{"id":3905,"date":"2012-08-23T13:40:01","date_gmt":"2012-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/tanzania-utafiti-wa-kisayansi-kusaidia-kupambana-na-ujangili-kuhifadhi-mazingia\/"},"modified":"2012-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-08-23T13:40:01","slug":"tanzania-utafiti-wa-kisayansi-kusaidia-kupambana-na-ujangili-kuhifadhi-mazingia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/tanzania-utafiti-wa-kisayansi-kusaidia-kupambana-na-ujangili-kuhifadhi-mazingia\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Utafiti wa Kisayansi Kusaidia Kupambana na Ujangili, Kuhifadhi Mazingi&#341;a"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, TANZANIA, Agosti 23, 2012 (IPS) &ndash; Jitihada za Tanzania za kupambana na ujangili na kuhifadhi mazingi&#341;a katika mbuga na mapo&#341;i yake ya hifadhi zinaweza kuima&#341;ika kufuatia utafiti wa njia ya satelaiti wa kufuatilia mwenendo wa tembo katika Mbuga ya Taifa ya Saadani na Po&#341;i la Hifadhi la Wami Mbiki.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Utafiti huo ambao ulianza mwaka 2010 kwa udhamini wa M&#341;adi wa Pwani wa Mpango wa Kusimamia Mazingi&#341;a ya Ukanda wa Pwani (TCMP&ndash;Pwani) unaofadhiliwa na Shi&#341;ika la Misaada la Watu wa Ma&#341;ekani (USAID) na kupata msaada wa Kiufundi kutoka Kituo cha Rasilimali za Baha&#341;i cha Chuo Kikuu cha Kisiwa cha Rhode, umefikia hatua ya pili ya utekelezaji, ambayo kwa mujibu wa mtaalam wa masuala ya Tembo nchini Tanzania, Dk. Alf&#341;ed Kikoti, inahusu kuwavua kola tembo waliovishwa kola kwa ajili ya kuwafuatilia kwa njia ya satelaiti.<\/p>\n<p>&#8220;Hivi majuzi tumewavua kola tembo nane katika po&#341;i la Hifadhi la Wami Mbiki,&#8221; alisema Dk. Kikoti wakati akizungumza na mwandishi wa makala hii hivi ka&#341;ibuni mjini Da&#341; es Salaam. <\/p>\n<p>&#8220;Matokeo ya utafiti bado yanaandaliwa, lakini moja ya matokeo ya awali tumegundua kwamba bado ujangili ni tatizo katika mbuga na mapo&#341;i ya hifadhi nchini,&#8221; alibainisha Dk. Kikoti ambaye pia ni Mku&#341;ugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Tembo Duniani (Wo&#341;ld Elephant Cent&#341;e) kilichopo mjini A&#341;usha. Baadhi ya picha za zoezi la kuvua tembo kola zinapatikana katika blog ya http:\/\/tcmppwani.blogspot.com\/.<\/p>\n<p>Akizungumza na waandishi wa haba&#341;i mjini Dodoma Agosti 8, 2012, Wazi&#341;i wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki alifafanua juu ya ukubwa wa vitendo vya uhalifu\/ujangili nchini. &#8220;Kumekuwa na ongezeko la vitendo\/wimbi la uhalifu\/ujangili wa nya&#341;a za se&#341;ikali ambao unaathi&#341;i &#341;asilimali za taifa hususani wanyamapo&#341;i tembo, viboko, twiga, nyati na wanyama wengine pamoja na uvunaji ha&#341;amu wa mazao ya misitu,&#8221; alisema Wazi&#341;i Kagasheki.<\/p>\n<p>Mkutano wa Wazi&#341;i ulikuwa na lengo la kuwafahamisha waandishi wa haba&#341;i juu ya ope&#341;esheni ya kupambana na uhalifu\/ujangili iliyoanza Julai 22, 2012 wilayani Liwale katika mkoa wa Lindi kukabiliana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Wazi&#341;i, maofisa wakuu waandamizi, maofisa wa kati, wakaguzi na aska&#341;i wa kawaida kutoka Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Uhalifu Mkubwa Nchini ambacho kinavishi&#341;ikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini waliendesha ope&#341;esheni hiyo. <\/p>\n<p>Matokeo ya awali ya utekelezaji wa ope&#341;esheni yanatisha. Kwa mujibu wa Wazi&#341;i Kagasheki, meno ya tembo 14 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 164 na meno ya kiboko 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 18.8 yalikamatwa.<\/p>\n<p>Nya&#341;a nyingine ni pamoja na bangili moja ya usinga wa mkia wa tembo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 23.6, ngozi 2 za simba zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 15.4, ngozi ya chui yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 5.5, mikia miwili ya ngede&#341;e yenye thamani ya shilingi laki 378, kichwa cha nyati chenye pembe mbili chenye thamani ya ka&#341;ibu shilingi milioni 3, nyama ya nyati yenye thamani ya ka&#341;ibu shilingi milioni 3 na kichwa cha pofu chenye pembe 2 chenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.6.<\/p>\n<p>Kwa mujibu ya taa&#341;ifa ya Wazi&#341;i Kagasheki, jumla ya thamani ya nya&#341;a za se&#341;ikali zilizokamatwa ni ka&#341;ibu shilingi milioni 213. <\/p>\n<p>Fedha hizi ni nyingi mno kupatikana katika ope&#341;esheni ya eneo moja tu katika nchi ambayo ina hifadhi nyingi za taifa kutoka masha&#341;iki hadi magha&#341;ibi, kaskazini hadi kusini.<\/p>\n<p>Pia kiasi hiki cha fedha ni kikubwa mno katika nchi ambayo wakazi wake wengi wanaishi katika umaskini mkubwa na kukabiliwa na changamoto nyingi za huduma za jamii kama vile maji, afya na elimu. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Dk. Kikoti, utafiti wa kisayansi wa kufuatilia mwenendo wa tembo kwa kutumia satelaiti unaweza kutoa taa&#341;ifa za kutosha kwa watunga se&#341;a zitakazowawezesha kutunga se&#341;a, she&#341;ia na mikakati ya kutokomeza ujangili na kuhifadhi mazingi&#341;a ya hifadhi zetu nchini.<\/p>\n<p>Alisema taa&#341;ifa za utafiti huo zikitumiwa vizu&#341;i na watunga se&#341;a zinaweza kupunguza kiwango cha ujangili, kuvutia watalii, kuhifadhi mazingi&#341;a, kupunguza migongano kati ya jamii na wanyama, kuanzisha na kujua mapitio ya wanyama kwa nia ya kuyahifadhi, kuyalinda na kufuatilia majangili.<\/p>\n<p>Hadi tembo 17 katika Mbuga ya Taifa ya Saadani na po&#341;i la Hifadhi la Wami Mbiki tak&#341;ibani kilomita 100 kutoka Saadani walivikwa kola tangu kuanza kwa m&#341;adi huo.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Mku&#341;ugenzi wa Mpango wa Kuhifadhi Mazingi&#341;a ya Ukanda wa Pwani (TCMP), Je&#341;emiah Daffa, ufuatiliaji wa mwenendo wa tembo pia hutumika kujua mwenendo wa wanyama wengine katika hifadhi.<\/p>\n<p>&#8220;Katika zoezi la juzi la kuwavua tembo kola, tuligundua kuwa tembo mmoja aliyekuwa na kola alikuwa na je&#341;aha la &#341;isasi,&#8221; alisema Dk. Kikoti huku akionyesha picha ya tembo mwenye je&#341;aha la &#341;isasi sikioni mwake. &#8220;Lakini nina imani atapona&#8221;.<\/p>\n<p>Pamoja na ujangili, utafiti huo umegundua changamoto nyingine zinazokabili Mbuga ya Saadani na po&#341;i la Hifadhi la Wami Mbiki ikiwa ni pamoja na mwingiliano wa shughuli za binadamu kama vile kilimo kisichokuwa na mpangilio, kilimo cha kuhama hama na makazi ya watu kuwepo katika maeneo ambayo yangepaswa kuwa makazi au mapitio ya tembo, ukataji miti kwa ajili ya uzalishaji wa mkaa na kukata mikoko katika eneo ambapo Mto Wami unaingia baha&#341;ini.<\/p>\n<p>Pia changamoto nyingine zilizoonyeshwa na taa&#341;ifa za awali za utafiti huo ni kuwepo kwa ujangili wa kasa wa kijani, uchimbaji wa chumvi na ba&#341;aba&#341;a za umma na &#341;eli kukatiza katikati ya Mbuga ya Saadani.<\/p>\n<p>Ugunduzi kama huu unaweza kusaidia se&#341;ikali kwa kiasi kikubwa kujua ni wapi katika hifadhi kuna vitendo vya ujangili na hivyo kuwa &#341;ahisi kuvifuatilia na kuvidhibiti. Pia kutokana na utafiti kufanyika kwa kushi&#341;ikiana na wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na wananchi wanaoishi ndani au kuzunguka hifadhi, unaweza kutumika kama njia mojawapo ya kuwahamasisha kujua umuhimu wa kuhifadhi &#341;asilimali za nchi na kukabiliana na changamoto zinazokabili hifadhi ikiwa ni pamoja na ujangili.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, TANZANIA, Agosti 23, 2012 (IPS) &ndash; Jitihada za Tanzania za kupambana na ujangili na kuhifadhi mazingi&#341;a katika mbuga na mapo&#341;i yake ya hifadhi zinaweza kuima&#341;ika kufuatia utafiti wa njia ya satelaiti wa kufuatilia mwenendo wa tembo katika Mbuga ya Taifa ya Saadani na Po&#341;i la Hifadhi la Wami Mbiki. Utafiti huo ambao&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":536,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3905","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3905","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/536"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3905"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3905\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3905"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3905"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3905"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}