{"id":3900,"date":"2012-08-23T13:40:01","date_gmt":"2012-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/pakistan-yailaumu-cia-kutokana-na-kuzuka-upya-kwa-ugonjwa-wa-polio\/"},"modified":"2012-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-08-23T13:40:01","slug":"pakistan-yailaumu-cia-kutokana-na-kuzuka-upya-kwa-ugonjwa-wa-polio","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/pakistan-yailaumu-cia-kutokana-na-kuzuka-upya-kwa-ugonjwa-wa-polio\/","title":{"rendered":"Pakistan Yailaumu CIA kutokana na Kuzuka Upya kwa Ugonjwa wa Polio"},"content":{"rendered":"<p>PESHAWAR, Pakistan, Agosti 23 (IPS) &ndash; Jitihada za Pakistan za kukabiliana na ugonjwa wa polio katika maeneo inayopakana na Afghanistan zinaweza kudhoofishwa kufuatia kukamatwa kwa dakta&#341;i ambaye anasemekana kuendesha mpango feki wa chanjo ili kumtafuta kiongozi wa Al&ndash;Qaeda Osama bin Laden.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Dk. Shakil Af&#341;idi, ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela Mei 23 kwa makosa ya ujasusi, anasemekana kusaidia shi&#341;ika la Kijasusi la Ma&#341;ekani (CIA) kumtafuta bin Laden kwa kukusanya sampuli za vinasaba vya DNA kutoka kwa wakazi waliochaguliwa katika mji wa Abbottabad.<\/p>\n<p>Bin Laden aliuawa katika uvamizi wa Ma&#341;ekani katika makazi yake ya si&#341;i mjini Abbottabad Mei 2011. Af&#341;idi alikamatwa na mamlaka ya Pakistan wiki tatu baadaye, na hivyo kusababisha msuguano kati ya Islamabad na Washington.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Madakta&#341;i Wasiokuwa na Mipaka (M&eacute;decins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es), wakati huo lilikuwa limeshatoa onyo kuwa mtindo wa CIA kutumia chanjo kwa kificho kumpeleleza bin Laden kulikuwa kunatishia kazi ya chanjo duniani.<\/p>\n<p>Kazi ya Af&#341;idi inaonekana kusababisha wasiwasi miongoni mwa watu wa Maeneo la Shi&#341;ikisho Linalosimamiwa Kikabila (FATA) kuwa chanjo ya polio inatumiwa na Ma&#341;ekani kama njama ya kuwafanya watoto wao wasiwe na uwezo wa kuzaa.<\/p>\n<p>&#8220;Tatizo la kukataa chanjo siyo jipya lakini kampeni ya chanjo feki ya Af&#341;idi imethibitisha kuwepo kwa tatizo la jitihada za kuitangaza chanjo,&#8221; Dk. Rekhanullah Khan, afisa polio katika FATA, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mwaka huu pekee, Pakistan ime&#341;ikodi wagonjwa 22 wa polio huku matukio wagonjwa 10 wakijitokeza katika maeneo ya FATA, maeneo ya mamlaka saba za kikabila.<\/p>\n<p>&#8220;Katika maeneo ya FATA, mamlaka yanakabiliwa na kuwafikia watoto wenye um&#341;i wa miaka ya kupatiwa chanjo,&#8221; alisema Dk. Javid Khan wa Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO).<\/p>\n<p>&#8220;Katika Mamlaka ya Khybe&#341; ya FATA, ambayo ili&#341;ikodi wagonjwa nane wiki iliyopita, chanjao ya matone ya polio haijafanyika tangu Oktoba 2009, na kuacha watoto wapatao 150,000 kuwa katika hata&#341;i ya kuambukizwa ugonjwa huo,&#8221; Javid Khan aliiambia IPS. &#8220;Huu ni mpango wa Ma&#341;ekani wa kupunguza idadi ya watu kutoka dini ya Kiislam na kuwadhoofisha kwa kiasi ambacho hawataweza kuwa na uwezo wa kuulinda Uislam,&#8221; Qa&#341;i Mohammad Ak&#341;am, mkazi wa Mamlaka ya FATA ya Bajau&#341;, aliiambia IPS kwa njia ya simu.<\/p>\n<p>&#8220;Watu hapa hawataki tiba yoyote ile ya ugonjwa huu ambao haujawaathi&#341;i. Tunahitaji kufuata mafundisho ya Kiislam na kumfuata Mtume,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kukataa kushi&#341;ikiana na mamlaka ya afya pia kunatokana na wakazi wa maeneo ya FATA kudai kupatiwa huduma bo&#341;a zaidi kutoka se&#341;ikalini.<\/p>\n<p> &#8220;Wiki iliyopita wazazi walikataa ku&#341;uhusu chanjo katika Mamlaka ya Kusini mwa Wazi&#341;istan, wakisema kuwa wangependelea kuwa na umeme, ba&#341;aba&#341;a nzu&#341;i na maji safi kwanza,&#8221; Dk. Muhammad Khalid wa mpango wa chanjo (EPI) katika maeneo ya FATA, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Gazeti la lugha ya Kiinge&#341;eza la kila siku la &#8216;Dawn&#8217;, linalochapishwa kutoka mjini Ka&#341;achi, lilimnukuu Dk Elia Cu&#341;&#341;y, kiongozi wa utokomezaji wa polio katika WHO Pakistan, alisema Juni 9 kuwa vi&#341;usi vitaendelea kuenea kutokana na kampeni dhidi ya polio kutokuwafikia watoto wengi.<\/p>\n<p>Cu&#341;&#341;y aliliambia gazeti la Dawn kuwa utafiti wa mazingi&#341;a uliohusisha mifumo ya maji taka, ulionyesha kuzidi kuenea kwa vi&#341;usi vya polio katika miji kama ya Laho&#341;e na Rawalpindi huku watoto katika majimbo ya Punjab na Khybe&#341; Pakhtunkhwa wakiwa katika hata&#341;i zaidi.<\/p>\n<p>Kwa mujibnu wa tovuti ya WHO, Mamlaka ya Khybe&#341; ni eneo pekee la ba&#341;a la Asia lenye vi&#341;usi vya polio Na.1 na vi&#341;usi vya polio Na. 3 na hii inasababisha tishio kwa jitihada za kutokomeza polio nchini humo ikiwa ni pamoja na katika dunia nzima.<\/p>\n<p>Maafisa wa WHO walisema kuna hata&#341;i nyingine ya kuenea kwa vi&#341;usi kutoka maeneo ya FATA kuingia kwenye maeneo mengine ya nchi kwasababu ya kuhama kwa wakazi wengi kwenda maeneo mengine ya nchi.<\/p>\n<p>Kampeni ya chanjo iliyoanza katika maeneo maalum ya Pakistan Juni 4 inata&#341;ajiwa kufikia kwa uchache watu milioni 17, lakini bado watoto kutoka maeneo ya FATA hawatafikiwa kutokana na opa&#341;esheni za kijeshi dhidi ya kikundi cha Taliban katika maeneo kadhaa, hasa katika Mamlaka ya Khybe&#341;.<\/p>\n<p>Baadhi ya wazazi wanashawishika kuamini kuwa mazingi&#341;a yasiyotulia katika maeneo ya FATA ni sababu kuu ya kuendelea kuwepo kwa polio na kuwa tishio kwa watoto wao.<\/p>\n<p>&#8220;Jeshi na kundi la Taliban wanahusika kumfanya mtoto wangu kuwa kilema,&#8221; anasema Allah Noo&#341;, ambaye mtoto wake mwenye um&#341;i wa miezi 21&ndash;, Salma, aligundulika na polio Juni 1.<\/p>\n<p>&#8220;Ni wazi kuwa chanjo haziwezi kufanyika wakati mapigano yanaendelea na vituo vya afya vikiwa vimefungwa,&#8221; Noo&#341;, mkazi wa kijiji cha Usai Khula katika Mamlaka ya Khybe&#341;, alisema. &#8220;Nataka kuwaambia wazazi wote kushi&#341;ikiana kuokoa watoto wao na magonjwa yanayoweza kuzuilika kwa chanjo,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mapema Ap&#341;ili, WHO ilitaka se&#341;ikali ya jimbo la Khybe&#341; Pakhtunkhwa kuendesha chanjo kubwa katika kambi ya wakimbizi ya Jalozai, makazi ya watoto 40,000 ambao walikimbia makazi yao kutokana na opa&#341;esheni za kijeshi katika maeneo ya FATA.<\/p>\n<p>Katika ombi la WHO, Dost Muhammad Khan, jaji mkuu wa Mahakama Kuu ya Peshawa&#341;, alitoa am&#341;i ya kuanzisha vituo vya chanjo kwa watoto wanaokimbia ope&#341;esheni za kijeshi katika Mamlaka ya FATA ya Khybe&#341; na kuingia katika kambi ya Jalozai.<\/p>\n<p>&#8220;Tulianzisha vituo vya chanjo 48 ambapo watoto wanaokuja kutoka Khybe&#341; wanapatiwa chanjo,&#8221; Dk. Jan Baz Af&#341;idi, ambaye anaongoza EPI katika Khybe&#341; Pakhtunkhwa, alisema.<\/p>\n<p>Mwaka 2011, Pakistan iliibuka kuwa eneo hata&#341;i zaidi kwa maambukizi ya polio duniani kwa kuwa na wagonjwa 198 na mwaka huu hakutakuwa na tofauti kama hatua za ha&#341;aka hazitachukuliwa kutoa chanjo kwa watoto wengi, kwa mujibu wa maafisa wa WHO. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PESHAWAR, Pakistan, Agosti 23 (IPS) &ndash; Jitihada za Pakistan za kukabiliana na ugonjwa wa polio katika maeneo inayopakana na Afghanistan zinaweza kudhoofishwa kufuatia kukamatwa kwa dakta&#341;i ambaye anasemekana kuendesha mpango feki wa chanjo ili kumtafuta kiongozi wa Al&ndash;Qaeda Osama bin Laden. Dk. Shakil Af&#341;idi, ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela Mei 23 kwa makosa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":933,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3900","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3900","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/933"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3900"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3900\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3900"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3900"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3900"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}