{"id":3918,"date":"2012-09-06T13:40:01","date_gmt":"2012-09-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/tanzania-uzazi-wa-mpango-muhimu-kuhifadhi-mazingia-kuimaisha-afya-ya-mama-na-mtoto\/"},"modified":"2012-09-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-09-06T13:40:01","slug":"tanzania-uzazi-wa-mpango-muhimu-kuhifadhi-mazingia-kuimaisha-afya-ya-mama-na-mtoto","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/tanzania-uzazi-wa-mpango-muhimu-kuhifadhi-mazingia-kuimaisha-afya-ya-mama-na-mtoto\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Uzazi wa Mpango Muhimu Kuhifadhi Mazingi&#341;a, Kuima&#341;isha Afya ya Mama na Mtoto."},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Septemba 6 (IPS) &ndash; Tangazo linalo&#341;ushwa katika kituo cha &#341;edio ya jamii cha Pangani FM ambalo limeandaliwa kwa mtindo wa mchezo wa kuigiza linasisitiza mambo makuu matatu &ndash; idadi ya watu, afya na mazingi&#341;a.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tangazo linaanzia mchana nyumbani kwa mama wawili ambapo mama Sauda anagonga hodi ambayo inachelewa kuitikiwa kutokana na kelele za sauti ya mtoto anayelia. Baada ya muda mlango unafunguliwa huku sauti ya mtoto mchanga ikiendelea kusikika akilia. <\/p>\n<p>Mama Sauda anashangaa &#8220;He! mama Wawili, mimba nyingine tena hata hawa mapacha hawajatimiza mwaka  Mama Wawili anajibu huku akiendelea kubembeleza mtoto. &#8220;Loh! nifanyeje mama Sauda na huyo shemeji yako ndivyo anavyotaka.&#8221;<\/p>\n<p>Mama Sauda anahamaki. &#8220;Jamani mbona shemeji anafanya mambo ya kizamani&ndash; siku hizi kuna njia za kisasa za uzazi wa mpango ili kujikinga na mimba zisizota&#341;ajiwa.&#8221; Mama Wawili hakukosa cha kujibu. &#8220;Mmwenzangu hizo njia tunasikia zina madha&#341;a&#8230;.! &#8221; Mama Sauda anamhakikishia usalama &#8220;Hapana njia zote ni salama, mbona mimi na mume wangu tunatumi miaka yote&#8230;kwanza baba wawili yuko &#8221; Mama Wawili anajibu kwa unyonge &#8220;Yupo shamba&#8221;.<\/p>\n<p>Mama Sauda anaahidi kumfuata huko huko shamba ili kwenda kumpatia dozi yake, lakini wakati huo huo anaanza kumpatia mama wawili ujumbe wa uelewa wa njia za uzazi wa mpango.<\/p>\n<p>&#8220;Uzazi wa mpango, utawafanya mpange idadi ya watoto mnaowataka na mtaweza kuwalea na kuwasomesha, utakuwezesha kujikinga na mimba zisizota&#341;ajiwa, mtaweza kubo&#341;esha afya ya mama na mtoto na kumuwezesha mama kushi&#341;iki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi.&#8221;<\/p>\n<p>Anaendelea kutoa ufafanuzi. &#8220;Njia zote za uzazi wa mpango ni salama, fika kwa mhudumu wa afya upate taa&#341;ifa sahihi.&#8221;<\/p>\n<p>Anaongeza &#8220;tukipanga uzazi tutaweza hata kutunza vyema &#341;asilimali zetu na zitatutosha&#8230;na tutaweza kupiga hatua katika kuleta maendeleo endelevu&#8230;. Umenipata mama Wawili.&#8221;<\/p>\n<p>Baada ya tangazo unakuja ujumbe &#8220;Tumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Panga uzazi na tunza mazingi&#341;a kwa maisha bo&#341;a ya sasa na ya baadaye&#8221;.<\/p>\n<p>Tangazo hili ni moja ya kazi za Mpango wa Kuhifadhi Mazingi&#341;a na Rasilimali za Ukanda wa Pwani (TCMP&ndash;Pwani) unaofadhiliwa na Shi&#341;ika la Misaada la Watu wa Ma&#341;ekani (USAID) na kupatiwa msaada wa kiufundi na Kituo cha Rasilimali za Baha&#341;i cha Chuo Kikuu cha Rhode Island katika wilaya za Pangani na Bagamoyo.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa M&#341;atibu wa Kitengo cha Idadi ya Watu, Afya na Mazingi&#341;a (PHE) wa TCMP&ndash;Pwani, Juma Dyegula, m&#341;adi unatumia dhana ya kisasa kabisa ya hifadhi ya mazingi&#341;a kwa kujenga uelewa wa jamii za pwani juu ya suala zima la uhusiano uliopo kati ya idadi ya watu, afya na mazingi&#341;a. Na hapa ndipo suala zima la uzazi wa mpango linapokuja.<\/p>\n<p>&#8220;Dhana ya idadi ya watu, afya na mazingi&#341;a ambayo pia inatekelezwa katika m&#341;adi tofauti ujulikanao kama BALANCED (Building Acto&#341;s and Leade&#341;s fo&#341; Community Excellence in Development) ina lengo la kukuza uelewa wa mwingiliano uliopo kati ya idadi ya watu, afya na mazingi&#341;a katika maeneo yenye utaji&#341;i mkubwa wa bioanuwai,&#8221; anasema Dyegula.<\/p>\n<p>&#8220;Pia dhana hii inajengwa katika ukweli kwamba uzazi wa mpango ni muhimu katika kuendeleza mafanikio yaliyopatikana ya kuhifadhi mazingi&#341;a katika maeneo yenye utaji&#341;i mkubwa wa bioanuwai na katika kukabiliana na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi. Inajengwa katika ukweli kwamba usimamiaji wa maliasili unakwenda vizu&#341;i kama kuna uelewa mzu&#341;i wa umuhimu wa kudhibiti ukubwa wa familia.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa tafiti za BALANCED, jinsi idadi ya watu inavyozidi kuongezeka ndivyo umaskini unavyozidi kuongezeka ambao husababishwa na fu&#341;sa chache za kujiingizia kipato, migogo&#341;o katika familia na hata katika ngazi ya jamii na kukosekana kwa usawa wa kijinsia, miongoni mwa mamabo mengine. Hali hii inaweza kuchangia kuenea kwa magonjwa kama ya VVU\/UKIMWI, utapiamlo na hivyo usimamiaji duni wa maliasili na kusababisha uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a kama vile ukataji miti kupita kiasi.<\/p>\n<p>Tanzania ni mojawapo ya mataifa yanayokabiliwa na changamoto ya uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a unaohusiana na dhana ya idadi ya watu, afya na mazingi&#341;a. Kwa mujibu wa m&#341;adi wa BALANCED, idadi ya watu nchini Tanzania ni zaidi ya milioni 40, kiwango cha ongezeko la idadi ya watu ni asilimia 2.3, kiwango cha uwezo wa kuzaa watoto ni asilimia 5.3 na idadi ya watu chini ya miaka 15 ni asilimia 44. Takwimu pia zinaonyesha kuwa maambukizi ya VVU ni asilimia 5.7, idadi ya watu wanaoishi chini ya dola 2 kwa siku ni asilimia 90 na kiwango cha ukataji wa miti ni asilimia 40.<\/p>\n<p>&#8220;Hali hii inatisha kama itaachwa kuendelea bila kudhibitiwa, kwani maliasili na mazingi&#341;a vitaendelea kutumika kwa kiasi cha kupitiliza na hivyo kuendelea kuha&#341;ibiwa kwa mazingi&#341;a ambayo yanapaswa kutunzwa kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho,&#8221; anasema Dyegula.<\/p>\n<p>M&#341;adi ambao unatekelezwa kwa miaka minne na sasa upo katika mwaka wa tatu wa utekelezaji, pamoja na mambo mengine, unafanya kazi ya kueneza elimu ya uzazi wa mpango kwa jamii za pwani hususani katika wilaya ya Pangani kupitia kwa wasambazaji wa huduma za uzazi wa mpango katika jamii (CBDs), waelimishaji &#341;ika na wamiliki wa maduka yanayouza kondomu.<\/p>\n<p>Pia m&#341;adi unahamasisha matumizi ya majiko banifu yanayotumia mkaa kidogo, wanajamii kujiunga na Vikundi vya Kuweka na Kukopa (SACCOS) na kutoa ushau&#341;i nasaha juu ya VVU\/UKIMWI na kusambaza kondomu.<\/p>\n<p>&#8220;Shughuli zote hizi zina matokeo makubwa katika kuhifadhi mazingi&#341;a ya pwani na kuima&#341;isha afya ya mama na mtoto na ya jamii nzima kwa ujumla,&#8221; anasema Dyegula. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Septemba 6 (IPS) &ndash; Tangazo linalo&#341;ushwa katika kituo cha &#341;edio ya jamii cha Pangani FM ambalo limeandaliwa kwa mtindo wa mchezo wa kuigiza linasisitiza mambo makuu matatu &ndash; idadi ya watu, afya na mazingi&#341;a. Tangazo linaanzia mchana nyumbani kwa mama wawili ambapo mama Sauda anagonga hodi ambayo inachelewa kuitikiwa kutokana na kelele&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3918","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3918","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3918"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3918\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3918"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3918"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3918"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}