{"id":3904,"date":"2012-08-23T13:40:01","date_gmt":"2012-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/mashoga-hawatendewi-vizui-nchini-afika-kusini\/"},"modified":"2012-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-08-23T13:40:01","slug":"mashoga-hawatendewi-vizui-nchini-afika-kusini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/mashoga-hawatendewi-vizui-nchini-afika-kusini\/","title":{"rendered":"Mashoga Hawatendewi Vizu&#341;i Nchini Af&#341;ika Kusini"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Agosti 23 (IPS) &ndash; Wakati Junio&#341; Mayema alipopanda ndege kwenda nchini Af&#341;ika Kusini kutoka nchini mwao Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo mwaka 2010, alilia machozi ya fu&#341;aha kutokana na kuhisi kuwa hatimaye anahamia katika nchi ambapo angeishi kwa uwazi kama shoga.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Af&#341;ika Kusini ni taifa pekee ba&#341;ani Af&#341;ika ambalo linatambua ndoa za mashoga, na katiba ya nchini humo inazuia ubaguzi dhidi ya jinsia ya mtu au upendeleo wake wa kujamiiana.<\/p>\n<p>Hata hivyo, wakati alipowasili nchini Af&#341;ika Kusini Mayema alimwaga machozi mengi zaidi. Lakini wakati huu yalikuwa machozi ya maumivu kutokana na kubaguliwa na kutendewa kila aina ya ukatili.<\/p>\n<p>&#8220;Ni maisha magumu mno ninayoishi hapa,&#8221; kijana wa miaka 24 aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Nchini Af&#341;ika Kusini Mayema amekuwa akitukanwa kwa maneno na kupigwa ma&#341;a kadhaa kutokana na kuwa shoga. Na ameshapoteza imani na mfumo wa utoaji wa haki nchini humo kutokana na kutokujali kwa watekelezaji wa she&#341;ia.<\/p>\n<p>&#8220;Nilipigwa mwaka jana na nilipotoa taa&#341;ifa polisi walianza kucheka na kuniuliza &#8216;Kwa nini wewe ni shoga  Nenda hospitali.'&#8221;<\/p>\n<p>Mashambulizi kama hayo yasiyofuata she&#341;ia za nchi ni moja ya sabau zilizomfanya Mayema kuondoka nchini DRC. Kuwa shoga nchini mwao kuna maana kupata kazi ni jambo lisilowezekana, na ina maana kuwa kubaguliwa dhidi ya taasisi za elimu na hata kuuliwa.<\/p>\n<p>Mayema, mwanafunzi wa chuo kikuu aliyekatiza masomo yake, alika&#341;ibia kifo wakati familia yake ilipompiga kutokana na kuwa shoga. Alisema kuwa aliachwa bila chakula kwa siku saba, wakati familia yake ikija&#341;ibu &#8220;kupunga mapepo yake.&#8221;<\/p>\n<p>Lakini hakuweza kukabiliwa na ubaguzi kama alioushuhudia nchini Af&#341;ika Kusini. Aliiambia IPS kuwa aliondolewa kutoka katika makazi kadhaa kutokana na kuwa shoga na mgeni nchini humo. Hali ma&#341;a nyingine ilikuwa mbaya sana hadi anasema anakumbuka nyumbani.<\/p>\n<p>&#8220;Hali nchini Af&#341;ika Kusini ni mbaya zaidi, kuna ubaguzi dhidi ya wageni, dhidi ya upendeleo wa kujamiiana na ubaguzi wa &#341;angi,&#8221; Mayema alilaumu kwa IPS, na hivyo kusikitika kutokana na ndoto zake za kuwa na maisha mapya bo&#341;a hapa kufifia.<\/p>\n<p>Lakini cha kusitikisha haba&#341;i yake siyo ya kipekee. Yeye ni mmoja tu kati ya haba&#341;i nyingi za matatizo ambayo wakimbizi ambao ni wasagaji, mashoga, wenye hisia za kimapenzi za jinsia mbili na wenye jinsia mbili (LGBTI) wanakabiliwa nayo hapa kwa mujibu wa &#341;ipoti yenye jina la &#8220;D&#341;eam Defe&#341;&#341;ed: Is the Equality Clause in the South Af&#341;ican Constitution Bill of Rights just a fa&#341;&ndash;off hope fo&#341; LGBTI Asylum Seeke&#341;s and Refugees&#8221;.<\/p>\n<p>Ripoti hiyo, iliyotolewa na shi&#341;ika la People Against Suffe&#341;ing, Opp&#341;ession and Pove&#341;ty (PASSOP), Jumanne Jun. 26 iligundua kuwa mzizi wa mustakabali wa wakimbizi wa LGBTI nchini Af&#341;ika Kusini ni kukosekana kwa hadhi ya ukaazi kishe&#341;ia. Ripoti inapendekeza se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini kuhimiza wafanyakazi wa Ida&#341;a yake ya Mambo ya Ndani kupitia vizu&#341;i maombi ya wakimbizi wa LGBTI wanaotaka kupata vibali vya ukaazi.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa mwongozo wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa juu ya wakimbizi wa LGBTI, kama watu wanaotishiwa wanatakiwa kupewa hadhi ya kishe&#341;ia katika nchi wanakokimbilia. Lakini hili halifanyiki kwa Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>&#8220;Nje ya watu 35 waliohojiwa ambao waliomba hadhi ya kishe&#341;ia, ni wawili tu walipewa hadhi hiyo,&#8221; alisema Guillain Koko, m&#341;atibu wa m&#341;adi wa utetezi wa PASSOP LGBTI.<\/p>\n<p>Koko alisema kuwa ukosefu wa hadhi ya ukaazi unahata&#341;isha nafasi ya aji&#341;a kwa wakimbizi wa LGBTI.<\/p>\n<p>&#8220;Ni watu walioko katika mazingi&#341;a hata&#341;ishi zaidi,&#8221; alisema. Aliongeza kuwa ugumu wa kutokuwa na aji&#341;a ulisababisha &#8220;wawili kati ya waliohojiwa kuja&#341;ibu kujiua, wakati baadhi walijiingiza katika ukahaba.&#8221;<\/p>\n<p>Uhaba wa aji&#341;a, Koko alisema, unapunguza mwingiliano wa kijamii na hata kukubalika katika makundi ya ndani ya LGBTI.<\/p>\n<p>&#8220;Hawawezi kwenda kwenye klabu wala migahawa ya mashoga kwasababu ni ya gha&#341;ama kubwa.&#8221;<\/p>\n<p>Robinah Kintu, mchezaji wa zamani wa kandanda wa timu ya taifa nchini Uganda ambaye anaishi katika makazi ya Mandalay ka&#341;ibu na Cape Town, ni mfano wa hali ilivyo. Ana mustakabali wa muda mfupi nchini humo na anaweza hivi ka&#341;ibuni kukosa aji&#341;a kutokana na kwamba hajapewa ukaazi.<\/p>\n<p>Kwa sasa Kintu anacheza soka katika jimbo akiwa na Timu ya Mpi&#341;a wa Miguu ya Red Eagles ya mjini Cape Town. Hata hivyo, Chama cha Mpi&#341;a wa miguu nchini Af&#341;ika Kusini kimekataa kumpatia kibali cha kuendelea kucheza kwani yeye ana kibali cha muda tu kuishi nchini humo. &#8220;Wakati unapokuwa mgeni halafu msagaji, kwangu mimi naita ni vita,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Ni hata&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Amekuwa akiishi nchini humo tangu mwaka 2009 na alisema kuwa kuna mambo machache mno ya kutofautisha kati ya Af&#341;ika Kusini na nchini mwake katika Af&#341;ika Masha&#341;iki, nchi ambayo ni mbaya sana kwa ubaguzi linapokuja suala la mtizamo dhidi ya watu wa LGBTIs.<\/p>\n<p>&#8220;Watu pale wakikuona ni msagaji wanakutendea kama ngu&#341;uwe,&#8221; alisema. &#8220;Hukumu unayoweza kupewa ni kifo, wanapokukuta kuwa ni msagaji.<\/p>\n<p>&#8220;Hali bado inafanana na Af&#341;ika Kusini. Kuna she&#341;ia lakini watu hawafuati she&#341;ia &#8230;hata wasagaji wa nchini Af&#341;ika Kusini wanabakwa na kuuawa.&#8221;<\/p>\n<p>Mwezi Feb&#341;ua&#341;i wanaume wanne nchini Af&#341;ika Kusini walihukumiwa miaka 18 jela kutokana na kumpiga mawe na kumkaba hadi kufa kijana mdogo ambaye alijitangaza kuwa msagaji mwenye um&#341;i wa miaka 19 Zoliswa Nkonyana, mwaka 2006. Unyanyasaji dhidi ya wasagaji ni suala la kawaida hapa, huku matukio ya kusahihisha tabia kwa ubakaji yakiwa mengi&#8221;, ambapo wanaume wana imani kuwa wanaweza &#8220;kutibu&#8221; usagaji kwa kuwaingilia wanawake hao.<\/p>\n<p>Kintu amewahi kunyanyaswa, na anahofia usalama wake.<\/p>\n<p>&#8220;Kama ningekuwa na pesa ningeondoka katika eneo hili, siyo salama. Hii ndiyo sababu huwezi kuniona nikitembea wakati wa usiku &#8230;wanaweza kuniua au kunibaka,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Ripoti ya PASSOP inatoa wito wa kuwepo kwa utekelezaji madhubuti wa she&#341;ia zinazohusu haki ya watu wa LGBTI waliokimbilia Af&#341;ika Kusini. Inatoa wito kwa se&#341;ikali &#8220;kuchukua hatua za utekelezaji wa haki za kijinsia ili kuzuia na kufungulia mashitaka wanaofanya vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wakimbizi wa LGBTI.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Af&#341;ika Kusini, Agosti 23 (IPS) &ndash; Wakati Junio&#341; Mayema alipopanda ndege kwenda nchini Af&#341;ika Kusini kutoka nchini mwao Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo mwaka 2010, alilia machozi ya fu&#341;aha kutokana na kuhisi kuwa hatimaye anahamia katika nchi ambapo angeishi kwa uwazi kama shoga. Af&#341;ika Kusini ni taifa pekee ba&#341;ani Af&#341;ika ambalo linatambua ndoa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":935,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3904","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3904","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/935"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3904"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3904\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3904"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3904"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3904"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}