{"id":3916,"date":"2012-09-06T13:40:01","date_gmt":"2012-09-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/hapana-kupoteza-hapana-kuwa-na-uhaba-kuhakikisha-usalama-wa-chakula-nchini-afika-kusini\/"},"modified":"2012-09-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-09-06T13:40:01","slug":"hapana-kupoteza-hapana-kuwa-na-uhaba-kuhakikisha-usalama-wa-chakula-nchini-afika-kusini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/hapana-kupoteza-hapana-kuwa-na-uhaba-kuhakikisha-usalama-wa-chakula-nchini-afika-kusini\/","title":{"rendered":"Hapana Kupoteza, Hapana Kuwa na Uhaba: Kuhakikisha Usalama wa Chakula nchini Af&#341;ika Kusini"},"content":{"rendered":"<p>PRETORIA, Af&#341;ika Kusini, Septemba 6 (IPS) &ndash; Wakati Af&#341;ika Kusini ikikabiliwa na mtihani wa kuondokana na tatizo la taka za chooni, wanasayansi wanaonekana kupata njia ya kupunguza taka wakati huohuo wakikabiliana na uhaba wa chakula nchini humo. Ufumbuzi ni matumizi salama ya taka za binadamu kwa mbolea.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pamoja na kuwa ka&#341;ibu Waaf&#341;ika Kusini milioni 11 wamepata huduma za vyoo tangu mwaka 1994, zaidi ya watu milioni 13.3 bado hawajapata huduma za vyoo na maji taka hadi ilipofika mwaka 2008, kwa mujibu wa Ba&#341;aza la Utafiti wa Kisayansi na Viwanda nchini humo.<\/p>\n<p>Lakini kwa kuongeza katika hili, vyoo vya shimo nchini Af&#341;ika Kusini vinajaa mapema mno kuliko muda uliota&#341;ajiwa wakati wa kujengwa, kwa mujibu wa Tume ya Utafiti wa Maji (WRC).<\/p>\n<p>&#8220;Ni thetluthi moja tu ya manisipaa zina bajeti ya kuwa na eneo moja la kupeleka taka za chooni. Kama mashimo yanajaa, kazi ngumu ambayo imefanyika kukabiliana na ugumu wa huduma za taka za chooni inakuwa hasa&#341;a. Ni kwa nini hakutumiki mashine ya kusindika kinyesi kushughulika na tatizo linalozidi kukua la usalama wa chakula kwa kupanda miti ya matunda  Au kwa matumizi ya miti ya nishati ya mafuta na ka&#341;atasi &#8221; aliuliza mtafiti wa WRC David Still. Matokeo yake ni kuanzishwa kwa m&#341;adi wenye jina la &#8220;Nini kitatokea wakati vyoo vya shimo vitakapojaa.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Ni wazi kuwa matumizi ya matenki siyo ufumbuzi kwasababu ya upatikanaji wake, na kutokana na vitu ambavyo vimekutwa kwenye vyoo vya shimo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Taka za chooni au FS zina &#341;utuba sana kutokana na kuwa na madini kama ya Nit&#341;ogen, Phosphates na Potassium na mtu wa kawaida huzalisha kiasi cha kutosha kwa mwaka kwa ajili ya mbolea inayoweza kutumika katika shamba la mazao la mita za m&#341;aba 300 hadi 400. Hata hivyo, kwa kutumia mbolea ya FS inaweza kuwa na hata&#341;i kwasababu ya kuwa na vimelea vya magonjwa, hasa kama itatumiwa juu ya a&#341;dhi na ambapo mazao ya kula mabichi yanalimwa. Pia kuna hata&#341;i kuwa FS inaweza kuchafua maji ya chini ya a&#341;dhi.<\/p>\n<p>&#8220;Tuliangalia katika uwezekano wa kutumia &#341;utuba iliyopo katika taka za chooni na pia kangalia hata&#341;i iliyopo kutokana na vimelea hadi vitakapokufa,&#8221; alisema Still.<\/p>\n<p>Ili kupata njia ya kukabiliana na vimelea vya magonjwa katika FS, utafiti ulifanyika katika mashimo mawili, moja katika Umlazi na jingine katika Ka&#341;kloof, huko KwaZulu&ndash;Natal, Af&#341;ika Kusini. Manisipaa ya eneo hilo na Kiwanda cha Ka&#341;atasi cha Af&#341;ika Kusini (SAPPI) wanamiliki maeneo hayo.<\/p>\n<p>Still na timu yake waligundua kuwa kwa kufukia FS katika mashimo na kupanda mazao juu yake, vimelea vya magonjwa viliweza kudhibitiwa na hatimaye kufa.<\/p>\n<p>Mashimo ya mita zipatazo 0.75 kwa u&#341;efu yalichimbwa na kujazwa FS ya ujazo tofauti. Vituo viwili vya udhibiti ambapo hakukuwa na FS vilifuatiliwa. Miti iliyopandwa katika eneo hilo ilifuatiliwa kwa ajili ya ukuaji na ile iliyopandwa kwenye FS ilionyesha ukuaji na ustawi mzu&#341;i, &#8220;kwa kiwango cha asilimia 80&#8221;.<\/p>\n<p>Ili kuja&#341;ibu uwepo wa vimelea wa magonjwa kwenye FS, watafiti walitafiti mayai ya minyoo mdua&#341;a mikubwa. Kama mayai yalionekana, ilikuwa na maana kuwa bado FS ina vimelea vya magonjwa na hivyo kuwa hata&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Uchambuzi wa mbolea iliyochimbwa katika vipindi tofauti ilionyesha kuwa hakukuwa na minyoo hiyo baada ya miezi 30 baada ya kufukiwa kwa kinyesi chini,&#8221; Still alisema.<\/p>\n<p>Sfundo Nkomo, mhandisi wa shi&#341;ika la Pa&#341;tne&#341;s in Development, aligundua vimelea wa wadudu katika kituo cha Umlazi.<\/p>\n<p>&#8220;Mtu anatakiwa kufuatilia hali kutokana na hata&#341;i iliyokuwepo. Ni wazi kuwa teknolojia inafanya kazi na kwamba mimea ina majani mazu&#341;i ya kijani kibichi. Kati ya mista&#341;i tisa ya miti iliyopandwa, ile iliyokuwa na mbolea ya kinyesi ilikuwa mikubwa zaidi na iliendelea kukua vizu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Maji ya chini ya a&#341;dhi katika vituo vya kufukia uchafu huo pia yalifuatiliwa kujua kama yaliathi&#341;iwa na kinyesi. Katika kituo cha Umlazi, ambacho ni eneo tamba&#341;a&#341;e lenye udongo wa kichanga, hakukuwa na madha&#341;a yaliyoonekana. Hata hivyo, katika kituo cha ka&#341;ibu na Ka&#341;kloof, ambacho kina mite&#341;emko na udongo ni mwembamba, kulionekana ongezeko la nit&#341;ogen katika maji ya chini ya a&#341;dhi baada ya mvua kunyesha.<\/p>\n<p>Hii iliwaonyesha watafiti kuwa mashimo ya kufukia aina hii ya mbolea yanatakiwa kuwa katika maeneo ya tamba&#341;a&#341;e.<\/p>\n<p>Eneo la nyumba ya Lindiwe Khoza huko Umlazi ilitumika kama eneo la maja&#341;ibio. Taka za chooni zilizikwa chini hapa na miti aina ya michungwa ilipandwa juu.<\/p>\n<p>&#8220;Miti ilikua kwa ha&#341;aka sana na matunda yake yalionekana kujazia zaidi na kuwa na maji mengi kuliko matunda ya masoko mu&#341;ua. Kwa sasa tunafaidi matunda kutoka bustanini kwetu,&#8221; Khoza mwenye fu&#341;aha aliiambia IPS kupitia kwa mkalimani.<\/p>\n<p>Kiongozi wa usimamizi wa a&#341;dhi katika Misitu ya Sappi, Giovanni Sale, alisema kuwa pia waliona kuongezeka kwa ukuaji wa mti katika maeneo ambapo mashimo ma&#341;efu yalitumika.<\/p>\n<p>&#8220;Ubo&#341;eshaji huu wa ukuaji wa miti, hata hivyo, kwa bahati mbaya haukuwa sehemu ya maandalizi ya eneo. Maandalizi ya a&#341;dhi katika eneo hilo gha&#341;ama yake ni ma&#341;a thelathini zaidi ya mbinu za kawaida za msituni. Kwa hivyo, uchumi peke yake haufanyi huu kuwa m&#341;adi unaofaa,&#8221; Sale alisema.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa kama manisipaa ya ndani inataka kuanzisha m&#341;adi wa kufukia taka za chooni katika a&#341;dhi yao wenyewe, na kupanda miti, Sappi angeweza kusaidia.<\/p>\n<p>&#8220;Sappi angekuwa katika nafasi ya kusambaza mbegu nzu&#341;i za kupanda, kutoa msaada wa kiufundi na kuwatafutia soko la mbao. Kama manisipaa yangeweza kupokea mbinu hii na kama kiasi kidogo cha taka kinazikwa ma&#341;a kwa ma&#341;a kwa kutumia viba&#341;ua, kiasi kidogo cha nguvukazi kingefanya kazi hiyo,&#8221; alisema. Aliongeza kuwa ni &#8220;ja&#341;ibio la ma&#341;a moja tu.&#8221;<\/p>\n<p>Jay Bhagwan, mku&#341;ugenzi wa Matumizi ya Maji na Usimamizi wa Taka katika WRC, alisema kuwa ufukiaji wa taka za chooni unaweza kuleta usalama wa chakula na nishati kwa jamii.<\/p>\n<p>&#8220;Jamii inaweza kupanda miti ya nishati au matunda kwa ajili ya mahitaji yao. Ukuaji wa mimea na matunda unabo&#341;eka kwa kiasi kikubwa kutokana na kutumia taka za chooni. Teknolojia ina faida nyingi. Inafanya vyoo vifanye kazi na pia kuongeza uwezekano wa kusimamia vyema &#341;asilimali zetu,&#8221; Bhagwan alisema.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Still, kuwa na huduma bo&#341;a za vyoo siyo kujenga tu vyoo vingi. &#8220;Inahusu pia jinsi ya kusimamia vyoo vizu&#341;i.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PRETORIA, Af&#341;ika Kusini, Septemba 6 (IPS) &ndash; Wakati Af&#341;ika Kusini ikikabiliwa na mtihani wa kuondokana na tatizo la taka za chooni, wanasayansi wanaonekana kupata njia ya kupunguza taka wakati huohuo wakikabiliana na uhaba wa chakula nchini humo. Ufumbuzi ni matumizi salama ya taka za binadamu kwa mbolea. Pamoja na kuwa ka&#341;ibu Waaf&#341;ika Kusini milioni 11&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":916,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3916","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3916","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/916"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3916"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3916\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3916"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3916"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3916"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}