{"id":3899,"date":"2012-08-23T13:40:01","date_gmt":"2012-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/masoko-ya-mazao-ya-bustani-muhimu-kwa-wanawake-wa-nige\/"},"modified":"2012-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-08-23T13:40:01","slug":"masoko-ya-mazao-ya-bustani-muhimu-kwa-wanawake-wa-nige","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/masoko-ya-mazao-ya-bustani-muhimu-kwa-wanawake-wa-nige\/","title":{"rendered":"Masoko ya Mazao ya Bustani Muhimu kwa Wanawake wa Nige&#341;"},"content":{"rendered":"<p>DIOGA, Nige&#341;, Agosti 23 (IPS) &ndash; Watu wanne wameinamisha migongo wakifanya kazi katika moja ya maeneo yenye bustani kubwa za mboga mboga ka&#341;ibu na kijiji cha Dioga magha&#341;ibi mwa Nige&#341;. Miezi kadhaa baada ya mavuno ya zao kuu kijijini humo kuvunwa na kutumiwa kwa chakula &ndash; kijani cha bustani iliyomwagiliwa ni suala linaloleta nafuu katika sehemu ya nchi hiyo ambapo njaa haijawahi kucheza mbali.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Bustani ya hekta tatu inasimamiwa na wanawake kutoka kijijini hapa na makazi yanayokizunguka katika wilaya ya kijijini ya To&#341;odi.<\/p>\n<p>Spinachi, nyanya, kabichi, vitunguu na pilipili na aina nyingine ya mazao ya mboga mboga &ndash; yanaonyeshwa kwa kidole na Aminata Dou&#341;amane ambaye anaonekana kuka&#341;ibia um&#341;i wa miaka 60. Pia kuna matunda kama vile miembe, mipe&#341;a, milimau na michungwa.<\/p>\n<p> &#8220;Watoto watatu unaowaona wanaonisaidia ni wajukuu zangu. Mkubwa zaidi ana um&#341;i wa miaka 13, na mdogo zaidi ana um&#341;i wa miaka nane. Wote wanasoma, hivyo ni pale tu ambapo hawajaenda shule wanakuja hapa kunisaidia,&#8221; Dou&#341;amane aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Mahali pengine panaonekana mazao yakiwa yamestawi vizu&#341;i katika kijani kibichi, katika eneo la hekta tatu, wanawake wengine pia wana kazi nyingi wakitunza mimea yao.<\/p>\n<p>&#8220;Nipo hapa kuhakikisha kuwa kiba&#341;ua ambaye ananisaidia kumwagilia mazao yangu anafanya vizu&#341;i,&#8221; alisema Ze&iuml;nabou Bou&#341;e&iuml;ma. &#8220;Ni kipindi cha joto kali sasa, hivyo ni muhimu kumwagilia vizu&#341;i kwani mimea inahitaji maji mengi.&#8221;<\/p>\n<p>Wanawake wote hao ni wanachama wa chama cha Ce&#341;nafa, ambacho kina maana ya &#8220;ushi&#341;ika&#8221; katika lugha ya kwao, Kidje&#341;ma. &#8220;Tulikuwa wanawake wapatao hamsini tulipoanza mwaka 2002 katika shamba ambalo tulipatiwa na chifu,&#8221; alisema Dou&#341;amane, ambaye ni &#341;ais wa kikundi hicho.<\/p>\n<p>&#8220;Ilikuwa vigumu sana wakati huo kwasababu ya kukosekana kwa maji. Watu walituona sisi ni wajinga,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini sasa kikundi hicho kina zaidi ya wanawake 100, na kwa kupitia bustani hii tumekuwa watu wa kuigwa katika kijiji na wilaya ya To&#341;odi. Miaka mitatu iliyopita, tulikuwa tumeweka akiba ya kutosha kuweza kununua hekta 4.2 za a&#341;dhi kwa fa&#341;anga za CFA 400,000 (dola zipatazo 772) ili kukidhi mahitaji ya kuwa na mazao mseto,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>&#8220;Kilichohamasisha wanawake wa Dioga kuanzisha upandaji wa mboga mboga ni kukosekana kwa usalama wa chakula, ambako ni kwa kudumu katika ukanda huo,&#8221; alisema Salou Moumouni, mkuu wa shule ya kijiji na mshau&#341;i asiyekuwa &#341;asmi wa kikundi hicho.<\/p>\n<p>&#8220;Punde tu baada ya mavuno ya kila mwaka, waume zao wanaondoka katika ukanda huo kwenda kwenye miji mikubwa, na kuwaacha wanawake na watoto bila ya kuwa na chakula cha kutosha,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa wanaangalia kaya zao kutokana na kipato wanachoingiza kutokana na kuuza mboga mboga wakati wanaume wanapokuwa mbali,&#8221; Moumouni aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Niliamua kujitolea kusaidia kikundi kwasababu niliona kiliongozwa na wanawake wenye shauku, ambao wako taya&#341;i kukabiliana na kikwazo chochote kile na kujinasua katika utegemezi,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Bibata Ga&#341;ba, mwanachama mwingine wa Ce&#341;nafa, aliiambia IPS: &#8220;Wakati m&#341;adi ulipoanza, ningeweza kuingiza CFA 60,000 (dola zipatazo 115) kutokana na msimu wa kupanda kuwa kati ya Disemba na Ap&#341;ili. Lakini wakati huu niliingiza CFA zaidi ya 210,000 (dola 405) katika kipindi hicho hicho, kutokana na mavuno mazu&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Jitihada za wanawake zimevutia msaada kutoka nje ya kijiji chao.<\/p>\n<p>&#8220;Moyo wa kujitolea wa wanawake wa Dioga kupambana na njaa na umaskini kupitia mpango huu wa bustani umesababisha kuanza kuwasaidia mwaka 2004, na kuima&#341;isha uwezo wao, hasa katika mbinu za kilimo na masuala ya usimamiaji,&#8221; alisema Amadou Boubaca&#341;, &#341;ais wa &#8220;Action fo&#341; Sustainable Development&#8221; (ADD), NGO yenye makao yake makuu mjini Niamey, mji mkuu wa Nige&#341;.<\/p>\n<p>&#8220;Tulipatia kikundi hicho visima vinne vya kisasa, mna&#341;a wa maji kwa ajili ya umwagiliaji ambao tuliufunga kwa kusaidia na msaada wa ICRISAT (the Inte&#341;national C&#341;ops Resea&#341;ch Institute fo&#341; the Semi&ndash;A&#341;id T&#341;opics), na pampu za maji. Tuliwapatia mbegu na mbolea za chumvichumvi na pia kuwafundisha baadhi ya wanachama kusoma na kuandika,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Boubaca&#341; aliiambia IPS kuwa ADD pia ilisaidia wanawake kupata msaada wa kifedha kutoka shi&#341;ika la &#8220;C&#341;oss&#341;oads Inte&#341;national&#8221;, NGO ya nchini Canada inayopambana kupunguza umaskini kwa kusisitiza katika kuwapatia uwezo wanawake.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa A&iuml;ssa Bouka&#341;i, mhazini wa Ce&#341;nafa, mamlaka nchini Nige&#341; na washi&#341;ika wengine, kama vile shi&#341;ika la misaada la kimataifa la Oxfam na lile la Uswis la Maendeleo ya Kimataifa, pia limetoa msaada wa madumu ya kumwagilia, &#341;eki, majembe na mbegu.<\/p>\n<p>&#8220;Ni vigumu kutoa takwimu halisi ya mazao ya spinachi na mboga mboga nyingine ambazo zinauzwa kabla ya mavuno, au tuliyovuna na kupeleka moja kwa moja sokoni; lakini tunajua kiasi cha faida kuanzia Disemba 2011 hadi Ap&#341;ili 2012 kuwa ni CFA zipatazo milioni tano (zaidi ya dola 9,500),&#8221; Bouka&#341;i aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Na mavuno bado hayajaisha, kutokana na miaka mitatu iliyopita tumeamua kupanda mazao katika mwaka mzima.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa se&#341;ikali kilimo cha umwagiliaji, ikiwa ni pamoja na mazao ya bustani, mwaka huu yame&#341;uhusu nchi kuzalisha sawa na tani 325,000 za nafaka, dhidi ya uhaba wa tani 600,000 ulio&#341;ikodiwa katika kampeni ya kilimo ya mwaka 2011&ndash;2012.<\/p>\n<p>Uhaba huu ndiyo sababu kuu ya mgogo&#341;o wa chakula ambao bado unaathi&#341;i watu milioni 8.3 kati ya watu milioni 15.7 katika taifa hilo la Af&#341;ika Magha&#341;ibi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DIOGA, Nige&#341;, Agosti 23 (IPS) &ndash; Watu wanne wameinamisha migongo wakifanya kazi katika moja ya maeneo yenye bustani kubwa za mboga mboga ka&#341;ibu na kijiji cha Dioga magha&#341;ibi mwa Nige&#341;. Miezi kadhaa baada ya mavuno ya zao kuu kijijini humo kuvunwa na kutumiwa kwa chakula &ndash; kijani cha bustani iliyomwagiliwa ni suala linaloleta nafuu katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":932,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3899","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3899","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/932"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3899"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3899\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3899"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3899"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3899"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}