{"id":3893,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/siea-leone-bado-inaumizwa-na-histoia-ya-askai-watoto\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"siea-leone-bado-inaumizwa-na-histoia-ya-askai-watoto","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/siea-leone-bado-inaumizwa-na-histoia-ya-askai-watoto\/","title":{"rendered":"Sie&#341;&#341;a Leone Bado Inaumizwa na Histo&#341;ia ya Aska&#341;i Watoto"},"content":{"rendered":"<p>FREETOWN, Julai 31 (IPS) &ndash; Wakati hukumu dhidi ya &#341;ais wa zamani wa Libe&#341;ia Cha&#341;les Taylo&#341; kutokana na makosa ya uhalifu wa kivita nchini Sie&#341;&#341;a Leone ikitolewa siku ya Alhamisi, haitasaidia kwa wapiganaji wengi wa zamani wa nchi hiyo katika vita vya ukatili mkubwa ambao hawajaunganishwa na jamii zao. Badala yake, wataendelea kuwa tishio kwa utulivu wa baadaye wa Sie&#341;&#341;a Leone.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Taylo&#341; yuko chini ya Mahakama Maalum ya Uhalifu wa Kivita ya Sie&#341;&#341;a Leone huko The Hague. Anashitakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu, mauaji ya watu wengi, udhalilishaji wa kingono na matumizi ya aska&#341;i watoto kupitia kuunga kwake mkono waasi wa Revolutiona&#341;y United F&#341;ont na yeye kupewa &#8220;almasi za damu&#8221;. Taylo&#341; anatuhumiwa kuongoza matumizi ya aska&#341;i watoto walionyeshwa madawa ya kulevya kama wapiganaji wa waasi. Ishmael Beah ni mmoja wa aska&#341;i hao watoto wa zamani. Alilazimishwa kujiunga na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sie&#341;&#341;a Leone mwaka 1991&ndash;2002 akiwa na um&#341;i wa miaka 13, wakati alipounganishwa na jeshi la se&#341;ikali. Wakati aliweza ku&#341;ejea katika maisha yake ya kawaida na kuteuliwa kuwa Mtetezi wa Kwanza wa Watoto Walioathi&#341;ika na Vita wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) mwaka 2007, Beah ana wasiwasi kuhusu aska&#341;i watoto wa zamani ambao kwa sasa hawana aji&#341;a. &#8220;Kama Taylo&#341; atakutwa na hatia ni ushindi mkubwa, siyo tu kwa Sie&#341;&#341;a Leone, lakini pia kwa Af&#341;ika Magha&#341;ibi nzima,&#8221; anasema Beah, ambaye alipigana vita jeshini kwa miaka mitatu kabla hajaokolewa na UNICEF. &#8220;Lakini kama ataachiliwa hu&#341;u, itakuwa pigo kubwa mno kwa kila mtu nchini Sie&#341;&#341;a Leone na eneo lote la Af&#341;ika Magha&#341;ibi.&#8221; Beah anasema kuwa wakati uchaguzi wa Sie&#341;&#341;a Leone ukika&#341;ibia mwezi Novemba, vijana wanatakiwa kuaji&#341;iwa kuzuia kutumiwa na vyama vya siasa kuha&#341;ibu mchakato wa uchaguzi.<\/p>\n<p>&#8220;Moja ya hofu zangu kubwa nchini Sie&#341;&#341;a Leone kwa sasa ni, kama una idadi kubwa ya vijana wenye kinyongo ambao hawana aji&#341;a, kuna uwezekano wa kufumuka kwa jambo lolote lile,&#8221; anasema Beah. Mwezi Septemba 2011, ghasia za kisiasa kusini mwa jiji la Bo ziliacha mtu mmoja akiwa amefa&#341;iki na wengine 23 kuje&#341;uhiwa. Tume ya Uchunguzi ya Kevin Lewis iliyoundwa na se&#341;ikali kuchunguza tukio hilo ilikuta kuwa vyama vya siasa vilitumia wapiganaji wa zamani kama walinzi wao wasiokuwa &#341;asmi. Baadaye ghasia za kisiasa zilizuka nchini kote Janua&#341;i baada ya uchaguzi mdogo. Vijana wasiokuwa na aji&#341;a ni &#341;ahisi mno kutumiwa, anasema Beah. &#8220;Mtu hana kitu chochote kile cha kula leo, hivyo hawezi kufiki&#341;i juu ya maisha ya mbeleni, anafiki&#341;i juu ya maisha ya sasa, kuhusu atakulaje sasa,&#8221; anasema Beah. &#8220;Niliwahi kuwa katika mazingi&#341;a kama hayo. Huwezi kuta&#341;ajia mtu mwenye mawazo ya muda mfupi kufiki&#341;i kuhusu maisha ya baadaye kama huwezi kuwapatia fu&#341;sa.&#8221; Umoja wa Mataifa unakadi&#341;ia kuwa aska&#341;i watoto 10,000 walitumiwa katika vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sie&#341;&#341;a Leone. Wakati wa vita hivyo waasi walikata mikono watu waliopiga ku&#341;a wakati wa uchaguzi wa nchini humo, na watu zaidi ya 50,000 waliuawa. Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Kupokonya Silaha na Kuwaunganisha Aska&#341;i kwenye Jamii (DDR) ulikuwa na lengo la kuwapokonya silaha na kuwapatia mafunzo aska&#341;i wa zamani, na kuwasaidia kujiunga na jamii. Wapiganaji wa zamani walipata mafunzo ya ufundi stadi katika maeneo kama ya umakanika, ude&#341;eva na ufundi se&#341;emala. Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka 2005 ya Umoja wa Mataifa kuhusu Upokonyaji wa Silaha, Kuwavunja Moyo na Kuwaunganisha Wapiganaji wa zamani na Jamii na Utulivu ba&#341;ani Af&#341;ika, wapiganaji wa zamani wapatao 71,000 walipokonywa silaha na kuvunjwa moyo wa kupigana. Lakini wapiganaji wengi wa zamani wanasema p&#341;og&#341;amu hiyo haikufanya kazi. Tamba Fasuluku alijulikana kama &#8220;Rainu&#8221; alipokuwa kamanda wa waasi waliojulikana kama &#8220;West Side Boys&#8221;. Fasuluku anasema alikuwa na bahati kuunganishwa katika jamii na sasa anafanya kazi kama mchungaji. Lakini anasema vijana wengi wa kiume ambao walichukuliwa na kikundi chao hawajawa na bahati. &#8220;Inaniuma sasa kuona vijana hawa wakiteseka mitaani bila aji&#341;a,&#8221; anasema Fasuluku. &#8220;Pia wamekuwa walengwa &#341;ahisi wa wanasiasa wenye uchu ambao hutumia vijana wa kiume kusababisha matatizo kwenye jamii.&#8221; Anakubaliana kuwa ghasia nyingi za kisiasa nchini Sie&#341;&#341;a Leone husababishwa na wapiganaji wa zamani. Anasema ni kutokana na kwamba walipatiwa fu&#341;sa ya kupata silaha na kushi&#341;iki katika ghasia katika um&#341;i mdogo wakati wa vita. Anaongeza kuwa ni kutokana na kwamba familia zao na jamii bado hawajawaka&#341;ibisha katika jamii. &#8220;Kama se&#341;ikali na wadau wengine hawatakuja pamoja kuwachukua wavulana hawa kutoka mitaani, wataendelea kuha&#341;ibika, na itakuwa hata&#341;i kwa amani,&#8221; anasema Fasuluku. Dk. Alf&#341;ed Ja&#341;&#341;et, mkuu wa sosholojia na kazi za jamii katika Chuo cha Fou&#341;ah Bay mjini F&#341;eetown anauita mpango wa DDR &#8220;ulioshindwa kabisa&#8221;. Bobson Yappo Sesay, aska&#341;i mtoto wa zamani anakubaliana: &#8220;Nilipokonywa silaha na sijawahi kupata faida yoyote kutoka kwa mpango wa DDR.&#8221; Siwezi kwenda nyumbani tena,&#8221; Sesay anasema,akielezea kuwa sasa anaishi kama kijana asiyekuwa na aji&#341;a katika mji mkuu, F&#341;eetown. Ja&#341;&#341;et anasema wapiganaji wa zamani hawajapatiwa mafunzo mazu&#341;i na kutokana na kiwango cha juu cha uhaba wa aji&#341;a nchini Sie&#341;&#341;a Leone wengi hawakuweza kupata aji&#341;a. Kwa mujibu wa Wiza&#341;a ya Kazi, kiwango cha uhaba wa aji&#341;a kwa vijana ni kama asilimia 46 mwaka 2008. P&#341;ofesa pia anasema kuwa wapiganaji wa zamani wanakabiliwa na ubaguzi kutoka kwa wale ambao wangekuwa waaji&#341;i na jamii kwa ujumla. Hadi se&#341;ikali itakapopitia upya se&#341;a zake za wapiganaji wa zamani na kuja&#341;ibu kuwashi&#341;ikisha, itabakia kuwa tishio kubwa kwa usalama wa nchi, anasema Ja&#341;&#341;et. Se&#341;ikali yenyewe inasema haitoi msaada kwa wapiganaji wa zamani. Ib&#341;ahim Satie Kama&#341;a ni msemaji wa Tume ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii, chombo cha se&#341;ikali chenye dhamana ya kuwapatia fidia waathi&#341;ika wa vita. Kama&#341;a anasema kuwa mipango ya fidia ya se&#341;ikali inasaidia waathi&#341;ika, kama vile waliokatwa viungo vyao, walioje&#341;uhiwa vibaya na vita, na watoto walioathi&#341;ika na vita. Wapiganaji wa zamani, ikiwa ni pamoja na aska&#341;i watoto, wanaangukia chini ya mpango wa DDR. Hakuna mpango wa se&#341;ikali wa kuwalipa fidia, anasema. Kama&#341;a anaongeza kuwa waathi&#341;ika wa vita hawaja&#341;idhishwa na kiwango cha msaada unaotolewa kwa wapiganaji wa zamani, ambao ma&#341;a nyingi walionekana kama waliosababisha mateso kwa watu. Beah anasema mpango wa DDR wa zamani ulifanya kazi vizu&#341;i kwa baadhi ;lakini kwa wengine ulishindwa kuwafikia au walihitaji msaada zaidi. Na sasa hakuna kilichobaki kuwasaidia. &#8220;Huwezi tu kuwapokonya silaha na kuwafundisha jinsi ya kutengeneza maga&#341;i na kuta&#341;ajia kufanya maajabu katika maisha yao wakati hawana &#341;asilimali.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>FREETOWN, Julai 31 (IPS) &ndash; Wakati hukumu dhidi ya &#341;ais wa zamani wa Libe&#341;ia Cha&#341;les Taylo&#341; kutokana na makosa ya uhalifu wa kivita nchini Sie&#341;&#341;a Leone ikitolewa siku ya Alhamisi, haitasaidia kwa wapiganaji wengi wa zamani wa nchi hiyo katika vita vya ukatili mkubwa ambao hawajaunganishwa na jamii zao. Badala yake, wataendelea kuwa tishio kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":929,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3893","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3893","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/929"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3893"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3893\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3893"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3893"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3893"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}