{"id":3917,"date":"2012-09-06T13:40:01","date_gmt":"2012-09-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/taliban-wadhoofisha-jitihada-za-kutokomeza-polio-ulimwenguni\/"},"modified":"2012-09-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-09-06T13:40:01","slug":"taliban-wadhoofisha-jitihada-za-kutokomeza-polio-ulimwenguni","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/taliban-wadhoofisha-jitihada-za-kutokomeza-polio-ulimwenguni\/","title":{"rendered":"Taliban Wadhoofisha Jitihada za Kutokomeza Polio Ulimwenguni"},"content":{"rendered":"<p>PESHAWAR, Pakistan, Septemba 6 (IPS) &ndash; Kutokana na kutoa am&#341;i ya kupigwa ma&#341;ufuku kwa utoaji wa chanjo ya polio katika maeneo inayoyashikilia mpakani mwa Afghanistan na Pakistan, kundi la Taliban linashikilia lengo la dunia la kutokomeza ugonjwa huo unaosababisha ulemavu kwa watoto, wanasema madakta&#341;i wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO).\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Hatua ya Taliban ya kupiga ma&#341;ufuku chanjo ya polio katika Maeneo ya Shi&#341;ikisho Yanayosimamiwa Kikabila (FATA) inasababisha tishio baya kwa jitihada za kimataifa za kutokomeza polio kwani nchi ambazo miaka mingi iliyopita zimekuwa hazina ugonjwa huo zinaweza kuambukizwa tena na vi&#341;usi kutoa Pakistan,&#8221; D&#341;. Khalid Khan, ambaye anafanya kazi katika p&#341;og&#341;amu ya polio katika shi&#341;ika la WHO kwenye maeneo ya FATA, anaiambia IPS.<\/p>\n<p>WHO inaongoza Mpango wa Kimataifa wa Kutokomeza Polio (GPEI) ambao unaungwa mkono na shi&#341;ika la Rota&#341;y Inte&#341;national, Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa nchini Ma&#341;ekani na Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto.<\/p>\n<p>Tangu GPEI ilipozinduliwa mwaka 1988 wagonjwa wa polio duniani kote walipungua kwa zaidi ya asilimia 99 na leo hii ni nchi tatu tu, Nige&#341;ia, Afghanistan na Pakistan, bado zina wagonjwa wa polio.<\/p>\n<p>Lakini, kati ya vi&#341;usi vya polio ambavyo bado vimesalia duniani aina ya WPV, maeneo ya FATA yana aina mbili tofauti ya vi&#341;usi hivyo, aina ya WPV1 na WPV 3.<\/p>\n<p>&#8220;FATA ni eneo pekee lenye ugonjwa wa polio katika kanda zote duniani ambalo lina vi&#341;usi aina ya WPV1 na WPV3, na kutokana na kuendelea kuenea vinaendelea kuwa tishio kwa watoto mahali pengine,&#8221; anasema Asgha&#341; Ali, dakta&#341;i mwingine wa WHO.<\/p>\n<p>Mwaka 1994, WHO katika ukanda wa Ame&#341;ika (nchi 36) ilitangaza kuwa maeneo hayo hayana polio, na kufuatiwa na ukanda wa Pasifiki ya Magha&#341;ibi (nchi 37 ikiwa ni pamoja na China) mwaka 2000. Lakini, baada ya pengo la miaka tisa, wagonjwa kadhaa wa polio walihusishwa na vi&#341;usi aina ya WPV1 katika jimbo la Xinjiang nchini China ambalo linapakana na Pakistan.<\/p>\n<p>Vile vile, ukanda wa Ulaya wa WHO (nchi 51), ambazo hazijawahi kuwa na wagonjwa wa polio tangu Juni 2002, lilikabiliwa na vi&#341;usi vya polio kwa ma&#341;a ya kwanza mwaka 2010, na hivyo kuonyesha tishio lililokuwepo la ugonjwa huo unaoenea kwa njia ya kuambukiza.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa WHO, katika kipindi cha mwaka 2009&ndash;2010, nchi 23 ambazo hapo kabla hazikuwa na ugonjwa wa polio ziliambukizwa tena kutokana na kuingia kwa polio kutoka nje.<\/p>\n<p>Ali aliiambia IPS kuwa maeneo mengi ya FATA, ambayo yamegawanyika katika maeneo saba, yameathi&#341;ika kutokana na chanjo kutolewa kwa chini ya asilimia 45 wakati shabaha iliyowekwa na &#8216;Wazi&#341;i wa Dha&#341;ula na Mpango wa Kutokomeza Polio 2012&#8217; ni asilimia 95. <\/p>\n<p>Tatizo lilikuwa baya zaidi katika maeneo ya FATA ya Kaskazini mwa Wazi&#341;istan na Kusini mwa Wazi&#341;istan ambapo Teh&#341;eek&ndash;e&ndash;Taliban, au Pakistani Taliban, wana ngome huko.<\/p>\n<p>Juni 15, Pakistani Taliban walipiga ma&#341;ufuku chanjo ya polio ya matone (OPV), wakisema kuwa ni sehemu ya mpango wa Ma&#341;ekani wa kupunguza idadi ya Waislam duniani. Kwa Taliban katika Kusini mwa Wazi&#341;istan walikwenda hatua zaidi Juni 25 kwa kupiga ma&#341;ufuku aina zote za chanjo.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;ufuku ya ka&#341;ibuni katika kanda mbili za FATA zenye wanamgambo wengi ni kikwazo katika utokomezaji wa ugonjwa,&#8221; Ali alisema.<\/p>\n<p>Ma&#341;ufuku ya Taliban inajitokeza wakati wa azimio la mawazi&#341;i wa afya, katika mkutano wa Ba&#341;aza la Afya Duniani mjini Geneva Mei 25, kutaka kukamilisha zoezi la kutokomeza kabisa polio kama &#8220;p&#341;og&#341;amu ya dha&#341;ula duniani.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Tuna matatizo katika Eneo la Khybe&#341;, lakini wakati tukiwa ka&#341;ibu ya kutatua mgogo&#341;o huko, pigo hili jipya la p&#341;og&#341;amu kutoka Kaskazini na Kusini mwa Wazi&#341;istan linazidi kujitokeza,&#8221; Dk. Fawad Khan, mku&#341;ugenzi wa afya katika eneo hilo la FATA, anaiambia IPS. <\/p>\n<p>Tangu kuanza kwa mwaka, kumekuwa na wagonjwa 22 waliothibitishwa nchini Pakistan, na wagonjwa 11 ku&#341;ipotiwa katika maeneo ya FATA.<\/p>\n<p>Khan alikumbusha kuwa mwaka 2005, mwanafunzi wa um&#341;i wa miaka 25 wa nchini Pakistan huko Melbou&#341;ne alionekana kuwa na vi&#341;usi vya polio alipo&#341;ejea baada ya kutumikia likizo yake nchini Pakistan. &#8220;Vipimo vya kinasaba vilionyesha kuwa vi&#341;usi vinahusiana na kuenea katika eneo la Khybe&#341;.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Hivi ka&#341;ibuni tulianza kutoa dozi za ma&#341;a kwa ma&#341;a kuhakikisha kuwa watoto ambao hawajapata chanjo wakati wa kampeni wanapatiwa OPV,&#8221; alisema mku&#341;ugenzi wa afya wa FATA.<\/p>\n<p>Lakini, p&#341;og&#341;amu ya chanjo katika maeneo ya FATA ilivu&#341;ugwa baada ya wa&#341;aka wa uku&#341;asa mmoja kusambazwa katika eneo la Kusini mwa Wazi&#341;istan Juni 25 na mkuu wa Pakistan Taliban Mullah Nazi&#341; Ahmad akielezea chanjo kama &#8220;sumu tamu inayopatiwa watoto. Wama&#341;ekani wanatumia vyombo vya haba&#341;i, michezo, chanjo na elimu ya kuchanganya watoto wa kike na wa kiume kueneza ajenda yao.&#8221;<\/p>\n<p>Wa&#341;aka huo ulionya kuwa ida&#341;a na shi&#341;ika lolote linalofanya kazi ya chanjo &#8220;litakiona cha mtema kuni.&#8221;<\/p>\n<p>Taliban wanadai kuwa p&#341;og&#341;amu za chanjo ni njama na kutoa mfano wa Dk. Shakil Af&#341;idi, ambaye alikutwa na hatia ya kuendesha chanjo feki ya homa ya manjano ili kuthibitisha uwepo wa Osama bin Laden katika eneo la Abbottabad, ambako kiongozi huyo wa Al&ndash;Qaeda aliuawa katika shambulizi lililofanywa aska&#341;i wa jeshi la Ma&#341;ekani Mei 2011.<\/p>\n<p>Af&#341;idi alihukumiwa hadi miaka 33 jela na mahakama ya kikabila kutokana na ushi&#341;iki wake katika kusaidia Shi&#341;ika la Ujasusi la Ma&#341;ekani kumtafuta bin Laden, ambaye alikuwa akitafutwa kutokana na kufanya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001, katika a&#341;dhi ya Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa upande mwingine wanawaua wanawake wasiokuwa na hatia, watoto na watu wazima katika mashambulizi, wanatumia mamilioni ya dola kwa ajili ya kampeni za chanjo,&#8221; ulisema wa&#341;aka huo wa Taliban.<\/p>\n<p>Ma&#341;ufuku hayo yatakuwa na atha&#341;i kwa watoto wanaokadi&#341;iwa kuwa 318,000 katika maeneo ya Kaskazini na Kusini mwa Wazi&#341;istan, alisema Tahseenullah Khan, m&#341;atibu wa Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kitaifa na Utafiti (NRDF) ambalo limekuwa likisaidia se&#341;ikali katika kueneza chanjo katika maeneo hayo mawili ya kikabila.<\/p>\n<p>Viongozi wa kidini wa ndani ambao ni wanachama wa NRDF, kwa mafanikio wameweza kushughulikia matukio zaidi ya 6,000 ya kukataliwa kwa chanjo kutoka kwa wazazi katika maeneo hayo mawili, lakini wakati huu hali ni tofauti, Tahseenullah Khan alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati huu itakuwa vigumu kushawishi Taliban ku&#341;uhusu chanjo kutokana na kudai fidia ya kushambuliwa ili waweze kuondoa ma&#341;ufuku hayo,&#8221; alisema Dk. Aami&#341; Khan wa mpango wa chanjo wa se&#341;ikali katika njimbo la Khybe&#341; Pakhtunkhwa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PESHAWAR, Pakistan, Septemba 6 (IPS) &ndash; Kutokana na kutoa am&#341;i ya kupigwa ma&#341;ufuku kwa utoaji wa chanjo ya polio katika maeneo inayoyashikilia mpakani mwa Afghanistan na Pakistan, kundi la Taliban linashikilia lengo la dunia la kutokomeza ugonjwa huo unaosababisha ulemavu kwa watoto, wanasema madakta&#341;i wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO). &#8220;Hatua ya Taliban ya kupiga&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":940,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3917","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3917","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/940"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3917"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3917\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3917"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3917"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3917"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}