{"id":3914,"date":"2012-09-06T13:40:01","date_gmt":"2012-09-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/filamu-mauaji-na-vitisho-haviwezi-kumaliza-mapambano-ya-mashoga-uganda\/"},"modified":"2012-09-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-09-06T13:40:01","slug":"filamu-mauaji-na-vitisho-haviwezi-kumaliza-mapambano-ya-mashoga-uganda","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/filamu-mauaji-na-vitisho-haviwezi-kumaliza-mapambano-ya-mashoga-uganda\/","title":{"rendered":"FILAMU: Mauaji na Vitisho Haviwezi Kumaliza Mapambano ya Mashoga Uganda"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Septemba 6 (IPS) &ndash; Nchini Uganda, kama ilivyo katika mataifa mengi ya Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, kufanya ngono na jinsia moja ni kinyume cha she&#341;ia na unaweza kuadhibiwa kwa kufungwa hadi miaka 14 jela, she&#341;ia ambayo inaungwa mkono na Waganda wengi na kupewa umaa&#341;ufu zaidi na jitihada za uzengeaji wa makanisa ya Kiinjili ya Ma&#341;ekani. She&#341;ia hii inaweza kuwa kandamizi zaidi hivi ka&#341;ibuni kutokana na Muswada wa Kupambana na Ushoga, ambao pia unajulikana kama Muswada wa &#8220;Kuua Mashoga&#8221;, ambao uliwasilishwa kwa ma&#341;a nyingine tena bungeni mwezi Feb&#341;ua&#341;i mwaka huu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Hakuna anayetambua muswada huo utapigiwa ku&#341;a lini, au kama utapigiwa ku&#341;a au kama utapitishwa au hautapigiwa ku&#341;a&#8230; Ni jambo ambalo kila mmoja anahisi tu,&#8221; Kathe&#341;ine Fai&#341;fax, mmoja wa watengenezaji wa filamu wawili maa&#341;ufu ambaye aliwahi kupata tuzo kutokana na filamu yake &#8220;Call Me Kuchu&#8221;, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Muswada wenye utata mkubwa uliwasilishwa bungeni kwa ma&#341;a ya kwanza na Mbunge David Bahati Oktoba 2009 na unagawa makosa ya ushoga katika maeneo matatu: kuunga mkono ushoga, kufanya matendo ya ushoga au kukuza matendo ya ushoga.<\/p>\n<p>Ukishindwa kutoa taa&#341;ifa za &#341;afiki yako au ndugu shoga ni kosa la kusaidia ushoga (LGBT) katika jamii na unastahili adhabu ya miaka mitatu jela, kwa mujibu wa muswada, wakati kushi&#341;iki katika vitendo vya ushoga kunaweza kukufanya kufungwa jela kwa maisha yako yote.<\/p>\n<p>Mtu anaweza kushangaa nini &#8220;kimechochea&#8221; ushoga. Kwa mujibu wa muswada, unahusu makosa mengi ikiwa ni pamoja na kushi&#341;iki katika vitendo vya ushoga na mtu mlemavu, mtoto, au kama &#8220;mhalifu&#8221; anaishi na VVU.<\/p>\n<p>&#8220;Muswada huu wa kiuchochezi utachukuliwa kama uthibitisho kuwa ni sawa kushambulia au hata kuua wanaume na wanawake wanaoshi&#341;iki katika vitendo vya ushoga,&#8221; alisema Victo&#341; Mukasa wa Tume ya Kimataifa ya Haki za Mashoga.<\/p>\n<p>Bado muswada haujapigiwa ku&#341;a, na umecheleweshwa kutokana na shinikizo kutoka kwa jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na Uinge&#341;eza na Sweden, ambao wanatishia kusitisha misaada ya kifedha kwa Uganda kama she&#341;ia hiyo itapitishwa.<\/p>\n<p>Filamu ya &#8220;Call Me Kuchu,&#8221; iliyoongozwa na Fai&#341;fax na Malika Zouhalli&ndash;Wo&#341;&#341;all, inafuatilia mapambano ya kishujaa ya haki za mashoga ya mwanaha&#341;akati David Kato na ma&#341;afiki zake dhidi ya ubaguzi nchini Uganda. Hivi ka&#341;ibuni ilionyeshwa katika Tamasha la Filamu la shi&#341;ika la haki za binadamu la Human Rights Watch mjini New Yo&#341;k.<\/p>\n<p>Kikundi hiki kidogo lakini chenye ushawishi cha wanaha&#341;akati wa haki za mashoga nchini Uganda kiliibuka katika mapambano yao dhidi ya muswada huo, ambao Kato aliuona &#8220;usiokuwa wa kidemok&#341;asia&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Kazi ngumu zaidi iliyofanywa na wanaha&#341;akati kama wale waliopo katika filamu hii. Zinanifanya kuvutiwa,&#8221; Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon aliwaambia waandishi wa haba&#341;i baada ya kuonyeshwa kwa filamu hiyo.<\/p>\n<p>Kazi ya wanaha&#341;akati kama hawa ilivutia hisia za wengi nyumbani na nje ya nchi, na ma&#341;a nyingi ziliandikwa katika ku&#341;asa za mbele za magazeti ya udaku ya Uganda ambayo yanaandika haba&#341;i &#8220;mbaya&#8221; zinazokashifu jumuiya ya mashoga.<\/p>\n<p>Moja ya magazeti haya ni Ja&#341;ida la Rolling Stone (halina uhusiano na gazeti lenye jina kama hilo nchini Ma&#341;ekani), ambalo lilichapisha o&#341;odha ya mashoga 100 nchini humo na kuonyesha picha zao na haba&#341;i zao binafsi Oktoba mwaka 2010.<\/p>\n<p>Kichwa kidogo kilichoandikwa kwa maandishi yaliyokolezwa wino, kinasomeka &#8220;Wanyongeni!&#8221;<\/p>\n<p>Alipoulizwa juu ya hatua ya gazeti lake, Giles Muhame, ambaye ni mha&#341;i&#341;i, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i, &#8220;Ma&#341;a nyingine unyanyasaji unapewa sababu za msingi. Lakini hatujatetea unyanyasaji dhidi ya David Kato. Tulisema mtu huyu anapaswa kukamatwa, kufunguliwa mashitaka, kuhukumiwa, kunyongwa.&#8221;<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu baada ya kushinda kesi dhidi ya ja&#341;ida la Rolling Stone kwa kuchapisha o&#341;odha hiyo, David Kato aliuawa akiwa nyumbani kwake.<\/p>\n<p>Ni kwa nini wakati ambapo haki za mashoga zinazidi kulindwa katika nchi nyingi duniani, jamii hiyo inashambuliwa katika nchi kama Uganda <\/p>\n<p>&#8220;Ukweli kwamba mataifa mengi kwa sasa yanatoa sauti zao kusaidia haki za mashoga kimataifa&#8230; inazidi kuongeza shinikizo kwa nchi ambazo hazitaki mabadiliko,&#8221; Cha&#341;les Radcliffe, mshau&#341;i mwandamizi wa mpendeleo ya kujamiiana katika ofisi ya Haki za Binadamu, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Na hatua zinazochukuliwa ma&#341;a nyingine zinafaa kuchunguzwa,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Uganda inazidi kuchimba undani wa mambo, ikisaidiwa na viongozi wa makanisa ya Kiinjili ya Ma&#341;ekani ambayo yanageukia Af&#341;ika baada ya kushindwa vita dhidi ya ushoga nchini Ma&#341;ekani.<\/p>\n<p>Miongoni mwa mambo mengine, viongozi hawa wa kanisa wanaandaa mikutano ambapo wanasisitiza kuwa ushoga ni tishio kwa mshikamano wa familia ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Viongozi wa Kiinjili watatu ambao wanafanya kazi zaidi kutoka Ma&#341;ekani ni Lou Engel, Scott Lively, na Mchungaji Rick Wa&#341;&#341;en, ambaye anajulikana kutokana na upinzani wake wakati wa kuapishwa kwa Rais Ba&#341;ack Obama.<\/p>\n<p>(Tangu wakati huo Obama amejitokeza waziwazi kuunga mkono ndoa za mashoga).<\/p>\n<p>&#8220;Ushoga siyo njia ya asili ya kuendesha maisha na hivyo siyo haki ya kibanadamu,&#8221; Wa&#341;&#341;en alisema wakati wa kutembelea kwake Uganda mwaka 2008.<\/p>\n<p>Aliweza hata kwenda mbali zaidi. &#8220;Mashoga ni watu halisi wanaofuata dhana ya Unazi na nguvu inayolinda mauaji mengi ya Kinazi,&#8221; anaandika katika utangulizi wa kitabu, &#8220;The Pink Swastika&#8221;.<\/p>\n<p>Wahubi&#341;i wa Magha&#341;ibi wanaunga mkono wazo hilo, ambalo linakubalika zaidi katika ukanda huo, kuwa watu wachague ushoga kama mtindo wa maisha yao.<\/p>\n<p>Mbunge nchini Uganda David Bahati hakukubaliana. &#8220;Siyo jambo ambalo mtu anazaliwa nalo, ni tabia ya kujifunza,&#8221; anadai.<\/p>\n<p>Lakini ubaguzi umeingizwa ba&#341;ani Af&#341;ika kutoka Magha&#341;ibi miaka mingi iliyopita.<\/p>\n<p>&#8220;Kama ni suala la wahubi&#341;i wa Magha&#341;ibi kuja Af&#341;ika leo hii na kuwasha moto wa ubaguzi, ni sehemu ya destu&#341;i ya muda m&#341;efu na isiyozingatia heshima ambayo inatoka miongo na miongo,&#8221; Radcliffe aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa yeye, ilianzia na she&#341;ia za kikoloni ambazo zilitumika kuwabagua watu wenye mahusiano ya jinsia moja.<\/p>\n<p>Bila kujali ulitoka wapi, ubaguzi kwa sasa umeenea sana nchini Uganda na unachochea kila aina ya ghasia zinazoelekezwa kwa kikundi kidogo.<\/p>\n<p>Pamoja na kushinda kesi kwa jumuiya ya mashoga, kama ile ya dhidi ya ja&#341;ida la Rolling Stone, bado ni hata&#341;i mno kwa mtu shoga kuishi nchini Uganda.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati kuna ushindi wa aina hii unaojijenga, kuna pia hali ya hata&#341;i mno na inayosikitisha,&#8221; Zouhalli&ndash;Wo&#341;&#341;all aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Na kutokana na kufikishwa Bungeni kwa Muswada wa &#8220;Kuua Mashoga&#8221;, hali inaweza kuwa mbaya zaidi.<\/p>\n<p>&#8220;Kila jamii itapata njia yake yenyewe ya kwenda na kwenda kwa kasi yake yenyewe. Lakini hakuna jamii inaweza kushikilia haki za msingi za watu fulani milele,&#8221; Radcliffe aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Mabadiliko yatakuja, swala la msingi pekee ni kwamba yatakuja kwa kasi gani,&#8221; aliongeza.<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Septemba 6 (IPS) &ndash; Nchini Uganda, kama ilivyo katika mataifa mengi ya Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, kufanya ngono na jinsia moja ni kinyume cha she&#341;ia na unaweza kuadhibiwa kwa kufungwa hadi miaka 14 jela, she&#341;ia ambayo inaungwa mkono na Waganda wengi na kupewa umaa&#341;ufu zaidi na jitihada za uzengeaji wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":939,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3914","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3914","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/939"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3914"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3914\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3914"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3914"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3914"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}