{"id":3896,"date":"2012-08-23T13:40:01","date_gmt":"2012-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/askai-watoto-watumiwa-katika-vita-nchini-mali\/"},"modified":"2012-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2012-08-23T13:40:01","slug":"askai-watoto-watumiwa-katika-vita-nchini-mali","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/08\/23\/askai-watoto-watumiwa-katika-vita-nchini-mali\/","title":{"rendered":"Aska&#341;i Watoto Watumiwa Katika Vita nchini Mali"},"content":{"rendered":"<p>NIAMEY, Agosti 23 (IPS) &ndash; Ni vigumu kwa Hassan Tou&#341;e kuamua kubakia katika mji wake mdogo nje mwa mji wa Kidal, kaskazini mwa Mali. Aska&#341;i wa se&#341;ikali walikuwa wameshaondoka mwezi Machi. 30, na vikundi kadhaa vya aska&#341;i wenye silaha, ikiwa ni pamoja na wanamgambo na majambazi, walikuwa wakiendesha shughuli zao katika mkoa huo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nilitaka kuondoka kutokana na watoto wangu,&#8221; anasema Tou&#341;e, akizungumza na IPS kwa njia ya simu, na kuficha jina lake halisi kutokana na hofu ya kulipiziwa kisasi. &#8220;Lakini duka lango ni kitu pekee ninachomiliki, na nisingeliacha lipo&#341;we na kuha&#341;ibiwa na majambazi.&#8221; Tou&#341;e sasa anasikitikia uamuzi wake huo. Anasema kuwa alija&#341;ibu kuzuia watoto wake kutoka nje kabisa, &#8220;lakini wako katika um&#341;i huo.&#8221; Katika siku ya Machi 29, anasema, mtoto wake mkubwa wa kiume, 15, haku&#341;ejea tena nyumbani, na bado hajulikani aliko. &#8220;Watoto wengine katika nyumba za ji&#341;ani wanasema aliondoka na watu waliokuwa na silaha,&#8221; anasema Tou&#341;e. &#8220;Siwezi kulala. Nina wasiwasi mkubwa juu ya nini kitatokea kwa kuwa na watu hao.&#8221; Wakati haba&#341;i ya Tou&#341;e, kama ilivyo kwa taa&#341;ifa nyingi kutoka kaskazini mwa Mali, ni vigumu kuithibitisha, hofu yake inaweza kuwa halisi sana.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Co&#341;inne Dufka, mtafiti mwandamizi wa Af&#341;ika Magha&#341;ibi wa Shi&#341;ika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) ambaye aliendesha utafiti wa kujua hali ya mambo wa siku 10&ndash;nchini Mali mwezi Ap&#341;ili, mashuhuda wote wa shi&#341;ika lake waliohojiwa wali&#341;ipoti kuona aska&#341;i watoto katika makundi ya waasi. Wapiganaji watoto walionekana wakiwa na wapiganaji wa waasi wa Tua&#341;eg, waliojipatia jina la &#8220;Movement fo&#341; the National Libe&#341;ation of Azawaad&#8221; (MNLA). Kwa mujibu wa &#341;ipoti ya HRW yenye jina la &#8220;Uhalifu wa Kivita wa Mali Unaofanywa na Waasi wa Kaskazini&#8221;, iliyotolewa Ap&#341;ili 30, &#8220;watoto wengi walielezewa kuonekana kubeba bastola za kijeshi na kubeba vifaa vya kijeshi ambavyo vinawafanya kuka&#341;ibia kudondoka kutoka miilini mwao.&#8221; &#8220;Kuwepo kwa watoto miongoni mwa makundi ya wapiganaji kaskazini mwa Mali ni matokeo yanayoumiza sana,&#8221; anasema Dufka. &#8220;Makamanda wa makundi haya wanapaswa kuachana ma&#341;a moja kutumia watoto wa chini ya miaka 18, kuwaachia watoto wote kutoka katika vikosi vyao, na kufanya kazi na mashi&#341;ika ya kulinda watoto kuwa&#341;ejesha majumbani kwao walikowatoa.&#8221; Mashuhuda waliiambia HRW kuwa wapiganaji watoto walionekana kuwa kati ya um&#341;i wa miaka 15 na 17; hata hivyo, wengine walionekana kuwa na um&#341;i mdogo wa hadi miaka 12. Walimu toka mkoa huo pia waliiambia HRW kuwa walitambua kuwa baadhi ya wanafunzi wao wanatumika katika kundi la MNLA. Waasi wa Tua&#341;eg, wakiwa na majina tofauti, wamekuwa wakipigana dhidi ya se&#341;ikali ya Mali tangu uhu&#341;u wake mwaka 1960. Kutokana na kukosekana kwa utulivu wa kisiasa mjini Bamako ambapo mapinduzi ya Machi 22 yaliiondoa mada&#341;akani se&#341;ikali ya &#341;ais Amadou Toumani Tou&#341;&eacute;, na kumiminika kwa silaha kutoka Libya, waasi waliweza kuchukua eneo zima la kaskazini mwa Mali na kutangaza taifa jipya la Azawad, Ap&#341;ili 6. Tangazo hili kwa kiasi fulani lilikuwa limefanyika mapema. Ripoti zinasema kuwa wako mbali mno kuweza kudhibiti hali na wanashindana na vikundi vingine vya Kiislam katika ukanda huo. Kundi moja la Ansa&#341; Dine, likiongozwa na kiongozi wa zamani wa waasi wa Tua&#341;eg Iyad Ag Ghali, limeelezea uwezekano wa kutumia she&#341;ia za Kiislam katika ukanda huo. Ansa&#341; Dine haitaki uhu&#341;u, lakini kuunda taifa la Kiislam Mashuhuda waliimbia HRW kuwa wameona aska&#341;i watoto wachache katika vikosi vyao, lakini walikuwa na wasiwasi juu ya wimbi kubwa la Ansa&#341; Dine kutumia aska&#341;i watoto katika mikoa ya kaskazini mwa Mali ya Gao, Di&#341;e na Niafounke katikati mwa mwezi wa Ap&#341;ili. Ili&#341;ipotiwa kuwa watoto wamekuwa wakichukuliwa na kupatiwa mafunzo katika makambi ya Ansa&#341; Dine nje ya Gao. Akiongeza wasiwasi juu ya mustakabali wa baadaye wa watoto kaskazini mwa Mali ni kuongezeka kwa &#341;ipoti za vikundi vya kigeni vya Kiislam vinavyofanya kazi katika ukanda huo. Wakati kwa muda m&#341;efu vimekuwepo katika ukanda huo, ni hivi ka&#341;ibuni tu vimeweza kuchukua faida ya ombwe la uongozi na kujitanua waziwazi. Kwa mujibu wa &#341;ipoti, kikundi cha Kiislam cha Nige&#341;ia cha Boko Ha&#341;am, ikiwa ni pamoja na kikundi cha kikanda cha Al&ndash;Qaeda, shi&#341;ika la Al&ndash;Qaeda katika Magh&#341;eb ya Kiislam, na matawi yake ya Movement fo&#341; Unity na Jihad in West Af&#341;ica (MUJAO), yote hayo kwa sasa yapo kaskazini mwa Mali. Pia kuna taa&#341;ifa kuwa yanatumia aska&#341;i watoto. Siku ya Ap&#341;ili 6, watu wenye silaha walishambulia ofisi ya mwakilishi wa ubalozi wa Alge&#341;ia mjini Gao, wakateka mwakilishi wa nchi hiyo na wafanyakazi wengine sita. Kwa mujibu wa chanzo cha haba&#341;i cha MNLA, Boko Ha&#341;am na wafuasi wa MUJAO ndiyo walioteka maofisa hao. Wakati MNLA ilipoja&#341;ibu kuwaokoa wanadiplomasia hao, kikundi cha pamoja kati ya Boko Ha&#341;am na MUJAO kilipeleka wavulana wadogo watano wenye um&#341;i kati ya miaka 10 hadi12, huku wakiwa na mabomu ya milipuko yakiwa yamefungwa vifuani mwao ili kuwazuia. Chanzo cha haba&#341;i kinasema kuwa MNLA waliambiwa kuwa kama wasipoondoka, vijana hao wangewalipua. Ndipo MNLA walipoamua kujiondoa wenyewe. Kwa kuongeza katika matumizi ya aska&#341;i watoto miongoni mwa wapiganaji waasi, HRW ime&#341;ipoti matukio kadhaa ya watoto wa kike waliotekwa na kudhalilishwa kingono. Mashuhuda wanasema MNLA imekuwa ikichukua watoto wa kike wenye um&#341;i hadi wa miaka 12 na kuwaingiza katika majengo yaliyotelekezwa na kuanza kuwabaka kwa kupokezana kwa siku kadhaa. &#8220;Tunasikitika mno na kile kinachoonekana kuwa kuongezeka kwa kasi kuwalenga wanawake na watoto wa kike na kuwadhalilisha kingono kunakofanywa na vikundi vya wapiganaji wa kaskazini,&#8221; anasema Dufka. Atha&#341;i za wanawake kaskazini mwa nchi hiyo zinazidishwa na kukosekana kwa huduma za kitabibu, kukosekana kwa utawala wa she&#341;ia na misaada michache ya kiutu. Ofisi ya Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa inakadi&#341;ia kuwa tangu Janua&#341;i 2012,watu wapatao 284,000 wameyakimbia makazi yao kutokana na vita kaskazini mwa Mali. Kati ya idadi hii, watu wapatao 107,000 wanaaminika kuishi katika makambi ya wakimbizi ya ndani, wakati wengine walikimbilia katika nchi za ji&#341;ani za Nige&#341;, Bu&#341;kina Faso, Alge&#341;ia na Mau&#341;itania.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NIAMEY, Agosti 23 (IPS) &ndash; Ni vigumu kwa Hassan Tou&#341;e kuamua kubakia katika mji wake mdogo nje mwa mji wa Kidal, kaskazini mwa Mali. Aska&#341;i wa se&#341;ikali walikuwa wameshaondoka mwezi Machi. 30, na vikundi kadhaa vya aska&#341;i wenye silaha, ikiwa ni pamoja na wanamgambo na majambazi, walikuwa wakiendesha shughuli zao katika mkoa huo. &#8220;Nilitaka kuondoka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":931,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3896","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3896","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/931"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3896"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3896\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3896"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3896"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3896"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}