{"id":3890,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/mauritania-wakati-ikiandamwa-na-ukame-idadi-ya-watoto-wenye-utapiamlo-yazidi-kuongezeka\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"mauritania-wakati-ikiandamwa-na-ukame-idadi-ya-watoto-wenye-utapiamlo-yazidi-kuongezeka","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/mauritania-wakati-ikiandamwa-na-ukame-idadi-ya-watoto-wenye-utapiamlo-yazidi-kuongezeka\/","title":{"rendered":"MAURITANIA: Wakati Ikiandamwa na Ukame &ndash; Idadi ya Watoto Wenye Utapiamlo Yazidi Kuongezeka"},"content":{"rendered":"<p>NOUAKCHOTT, Julai 31 (IPS) &ndash; Ma&#341;iem Mint Ahmedou ameketi huku akiwa amekunja miguu yake katika kapeti lililochakaa katika hema lililojengwa kwa tofali za tope na kamba . Mapacha wake wenye um&#341;i wa miezi nane, Hussein na Hassan, wamemlalia kwa unyonge. Wote wawili hawajawahi kupata mlo kamili tangu kuzaliwa kwao, kwani Beyda&#341;, ambaye pia hapati mlo kamili, hawezi kutoa maziwa ya kutosha kuwanyonyesha.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na mvua kushindwa kunyesha, hatukupata mavuno yoyote yale. Tulinunua baadhi ya mchele kwa mkopo, lakini hakuna nyama, wala siyo &#341;ahisi kupata maziwa. Ma&#341;a nyingine hatuli kwa jioni mbili,&#8221; anaelezea Ahmedou juu ya hali ngumu siyo ya familia yake tu bali na familia nyingine kijijini.<\/p>\n<p>Mama anaishi huko Doue&#341;a&#341;a, kijiji kidogo kilichopo kama kilomita 800 masha&#341;iki mwa mji mkuu wa Mau&#341;itania wa Nouakchott, katikati mwa a&#341;dhi ya mchanga na miamba, katika jangwa la Sahel. Ukame amabo uliha&#341;ibu mazao ya wengi katika ukanda huo umeiandama nchi kwa miezi, na kusababisha wakazi wa kijijini kuanza kushindwa kupata chakula mapema Feb&#341;ua&#341;i, miezi sita kabla mvua hazijaanza kunyesha &ndash; kama zitanyesha mwaka huu.<\/p>\n<p>Mbali na Mau&#341;itania, nchi nyingine katika Sahel, eneo la ukame kati ya jangwa la Saha&#341;a kwa upande wa Kaskazini mwa Af&#341;ika na eneo la Savanna nchini Sudan kwa upande wa kusini, yameathi&#341;ika pia: Bu&#341;kina Faso, Chad, Mali, Nige&#341; na nchi katika ukanda wa kaskazini za Came&#341;oon, Nige&#341;ia na Senegal. Watu milioni kumi na mbili hivi ka&#341;ibuni watateseka na uhaba mkubwa wa chakula na njaa katika ukanda huu, yanaonya mashi&#341;ika ya misaada.<\/p>\n<p>Mau&#341;itania, ambayo ina kiasi kidogo kabisa cha maji ya bomba duniani, ni taifa lililoathi&#341;ika zaidi, huku theluthi ya wakazi wake wakiwa katika hata&#341;i ya kukumbwa na njaa. &#8220;Hali hii ni mbaya mno, hasa kwa watoto wadogo,&#8221; anasema Khadijettou Ja&#341;boue, mtaalam wa lishe ambaye anafanya kazi katika kituo cha afya cha Kiffa,mji mdogo katika eneo la Kusini Masha&#341;iki mwa nchi.<\/p>\n<p>Kila wiki, familia nyingi zinapanga foleni katika kliniki kutafuta msaada. &#8220;Nina wasiwasi mno na kuongezeka kwa kasi kwa idadi ya watoto wenye utapiamlo tunaowaona,&#8221; anasema Ja&#341;boue, ambaye anampima uzito mtoto wa kike mwenye um&#341;i wa miaka 21, Khadjetm, ambaye ameletwa katika kituo na mama yake, M&#8217;Ba&#341;ka Mint Salem, anayeishi katika kijiji cha El&ndash;Majba,kilomita 45 nje ya Kiffa.<\/p>\n<p>Wakati mtaalam huyo wa lishe anampima mtoto huyo, vipimo vinaonyesha kuwa ana utapiamlo mkali.<\/p>\n<p>Mama yake anaonekana kuwa na wasiwasi: &#8220;Nina wasiwasi mkubwa. Hatuna maziwa,hatuna chakula. Huku kila wiki, tunapambana na maisha. Na hatuko peke yetu. Kuna watoto wengi wenye utapiamlo katika kijiji chetu.&#8221;<\/p>\n<p>Watoto, ambao ni &#341;ahisi kuathi&#341;ika, ma&#341;a nyingi ni waathi&#341;ika wa kwanza wa mgogo&#341;o wa njaa. Asilimia 60 ya watoto wenye utapiamlo wanaweza kufa kutokana na mgogo&#341;o wa chakula, lakini kiwango cha vifo kinaweza kuwa kikubwa zaidi mwaka huu kutokana na ukanda huo kuwa bado haujapona kutokana na ukame mkali wa mwaka 2010. &#8220;Sahel ni ukanda ambao uko katika mgogo&#341;o wa kudumu, unakabiliwa na uhaba wa chakula wa kudumu,&#8221; anaelezea Felicit&eacute; Tchibindat, mshau&#341;i wa lishe wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi na ya Kati.<\/p>\n<p>Hata katika mwaka wa &#8220;kawaida&#8221;, nusu ya watoto wote chini ya um&#341;i wa miaka mitano wameathi&#341;ika na utapiamlo wa kudumu katika Sahel. Kiwango cha utapiamlo mkali miongoni mwa watoto kinafikia zaidi ya asilimia kumi ya kiwango cha UNICEF cha kufanya hali hiyo kuwa hali ya dha&#341;ula. Mwaka huu, shi&#341;ika hilo linategemea hali kuwa mbaya zaidi. &#8220;Kila mtikisiko utasukuma maisha ya mamia kwa maelfu pembezoni,&#8221; Tchibindat anaonya.<\/p>\n<p>Ukame wa mwaka huu umepewa jina na Umoja wa Mataifa kama &#8220;mbaya zaidi katika miongo kadhaa&#8221;. Matokeo yake, bei ya vyakula imeongezeka ma&#341;a tatu nchini Mau&#341;itania na nchi nyingine za Sahel, wakati bei ya mifugo &ndash; chanzo kikuu cha kipato katika kanda &ndash; imeshuka kwa kasi wakati malisho yalipoanza kukauka. Ba&#341;aba&#341;a zimejaa mizoga ya mifugo ambao wamekufa kutokana na njaa na kiu ya maji.<\/p>\n<p>&#8220;Mwaka huu utakuwa mgumu sana,&#8221; anakubali Cheik Abdahllahi Ewah, gavana wa Hodh el Gha&#341;bi, moja ya majimbo yaliyoathi&#341;ika zaidi nchini Mau&#341;itania. &#8220;Uhaba wa mvua katika msimu uliopita ulikuwa kama hukumu ya kifo kwa watu wetu. Kuna haja ya kuchukua hatua za ha&#341;aka.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Ni mwezi Feb&#341;ua&#341;i tu sasa, na watu taya&#341;i wanahitaji msaada. Nina wasiwasi kuhusu jinsi gani hali itakuwa mbaya mwezi Juni, kipindi cha kilele cha ukame,&#8221; anaongeza.<\/p>\n<p>Katika chumba cha kuhifadhi nafaka katika kijiji cha Legae&#341;e masha&#341;iki mwa Mau&#341;itania, meneja hifadhi Jeddou Ould Abdallahi anaonekana kukosa matumaini kutokana na magunia machache ya mtama na ngano yaliyobakia yaliyoinamishwa katika ukuta. Hakuna jinsi kiasi hicho kinaweza kulisha mamia ya watu katika vijiji vinavyozunguka hadi mavuno yanayofuata mwezi Septemba. &#8220;Tupo katika kiza cha njaa. Afya za watu zinazidi kudhoofu kwa kasi,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Tangu mwaka 2000, mavuno yameendelea kupungua kutokana na kupungua na kuwepo kwa mvua isiyotabi&#341;ika, anasema Abdallahi, akibainisha kuwa kuendelea kukosekana kwa maji kunafanya maisha kuzidi kuwa magumu. Lakini mgogo&#341;o wa mwaka huu ni mbaya zaidi kuliko ukame uliowahi kutokea unaoweza kukumbukwa na mtu mwenye um&#341;i wa miaka ya 40. Imekuwa ni vita ya kupambana na maisha.<\/p>\n<p>Kilomita chache kutoka hapo, kijiji kizima kimekwenda kwenye shamba la mtama la jumuiya, katika hali ya kukata tamaa kuja&#341;ibu kulinda mazao machache waliyoweza kupanda msimu huu ili yasiliwe na ndege ambao pia wanatafuta chakula ili kuweza kuishi. Wanawake na watoto wanapiga kelele na kuchezesha mawe katika makopo, wakati wengine wanafunga vipande vya vitambaa katika kila mmea wa mtama, ili ndege wasifike kwenye nafaka.<\/p>\n<p>Lakini hali ni mbaya. &#8220;Ndege wameshakula kiasi kikubwa cha mavuno. Wakati hili ndilo shamba pekee tulilonalo. Ufanyaji kazi wetu wote kwa bidii haujazaa kitu,&#8221; analaumu mkulima Zeidan Ould Mohammed. &#8220;Nina wasiwasi juu ya maisha ya familia yangu. Mwishoni tutakuwa tunasubi&#341;i kifo tu.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NOUAKCHOTT, Julai 31 (IPS) &ndash; Ma&#341;iem Mint Ahmedou ameketi huku akiwa amekunja miguu yake katika kapeti lililochakaa katika hema lililojengwa kwa tofali za tope na kamba . Mapacha wake wenye um&#341;i wa miezi nane, Hussein na Hassan, wamemlalia kwa unyonge. Wote wawili hawajawahi kupata mlo kamili tangu kuzaliwa kwao, kwani Beyda&#341;, ambaye pia hapati mlo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":523,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3890","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3890","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/523"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3890"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3890\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3890"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3890"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3890"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}