{"id":3913,"date":"2012-09-06T13:40:01","date_gmt":"2012-09-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/maendeleo-rafiki-kwa-vijana-yanaweza-kupunguza-gesi-ukaa\/"},"modified":"2012-09-06T13:40:01","modified_gmt":"2012-09-06T13:40:01","slug":"maendeleo-rafiki-kwa-vijana-yanaweza-kupunguza-gesi-ukaa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/06\/maendeleo-rafiki-kwa-vijana-yanaweza-kupunguza-gesi-ukaa\/","title":{"rendered":"Maendeleo Rafiki kwa Vijana Yanaweza Kupunguza Gesi Ukaa"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Septemba 6 (IPS) &ndash; Kufuatia kile ambacho wengi wanakiona kukatishwa tamaa na mkutano wa ka&#341;ibuni wa Maendeleo Endelevu Duniani au Rio+20, Benki ya Dunia na mashi&#341;ika kadhaa wameanza kutekeleza mipango mipya ya kufanya mabadiliko ya tabia nchi kuwa &#8220;suala la mtu binafsi&#8221;, wakita&#341;ajia kueneza suala hilo miongoni mwa vijana wa kizazi hiki. Katika siku ya Alhamisi (Juni 28), mpango ulioongozwa na Benki ya Dunia mjini Washington uliojulikana kama &#8220;Apps fo&#341; Climate&#8221; ulifanyika kwa nia ya kuziba pengo kati ya takwimu na matokeo yanayoweza kuchukuliwa hatua zinazoonekana. Waandaaji wake walitumia matumizi ya simu za kiganjani na intaneti, kwa lengo la ku&#341;uhusu watu mmoja mmoja kuona madha&#341;a yake katika mazingi&#341;a duniani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Rio+20 ilituonyesha haja muhimu ya kuwa na mazing&#341;ia endelevu,&#8221; Ca&#341;oline Anstey, mku&#341;u&#341;ugenzi mkuu wa Benki ya Dunia, yenye makao yake mjini Washington, alisema katika tukio la Newsuem. &#8220;Ilionyesha kuwa mabadiliko ya tabia nchi ni muhimu mno kuweza kuyaachia tu kushughulikiwa na wanamijadala.<\/p>\n<p>&#8220;Takwimu zilizokusanywa zitabakia kuwa takwimu tu. Lakini tafsi&#341;i ya takwimu na kuzifanya kuonekana katika uhalisia wake ni suala muhimu na linaongeza uwezo zaidi.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Utafiti wa Chuo Kikuu cha Yale wa mwaka 2011 miongoni mwa vijana wadogo nchini Ma&#341;ekani juu ya uelewa wao wa mabadiliko ya tabia nchi katika alama za (A&ndash;F), ni asilimia 25 tu ya vijana hao walipata C au zaidi. Asilimia 54 ya vijana walishindwa maswali hayo.<\/p>\n<p>&#8220;Utatuzi wa tatizo la mabadiliko ya tabia nchi unahitaji mabadiliko ya tabia za watu. Watu katika nyanja zote za maisha watahitaji kutoa maamuzi kwa kujikita katika takwimu bo&#341;a zilizopo,&#8221; Rachel Kyte, makamu wa &#341;ais wa Maendeleo Endelevu katika Benki ya Dunia, alisema siku ya Alhamisi.<\/p>\n<p>Tukio la mabadiliko ya tabia nchi la &#8220;Apps fo&#341; Climate&#8221; linaleta masuala ya kimpangilio katika kushughulikia mabadiliko ya tabia nchi kwa vijana kwa kutumia mitandao ya kijamii kuongeza uelewa.<\/p>\n<p>Siku ya Alhamisi, mpango huo ulitoa matokeo ya shindano kusaidia m&#341;adi,kwa kuo&#341;odhesha shughuli za kimazingi&#341;a na p&#341;oga&#341;mu za kompyuta na watengenzaji p&#341;og&#341;amu za kompyuta. Kulikuwa na tuzo za thamani ya dola 55,000 kwa p&#341;og&#341;amu ya kompyuta ambayo imefanikiwa kuona takwimu zisizofanyiwa kazi.<\/p>\n<p>&#8220;Apps fo&#341; Climate&#8221;ilitangazwa mwanzoni mwa Desemba mwaka jana katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa COP&ndash;17, kongamao la mazingi&#341;a lililofanyika nchini Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>Kati ya washindani 14, mshindi alikuwa mtengenezaji wa p&#341;og&#341;amu iliyojulikana kama &#8220;Ecofacts&#8221;, iliyotengenezwa na mtengenezaji wa p&#341;og&#341;amu za kompyuta wa A&#341;gentina ajulikanaye kama And&#341;es Ma&#341;tinez Quijano, ambaye alipata zawadi ya dola 15,000.<\/p>\n<p>Quijano mwenye um&#341;i wa miaka 33 ambaye alisoma masomo ya sayansi ya kompyuta katika chuo kikuu na amekuwa akitengeneza p&#341;og&#341;amu kwa miaka 17, alisema aliamini m&#341;adi wake ungekuwa na matokeo mazu&#341;i. &#8220;Hauhusu se&#341;ikali, unahusu watu,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Ecofacts, p&#341;og&#341;amu ambayo Quijano aliitengeneza kwa kutumia p&#341;og&#341;amu taya&#341;i za kompyuta, ina&#341;uhusu watumiaji kuingiza takwimu kujua uzalishaji wao wa gesi joto na madha&#341;a yake kwa mazingi&#341;a, na katika jamii.<\/p>\n<p>P&#341;og&#341;amu hiyo pia inaweza kutumiwa na watumiaji kutengeneza vitu vingine kulingana na matakwa yao. &#8220;Kila mtu anaweza kupata alama za maneno kwa ajili ya kuzitumia katika vitu vyao wenyewe au kubo&#341;esha zaidi,&#8221; Quijano alisema. &#8220;Natumaini Ecofacts itakuwa muhimu kwa watengenezaji wa p&#341;og&#341;amu za kompyuta na watumiaji.&#8221;<\/p>\n<p>Katika halfla iliyofanyika Alhamisi mjini Washington, Connect4Climate, kampeni ya mabadiliko ya tabia nchi chini ya Benki ya Dunia, ilishi&#341;ikiana na MTV, ambayo ni chaneli ya televisheni kwa ajili ya muziki, kuzindua mpango huo mpya wa &#8220;Voice4Climate&#8221; ambao unaleta pamoja wanasanaa vijana kukabiliana na suala la mabadiliko ya tabia nchi.<\/p>\n<p>Taya&#341;i Connect4Climate imeshafikia watu wengi, kutokana na kupata ku&#341;a 288,000 za &#8220;likes&#8221; katika mtandao wake wa Facebook na kuangaliwa na watu 13,000 katika mtandao wa Twitte&#341;.<\/p>\n<p>Kampeni hiyo inaunganisha vijana katika fasheni kama ya MTV, kupitia picha, video na video za muziki. Vijana wanashindana kupata ushi&#341;iki katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Desemba 2012 mjini Doha, ambapo watakuwa na fu&#341;sa ya kutoa maoni yao juu ya suala hilo, na kutengeneza video za muziki zitakazoonyeshwa na MTV.<\/p>\n<p>&#8220;Elimu na taa&#341;ifa hazibadili mfumo wa maisha,&#8221; John Jackson, ofisa wa MTV, alisema. &#8220;Watu wanahitaji chaguo halisi kabla ya kuleta mabadiliko ya kweli.&#8221;<\/p>\n<p>P&#341;og&#341;amu iliyoanza mwaka 2011 kwa kuwa na mashindano ba&#341;ani Af&#341;ika, na kupata zaidi ya picha 700 na video kutoka nchi zote katika ba&#341;a. Shindano lilitoa Zawadi kwa washindi 54 kutoka nchi 20 za Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Kufikisha ujumbe kwa Af&#341;ika ni muhimu kwa mpango huo kwasababu idadi ya watu ba&#341;ani Af&#341;ika inaonyesha kuwepo kwa vijana wengi. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, asilimia 70 ya wakazi ba&#341;ani Af&#341;ika ni vijana chini ya miaka 30.<\/p>\n<p>Zaidi ya hapo, ni Waaf&#341;ika wachache tu wana ufahamu wa masuala ya ongezeko la joto duniani kuliko maeneo mengine ya dunia. Kwa mujibu wa ku&#341;a za Gallup, asilimia 44 ya watu katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a wana ufahamu juu ya ongezeko la joto duniani, ikilinganishwa na wastani wa asilimia 62 ya dunia.<\/p>\n<p>Juliani, mwanamazingi&#341;a na mwimbaji wa nyimbo za kufoka foka nchini Kenya, ambaye alifanya onyesho la kuongeza ufahamu wa suala hilo siku ya Alhamisi, anasema kuwa linapokuja suala la mazingi&#341;a, tatizo linaweza kuwa kufikia ngazi ya kila mmoja kulielewa.<\/p>\n<p>&#8220;Linapokuja suala la maendeleo endelevu, uchumi wa kijani, hayo ni maneno makubwa,&#8221; Juliani alisema katika taa&#341;ifa. &#8220;Unatakiwa kuvunja maneno hayo katika kitu ambacho watu wanakielewa. Nafanya hivyo kwa njia ya muziki.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Septemba 6 (IPS) &ndash; Kufuatia kile ambacho wengi wanakiona kukatishwa tamaa na mkutano wa ka&#341;ibuni wa Maendeleo Endelevu Duniani au Rio+20, Benki ya Dunia na mashi&#341;ika kadhaa wameanza kutekeleza mipango mipya ya kufanya mabadiliko ya tabia nchi kuwa &#8220;suala la mtu binafsi&#8221;, wakita&#341;ajia kueneza suala hilo miongoni mwa vijana wa kizazi hiki. Katika siku&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":938,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3913","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3913","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/938"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3913"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3913\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3913"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3913"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3913"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}