{"id":3897,"date":"2012-08-23T13:40:01","date_gmt":"2012-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/maswali-na-majibu-lazima-dunia-ijifunze-kutokana-na-wakulima-wadogo\/"},"modified":"2012-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-08-23T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-lazima-dunia-ijifunze-kutokana-na-wakulima-wadogo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/maswali-na-majibu-lazima-dunia-ijifunze-kutokana-na-wakulima-wadogo\/","title":{"rendered":"Maswali na Majibu: Lazima Dunia Ijifunze Kutokana na Wakulima Wadogo"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Agosti 23 (IPS) &ndash; Rousbeh Legatis anamhoji MOHAMED B&Eacute;AVOGUI wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo <\/p>\n<p>Wakati Ukanda wa Sahel ba&#341;ani Af&#341;ika unakabiliwa na mgogo&#341;o mpya wa chakula, wakulima wadogo wadogo wanabeba ufunguo wa maendeleo endelevu ya kise&#341;a ya baadaye.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hii ndiyo sababu &#8220;haiwezekani kuzungumza kuhusu hali endelevu&#8221; katika mkutano wa mazingi&#341;a wa Rio+20 mwezi ujao bila kusikiliza nini ambacho wakulima wadogo wadogo wanasema, anasema Mohamed Beavogui, mkuu wa Ofisi ya Kimataifa ya Mfuko wa Ushi&#341;ikiano wa Kuendeleza na Kuhamasisha Kilimo (Inte&#341;national Fund fo&#341; Ag&#341;icultu&#341;al Development&#8217;s Pa&#341;tne&#341;ship and Resou&#341;ce Mobilisation Office).<\/p>\n<p>Baadhi ya watu milioni 18 katika ukanda wa Sahel wako hata&#341;ini kukumbwa na uhaba wa chakula na utapiamlo, linaonya Shi&#341;ika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO).<\/p>\n<p>Ukame wa muda m&#341;efu, uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a na kupanda kwa bei ya nafaka kukiambatana na kupungua kwa fedha kutoka kwa wenyeji wa ukanda huo wanaoishi nje, ikiwa ni pamoja na kuyakimbia makazi na umaskini uliokithi&#341;i kunajenga hali ambayo imepelekea miongoni mwa mambo mengine kupungua kwa uzalishaji wa nafaka kwa asilimia 26 ikilinganishwa na mwaka 2011. Kutafuta ufummbuzi wa kudumu ni suala muhimu, alisema Beavogui.<\/p>\n<p>Na ufumbuzi taya&#341;i upo, ukiwa umeandaliwa na wakulima wadogo wadogo kwa kipindi cha ka&#341;ne kadhaa.<\/p>\n<p>Ahadi zilitolewa na mataifa ya G8 yenye utaji&#341;i mkubwa kuongeza misaada ya kimataifa inayohusiana na kilimo, hasa katika ba&#341;a la Af&#341;ika, lakini bado ahadi hizo hazijatimizwa.<\/p>\n<p>Akizungumza na Mwandishi wa Haba&#341;i wa Umoja wa Mataifa Rousbeh Legatis, Beavogui alielezea nini dunia inaweza kujifunza kutoka kwa wakulima wadogo wadogo kukuza kilimo endelevu kama jambo la msingi katika maendeleo endelevu ya baadaye.<\/p>\n<p>Sehemu ya mahojaino yao inafuata. Swali: Kanda kama za Sahel zinaonekana kuathi&#341;ika zaidi na njaa kila baada ya miaka michache, na ma&#341;a nyingi kwa sababu ambazo zinatabi&#341;ika. Ni mabadiliko gani ya kimuundo yanaweza kufanyika kuvunja mzunguko huu <\/p>\n<p>Jibu: Kwanza, tunapaswa kuwekeza katika kupatia jamii zinazolengwa uwezo mkubwa wa kutekeleza shughuli za kujisaidia wenyewe ili kukabiliana na uhaba wa uzalishaji, ikiwa ni pamoja na u&#341;atibu wenye ufanisi zaidi na kutekeleza shughuli za misaada za kise&#341;ikali na za kimataifa.<\/p>\n<p>Pili, tumekuwa tukijifunza kuwa katika maeneo ambapo juhudi zimefanyika kujenga mifumo ya kudumu kama kupanda miti katika a&#341;dhi, kutatua suala la upatikanaji wa maji, umwagiliaji, madha&#341;a ya ukame yamekuwa kidogo zaidi kuliko katika maeneo ambayo kazi hii haijafanyika.<\/p>\n<p>Lakini hii ina maanisha nini  Ina maanisha kuwa tunapaswa kufanya kazi pamoja. Se&#341;ikali zinapaswa kuhamasisha kutungwa kwa se&#341;a sahihi ambazo zina&#341;uhusu kuwa na pembejeo sahihi, hasa mbegu zinazostahimili ukame, ikiwa ni pamoja na se&#341;a ambazo zina&#341;uhusu huduma bo&#341;a za ugani kutumiwa na kupatikana kwa u&#341;ahisi &ndash; hasa kwa wanawake na vijana.<\/p>\n<p>Zaidi ya hapo tunapaswa kuwekeza katika ba&#341;aba&#341;a nzu&#341;i ku&#341;uhusu usafi&#341;ishaji wa chakula kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa kwenda maeneo yenye uhaba.<\/p>\n<p>Swali: IFAD imekuwa ikisaidia kilimo cha mbolea za asili katika mi&#341;adi yake ya maja&#341;ibio, kama vile miongoni mwa wazalishaji wa kakao nchini Sao Tome, ikiwa ni pamoja na kupata masoko yenye tija. Je masoko haya ya mazao yasiyolimwa kwa kemikali, biasha&#341;a ya usawa &ndash; yanakua, na je yanatoa fu&#341;sa kwa ushi&#341;ikiano wa sekta binafsi na ya umma ambayo inafaidika na wakulima wadogo wadogo <\/p>\n<p>Jibu: Ndiyo, ni njia nzu&#341;i mno kuchangia katika kujenga utaji&#341;i kwa wakulima wadogo wadogo wa vijijini.<\/p>\n<p>Tumekuwa na mafanikio makubwa nchini Sao&ndash;Tom&eacute;, Sie&#341;&#341;a Leone, Uganda na katika maeneo mengi ya Ame&#341;ika Kusini nakadhalika.<\/p>\n<p>Lakini tumejifunza nini  Ni sababu zipi za mafanikio ili kuweza kufika hapo  Ninaposema &#8220;hapo&#8221; nina maana kuwa hali ambapo mkulima anapata bei ya usawa kulingana na bidhaa zake, kuongeza kipato chake katika hali ambayo ina hadhi na mshi&#341;ika, sekta binafsi, pia ame&#341;idhishwa kuwa anatengeneza pesa. Kwasababu hilo ni jambo la kweli: linahusu kutengeneza pesa, lakini katika hali ya usawa.<\/p>\n<p>Hivyo sababu moja ya mafanikio ni kwamba tunapaswa kufiki&#341;ia masuala ya muda m&#341;efu. Tunatakiwa kufanya kazi na wataalam wa sekta binafsi, washi&#341;ika, ambao pia wanajitolea kwa ajili ya maendeleo, kwa ajili ya haki ya wanadamu. Mbali ya biasha&#341;a, suala la msingi ni kwamba tunahitaji aina fulani ya mfumo wa kufanya kazi. Kwa hiyo kwa muda mfupi, tunahitaji dhami&#341;a halisi kutoka kwa kila mmoja. Sababu nyingine ya mafanikio ni kwamba tunahitaji kufanya kazi kwa ushi&#341;ikiano wa wazalishaji kuhakikisha kuwa kunakuwepo na wahusika wakuu. Ku&#341;uhusu kuwa na, kwanza, ukubwa wa uzalishaji na pili, gha&#341;ama ndogo za usindikaji na uuzaji.<\/p>\n<p>Tatu, tunahitaji kuhakikisha ubo&#341;a ili kuwa na masoko bo&#341;a na bei nzu&#341;i na tunahitaji kuongeza wingi wa vifaa kupunguza gha&#341;ama tena, ikiwa ni pamoja na kuhamisha kwa u&#341;ahisi maa&#341;ifa na utendaji bo&#341;a.<\/p>\n<p>Swali: Usawa wa jinsia ni kipaumbele kwa IFAD. Je se&#341;ikali zinapatia wanawake, hasa vijana na wanawake wa vijijini, uangalizi na msaada wanaostahili <\/p>\n<p>Swali: Nadhani tuna njia ndefu ya kwenda katika eneo hilo kwa wakati huu. Se&#341;a zinabadilika. Kama unaangalia kile kinachotokea ba&#341;ani Af&#341;ika, katiba mpya zinapatia wanawake nafasi zaidi. Unaangalia se&#341;ikali, tunakuwa na wanawake wengi zaidi ambao wanajipenyeza katika ngazi za juu, wanawake wanashika nafasi bo&#341;a katika mashi&#341;ika mbalimbali. Suala ambalo nadhani litakuwa na kazi nyingi na ambalo linahitaji msukumo mkubwa ni wanawake katika maeneo ya vijijini.<\/p>\n<p>Katika nya&#341;aka, kuna mazungumzo mengi mno juu ya jinsi gani ya kusaidia wanawake, lakini unapoingia katika shughuli halisi, unaona kuwa huduma za ugani katika kilimo zinalenga wanaume zaidi. Masuala kama a&#341;dhi inatolewa kwanza kwa wanaume. Hivyo, hapo ndipo tunahitaji kufanya kazi kwa bidii na kuendeleza msaada.<\/p>\n<p>Wanawake ba&#341;ani Af&#341;ika ndiyo ambao wanazalisha chakula, ambao wanasindika na kuuza chakula. mazao ya biasha&#341;a yanashughulikiwa na wanaume, lakini chakula ni jukumu la wanawake. Hivyo, kama IFAD tumekuwa tukiwekeza kwa kiasi kikubwa mno katika eneo hilo. Mshi&#341;ika mkuu wa p&#341;og&#341;amu yetu ni wanawake kwanza na vijana wa kike.<\/p>\n<p>Swali: Kuna kuongezeka kwa kutambuliwa kuwa kilimo endelevu ni suala la msingi katika maendeleo endelevu ya binadamu. Unata&#341;ajia nini kinaweza kujitokeza katika mkutano wa Rio+20 kuhusu suala hili  Jibu: Tunachoshinikiza sisi kama IFAD ni kwamba huwezi kujenga hali endelevu kama hutahusisha wahusika wakuu. Tuna wakulima wadogo wadogo wapatao bilioni mbili duniani kote. Watu hawa wanafanya kazi kila siku katika a&#341;dhi tuliyonayo, wanatumia maji yetu, wanatumia misitu yetu, wanalisha mifugo, wanahusika na haliasili yetu.<\/p>\n<p>Hivyo huwezi kuzungumzia hali endelevu ya kimazingi&#341;a bila kuhusisha watu hawa.<\/p>\n<p>Wanaweza kutusaidia kuwa na kilimo endelevu; kilimo ambacho kina&#341;uhusu kuzalisha chakula cha kutosha na wakati huo huo kuhifadhi mazingi&#341;a yetu, haliasili yetu.<\/p>\n<p>Wakulima wadogo wadogo wanashughulika na maa&#341;ifa ya jadi. Ni mameneja wazu&#341;i wa majanga, wana uzoefu mzu&#341;i sana na ufumbuzi juu ya njia mbadala za kukabiliana na ukame, mafu&#341;iko, n.k.<\/p>\n<p>Ma&#341;a nyingi, kama ukiangalia katika mashamba haya utaona kuwa anapanda kila aina ya mimea kukabiliana na majanga. Zao moja linaweza kukabiliana na ukame, na kuna mingine inaweza kukabiliana na mafu&#341;iko, na kama kuna mafu&#341;iko, mazao hayo yataendelea kudumu. Hivyo wana mbinu hizi za kukabiliana na majanga ambazo zinatosheleza mno. Hivyo tuna mambo mengi mno ya kujifunza kutoka kwao. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Agosti 23 (IPS) &ndash; Rousbeh Legatis anamhoji MOHAMED B&Eacute;AVOGUI wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo Wakati Ukanda wa Sahel ba&#341;ani Af&#341;ika unakabiliwa na mgogo&#341;o mpya wa chakula, wakulima wadogo wadogo wanabeba ufunguo wa maendeleo endelevu ya kise&#341;a ya baadaye. Hii ndiyo sababu &#8220;haiwezekani kuzungumza kuhusu hali endelevu&#8221; katika mkutano wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":925,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3897","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3897","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/925"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3897"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3897\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3897"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3897"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3897"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}