{"id":3891,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/kukosekana-kwa-shauku-katika-kushughulikia-uhalifu-wa-wababe-wa-kivita-wa-drc\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"kukosekana-kwa-shauku-katika-kushughulikia-uhalifu-wa-wababe-wa-kivita-wa-drc","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/kukosekana-kwa-shauku-katika-kushughulikia-uhalifu-wa-wababe-wa-kivita-wa-drc\/","title":{"rendered":"Kukosekana Kwa Shauku Katika Kushughulikia Uhalifu wa Wababe wa Kivita wa DRC"},"content":{"rendered":"<p>KINSHASA, Julai 31 (IPS) &ndash; Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita imetoa hukumu yake ya kwanza siku ya Jumatano: Thomas Lubanga Dyilo alikutwa na hatia ya kutumikisha aska&#341;i watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka 15 katika kikundi chake kinachoendesha mapambano masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mahakama ya ICC, yenye makao yake mjini The Hague, ilikuta kuwa akiwa kama kiongozi wa UPC (Union of Congolese Pat&#341;iots) na tawi lake la kijeshi la FPLC (Pat&#341;iotic Fo&#341;ce fo&#341; the Libe&#341;ation of the Congo), Lubanga alisababisha watoto kushi&#341;iki kikamilifu katika vita kwenye mkoa wa masha&#341;iki mwa DRC wa Itu&#341;i kati ya Septemba 2002 na Agosti 2003, ikiwa ni pamoja na kuwatumia kama walinzi wake binafsi na walinzi wa wafuasi wengine wa mashi&#341;ika hayo mawili. Hukumu ya mwisho bado haijatolewa, lakini kwa mujibu wa wanashe&#341;ia, Lubanga sasa anakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela au kifungo cha maisha. F&#341;anck Luetete, ambaye aliwakilisha wahanga mbalimbali katika kesi ya Lubanga, aliiambia IPS, &#8220;Pamoja na vifungu vya 76 vya Mkataba wa Roma (ambavyo vilitumika kuundwa kwa ICC) na ombi la Lubanga, mahakama itaamua katika kikao chake kijacho kuweza kutoa hukumu na fidia kwa wahanga.&#8221; Rapha&euml;l Wakenge, &#341;ais wa Umoja wa Haki ya Mpito Nchini Kongo (CCJT), shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali nchini humo ambalo limekuwa likitoa msaada kwa waathitika wakati wa kesi hiyo ndefu aliiambia IPS, &#8220;Umoja umefu&#341;ahishwa na uamuzi huu wa awali, ambao pia unaonyesha taa&#341;ifa za kutosha za uhalifu wa kila aina uliofanyika nchini DRC tangu ICC ilipoanza kufanya kazi yake. &#8220;Kwa bahati mbaya,&#8221; Wakenge aliongeza, &#8220;waathi&#341;ika wa ubakaji na utumwa wa ngono, ikiwa ni pamoja na uhalifu mwingine unaohusiana na ngono uliofanywa na Lubanga na wanamgambo wake, watahisi kuchanganyikiwa kwani uhalifu huu haujaingizwa katika kesi ya msingi na mwendesha mashitaka wa ICC.&#8221; <\/p>\n<p>Fa&iuml;da Sady ni mtetezi wa haki za binadamu anayefanya kazi katika NGO inayojulikana kama Espoi&#341; Pou&#341; Tous &ndash; &#8220;Matumaini kwa Wote&#8221; &ndash; yenye makao yake katika wilaya ya I&#341;umu katika mkoa wa Itu&#341;i. &#8220;Mmoja wa kaka zangu wakubwa alikataa kujiunga na wanamgambo, na wapiganaji wa Lubanga walimkata mikono yote miwili &ndash; alifa&#341;iki dunia miezi kadhaa baadaye. Dada zangu wawili walibakwa kwa zamu na wanamgambo. Mmoja alifa&#341;iki kutokana na kufanyiwa unyama huo.&#8221; Sady anasema ushahidi uliofikishwa katika mahakama hauzungumzii kuhusu yeye wala familia yake. &#8220;Wahanga katika familia yangu hawajaitwa kutoa ushahidi katika hukumu hii. Lakini NGOs mkoani Itu&#341;i zitaendelea kushinikiza ICC kufungua kesi ya pili dhidi ya Lubanga kutokana na uhalifu huo na wahanga ambao hawajaitwa kutoa ushahidi waweze kupatiwa nafasi hiyo,&#8221; alisema. &#8220;Matokeo ya hukumu hii ni dhaifu mno,&#8221; alisema Guy Mushiata, ofisa she&#341;ia mjini Kinshasa katika shi&#341;ika la Inte&#341;national Cent&#341;e fo&#341; T&#341;ansitional Justice, NGO yenye makao yake nchini Ma&#341;ekani. &#8220;Hukumu yenyewe hauwezi kuifasili.&#8221; Mushiata amefuatilia kesi na kuwasilisha maoni kadhaa kwa ofisi ya mwendesha mashitaka wa ICC inayohusika na fidia kwa waathi&#341;ika. &#8220;Kwa kuangalia uamuzi huu pekee, hautaweza ku&#341;idhisha kwani unaweza kuondolewa wakati wa &#341;ufaa. Na siyo hukumu ambayo waathi&#341;ika wanaweza kuikubali na ku&#341;idhika nayo.&#8221; Wakipitia uamuzi huo, waendesha mashitaka wa kijeshi nchini DRC wanaona kuwa maamuzi ya ICC yameonyesha ni jinsi gani mahakama hiyo haina ufanisi. Mmoja wa waendesha mashitaka hao, Penza Ishay, aliiambia IPS, &#8220;Rasilimali nyingi za fedha na vifaa zilizopo chini ya ICC bado hazijawezesha mahakama kutoa hukumu katika muda unaofaa.&#8221; Lubanga alihamishiwa The Hague, nchini Uholanzi, Machi. 17, 2006, kufuatia kutekelezwa kwa kibali cha kukamatwa kwake kilichotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita; kibali kilichotolewa kufuatia ombi la Joseph Kabila, &#341;ais wa DRC, kwa mwendesha mashitaka wa ICC kuchunguza ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini humo na kufungulia mashitaka pale ambapo mahakama ingeona panafaa. Ishay alisema kuwa kesi nyingi za ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu katika mkoa wa Itu&#341;i zingekuwa zimeshashughulikiwa kama &#341;asilimaIi zingetolewa kwa mfumo wa mahakama wa Kongo. &#8220;ICC haifahamiki vizu&#341;i huko Itu&#341;i,&#8221; alisema mwendesha mashitaka wa jeshi. &#8220;Badala ya kuleta haki, imeja&#341;ibu kutembea katika kamba kati ya makabila mawili makubwa (Balendu and Bahema), na kufungua mashitaka ya watu wawili katika kila kabila, hata kama uzito wa uhalifu haulingani, na watu katika makabila haya siyo pekee waliosababisha uhalifu &ndash; wala siyo wahalifu wakuu &ndash; linapokuja suala la ukiukwaji wa haki za binadamnu uliofanywa katika Itu&#341;i.&#8221; Meja Innocent Mayembe, mwanashe&#341;ia wa jeshi la Kongo, anasema mahakama za kijeshi ndizo zinazoweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi kukabiliana na ukiukwaji huu mkubwa wa haki za binadamu. &#8220;Waathi&#341;ika wengi wa ukiukwjai huu wa haki za binadamu wana&#341;idhika wanapoona watesi wao wanahukumiwa katika mazingi&#341;a ya Itu&#341;i ambako waliwahi kujiona kama watu wasioweza kuguswa.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KINSHASA, Julai 31 (IPS) &ndash; Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita imetoa hukumu yake ya kwanza siku ya Jumatano: Thomas Lubanga Dyilo alikutwa na hatia ya kutumikisha aska&#341;i watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka 15 katika kikundi chake kinachoendesha mapambano masha&#341;iki mwa Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo. Mahakama ya ICC, yenye makao yake&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":580,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3891","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3891","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/580"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3891"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3891\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3891"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3891"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3891"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}