushwa mipaka ya Nepali na magenge ya makahaba.<\/p>\n<p>Matokeo yake, wanaiambia IPS, ni kuwa biasha&#341;a ya binadamu ya ndani kwa ajili ya sekta ya bu&#341;udani ya nchini humo imepuuzwa kuangaliwa kama suala la unyonyaji kama uhalifu wa hali ya juu wa biasha&#341;a ya binadamu kwa ajili ya ukahaba.<\/p>\n<p>&#8220;Biasha&#341;a ya binadamu inafanyika hapa hapa nchini na wala siyo kuwapeleka tu Mumbai au New Delhi nchini India,&#8221; anasema mtaalam wa elimu Helen She&#341;pa kutoka kitengo cha Asia cha shi&#341;ika la Elimu Duniani, ambalo linafanya kazi ya kukabiliana na unyonyaji wa watoto kupitia p&#341;og&#341;amu za kuongeza uelewa.<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa hakuna tafiti za se&#341;ikali juu ya biasha&#341;a ya binadamu wanaopelekwa nje ya nchi, &#341;ipoti ya mwaka 2001 iliyotolewa na Shi&#341;ika la Kazi Ulimwenguni ilikadi&#341;ia kuwa wasichana wa nchini Nepali wapatao 12,000 walisafi&#341;ishwa nje kwenda India kila mwaka kwa ajili ya kufanya shughuli za ukahaba.<\/p>\n<p>She&#341;pa alisema kuwa wasichana wadogo kutoka familia maskini kwa sasa wanadanganywa kufanya kazi katika majumba ya kufanyia masaji na migahawa isiyokuwa ya heshima katika mji wa Kathmandu na miji mingine mikubwa kwa kudanganywa kuwa watakwenda kufanya kazi katika mahoteli makubwa.<\/p>\n<p>Migahawa isiyokuwa ya heshima, majumba ya kufanyia masaji na mabaa ya disko ni maeneo muhimu ya sekta ya bu&#341;udani, na idadi kubwa ya maeneo hayo yanajulikana kwa masuala ya ukahaba.<\/p>\n<p>Pia kuna nyumba za wageni, &#8216;bhatti pasals&#8217; (vibanda vidogo vya mitaani vinavyouza pombe), na migahawa ya &#8216;doho&#341;i&#8217; (nyimbo na miziki ya Nepali) katika maeneo ya mjini na katika njia kuu ambazo zinajulikana kwa kukusanya wateja wengi.<\/p>\n<p>Wastani wa wasichana na wanawake 6,000&ndash;7,000 kwa sasa wanafanya kazi katika migahawa ya aina hiyo, 3,000&ndash;4,000 katika mabaa ya disko, na tak&#341;ibani 900 katika migahawa ya doho&#341;i na idadi kama hiyo kwenye majumba ya masaji, na hivyo idadi yao kufikia wasichana na wanawake 15,000 katika sekta inayokua kwa kasi.<\/p>\n<p>Mjini Kathmandu pekee kuna wastani wa wasichana na wanawake 11,000 hadi 13,000 katika sekta ya bu&#341;udani, kwa mujibu wa kitabu cha &#8216;Biasha&#341;a ya Binadamu na Unyonyaji katika Sekta za Bu&#341;udani na Ngono nchini Nepali,&#8217; ambacho kiliandikwa kwa ajili ya watunga se&#341;a na shi&#341;ika la Te&#341;&#341;es des homes Foundation (TDH) mwaka 2010.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wengi wanaona kitabu hicho kama chanzo muhimu cha taa&#341;ifa na mwongozo wa mashi&#341;ika ya se&#341;ikali na viongozi wa kushughulikia suala la biasha&#341;a ya binadamu. Lakini nchi bado ina umbali m&#341;efu wa kwenda kutekeleza mapendekezo yake na hatua zake.<\/p>\n<p>&#8220;Suala la biasha&#341;a ya binadamu ndani ya nchi halijashughulikiwa kwa ufanisi nchini Nepali. Limetekelezwa bila ya kuwa na taa&#341;ifa zilizofanyiwa utafiti,&#8221; mtaalam wa biasha&#341;a ya kusafi&#341;isha binadamu Nandita Ba&#341;uah anaiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini linazidi kuwa suala muhimu leo hii,&#8221; alisema Ba&#341;uah ambaye anaongoza &#8216;Mpango wa Kupambana na Biasha&#341;a ya Binadamu&#8217; katika shi&#341;ika la Asia Foundation nchini Nepali.<\/p>\n<p>Ba&#341;uah anaelezea kuwa mamlaka na mashi&#341;ika ya kimaendeleo yanakabiliana na suala la biasha&#341;a ya binadamu kama suala la unyonyaji wa watoto kingono katika sekta ya bu&#341;udani badala ya kulichukulia kama ukahaba.<\/p>\n<p>Nchini kote kuna wafanyabiasha&#341;a wa ngono wanaofikia 32,000 huku nusu yao wakiwa watoto wa chini ya miaka 16, kwa mujibu wa shi&#341;ika la se&#341;ikali la &#8220;Kituo cha Kitaifa cha Magonjwa ya Kujamiiana na UKIMWI&#8221; kinachomilikiwa na se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wana imani kuwa nusu ya wafanyabiasha&#341;a hawa wa ngono wamedanganywa na wafanyabiasha&#341;a wa binadamu wakati nusu nyingine walichagua kuingia katika biasha&#341;a kuto&#341;oka umaskini. Wengi wao walikuwa wasichana wadogo wa um&#341;i kati ya miaka 12 hadi 14 wakati walipochukuliwa kwenda mjini Kathmandu, kama ambavyo mfanyakazi mmoja wa ngono ambaye hakutaka kujulikana alivyoiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Nilikuwa na um&#341;i wa miaka 13 wakati nilipowasili mjini Kathmandu kujiunga na hoteli lakini nilichukuliwa na kupelekwa katika jumba la masaji. Sijawahi kuona eneo kama hilo hapo kabla,&#8221; alisema Sita Tamang (jina limebadilishwa). Tamang alisema kuwa waaji&#341;i wa jumba la masaji walimtendea vizu&#341;i hapo mwanzo.<\/p>\n<p>Baada ya wiki aliambiwa kazi yake halisi. &#8220;Nilishtushwa na kuanza kulia mwanzoni kwani niliogopa mno lakini wasichana wengine walinifa&#341;iji wakisema kuwa haikuwa kazi ya hata&#341;i kwani wamekuwa katika kazi hiyo na wameshaizoea,&#8221; alisema Tamang.<\/p>\n<p>Tamang, ambaye sasa ana um&#341;i wa miaka 18, anasema haja&#341;ejea tena nyumbani na hataki kuonana na wazazi wake wakulima maskini. Anapoona wasichana wadogo wakiletwa, anakumbuka siku zake za zamani na anaanza kujisikia vibaya, lakini hana uwezo wa kufanya kitu.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingine tunapambana na wamiliki wanapoleta wasichana wadogo. Kuna wakati nilipigana na mmiliki juu ya kumleta msichana mdogo sana lakini alimwachia nilipomtishia ku&#341;ipoti suala hilo kwenye magazeti,&#8221; alisema msichana mwingine ambaye alianza kufanya kazi kwenye jumba la masaji akiwa na um&#341;i wa miaka 14.<\/p>\n<p>Aliwaita wazazi wa mtoto katika wilaya ya Makwanpu&#341;, kilomita 200 kutoka Kathmandu, na kumtaka kumchukua binti yao ku&#341;udi naye nyumbani. &#8220;Niliwaita kwa sauti katika kituo cha basi wakati nikikumbuka siku zangu za zamani,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Matukio ya wafanyabiasha&#341;a ya ngono wanaokuwa na nguvu za kuzuia kutumika kwa watoto wadogo ni machache sana. Hali ya ujumla katika sekta ya bu&#341;udani ni kwa waathi&#341;ika wa biasha&#341;a ya ngono kugeuka na kuwa wasafi&#341;ishaji wa wasichana.<\/p>\n<p>Utafiti wa TDH unaonyesha wafanyakazi katika sekta ya bu&#341;udani pia ni chanzo kikuu cha wasichana kuingia katika sekta hiyo na wanalipwa kwa kufanya hivyo. Ma&#341;a nyingi, kwa mujibu wa utafiti wa TDH, watoto wa kike na wanawake hawa&#341;uhusiwi kuondoka kazini hadi wamepata watu wa kuchukua nafasi zao kutoka vijijini mwao.<\/p>\n<p>Hadi sasa, hatua pekee iliyochukuliwa na se&#341;ikali ni kufanya do&#341;ia ya ma&#341;a kwa ma&#341;a katika majumba ya bu&#341;udani, pamoja na kuwa she&#341;ia ya kupambana na biasha&#341;a haijatumiwa, wanasema wanaha&#341;akati.<\/p>\n<p>Pengo kubwa ni kwamba Nepali haina she&#341;ia dhidi ya ukahaba, na kama wakikamatwa wanafunguliwa mashitaka ya kuvu&#341;uga amani au kufanya uzinzi. Ma&#341;a nyingi, wanafungiwa kwa masaa 24 na kupigwa faini, lakini wanaachiwa kuendelea na kazi yao.<\/p>\n<p>Wasichana hao wanaingiza dola zipatazo 100 kwa mwezi kama mishaha&#341;a yao huku wamiliki wakiingiza faida kubwa. Hata hivyo, wengi wanapendelea kupata fedha hizo kuliko kuishi katika umaskini mkubwa kwenye vijiji vya Nepali.<\/p>\n<p>&#8220;Ukubwa wa uhalifu huo haujapimwa na hii ni sabahu kwa nini usafi&#341;ishaji wa wasichana umekuwa &#341;ahisi,&#8221; alisema Ba&#341;uah wa Asia Foundation.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa kuna haja ya kuangalia kwa umakini tofauti na uhusiano kati ya unyonyaji kingono na usafi&#341;ishaji wa binadamu halafu kupeleka kesi kwa mahakama ya uhalifu wa makosa ya jinai.<\/p>\n<p>&#8220;Inabidi watu kukubali kwanza kuwa kuna usafi&#341;ishaji wa ndani wa binadamu na inabidi se&#341;ikali kukubali kuwa tatizo hili kubwa linahitaji kuangaliwa kwa umakini,&#8221; alielezea. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KATHMANDU, Oktoba 1 (IPS) &ndash; Ni jambo ambalo halijaonekana waziwazi, ila sekta ya bu&#341;udani inayozidi kukua nchini Nepali imekuwa ikivutia wasichana wadogo kukimbilia katika majiji makubwa nchini humo badala ya kwenda nchini India. Wanaha&#341;akati wa haki za binadamu wana wasiwasi kuwa suala la biasha&#341;a ya binadamu ya ndani haijaangaliwa kishe&#341;ia kwa mujibu wa she&#341;ia iliyopitishwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":941,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3919","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3919","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/941"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3919"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3919\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3919"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3919"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3919"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}