{"id":3892,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/kufutwa-machozi-na-uamuzi-wa-mahakama-ambao-unaweza-kuwaejesha-wapendwa\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"kufutwa-machozi-na-uamuzi-wa-mahakama-ambao-unaweza-kuwaejesha-wapendwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/kufutwa-machozi-na-uamuzi-wa-mahakama-ambao-unaweza-kuwaejesha-wapendwa\/","title":{"rendered":"Kufutwa Machozi na Uamuzi wa Mahakama ambao Unaweza Kuwa&#341;ejesha Wapendwa"},"content":{"rendered":"<p>FREETOWN, Julai 31 (IPS) &ndash; Saffa Momoh Lahai alikuwa na miaka miwili tu baba yake alipouawa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sie&#341;&#341;a Leone. Waasi walishambulia makazi ya familia yao katika Wilaya ya Kailahun, masha&#341;iki mwa nchi, na kumpiga &#341;isasi baba yake Lahai alipoja&#341;ibu kukabiliana nao.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Muongo mmoja baadaye, Lahai alikwenda kwenye Mahakama Maalum ya Uhalifu wa Kivita ya Sie&#341;&#341;a Leone mjini F&#341;eetown kusikiliza kusomwa kwa kesi dhidi ya Cha&#341;les Taylo&#341;, &#341;ais wa zamani wa Libe&#341;ia (1997&ndash;2003) ambaye alikutwa na hatia Alhamisi ya Ap&#341;. 26 kutokana na kusaidia utekelezaji wa uhalifu dhidi ya ubinadamu na makosa ya uhalifu wa kivita nchini Sie&#341;&#341;a Leone. Hukumu hiyo, ambayo ilisomwa na Jaji Richa&#341;d Lussick kutoka The Hague,ilionyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni za Sie&#341;&#341;a Leone. &#8220;Nafu&#341;ahi sana kwa Taylo&#341; kukutwa na hatia,&#8221; Lahai aliiambia IPS baada ya kusikilizwa kwa hukumu, ambayo iliendeshwa huko The Hague. &#8220;Haiwezi kum&#341;ejesha baba yangu aliyekufa, lakini inamfanya mtu kujisikia vizu&#341;i kama haki imetendeka dhidi ya ukiukwaji wa haki na uovu, na hilo linanifanya nijisikie mwenye fu&#341;aha.&#8221; Waathi&#341;ika wengi wa vita nchini Sie&#341;&#341;a Leone walifu&#341;ahishwa na maamuzi ya mahakama, pamoja na kwamba hawajaongea. Maelfu nchini kote katika taifa hili la Af&#341;ika Magha&#341;ibi walikaa kuzunguka televisheni au &#341;edio kusikiliza maamuzi ya mahakama. Wengi wali&#341;ejea katika maisha yao ya kawaida baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo.<\/p>\n<p>Mume wa Haja Bintu Mansa&#341;ay aliuawa na waasi katika Wilaya ya Koinadugu, kaskazini mwa Sie&#341;&#341;a Leone, mbele ya macho yake. &#8220;Hukumu hii haiwezi kum&#341;ejesha mume wangu, lakini watoto wangu na mimi mwenyewe tunaweza kujifa&#341;iji,&#8221;alisema Mansa&#341;ay, ambaye aliongeza kuwa hatasahau kabisa jinsi alivyomuona mume wake akiuawa. Kama ilivyo kwa &#341;aia wengi wa Sie&#341;&#341;a Leone, alisema amepata shida kubwa kuweza kuishi tangu vita hivyo, amepata shida kulipa ada za shule za watoto wake. Wakati mapigano yalimalizika mwaka 2002, nchi imeendelea kubakia ka&#341;ibu na mwisho wa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu ya Umoja wa Mataifa, na uha&#341;ibifu mkubwa uliofanyika bado haujaka&#341;abatiwa. Taylo&#341; alikutwa na hatia ya kusaidia waasi wa Revolutiona&#341;y United F&#341;ont (RUF), ambao waliongozwa na Foday Sankoh, ambaye alishambulia masha&#341;iki mwa nchi mwaka 1991. Waasi wa RUF walisababisha miaka 11 ya mateso kwa &#341;aia wasiokuwa na hatia, kwa watu wengi kukatwa viungo vya miili yao, kubakwa, kuchukuliwa mateka wa ngono na kutumiwa kama aska&#341;i watoto. Waasi wa RUF walitaka kudhibiti utaji&#341;i wa mashamba ya almasi katika eneo la masha&#341;iki mwa Sie&#341;&#341;a Leone. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>FREETOWN, Julai 31 (IPS) &ndash; Saffa Momoh Lahai alikuwa na miaka miwili tu baba yake alipouawa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sie&#341;&#341;a Leone. Waasi walishambulia makazi ya familia yao katika Wilaya ya Kailahun, masha&#341;iki mwa nchi, na kumpiga &#341;isasi baba yake Lahai alipoja&#341;ibu kukabiliana nao. Muongo mmoja baadaye, Lahai alikwenda kwenye Mahakama&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":928,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3892","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3892","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/928"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3892"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3892\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3892"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3892"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3892"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}