{"id":3889,"date":"2012-07-31T13:40:01","date_gmt":"2012-07-31T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/uchunguzi-wa-mapema-wa-vvu-kwa-watoto-wachanga-kuanza-katika-maeneo-ya-kijijini-nchini-kote-kenya\/"},"modified":"2012-07-31T13:40:01","modified_gmt":"2012-07-31T13:40:01","slug":"uchunguzi-wa-mapema-wa-vvu-kwa-watoto-wachanga-kuanza-katika-maeneo-ya-kijijini-nchini-kote-kenya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2012\/07\/31\/uchunguzi-wa-mapema-wa-vvu-kwa-watoto-wachanga-kuanza-katika-maeneo-ya-kijijini-nchini-kote-kenya\/","title":{"rendered":"Uchunguzi wa Mapema wa VVU kwa Watoto Wachanga Kuanza Katika Maeneo ya Kijijini Nchini Kote Kenya"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Julai 31 (IPS) &ndash; Jesse Mtembe, ofisa muuguzi katika Kituo cha Afya cha Akithenesit katika Teso ya Kaskazini, katika jimbo la Magha&#341;ibi mwa Kenya, hawawezi kusubi&#341;i kituo chake kuunganishwa na mfumo mpya wa kompyuta kwa ajili ya kupima VVU kwa watoto wachanga ambao unatengenezwa katika chuo kikuu kinachoongoza nchini humo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni wagonjwa wa Mtembe wataweza kupata majibu ya vipimo vya VVU vya watoto wao wachanga ma&#341;a tu wanapopimwa damu katika moja ya maaba&#341;a kubwa baadhi ya umbali wa kilomita 200. Kwa sasa wazazi katika maeneo ya vijijini wanasubi&#341;i hadi wiki 18 majibu ya vipimo.<\/p>\n<p>Tangu mwaka 2011, wanafunzi katika Chuo Kikuu cha St&#341;athmo&#341;e nchini Kenya wamekuwa wakitengeneza na ku&#341;ekebisha p&#341;og&#341;amu ya kompyuta ya kupima watoto wachanga. P&#341;og&#341;amu hiyo imeshaanza kutekelezwa katika vituo 75 vya afya katika maeneo ya vijijini zaidi nchini kama sehemu ya awamu ya kwanza ya maja&#341;ibio.<\/p>\n<p>P&#341;og&#341;amu hiyo inaonekana kuwa &#341;ahisi. Ma&#341;a tu sampuli ya damu inapowasili katika moja ya maaba&#341;a za vituo vinne vya Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) cha Taasisi ya Utafiti wa Madawa ya Kenya (KEMRI) zinaingizwa katika mfumo. Ma&#341;a hili linapofanyika, p&#341;og&#341;amu hiyo inatoa yenyewe ujumbe mfupi wa maneno (SMS) katika kituo cha afya cha kijijini ambako sampuli ilitoka kuthibitisha kupokelewa.<\/p>\n<p>Ma&#341;a tu uchunguzi unapokamilika, mfumo huo unatoa SMS nyingine kuthibitisha kuwa imeshafanyiwa uchunguzi, na kama majibu ni hasi, majibu yanatolewa pia. Majibu yanapokelewa katika maeneo ya vijijini katika p&#341;inta ya SMS na wazazi wanapewa taa&#341;ifa na kliniki hiyo kuwa majibu yako taya&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Katika p&#341;inta la SMS ambayo taya&#341;i tumeifunga katika kiniki za kijijini, tunapeleka tu majibu hasi kwa wakati muafaka. Hii inatokana na kwamba kama se&#341;a, matokeo yote chanya katika vifaa vya kupimia aina ya &#8220;polyme&#341;ase chain &#341;eaction (PCR)&#8221; lazima yapimwe tena ili kuthibitisha matokeo ili kuzuia matokeo chanya yasiyokuwa sahihi ambayo yanaweza kusbabishwa na maambukizi fulani,&#8221; alisema Osca&#341; Mulondanome ambaye ni mtaalam wa maaba&#341;a katika Kituo cha Alupe, moja ya maaba&#341;a za upimaji VVU nchini humo.<\/p>\n<p>Tofauti na njia nyingine za kupima VVU kama vile &#8220;&#341;apid tests&#8221;, ambapo mgonjwa anapata majibu baada ya dakika chache, kupima vi&#341;usi kwa watoto wachanga kunahitaji mbinu ya PCR, ambayo inatumika kukuza DNA za ki&#341;usi kimoja au vi&#341;usi vichache vya VVU.<\/p>\n<p>Nchini Kenya, mpango wa kupima watoto wachanga mapema unafanyika kwa kusaidiana na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI na Magonjwa Yanayoambukizwa kwa Njia ya Kujamiiana na Kitengo cha Utafiti wa Madawa cha Jeshi la Ma&#341;ekani . M&#341;adi huo unafadhiliwa na shi&#341;ika la Rais wa zamani wa Ma&#341;ekani la &#8220;Clinton Health Access Initiative&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Matumuzi ya database yamewezesha uchambuzi wa takwimu kwa muda muafaka ambazo zinatolewa kwa ajili ya utekelezaji na kufanya kazi katika eneo kubwa la kijiog&#341;afia,&#8221; Silvia Kadima, mwanasayansi wa utafiti katika maaba&#341;a ya VVU ya KEMRI aliiambia IPS. &#8221; Tunakadi&#341;ia kuwa ifikapo Ap&#341;ili mwaka huu, p&#341;og&#341;amu ya kompyuta itatengenezwa kukidhi mahitaji ya Kenya, na hapo ndipo itakapozinduliwa &#341;asmi na kuanza kutekelezwa na se&#341;ikali,&#8221; alisema Kadima.<\/p>\n<p>Alisema kuwa vifaa vingine 50 zaidi vitafungwa kwa ajili ya maja&#341;ibio zaidi kabla kifaa hicho hakijazin duliwa &#341;asmi baadaye mwaka huu. Kenya ina jumla ya vituo vya afya 904 nchini kote . Mfumo huo ni ufumbuzi kwa maeneo ya mbali kama Kituo cha Afya cha Akithenesit.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na mahali ambako kituo chetu cha afya kinapatikana katika maeneo ya kijijini, inabidi kujikita kupata msaada wa maga&#341;i yanayotolewa na kambi ya jeshi ya ka&#341;ibuni ili kuweza kusafi&#341;isha sampuli kwenda (Hospitali ya Alupe huko Busia) baadhi ya kilomita 200, ambako kuna kituo cha kupima watoto VVU,&#8221; Mtembe alisema.<\/p>\n<p>Ni safa&#341;i ambayo inachukua kwa uchache masaa 10 kutokana na ba&#341;aba&#341;a mbovu.<\/p>\n<p>&#8220;Baada ya miezi michache, tunakwenda njia hiyo hiyo kukusanya majibu. Na kama hayako taya&#341;i, inabidi kuandaa safa&#341;i nyingine siku nyingine,&#8221; alisema Mtembe,ambaye pia ni mkuu wa kituo, ambacho kina manesi watatu tu.<\/p>\n<p>Hata hivyo, katika Kata ya Kitui katika Jimbo la Masha&#341;iki, wakazi wanasema kuwa taya&#341;i wanashuhudia matokeo ya mfumo huo.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa watoto wangu wawili wa kwanza, nilipata majibu yao ya VVU baada ya wiki 18 baada ya sampuli za damu kukusanywa, na haya yalitolewa wakati wa kutembelea kliniki wakati wa ujauzito. Lakini kwa mtoto wangu wa tatu, nilipata ujumbe wa SMS kwenye simu yangu siku tano baada ya sampuli kukusanywa, na kunitaka kuchukua majibu yangu,&#8221; alisema Elizabeth Mwende mkazi wa kijiji cha Mutomo huko Kitui.<\/p>\n<p>Tofauti ya wiki 17 katika kupata majibu ya vipimo vya VVU kwa watoto wachanga ni suala la msingi katika utoaji wa tiba wenye ufanisi.<\/p>\n<p>&#8220;Kujua hali ya watoto wachanga katika wiki sita za kuzaliwa kuna&#341;uhusu kuanza mapema madawa ya kupunguza makali (ART) kwa watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka miwili na kunaweza kuokoa maisha yao. Bila kutumia ART, hadi asilimia 50 ya watoto ambao wanapata vi&#341;usi kutoka kwa mama zao, ma&#341;a nyingi hufa&#341;iki kabla ya kufikisha miaka miwili,&#8221; alisema Dk. Lucy Matu wa shi&#341;ika la Elizabeth Glase&#341; Pediat&#341;ic AIDS Foundation.<\/p>\n<p>&#8220;Upimaji wa mapema wa watoto wachanga una&#341;uhusu kuwapatia madawa mapema. Kama mtoto aliyezaliwa na mama mwenye vi&#341;usi anakuwa hana vi&#341;usi, hatua sahihi za kuzuia asiambukize zitachukuliwa ili wasipate vi&#341;usi hivyo kabisa,&#8221; aliongeza mshau&#341;i wa Kuzuia Maambukizo kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto wa shi&#341;ika hilo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Julai 31 (IPS) &ndash; Jesse Mtembe, ofisa muuguzi katika Kituo cha Afya cha Akithenesit katika Teso ya Kaskazini, katika jimbo la Magha&#341;ibi mwa Kenya, hawawezi kusubi&#341;i kituo chake kuunganishwa na mfumo mpya wa kompyuta kwa ajili ya kupima VVU kwa watoto wachanga ambao unatengenezwa katika chuo kikuu kinachoongoza nchini humo. Hivi ka&#341;ibuni wagonjwa wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":742,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3889","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3889","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/742"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3889"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3889\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3889"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3889"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3889"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}