{"id":3910,"date":"2012-09-04T13:40:01","date_gmt":"2012-09-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/04\/biashaa-nchini-malawi-zapata-hasaa-baada-ya-kusitishwa-kwa-mkutano-wa-kilele-wa-au\/"},"modified":"2012-09-04T13:40:01","modified_gmt":"2012-09-04T13:40:01","slug":"biashaa-nchini-malawi-zapata-hasaa-baada-ya-kusitishwa-kwa-mkutano-wa-kilele-wa-au","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/04\/biashaa-nchini-malawi-zapata-hasaa-baada-ya-kusitishwa-kwa-mkutano-wa-kilele-wa-au\/","title":{"rendered":"Biasha&#341;a Nchini Malawi Zapata Hasa&#341;a Baada ya Kusitishwa kwa Mkutano wa Kilele wa AU"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Septemba, 4 (IPS) &ndash; Biasha&#341;a kubwa na ndogo nchini Malawi zinahesabu hasa&#341;a kufuatia uamuzi wa ba&#341;aza la mawazi&#341;i kuamua kutokuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Af&#341;ika mwezi Julai.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Uamuzi huo unafuatia se&#341;ikali kukataa kum&#341;uhusu Rais wa Sudan Oma&#341; Hassan al Bashi&#341; kuingia nchini humo.<\/p>\n<p>Bashi&#341; anatafutwa na Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC), ambayo imemtuhumu kwa kuendesha mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu katika jimbo la Da&#341;fu&#341; nchini Sudan. Kama mwanachama wa ICC, Malawi ingelazimishwa kumkamata Bashi&#341; kama angeingia nchini humo.<\/p>\n<p>Makamu wa Rais Khumbo Kachale alitangaza Juni 8 kuwa ba&#341;aza la mawazi&#341;i limeamua kutokuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Julai 15&ndash;16, kwani Malawi haioni kama ni vema kwa Bashi&#341; kuhudhu&#341;ia. Tume ya AU ilisisitiza taifa hilo la Kusini mwa Af&#341;ika kum&#341;uhusu kiongozi wa Sudan kuingia nchini humo.<\/p>\n<p>&#8220;Ba&#341;aza la Mawazi&#341;i limechukua msimamo huu kimsingi kwa kuzingatia maslahi mapama ya &#341;aia wa Malawi. Wakati tuna wajibu wa kuzingatia maamuzi ya Umoja wa Af&#341;ika, tuna pia wajibu wa kuzingatia makubaliano mengine ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na Mkataba wa Roma (ambao uliunda ICC),&#8221; alisema Kachale.<\/p>\n<p>Hata hivyo, uamuzi umekuwa na atha&#341;i za kifedha katika mji mkuu wa Malawi, Lilongwe, kwani umekuwa uko taya&#341;i kwa kuwa mwenyeji wa AU.<\/p>\n<p>&#8220;Ba&#341;aza la Mawazi&#341;i lilibainisha kuwa hali ya maandalizi ya nchi yetu hayana wasiwasi kuwa yapo taya&#341;i. Hii imethibitishwa na ujumbe wa tathmini kutoka Umoja wa Af&#341;ika ambao ulikuwa nchini wiki hii, na kuondoka ukiwa ume&#341;idhishwa na mafanikio ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo,&#8221; alisema Kachale.<\/p>\n<p>Idadi kadhaa ya mikutamo ya kiufundi ilifanyika siku kabla ya mkutano wa kilele kufanyika mjini Lilongwe kuanzia Julai 9. Tukio hilo lilita&#341;ajiwa kugeuza mji wenye ukimya kuchangamka kutokana na shughuli za kibiasha&#341;a. Hadi wakuu wa nchi 35 na wajumbe 4,000 walita&#341;ajiwa kuhudhu&#341;ia na hivyo kuongeza mahitaji ya huduma za hoteli na bidhaa za ndani.<\/p>\n<p>Sam Namathanga, &#341;ais wa Chama cha Wakala wa Usafi&#341;ishaji nchini Malawi (TAAM), kundi la kitaifa la wandesha makampuni ya usafi&#341;i wa ndege na usafi&#341;i wa watalii, aliiambia IPS kuwa hasa&#341;a kwa sekta ya hoteli ingekuwa kubwa. Hii ni pamoja na fedha zilizowekezwa katika kujiandaa na biasha&#341;a kwa ajili ya mkutano, na makadi&#341;io ya mapato ya baadaye.<\/p>\n<p>&#8220;Hatujui kiwango cha hasa&#341;a bado, lakini kitakuwa kikubwa. Tunazungumzia kuhusu hasa&#341;a katika uuzaji wa tiketi za ndege; usafi&#341;i wa a&#341;dhini, ikiwa ni pamoja na huduma za kukodisha maga&#341;i; na huduma za utalii, ambazo pia zinahusisha malazi,&#8221; alisema Namathanga.<\/p>\n<p>Alisema kuwa wajumbe wa TAAM ambao walikuwa na mata&#341;ajio ya kukuza mapato yao walikatishwa tamaa.<\/p>\n<p>&#8220;Sekta ya utalii imepoteza fu&#341;sa. Tumetangaza sana utalii kupitia mkutano huu,&#8221; alisema Namathanga.<\/p>\n<p>Utafiti wa ha&#341;aka usiokuwa &#341;asmi uliofanywa na IPS ulionyesha kuwa wastani wa gha&#341;ama ya kukodisha ga&#341;i mjini Lilongwe ni dola 85 kwa siku, wakati malazi ni kati ya dola 60 hadi 400 kwa usiku mmoja.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa taa&#341;ifa zilizotolewa na sek&#341;eta&#341;ieti ya AU, wageni wote walita&#341;ajiwa kujilipia gha&#341;ama zao wenyewe ukiondoa wakuu wa nchi, wakuu wa ujumbe na mawazi&#341;i wa mambo ya kigeni.<\/p>\n<p>Biasha&#341;a nyingi za ndani zimeona hii kama fu&#341;sa ya kukuza biasha&#341;a zao.<\/p>\n<p>Ch&#341;istina Kajawo, ambaye anamiliki baa na mgahawa katikati mwa jiji la Lilongwe, aliiambia IPS kuwa miezi sita iliyopita alianza kujiandaa kwa mkutano wa kilele kwa kuka&#341;abati majengo na mazingi&#341;a yake. Alisema alipata mkopo benki wa dola 3,000 kutokana na kwamba alitaka kuufanya mgahawa wake na baa kuwa na mvuto zaidi.<\/p>\n<p>&#8220;Nilita&#341;ajia kutengeneza faida nzu&#341;i kutokana na mgahawa na baa wakati wa mkutano wa AU na ningeweza kulipia mkopo,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Sasa Kajawo ana wasiwasi kuwa anaweza kufunga biasha&#341;a yake.<\/p>\n<p>&#8220;Natumaini nitapata njia ya kulipia mkopo wa benki, kama sivyo naweza kuishia kufilisiwa na kupoteza chanzo changu cha kipato,&#8221; alisema Kajawo. Uamuzi wa Malawi wa kufuta nia yake ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa AU unaonekana kama hatua ya moja kwa moja ya ku&#341;idhisha wafadhili wa Magha&#341;ibi, hususan Ma&#341;ekani na Uinge&#341;eza. Katika siku za nyuma, mataifa yote hayo yalisema yasingetoa misaada kwa nchi yoyote ambayo itamka&#341;ibisha Bashi&#341; na kushindwa kumkamata.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya kibinadamu na wachambuzi wa kisiasa wameunga mkono uamuzi wa kukataa kuingia kwa Bashi&#341; nchini humo.<\/p>\n<p>&#8220;Malawi inapaswa kuweka maslahi ya &#341;aia wake mbele na Rais Banda amefanya kama inavyotakiwa, na huu ni uamuzi mzu&#341;i sana,&#8221; Undule Mwakasungula, mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu na Kuwajenga Waathi&#341;ika wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Tunahitaji wafadhili zaidi ya kitu kingine chochote,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Hatimaye mkutano huo wa kilele uliamuliwa kufanyika katika mji mkuu wa Ethiopia wa Addis Ababa katika makao makuu ya AU kuanzia Jumatatu Juni 11. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Septemba, 4 (IPS) &ndash; Biasha&#341;a kubwa na ndogo nchini Malawi zinahesabu hasa&#341;a kufuatia uamuzi wa ba&#341;aza la mawazi&#341;i kuamua kutokuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Af&#341;ika mwezi Julai. Uamuzi huo unafuatia se&#341;ikali kukataa kum&#341;uhusu Rais wa Sudan Oma&#341; Hassan al Bashi&#341; kuingia nchini humo. Bashi&#341; anatafutwa na Mahakama ya Uhalifu ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":708,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3910","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3910","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/708"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3910"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3910\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3910"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3910"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3910"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}