{"id":3907,"date":"2012-09-04T13:40:01","date_gmt":"2012-09-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/04\/vyama-vya-ushiika-vya-mauitania-vyachangia-katika-kufikia-mahitaji-ya-mbogamboga\/"},"modified":"2012-09-04T13:40:01","modified_gmt":"2012-09-04T13:40:01","slug":"vyama-vya-ushiika-vya-mauitania-vyachangia-katika-kufikia-mahitaji-ya-mbogamboga","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/09\/04\/vyama-vya-ushiika-vya-mauitania-vyachangia-katika-kufikia-mahitaji-ya-mbogamboga\/","title":{"rendered":"Vyama vya Ushi&#341;ika vya Mau&#341;itania Vyachangia Katika Kufikia Mahitaji ya Mbogamboga"},"content":{"rendered":"<p>Mau&#341;itania, Septemba, 4 (IPS) &ndash; Miaka kumi na nne iliyopita, akiwa hana aji&#341;a na kukatishwa tamaa kutokana na kushindwa kwa biasha&#341;a zake, Mohamed Ould Abde&#341;&#341;ahmane aligeukia katika kilimo. Leo hii vyama vya ushi&#341;ika alivyoanzisha kupanda mbogamboga pembeni mwa mji mkuu wa Mau&#341;itania, Nouakchott, vinaaji&#341;i watu kadhaa na vinapatia wanachama wake kipato kizu&#341;i. Wakati alipoanzisha ushi&#341;ika wa Najah mwaka 1998, Abde&#341;&#341;ahmane hakuwa na kitu chochote zaidi ya elimu ya wastani na mafunzo kidogo ya mbinu za kupanda, kukausha na kuhifadhi mbogamboga.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na mchango wa kila mmoja wa dola zipatazo 150, ma&#341;afiki zangu na mimi tulinunua vifaa vya kilimo, tulisafisha na kuandaa a&#341;dhi tuliyopata kwa njia ya mkopo kutoka se&#341;ikalini, tulijenga matenki ya maji ya sa&#341;uji na kununua mbegu kuanza m&#341;adi,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Anaangalia mashamba ya ushi&#341;ika na ku&#341;idhishwa waziwazi na matunda ya zaidi ya muongo mmoja wa kazi. &#8220;Angalia, tunapanda hekta 10 zote sasa, mbogamboga na matunda kila mahali, tunaaji&#341;i watu kadhaa na tunapata faida ya kila mwezi ya dola zipatazo 300 hadi 500 kwa kila mjumbe wa ushi&#341;ika.&#8221;<\/p>\n<p>Ushi&#341;ika huo &ndash; ambao jina lake halisi ni &#8220;mafanikio&#8221; kwa lugha ya Kia&#341;abu &ndash; umekua kutoka wanachama wake wa awali saba hadi 120, wote wakiwa na um&#341;i wa miaka ya 30. Abde&#341;&#341;ahmane aliiambia IPS ushi&#341;ika unazalisha tani 500 za mbogamboga kila baada ya miezi mitatu: mchanganyiko wa ka&#341;oti na nyanya, mbogamboga nyinginezo na kabichi, viazi, vitunguu, embe, pa&#341;achichi na ndizi.<\/p>\n<p>&#8220;Tunapanda kwa mzunguko kila aina ya maha&#341;age katika mashamba haya,&#8221; alisema mwanachama wa ushi&#341;ika Mahmoud Ely. &#8220;Kama ni nyanya katika shamba hili msimu huu, tutapanda kabichi msimu mwingine ili kuhifadhi &#341;utuba ya a&#341;dhi.&#8221;<\/p>\n<p>Mwanachama mwingine wa Najah, Ahmed Salem, alielezea kuwa ushi&#341;ika hivi ka&#341;ibuni ulianza kupanda mimea kama ya pa&#341;achichi.<\/p>\n<p>Abde&#341;&#341;ahmane na timu yake anasema kuwa wanakataa kutumia bidhaa za kemikali, wanapendelea mbinu za kilimo za jadi.<\/p>\n<p>Cheick Ould Ely, mwanachama mwingine wa ushi&#341;ika na &#341;ais wa Chama cha Ushi&#341;ika cha Nouakchott, alisema, &#8220;Mboleo ya kuku, kama ikipunguzwa makali vizu&#341;i, ni nzu&#341;i kwa mimea na a&#341;dhi, hii ndiyo sababu tunalipia fedha nyingi kwa ajili ya mbolea hiyo, dola zipatazo saba kwa mfuko wa kilo 50.&#8221;<\/p>\n<p>Wanachama wengine wawili wa ushi&#341;ika huo, Ali Ould Mohamed na B&eacute;chi&#341; Ould Mokta&#341;, alielezea kuwa kukataa kwao kutumia kemikali kunakwenda mbali zaidi ya mbolea. Walisema wanapambana na panya, wadudu wengine waha&#341;ibifu na magonjwa hasa yale yanayoathi&#341;i kabichi na nyanya kwa kutumia pilipili na majani ya miti. Dawa ya asili kama hii, wanasema, inapatikana kiu&#341;ahisi na haina atha&#341;i zozote.<\/p>\n<p>Mahmoud Ely alisema kuwa kati ya Septemba na Novemba mwaka 2011, ushi&#341;ika ulizalisha tani zipatazo 570 za mbogamboga. &#8220;Hiki ni kipindi ambacho kuna uhaba wa mbogamboga na se&#341;ikali ilitoa wito kwa wakulima wa bustani kutimiza mahitaji ya walaji,&#8221; alisema, na kukadi&#341;ia kuwa hii ilikuwa zaidi ya &#341;obo ya jumla ya kiasi cha mbogamboga zilizouzwa katika mji mkuu wa nchi.<\/p>\n<p>Ofisa wa kimkoa wa maendeleo ya vijijini katika eneo la Nouakchott, Cheikh Ould Mohamed Mahmoud ana wasiwasi kama ushi&#341;ika huo umezalisha kiasi hicho kikubwa. &#8220;Sidhani mazao yao yanafikia kiasi hiki,&#8221; aliiambia IPS. Lakini alikuwa akiunga mkono kwa dhati matumizi ya mbolea za asili kudumisha &#341;utuba ya a&#341;dhi. &#8220;Mbolea ya kuku inapendekezwa kwasababu ina nait&#341;ojeni kwa wingi, ikiwa imechanganywa kwa ufasaha.&#8221;<\/p>\n<p>Najah inajenga aji&#341;a za moja kwa moja na zisizokuwa za moja kwa moja 200, pamoja na kwamba baadhi ni viba&#341;ua wa muda mfupi, alisema &ndash; kama vile wauzaji wa mbogamboga, made&#341;eva na made&#341;eva wa maga&#341;i makubwa na wengine wanaouza chakula cha mifugo, au wanaosambaza mbolea.<\/p>\n<p>Lakini Salem analalamika kuwa ushi&#341;ika haupati &#341;uzuku kutoka se&#341;ikalini, na ugumu wa kupata mbegu ambazo zinauzwa kwa bei ya juu na pembejeo nyingine za kilimo, ikiwa ni pamoja na ushindani kutoka bidhaa za nje kwenye nchi za Hispania, Mo&#341;occo, na Senegal hasa kati ya Machi na Mei.<\/p>\n<p>Mtaalam wa kilimo Adama T&#341;ao&#341;&eacute; aliiambia IPS kuwa ubo&#341;a wa mbogamboga za Najah ni wa juu mno hasa kutokana na lishe yake na ubo&#341;a wa usafi, akisema kuwa wanachama wa ushi&#341;ika wanafaidika ma&#341;a kwa ma&#341;a na mafunzo ya mbinu kama vile upandaji, ustawishaji na umwagiliaji.<\/p>\n<p>&#8220;Mazingi&#341;a ya hali ya hewa ya ba&#341;idi na upatikanaji &#341;ahisi wa misaada ya kiufundi, hususani Mpango wa Kuongeza Thamani ya Mazao na Kupunguza Umaskini (unaojulikana kwa kifupi chake cha Kifa&#341;ansa kama PROLPRAF), unasaidia uzalishaji wa mbogamboga ndani na kuzunguka Nouakchott,&#8221; alisema. T&#341;ao&#341;&eacute; aliongeza kuwa mpango huo pia unasaidia kustawi kwa soko la mazao ya bustani katika miji mikubwa miwili ya nchini humo: Rosso katika upande wa kusini magha&#341;ibi na Nouadhibou upande wa kaskazini magha&#341;ibi.<\/p>\n<p>PROLPRAF, ambayo inasaidiwa hadi mwaka 2017 kwa dola milioni 4.17 za msaada wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo, una lengo la kubo&#341;esha maisha ya wakazi maskini, hasa vijana na wanawake, alisema Alioun Demba, mkuu wa ushi&#341;ikiano wa kimataifa wa Wiza&#341;a ya Maendeleo Vijijini. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Mau&#341;itania, Septemba, 4 (IPS) &ndash; Miaka kumi na nne iliyopita, akiwa hana aji&#341;a na kukatishwa tamaa kutokana na kushindwa kwa biasha&#341;a zake, Mohamed Ould Abde&#341;&#341;ahmane aligeukia katika kilimo. Leo hii vyama vya ushi&#341;ika alivyoanzisha kupanda mbogamboga pembeni mwa mji mkuu wa Mau&#341;itania, Nouakchott, vinaaji&#341;i watu kadhaa na vinapatia wanachama wake kipato kizu&#341;i. Wakati alipoanzisha ushi&#341;ika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":914,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3907","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3907","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/914"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3907"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3907\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3907"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3907"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3907"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}