{"id":3898,"date":"2012-08-23T13:40:01","date_gmt":"2012-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/wakati-wa-kujenga-mfumo-endelevu-wa-chakula-duniani\/"},"modified":"2012-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-08-23T13:40:01","slug":"wakati-wa-kujenga-mfumo-endelevu-wa-chakula-duniani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/wakati-wa-kujenga-mfumo-endelevu-wa-chakula-duniani\/","title":{"rendered":"Wakati wa Kujenga Mfumo Endelevu wa Chakula Duniani"},"content":{"rendered":"<p>Agosti 23 (IPS) &ndash; Ni jambo muhimu kwamba se&#341;ikali na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wanaanza mageuzi ya kujenga mfumo endelevu wa chakula duniani ili kufikia maendeleo ya kudumu.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mfumo wa chakula wa sasa duniani siyo endelevu na hau&#341;uhusu wakulima kuishi maisha yenye hadhi, anasema Samee&#341; Dossani, m&#341;atibu wa utetezi wa shi&#341;ika la ActionAid Inte&#341;national. Alikuwa akizungumza kabla ya ushi&#341;iki wa shi&#341;ika lake katika mkutano wa kilele wa mazingi&#341;a endelevu wa Rio+20, ambao kwa jina jingine unajulikana kama Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo Endelevu, ambao utafanyika kuanzia Juni 20 hadi 22 mjini Rio de Janei&#341;o, B&#341;azil.<\/p>\n<p>ActionAid Inte&#341;national itakuwa miongoni mwa washi&#341;iki wapatao 50,000, ikiwa ni pamoja na wakuu wa makampuni ya kibiasha&#341;a na wawakilishi wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, na zaidi ya wakuu 135 wa se&#341;ikali.<\/p>\n<p>&#8220;Vipaumbele vya mfumo endelevu wa chakula duniani unaongeza uzalishaji kupitia kujitegemea katika pembejeo kama vile mbolea za kemikali na zile za kuulia wadudu. Wakati mkulima hawezi kumudu gha&#341;ama zinazohusiana na pembejeo hizi, anasukumizwa pembezoni na a&#341;dhi yake inanunuliwa na wakulima wakubwa au makampuni,&#8221; Dossani anasema.<\/p>\n<p>Anasema kuwa mfumo endelevu zaidi wa kilimo unatakiwa kulenga katika mazao mseto na maa&#341;ifa ambayo taya&#341;i yanapatikana, wakati huo huo ukika&#341;ibisha gha&#341;ama za chini, teknolojia mpya na kubo&#341;esha uzalishaji.<\/p>\n<p>&#8220;ActionAid inazingatia kilimo endelevu kama mfumo ambao unatokana na kutambua haki za binadamu kupata chakula. Ni njia ya kuendesha maisha inayojikita katika kujitegemea na mifumo ya kilimo na kiiikolojia, ambayo inashi&#341;ikisha kila aina ya uendeshaji maisha wa wakulima wadogo wadogo, wafanyakazi wa mashambani, watu wasiokuwa na a&#341;dhi, wafugaji mifugo, wavuvi na hata wawindaji na waokotezaji matunda,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Dossani anasema kuwa kutokana na kwamba Umoja wa Mataifa ulipitisha Ajenda ya 21, mpango wa utekelezaji wa maendeleo endelevu, wakati wa Mkutano wa Kilele wa mwaka 1992 mjini Rio de Janei&#341;o, baadhi ya se&#341;ikali zimeshapata mafanikio makubwa katika kukabiliana na mbinu za kilimo ambazo siyo endelevu.<\/p>\n<p>Wakati Dossani anasema kuwa kuhama kuelekea maendeleo endelevu ni suala linalokuja bila kupangwa, anaongeza kuwa kuendelea kupuuzia suala hili hakuna nafasi.<\/p>\n<p>Sehemu ya mahojiano inafuata:<\/p>\n<p>Swali: Je dhana ya maendeleo endelevu inafanya kazi  Miaka ishi&#341;ini tangu mkutano wa Rio bado tunalizungumzia.<\/p>\n<p>Jibu: Ni kweli kwamba baadhi ya wahusika, pengine UNFCCC (Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi), unaonekana kuingiza fedha nyingi mno na muda katika michakato ambayo haitafika popote. Ni lazima tutahoji ufanisi wa michakato hii na kuitaka jumuiya ya kimataifa kuamua kushughulikia masuala haya katika hali ya gha&#341;ama nafuu.<\/p>\n<p>Hata hivyo, maendeleo endelevu na masuala yanayohusiana na hayo yanayojadiliwa huko Rio ni muhimu mno kwa jamii, na kuendelea na mambo ya kizamani ni suala ambalo halina nafasi. Kuhamia katika maendeleo endelevu kunakuja kwenyewe. Iwe mabadiliko kuingia kwenye mazingi&#341;a endelevu ni ya kimkakati na yanakuja polepole, au kama mabadiliko yanakuja kutokana na migogo&#341;o ya kiuchumi na kuongezeka kwa majanga ya hali ya hewa ni suala letu sote kuamua.<\/p>\n<p>Swali: Umaskini duniani haupungui, lakini upo kinyume chake. Je tuna mata&#341;ajio ya kufanikiwa tunapozungumzia haki ya kijamii na ya hali ya hewa <\/p>\n<p>Jibu: Hatuwezi kuzungumzia hatua zenye maana za kupunguza umaskini bila pia kushughulikia suala la haki. Nikimnukuu Nelson Mandela: &#8220;Umaskini siyo suala la bahati mbaya.&#8221; Kuna umaskini mwingi mno duniani, lakini pia kuna utaji&#341;i mkubwa mno duniani &ndash; wa kuweza kutosheleza kukabiliana na matatizo haya.<\/p>\n<p>Swali: Je dunia iko taya&#341;i kujiondoa kutoka katika kuendesha masuala yake kama ilivyozoea na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi <\/p>\n<p>Jibu: Dunia inapaswa kuwa taya&#341;i. Mbadala wa jambo hili siyo mzu&#341;i &ndash; kuongezeka kwa wingi na ukubwa wa majanga ya asili yanayohusiana na mabadiliko ya tabia nchi, kuongezeka kwa migogo&#341;o juu ya maliasili, kukosekana kwa uwezo kwa jamii maskini kumudu &#341;asilimali ambazo zinazidi kuwa haba na za ghali ikiwa ni pamoja na za chakula, na hata&#341;i ya kupoteza miji na maeneo ya vijijini kutokana na kuongezeka kwa kina cha baha&#341;i.<\/p>\n<p>Ni mafanikio gani yamepatatikana tangu kupitishwa kwa Ajenda 21 <\/p>\n<p>Jibu: Baadhi ya mataifa ya Ulaya yamechukua hatua za kupunguza uzalishaji wa gesi ukaa. Baadhi ya nchi kubwa zinazoendelea zimechukua hatua kuhakikisha kuwa jamii maskini zaidi zinapata haki za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya chakula.<\/p>\n<p>She&#341;ia ya Uhakika wa Aji&#341;a Maeneo ya Kijijini nchini India ni mfano mmojawapo wa suala hili.<\/p>\n<p>Kwa bahati ambayo siyo mipango ya maendeleo wala upunguzaji wa gesi ukaa kumesaidia kwa kiasi cha kutosha kuhakikisha kuwa kila mmoja anafaidi haki ya kuishi maisha ya utu, na kwamba wale ambao wana bahati ya kutosha kuishi maisha ya tabaka la kati hawafanyi hivi kwa kuchafua ulimwengu wa vizazi vijazvyo.<\/p>\n<p>Kwa bahati mbaya pia kumekuwepo na mafanikio ya uongo, na kwa suala hili ninamaanisha kukuza mfumo ambao haushughulikii masuala, lakini ma&#341;a nyingine unaonekana kufanya hivyo.<\/p>\n<p>Kwa mfano, kukuza matumizi ya mafuta yanayotokana na mimea, siyo tu kwamba kunashindwa kushughulikia suala la kuongezeka kwa gesi ukaa (kwani mafuta yanayotumika sasa yanazalisha kiasi kikubwa cha gesi hiyo), lakini pia inafanya mazao ya chakula kuwa katika ushindani wa moja kwa moja na mazao ya mafuta. Mbinu hii lazima ikomeshwe. Kama hatua ya kwanza, nchi zikomeshe &#341;uzuku na motisha katika uzalishaji wa mazao ya kutengenezea mafuta.<\/p>\n<p>Swali: Una mata&#341;ajio gani kutoka Rio+20 <\/p>\n<p>Jibu: Tungependa kuona nchi zinatoa ahadi zenye nguvu kwa kuelezea wazi kilimo endelevu katika mkutano wa kilele wa Rio+20, na kuelezea mchakato ambao unaonyesha kuhama kutoka katika kilimo cha mazao ya viwandani kuelekea kwenye mfumo ambao unaweka maisha na shughuli za kuendeshea maisha za wakulima na wakazi wa kijijini mbele ya mambo mengine yote, ikiwa ni pamoja na kuwa mbele ya faida.<\/p>\n<p>Ma&#341;a hilo litakapokubalika, ActionAid itazitaka nchi &ndash; hasa zile za G20 &ndash; kuhakikisha kuwa fedha zinapatikana kusaidia wanajamii kuhamia katika kilimo kisichoathi&#341;ika na mabadiliko ya tabia nchi ambacho ni endelevu. Dola bilioni 100 ambazo ziliahidiwa na viongozi wa nchi taji&#341;i katika Mkutano wa Mawazi&#341;i wa Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Copenhagen mwaka 2009 zitakuwa mwanzo mzu&#341;i kuhusu fedha za nyongeza zinazohitajika. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Agosti 23 (IPS) &ndash; Ni jambo muhimu kwamba se&#341;ikali na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wanaanza mageuzi ya kujenga mfumo endelevu wa chakula duniani ili kufikia maendeleo ya kudumu. Mfumo wa chakula wa sasa duniani siyo endelevu na hau&#341;uhusu wakulima kuishi maisha yenye hadhi, anasema Samee&#341; Dossani, m&#341;atibu wa utetezi wa shi&#341;ika la ActionAid Inte&#341;national. Alikuwa akizungumza&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":698,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3898","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3898","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/698"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3898"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3898\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3898"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3898"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3898"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}